Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS????❤️16
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS????❤️16

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMU WA MABOSS????❤️16

Baada ya linda kujichungulia aliamka na kuelekea bafuni tyr ilikuwa ni asubuhi na ilikuwa siku ya kazini ilibidi ajiandae chapu kwa ajili ya kuelekea ofisini..

Linda alitoka bafuni na kuvaa,
Alex alijiandaa akatangulia kwenye gari akaenda kumsubilia linda huko..

Linda alijipodoa vizuri akapendeza akatoka mpaka kwenye gari akamkuta Alex yuko kwenye gari anamngoja yeye????????????

Umependeza sana????????Alex alimsifia linda na Linda alitabasamu huku safari ya kuelekea kazini ikiendelea ❤️❤️

"Wakati wakiwa njiani alex alimuuliza linda vipi kuhusu wazazi wako Linda sijawahi kukusikia ukiwazungumzia wazazi wako.."

Linda alikumbuka mbali sana????????alimtazama Alex huku machozi yakimtoka????????

Alex alishangaa????????Akauliza
"Kuna nini? au nimekukosea?" Alex Aliuliza kwa wasiwasi.
"Linda alimwambia Alex mimi sina wazazi????????Wazazi wangu wote wamekufa" Linda alisema na kububujikwa na machozi mengi sana.

"Oh Mungu wangu, samahani kwa kuuliza swali hilo" Alex aliomba msamaha na kumkumbatia linda.
Linda alilia kifu ani kwa Alex hadi wakafika kwenye kampuni...

Walifika ofisini kwa Alex na Alex akampeleka kwenye chumba cha mapumziko kilichofichwa huko ofisini kwake.

Linda hakujua hata kama Alex alikuwa na chumba kingine ofisini.

"Tafadhali usijisikie vibaya, lala tu kwenye kitanda hiki na nitarudi kukuangalia," alisema na Linda akaitikisa kichwa.

"Sikujua kuwa yeye ni yatima????????Alex alikuwa akiongea peke yake..,
Pole sana kwa kurudisha kumbukumbu zako za huzuni Linda. hakika nitakufanya uwe na furaha maisha Yako yote, Alex aliwaza.

Baada ya muda fulani Linda alirudi katika hali yake ya kawaida..Aliamka na kusimama haraka akakumbuka kuwa ni muda wa kazi anatakiwa ofisini na sio kitandan..

Alitoka chumbani na kukutana na Alex akibonyeza simu yake.

Alex Alinyanyuka mara baada ya kumuona lindaa na kumfata alimshika akamkalisha kwenye kiti chake.

"Unajisikiaje" aliuliza na Linda akaitikia kwa kichwa
"Una njaa" alimuliza na Linda akaitikia kwa kichwa.
"Sina nguvu ya kuzungumza, akasema Linda..

"Uhm....Linda samahani sana kwa kukukumbusha kumbukumbu zako za huzuni," alisema Alex
"Siyo kitu" akajibu Linda mara ghafla wakasikia mlango unagongwa na Alex akamruhusu anaegonga aingie ndani ya ofisi yake.
Alikuwa ameagiza pizza na ikawa imefika wakat huo.

"Alex fungua pizza Linda alisema huku akitabasamu.

Linda Alichukua kipande na alikuwa karibu kukiweka kinywani mwake wakati Alex akimzuia.

"Nitakulisha" Alex alisema
"Lakini ... lakini ..." Linda akawa anataka kusema kitu ila Alex akamzuia
"Shhhhh kula" Alisema Alex na kuweka kipande cha pizza mdomoni mwa linda.

Linda alitafuna pizza huku alex pia akichukua kipande cha pizza na kula.
Linda alichukua ice-cream yake na kunywa yote.

"Unataka nini kingine..Alex alimuuliza Linda na Linda akabaki anamwangalia tu kwa hu ba na macho ya upendo..

Alex alimlisha Linda ice-cream yake mpaka Linda akawa anahisi kama tayar wameshakuwa wapnz.

Alex alikuwa karibu kuweka kijiko kingine cha ice cream kwenye mdomo wa Linda mara mlango ulifunguliwa na Micheal akaingia.

"Ni nini kinaendelea hapa???????????? . Inamaana Nyie wawili tyr mshakuwa wapnz?" Linda alipaliwa baada ya kusikia lile swali..
“Argh...ona umesababisha apaliwe” Alex alisema huku akimpa Linda glasi ya maji

"Samahani.. nadhani natakiwa kuondoka. Kwaherini wapendanao” Alisema Michael na kuondoka.
OMG! Linda aliona aibu sana baada ya Michael kumkuta Alex anamlisha.

Alex Alikuwa karibu kumlisha tena Linda lakini Linda akamzuia.
"Nitajilisha mwenyewe"
"Oh sorry" Alisema Alex na kumpa ice cream.

Alex alimtazama Linda akichukua ice-cream yake na akajisema kuwa ni mrembo sana.

"oh Alex kwanini hukumuona huyu binti kitambo cheki alivyo mrembo nikiwa karibu nae muda wote najisikia mwenye furaha , Alex aliyawaza hayo kimoyomoyo

"Nitaenda ofisini kwangu sasa" Alisema Linda na Alex alisimama na akamzuia
"Huendi popote, unabaki na mimi" akasema Alex
"Lakini nataka kwenda kufanya kazi" akajibu linda
"Nimesema hapana" Alex akasema na Linda akakaa.
"Ohookkkk" alisema na Alex akatabasamu.

Muda ulienda na hatimae muda wa kurudi nyumban ukafika.
.Alex na Linda walifika nyumban na Alex akataka kumfurahisha zaidi Linda hivyo akaingia jikon kwa ajili ya kumwandalia chakula oyoo????????????,

Alex aliwaambia wafanyakazi wampishe YEYE ndio atapika ????????????kila mtu alikaa pembeni akisubilia chakula cha Boss maana haijawahi kutokea hata siku moja Alex kuingia jikoni????????

Itaendeleaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS????❤️16

UTAMU WA MABOSS????❤️16

Baada ya linda kujichungulia aliamka na kuelekea bafuni tyr ilikuwa ni asubuhi na ilikuwa siku ya kazini ilibidi ajiandae chapu kwa ajili ya kuelekea ofisini..

Linda alitoka bafuni na kuvaa,
Alex alijiandaa akatangulia kwenye gari akaenda kumsubilia linda huko..

Linda alijipodoa vizuri akapendeza akatoka mpaka kwenye gari akamkuta Alex yuko kwenye gari anamngoja yeye????????????

Umependeza sana????????Alex alimsifia linda na Linda alitabasamu huku safari ya kuelekea kazini ikiendelea ❤️❤️

"Wakati wakiwa njiani alex alimuuliza linda vipi kuhusu wazazi wako Linda sijawahi kukusikia ukiwazungumzia wazazi wako.."

Linda alikumbuka mbali sana????????alimtazama Alex huku machozi yakimtoka????????

Alex alishangaa????????Akauliza
"Kuna nini? au nimekukosea?" Alex Aliuliza kwa wasiwasi.
"Linda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

808
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

577
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

493
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

352
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

303
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

91
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest