Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMUU WA MABOSS ??????9
Gonga94 · Stories

UTAMUU WA MABOSS ??????9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMUU WA MABOSS ??????9

Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup ????????

Alex aliwasha gari wakaondoka kuelekea shopping muda wote alikuwa anawaza nini kimefanya Linda akubali ombi lake haraka vile??

Wakati Alex anawaza ya kwake linda nae alikuwa anawaza ya kwake kichwani...alikuwa anajiuliza ni kwanini Alex anataka niwe mpnz wake na bado anilipe????????

Itabidi nimuulize???????? hello aliita Linda huku akimwangalia Alex aliekuwa bize kuendesha gari.. Alex alijifanya hajisikii huku akiona raha vile Linda anavyomuita na kumtizama usoni kwake????????

"Kwanini unataka niwe mpnz wako" Linda alimuuliza Alex..

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex..

"Ila Sawa, leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na wanataka nimlete mpnz wangu na kwa vile sina ndo maana nimekuomba??..

"Seriously?? Vipi kuhusu yule bibi niliyekuona ukimbs , Kwan hawez kufaa kuwa mwanamke wako? " Akaulzia Linda

"Lazima uingie kwenye mambo ya watu wengine" Alisema Alex kwa hasira..

"Nilijua nimesema kile ambacho sitakiwi kusema.
"Samahani bwana" Linda alisema

Hii ni kama mara ya tatu Linda akiomba msamaha MAANA bado anahofu kwa kitu alichomfanyia Alex na Alex mpaka muda huo hakuonesha reaction yoyote ile.

walifika kwenye maduka ya fashion ambayo ni maarufu kwa jina la FM na hapo ndipo kunakouzwa vitu vya bei ghali ZAIDI.

"Anafanya hivi kweli???? Linda alijiuliza
"Je, UPO tayar tufanye manunuzi" Alisema Alex na kumshika mkono Linda.

"Mbona anajali sana akajiuliza Linda????

Waliingia ndani na Alex akasema kuwa Linda achukue nguo yoyote apendayo.
"kila kitu hapa ni ghali sana, Linda akawaza

Alichukua nguo tofauti za chapa tofauti.
"Nimemaliza" Linda alisema mara moja
.
"Unadhan umetosheka" Alex aliuliza na Linda akaitikia kwa kichwa.

Basi Alex alilipa na wakaondoka na kwenda sehemu nyingine ambazo wangeweza kununua vitu nyingine kama vile begi, viatu na vipodozi. Walienda hata kutengeneza nywele za Linda na muda wote Alex alikuwa akisubiri kama mtu mpole..

Linda alimaliza kutengeneza nywele zake na wakaingia kwenye gari wakaanza kuondoka..wakiwa njiani Alex alimuita Linda..

"Linda alimuitikia akisubilia kusikia kile alichotaka kumwambia..Alex alisema
"Adhabu yako ni kwamba utakaa nami, nyumbani kwangu chmbn kwangu kwa wiki moja au ufukuzwe kazi

" Nini???" Aliuliza Linda kwa mshtuko .

"Ndio hivyo,"

"Yani mimi?? Nyumbani kwako?? Chmbn kwako?? Ktndn kwako?? Alafu iweje??

Mimi nilifikir hili dili ni la masaa machache kumbe ni la wiki nzima?

"Ndio ni wiki nzima, hebu acha kunihoji Kwan Una mpnz?" Alex aliuliza

"Hapana sijui" Linda Alisema na Alex akahema kwa furaha????????.

"Nashukuru Mungu sitakuwa nikipokea ngumi kutoka kwa mvulana yeyote kwa sababu niko na mpnz wake????????, akasema Alex

" naomba nikupeleke kwenye jumba langu la kifahari" Alex alisema ..

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia gari.
kijakazi alikuja kumsaidia Linda mabegi ya ununuzi na wakaingia ndani ya jumba hilo la kifahari. Wajakazi zaidi waliwasalimia huku Linda akiendelea kushangaa kila kitu????..

Walifika chmbn kwa Alex na linda akajilaza ktndni kwa uchovu.
"Wow, chumba chako ni kikubwa sana," akasema Linda
.
"Asante"
"Hata kitnd ni kikubwa pia" alisema Linda akitabasamu
"Ndio ni hivyo na kumbuka ni kwa watu wawili TU kwa MAANA watu wawili pekee ndio wanatakiwa kull hapo"

"Samahani nini??. Siwezi kull kitnd kimoja na kijana mwenye kbur kama wewe Alinong'ona Linda.

"Kumbuka ninakulipa kwa hili na sio kama nitakugusa, zaidi ya hayo wazazi wangu wana akili sana na wanaweza kutushuku" Alisema Alex na Linda akapumua tu..

"Nenda ujisafishe" akasema Alex
na kusimama kabla ya kutoka nje ya chumba.

Sihitaji kueleza mahali bafu lilipo naamin utaliona.

Alex alishuka na kuwaona wazazi wake wakitazama sinema
"Halo mama, habari baba," alisema Alex na kumnyanyua mama yake Kisha kukaa kando yake.

"Oh kpnz changu" alisema Mama yake Alex huku baba akitabasamu tu
"Kwahiyo yule binti yuko wapi" aliuliza mama yake Alex na Alex akatoa macho MAANA aliamin kuwa hakuna ambae aliwaona..

"yuko chumbani kwangu anaoga" alisema Alex na mama yake akatabasamu
"Ngoja niende nikamchunguze" Alisema mama yake Alex na kusimama.

"Mama tafadhali usimsumbue kwa maswali" akasema Alex kwa sauti ya uoga maana anakijua kichwa Cha Linda asije akaharibu mambo????????

"Sawa" alisema mama na kuelekea chumbani kwa Alex .
"Hatimaye umemleta msichana wako nyumbani. I'm proud of you son" Alisema baba yake Alex na yeye akaachia tabasamu????????
Mambo gani haya jamani.
, wananipelekesha sana Hawa wazaz wangu, Alex aliwaza...

Linda alimaliza kuoga na na kuingia chumbani akakutana na mwanamke pale amekaa????????

"Habari za mchana mama, nawez kukusaidia, akasema Linda
Na mama yake Alex akatabasamu????????

"Mungu wangu, mwanangu kweli ameleta msichana mzuri nyumbani," alisema na Linda akamtazama akiwa na hofu ????????
.
"Mwanao? Alex ni mwanao" Linda alimuuliza na akaitikia kwa kichwa kama mtoto.
"Oh Mungu wangu, samahani mama" Linda alisema haraka na mama yake Alex akacheka na kumfanya Linda atabasamu..

"Nimekpnda, wewe ni mrembo, unajali,na mcheshi. Alisema mama na Linda akatabasamu.

"Jina lako nani" aliuliza mama
"Naitwa Linda, nina umri wa miaka 22 na nimpnz wa mwanao Linda alisema .
"Natumai sijasema kile ambacho sitakiwi kusema, akawaza linda????????

"Wow, una akili sana Vipi kuhusu wazazi wako?" Aliuliza mama
"Wamek????fa mama"
"Oh..samahani sana kwa kufiwa na wazaz" Alisema na kumkumbatia Linda..

"Linda alichanganyikiwa Nini hiki Mungu wangu! Mke wa top ten ya matajiri hapa nchini na mwenye mvuto zaidi ananikumbatia mimi Ahh!! Bahat gani hii????????????

"Tutaongea baadae sweetheart" Alisema mama na kumshika Linda shavuni kisha akatoka nje.

Linda alichukua gauni jepesi na kulivaa, akafunga nywele zake na kibanio. Alichukua simu yake na kuanza kuperuzi kwenye mtandao na ndipo Alex alipoingia.

"Nini jamani?????? unakujaje bila kubisha hodi, ningekuwa bado navaa je, Kwann unaingia bila kubisha hodi" Linda alisema.


"Nilijua utakuwa umemaliza ," alisema Alex n Linda akamkazia macho.
Alex Alikuwa karibu kuongea jambo mara mtu akabisha hodi
"Ingia" Alisema Alex na mwanamke aliyevaa sare akaingia..

"Mheshimiwa, chakula cha mchana kipo tayari," alisema na Alex akampa ishara ya kuondoka na akaondoka zake..

"Lunch is ready, lets go" Alisema na wote wakashuka.

Meza ilikuwa tayari imewekwa na wazazi wa Alex walikuwa tayari wameketi
"Habari za mchana baba" Linda alimsalimia baba yake Alex, na yeye akatabasamu na kusema
"Habari za mchana binti yangu, habari yako"
"Sijambo baba"
"Wow mwanangu kweli umeleta msichana mzuri" Alisema na Linda akatabasamu

"Asante baba" Linda alisema na baba akaitikia kwa kichwa kisha wakaanza kula
macho ya Linda na Alex yaliendelea kugongana na Bi Shaws ambae ni mama yake Alex akaendelea kutabasamu ..

"Baada ya chakula cha mchana nyie mnapaswa kwenda kufurahia chmbn kwenu maana sherehe bado ni usiku," Bi Shaws alisema na Linda akaitikia kwa kichwa..

Mungu wangu nikafurahie na huyu chizi mimi???? asije akafanya kweli maana hapa tunaigiza tu..

Itaendeleaaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMUU WA MABOSS ??????9

UTAMUU WA MABOSS ??????9

Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup ????????

Alex aliwasha gari wakaondoka kuelekea shopping muda wote alikuwa anawaza nini kimefanya Linda akubali ombi lake haraka vile??

Wakati Alex anawaza ya kwake linda nae alikuwa anawaza ya kwake kichwani...alikuwa anajiuliza ni kwanini Alex anataka niwe mpnz wake na bado anilipe????????

Itabidi nimuulize???????? hello aliita Linda huku akimwangalia Alex aliekuwa bize kuendesha gari.. Alex alijifanya hajisikii huku akiona raha vile Linda anavyomuita na kumtizama usoni kwake????????

"Kwanini unataka niwe mpnz wako" Linda alimuuliza Alex..

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex..

"Ila Sawa, leo ni siku...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamuu-wa-maboss-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamuu-wa-maboss
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS??????  SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS ??????12
UTAMUU WA MABOSS ??????12
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9  Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

589
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

543
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

366
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

348
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

316
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

40
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

28
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

27

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.26K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  💕💕💕* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE 💕💕💕* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❤️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest