Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS????❤️15
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS????❤️15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMU WA MABOSS????❤️15

Alex alishaanza kuvutiwa na mwanadada Linda akili yake inawaza kuyaacha madhambi yote aliyokuwa nayo ili atulie na Linda tu..

"Nataka kubadilika kwa ajili yake, na nataman nimuone akikanusha kuwa mimi sio mtu mbaya ninamini kuwa Mimi sio mbinafsi kiasi hichi, Alex aliwaza huku akimwangalia Linda..

Linda alishangaa huyu mbona ananiangalia sana ana nini????????

"Unaniangalia nini??" Alex ilibidi amsogelee kidogo na kumwambia ninauangalia huu urembo ulionao hakika unavutia sana..

Linda alijisogeza pembeni akiacha nafasi katikati iliyowatenganisha wawili hao katika sehemu walizokaa..

Alex alimtazama Linda machoni pake na macho ya Linda yalikuwa yanameta kama nyota aliwaza na kusema hakika huyu ndo mwanamke ninaetamani kumuoa awe mke wangu..

Alex alisogea karibu zaidi na kumuuliza Linda unafanya nini,

"Linda alimwambia Tafadhali simama, mbona ni kama vile unataka kunikalia???????? Alex alisimama haraka, kwa aibu.

"Samahani" aliongea na kuelekea chumbani kwake.

Oh sht???????? nilitakiwa kwenda taratibu maana Linda akili zake anazijua mwenyewe..

Yeye sio kama hao wanawake wengine niliozoea kuwabaruza vile ninavotaka..

"Hivi , nilisema jambo lolote baya kwake? Sitaki kumkosea chochote nitajiheshimu mbele zake ili nimvutie zaidi

Linda nae muda huo alikuwa anawaza ya kwake eh Mungu wangu???????? nimemfokea sijui atachukia..

"Lakini ngoja mbona kama ananipenda au ananipenda? Linda akajiuliza...

"Wakati anayawaza hayo ghafla akashtuka mtu anamuuliza Ni nini kinakufanya uwe na aibu Linda alishtuka na akainua macho na kumuona Betty.

Alishasahau kuwa alimpigia simu waonane..
"Oh Betty karibu nimesahau kuwa nilikuita " akasema Linda na betty akaingia ndani kisha akakaa.

"Upo Sawa kweli?" Akauliza betty
"Ndio ila " akaanza kujiuma uma Linda.

Ila nn? Akauliza betty.

" Sawa. alex alinisogelea sana nikamuomba asimame maana alikuwa anakuja karibu yangu sana

Ehe ulivomwambia hivo ikatokea nini?? Alisimama akaomba samahani then akapanda juu kwa aibu sana yani hata simuelewi yani alikuwa kama mtu anaetaka kunbus"

betty alimsikiliza linda akawa anacheka tu..aligundua rafiki yake mpnz yameshaanza kumuingia ameshapenda huyu..

"Utakula nini na uache kunicheka" Linda akasema lakini betty aliendelea kucheka tu.

"Una wazimu au nini maana unacheka hovyo" Linda alisema

"Samahani" Alisema na kuacha kucheka.
"Utakula nini" Linda aliuliza tena.

"Vitafunio tu na maji"
"Vitafunwa na maji" akauliza linda
"Ndio" alisema bety
"No hauwezi kula hivo bwana hii ni nyumba ya boyfriend wangu tajiri misosi ya hivo haipo em sema msos wa maana nikuletee..

Ehee ????????boifurendi bety alidakia???????? oh sorry nilitaka kusema ni nyumba ya Boss wangu tajiri????Linda alijishtukia na betty akacheka tena

"Sawa nitakupa vitafunwa na juisi, ni sawa kwako"?? akauliza linda

"Ndiyo Mrs Alex????????" alisema Betty huku akitabasam..

Baada ya dakika chache baadaye Linda alikuwa ameshaandaa kitu Cha kumpa Betty na kuanzia hapo wakaanza kuzungumza, kucheka na kuongea.

Baada ya story nyingi bety Aliondoka na kwenda nyumbani kwake jion sana na Alex hata hakutokea kwani alikuwa na aibu..

"labda nikamuangalie maana sio kawaida yake kukaa chumban muda wote huo, Linda alisema huku akisimama na kuingia chumbani na wakati huo, alex pia alikuwa anatoka bafuni..

Nywele zake zilikuwa zikidondosha maji kama matone ya mvua na, macho ya Linda yakaangalia Moja kwa Moja kwenye midm yake ya pink kisha yakashuka kwenye kif????ua chake, gosh nawaza nn mm, Linda akaanza kujiuliza.

"Acha kunichungulia," alisema Alex na Linda akatoka nje .
Alex alimfata Linda na kumvuta na baada ya hapo linda akahisi pumzi yake ni kama vile inataka kukata alikuwa anahemea tisini na tisa point tisa

"Ulifikiri nilikuwa nakutazama" Linda akauliza kwa tab na hsia nying sana????????
"Ndio ulikuwa unanitazama au unaniona ni mzuri sana" Alex aliuliza na Linda akamuangalia tu..

"Nahisi tu ila hauna uzuri wowote" Linda alisema na Alex akatabasamu
Zile stail walizoshkana mmhhh ghafla si Alex naniliu zikampanda???????? akamuweka Linda vizuri kwa ajili ya kumnaniliu mdmn☺️????

'Linda alianza kumzuia Alex asimnaniliu????????hapana alex Usifanye, usifanye, hapana usifanye,oohhhhhhh nooooooooooooo tayari alikuwa ameshachelewa

Alex alimnaniliu kwa dakika kadhaa bila kumwachilia????????Linda alitulia tu akawa anasikilizia utm wa mdm ya Alex..alshika vizuri ili aendelee kumnaniliu kwa muda mrefu kidogo..

"Ee Mungu wangu nimekuwajee????????yani kabisa nafurahia na kumshika vizuri hivi????????aliwaza Linda baada ya kumaliza kubadilishana ....

Alex muda huo alikuwa anamtazama Linda machoni.
"Linda ilibidi aondoke kule chumbani maana kitakachofuata sasa atakuja azagamuliwe bila kujitambua????????

'Linda aliendelea kujilaumu na kujigombeza kwanini anakuwa dhaifu kwa huyu mtu..au ninmpnd??

Argh.....imekuwaje sasa ninampnda bosi wangu Jamani .??Linda aliendelea kuwaza vitu vingi sana alijilaza kwenye kochi seblen akaendelea kufikiria yale yanayoendelea kwenye maisha yake..

Usingizi haunaga hodi ulimpitia Linda palepale kwenye kochi akasinzia hapohapo..

Alex alikaa chmbni muda mrefu bila kumuona Linda ikabidi atoke seblen kumwangalia..

Alimkuta Linda kaishasinzia saa mingi akamnyanyua na kumpeleka ktndn..alimlaza vizuri akamfunika❤️‍????❤️‍????

Linda alikuja kuamka badae akaanza kuvuta kumbukumbu akakumbuka alilala seblen mbona sasa niko ktndn nimefikaje hapa..??alipoangalia karibu yake alimuona Alex akiwa amell..

Cha kwanza Linda alijichungulia huko kwa bibi aone kama kuna usalama usikute mwafulani kaishakula chakula chake bila taarifa????????????

Itaendeleaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS????❤️15

UTAMU WA MABOSS????❤️15

Alex alishaanza kuvutiwa na mwanadada Linda akili yake inawaza kuyaacha madhambi yote aliyokuwa nayo ili atulie na Linda tu..

"Nataka kubadilika kwa ajili yake, na nataman nimuone akikanusha kuwa mimi sio mtu mbaya ninamini kuwa Mimi sio mbinafsi kiasi hichi, Alex aliwaza huku akimwangalia Linda..

Linda alishangaa huyu mbona ananiangalia sana ana nini????????

"Unaniangalia nini??" Alex ilibidi amsogelee kidogo na kumwambia ninauangalia huu urembo ulionao hakika unavutia sana..

Linda alijisogeza pembeni akiacha nafasi katikati iliyowatenganisha wawili hao katika sehemu walizokaa..

Alex alimtazama Linda machoni pake na macho ya Linda yalikuwa yanameta kama nyota aliwaza na kusema hakika huyu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

809
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

578
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

494
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

353
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

303
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

186
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

91
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest