Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS???13
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS???13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMU WA MABOSS???13

"Alex baada ya kumpongeza Linda aliondoka akaenda zake kupumzika.. hata hivo Linda alimfuata nyuma mpaka sehemu alipokaa..

Linda Alifika kwa Alex na kunyoosha mkono wake
"Pesa yangu" Alex alihema huku akimtizama Linda machoni

"Samahani nimesahau" Alex alisema na kufungua waleti yake na kumpa Linda pesa yake..

Linda aliikusanya na kuiweka kwenye mkoba wake mdogo..

" alex alimwambia Linda Dada yangu anakuja kukuona na anakaa hadi kesho, hivyo nataka uendelee kuigiza kama mpnz wangu hadi atakapo ondoka..

"Linda alimwambia Alex Subiri ... dada yako anakuja" aliuliza kwa mshangao

Kabla Alex hajamjibu mara ghafla akasikia geti linafunguliwa.

"Usisahau tulichopanga," Alex alisema huku akichungulia anaeingia ni nani kwa mbali alimuona dada yake Mabel..

Mabel aliingia na Alex akadhan anaenda kumkumbatia hivyo akatanua mikono yake cha ajabu ni kwamba Mabel alipita pembeni na kwenda kumkumbatia Linda.

"Wow unaonekana mrembo kuliko nilivyofikiria," alisema Mabel huku akimkagua Linda kila kona"
"Asante" Linda aliitikia..
"Ninapenda tabasamu lako, unatabasamu zuri kuliko hata mbunifu mpya wa chikago Mabel aliendelea kumsifia wifi yake Linda..
OMG!! Hakika wewe ni unaendana sana na kaka yangu" Mabel alisema kwa sauti ya shangwe..

"Asante. Ungependa kula nini" Linda aliuliza
"Mabel akajibu Chochote"
"Nitapika tambi basi"
"Ndio ni sawa" Mabel alisema na Alex akasimama huku akiwatazama wote wawili Linda na Mabel

"Hata hivo Alex alizidi kuvutiwa na Linda tabia zake ukarimu wake ukiachilia mbali ukichaa wake Linda ni mwanamke anaejielewa sana..

"Linda alielekea jikoni kumwandalia wifi yake chochote kitu akawaacha ndugu wawili pale watete kikwao..

"Baada ya linda kuondoka Mabel alimgeukia alex akamuita Hey Bro" Alex alitoa macho kwa mshangao akamuuliza dada yake ndo unaniona sio?

"Acha wivu Bro nilikuwa bize na wizo kwanza.. ni mwanamke mrembo sana..

"Sawa lakini naomba usimtie stress na usimwulize maswali ya kijnga na ya kipmbav coz nakufahamu. Akasema Alex

Nimekuelewa bana alisema Mabel na kukimbilia kwenye gari lake na kutoa mabegi yake

Linda alimaliza kuandaa chakula akarudi sehemu alipo Alex..

"Alimwambia Alex dada Yako yuko poa sana nimempenda maana amechangamka sana nina hakika akili zake ni kama zangu?,..

Alex hakujibu kitu zaidi ya kumtizama tu Linda usoni..

Linda alielekea chumbani kwa wifi yake Mabel
Akamkuta anapanga nguo kabatin
"Chakula kiko tayari, nikuletee hapa au utakula mezan, Linda aliuliza

"Hapa ingekuwa bora zaidi" Alisema na Linda akaondoka na kurudi na sahani ya tambi na glass ya juisi.

"Asante" alisema Mabel na Linda akaitikia kwa kichwa

Linda Alienda chumbani kwake na kuchukua simu yake kisha akaona missed calls kibao za marafiki zake
"Nimpigie nani kwanza? Akawaza linda

OMG ? ? ngoja nimpigie kwanza chaumbea wangu Betty nataka nimwelezee kila kitu kuhusu mimi na Alex nisikie atanishauri nini

Alimpigia simu Betty na akaipokea..

Betty ni kweli anapenda umbea sana Linda alimsimulia kila kitu kuhusu Alex

"OMG! ngoja..unampenda" Betty alimuuliza Linda
" .... Uhm.. sidhani"hahahaaa betty alicheka kisha akamuuliza Linda mbona kama vile unatabasamu niambie ukweli bwana

"Umeanza lini kumpenda bana embu nambie " Betty aliuliza Linda akaendelea kutabasamu
"Hata sielewi" Alisema Linda na wote wakacheka

"Wakati Linda na Bety wanaongea ghafla Mabel na Alex waliingia kule chumbani kwa Linda wakiwa wanakimbizana??Linda alishtuka ikabidi akate simu..

Mabel alimwambia Linda wifi yangu kipenz kuna maswali kidogo nataka kuwauliza wewe na kaka yangu je mko tyr??

Wakajibu tuko tayari haya kaeni hapo nianze kuwahoji...

"Mara ya kwanza ninyi wawili mlikutana wapi ndo mkaanza kupndana??? Linda na Alex walitizama kwa mshangao baada ya kuhojiwa hilo swali??

Alex alimtizama Linda kwa uoga kimoyomoyo akajisemea eh mungu ziba huu mdomo wa Linda asije akajibu chochote?

Linda alitabasamu kisha akataka kuongea kitu ila Alex akamuwahi???Alex aliamua kulijibu hilo swali na maswali mengine yote..

Mtihani wa mwisho waliopewa Linda na Alex ni kupeana juice ya miwa laivu mbele ya Mabel..mabel aliwaambia najua Mnapendana sana..

Hivo basi kaka yangu Alex ninataka umkss wifi yangu hapa mbele yangu nikiwa nawatazama?

Linda alitoa macho???kukss tena??

"Ee mungu.....sasa tutakisje nass ni wapnz bandia?? Linda alichukua simu yake haraka akamtumia Alex msg palepale..

Alimuuliza wewe ni chizi eh?? Unakubalije tukss na unajua kabisa sisi sio wpnz??

Alex aliijibu ile msg kama ifuatavyo..

Linda najua sisi sio wpnz lakini sasa tutafanyaje?? Kumbuka tusipofanya hivo anavotaka dada tutashtukiwa..

sitaki familia yangu ijue kinachoendelea kati yetu maana wanaweza wakanilaani mimi..kwani nikikss Linda nitaondoka na mdom wako??

Itaendeleaaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS???13

UTAMU WA MABOSS???13

"Alex baada ya kumpongeza Linda aliondoka akaenda zake kupumzika.. hata hivo Linda alimfuata nyuma mpaka sehemu alipokaa..

Linda Alifika kwa Alex na kunyoosha mkono wake
"Pesa yangu" Alex alihema huku akimtizama Linda machoni

"Samahani nimesahau" Alex alisema na kufungua waleti yake na kumpa Linda pesa yake..

Linda aliikusanya na kuiweka kwenye mkoba wake mdogo..

" alex alimwambia Linda Dada yangu anakuja kukuona na anakaa hadi kesho, hivyo nataka uendelee kuigiza kama mpnz wangu hadi atakapo ondoka..

"Linda alimwambia Alex Subiri ... dada yako anakuja" aliuliza kwa mshangao

Kabla Alex hajamjibu mara ghafla akasikia geti linafunguliwa.

"Usisahau tulichopanga," Alex alisema huku akichungulia anaeingia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

809
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

578
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

494
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

352
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

303
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

91
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest