UTAMU WA MABOSS?????? 8
Alex baada ya kuuona uso wake alipiga makelele kwa hasira ????????
Alipogeuka kumtazama Linda tayari alikuwa ameshaondoka
"Nitawashangaza sana wazazi wangu wakiniona na makeup naweza kuwakumbusha kuhusu siku nilivyomleta mpnz wangu nyumbani wakiwepo na nikall nae ,hio siku walinigombeza sana, Alex akawa anajisemea.
"Na wataanza kuniuliza naoa lini, hii makeup itawafanya wahisi vitu vingine..
Alex Alifika nyumbani dakika chache baadaye na akakuta chakula cha jioni tayari kimewekwa lakini wazazi wake hawapo mezani,
Alex alipumua kwa utulivu, maana alikuwa anawaza ataweza vipi kuingia ndani Hali ya kuwa ana makeup usoni mwake.
Angalau hakutakuwa na maswali kutoka kwao.
Alipanda chumbani kwake na kukutana na Mabel akiwa ndani ya chumba chake akibonyeza simu yake.
"Una ujasiri gani wa kuingia chumbani kwa kaka yako mkubwa bila ridhaa yake" Alex aliongea akivua viatu vyake na kuviweka kwenye henga ya viatu.
Mabel alicheka.kisha akasema
"Pole kaka" bila hata kumtazama Alex .
Aliendelea kuchezea simu yake huku akiondoka kule chumbani kwa kaka yake..
"Nashukuru Mungu hakuona vipodozi vyangu usoni duh???????? aliwaza Alex
Alivua nguo zake na kwenda kuoga.
Alivaa nguo mpya za kulalia na kushuka chini aliwakuta kila mtu ameketi na pia Alex alienda kuketi baada ya kumpg bs mama yake kwenye mashavu yake...
"Habari za jioni baba" Alex alisalimia lakini baba yake alimtazama tu Alex akajua anataka kusema jambo.
"Sema unachotaka baba maana ni kama unataka kuongea jambo" alisema Alex akiwa anakula.
Baba yake Alex Aliacha kula na kumtazama alex.
"Tunafanya tena kumbukumbu ya miaka kadhaa ya ndoa yetu kesho ambayo ni Ijumaa"
"Ooookkkk" alisema Alex
"Unasemaje oookk" Alisema baba yake Alex kwa kejeli "Tunawaalika watu wote na nataka umualike mpnz wako" akasema baba yake Alex.
"Nini?? Kwanini??" Akauliza Alex kwa mshangao
"Cos ni aibu sana kwa wewe kutomleta mpnz wako hapa tumuone hivi huoni umri unaenda huo?? Unataka tuanze kuhisi vitu vingine??," alisema baba yake Alex na Alex akahema.
"Nimepoteza hamu ya kula"Alex lisema na kusimama.
Aliondoka pale mezani huku akijisemea ni kweli nimewapitia wengi ila kusema kweli kwa wote niliowapitia hata sioni wa kumuoa????????siwezi kuoa hata mmoja wao wote ni wapuz tu..
"Leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na sina rafiki wa kike.
Nifanyeje?,Alex akajiuliza.
" Hivi Siwezi kumuomba Linda afanye hivyo aje nimtambulishe kama rafiki yangu wa kike kwa wazazi wangu????????, hata sijui kama ana mpnz au laa naogopa hata kumwambia maana Linda ni mwenda wazimu yule,
Ila mimi ni bosi wake' Linda anatakiwa kufanya kila ninachotaka na anapaswa kunielewa, nitamuamlisha kwa lazima..
Alilala na kesho yake mapema alijiandaa na kisha akaanza safari kuelekea ofisini kwake..
Alex Alifika kwenye kampuni na wafanyikazi wake wote walimsalimia lakini walikuwa kana kwamba wananong'ona pemben na wanamshangaa.
"Wananishangaa nn Hawa wapuzi? Je! hawajui kuwa ninaweza kuwafuta kazi wakati wowote ninapotaka, akawaza Alex.
Alifika ofisini kwake na Linda alikuja baada ya dakika 2.
"Umechelewa kwa dakika 2" alisema Alex huku akiwa anachukua kahawa yake.
"Samahani bwana," alisema linda
“Kaa” Alex alimuamuru na linda akakaa mara moja.
"Kuna nn? Linda aliuliza kwa mshangao.
"Naongelea mambo ya kunipodoa kwa nn ulifanya hivyo" Alex akasema kwa ukali na Linda akacheka kidogo.
Alex aligonga meza kwa nguvu na Linda akaruka.
"Nitakupa ofa kisha nikuadhibu baadae" akasema Alex
"Ni ofa gani" aliuliza Linda
"Unatakiwa uwe mpnz wangu kwa leo na nitakulipa dola elfu 34" Alex alimwambia Linda na Linda akashtuka.
"Usishtuke dili hili au hautaki" Alex alimuuliza Linda
"Nimekubali, mradi hautafanya ujinga" akasema Linda
"Unamaanisha nini kusema hivyo" Alex alimuuliza na Linda akatabasamu
"I'm sure you know what I mean" Alisema Linda na kusimama akiwa anataka kuondoka mara akageuka nakusema ..
"Sina nguo maalum ninayoweza kuvaa"
"Basi twende shopping" Alex alisema na Linda akatoa macho
"lakini una mkutano na kampuni ya MK na unatakiwa kula chakula cha mchana na Mkurugenzi Mtendaji wa Nesco, Bi Julie akasema linda
"Alex alimwambia Linda Mbona unaongea sana. Tayari Nina shauku kubwa ya kwenda shopping na wewe
"Futa appointment zote"
"Bwana, unaghairi ratiba zako zote kwa sababu unataka kwenda kufanya manunuzi na Mtu wako wa siku moja tu????..
"Linda Kwa kuwa ulikubali kuwa mpnz wangu kwa leo kwa nini nisiweze kwenda kufanya manunuzi na wewe" nitafanya kila kitu nakuapia..
" SAWA " akajibu linda
"Twende sasa????????
Walielekea nje kwenye gari huku kila mmoja akiwa anamwangalia mwenzie kwa tabasamu????????
Itaendelea ????
Soma yote kwa kulipia 1000
Njoo WhatsApp 0742133100.