Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)
Gonga94 Β· Stories

πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ILIPOISHIA...,

Baada ya Turi kuwasili kwa mama yake , alikaribishwa kwa tabasamu nzito la Mama Vero pamoja na Vero mwenyewe ,
mpaka Turi alihisi hofu moyoni mwake, maana isingeweza kuwa rahisi kiasi hicho kwa mtu ambaye aliyemzoea miaka mingi na hata baada ya kupewa pesa bado alionyesha kinyongo,
sasa inawezekanaje amchekee mapema kiasi hicho!?.

Lakini,
Turi alijipa moyo na kuomba mungu amsaidie maana yeye ndiye mjuzu wa kila shari na kheri.

Alipofika hadi ndani, mama Vero haraka haraka kuriko kawaida, akamkaribisha Turi maji ya kunywa,
" karibu maji haya mwanangu Turi, maana na joto hili duuuuh!, ebu ona unavyo vuja jasho , Loooh! pole binti yangu kipenzi Loooh",

Turi hakuweza kukataa maji hayo ingawa nafsi yake ilikuwa ina wasiwasi sana!, ila kutokana na heshima na adabu aliyojaaliwa binti Turi,
aliona kama atakuwa anamdharau mama Yake akikataa maji hayo,
hivyo,
akaamua kupokea kikombe cha maji na kuanza kunywa tone moja baada ya lingine!.

Mama Vero akamkonyeza mwanaye Vero, huku akionyesha ishara ya mikono kama mkasi akimaanisha kwamba kazi imekwisha!.

Na haikupita muda mrefu baada ya Turi kunywa maji hayo, mara simu yake ikaanza kuita,
na alipochukua akakuta ni Amani!, lakini chakushangaza baada ya Turi kupokea simu hiyo! ,
Amani alianza kumfokea kuriko kawaida tena , hakutaka kumpa hata nafasi ya kujitetea,
" we mwanamke una akili timamu kweli wewe!?,
yani mtu unaweza kusema umepata mke mwema kumbe ni kibuyu kilichopasuka, unajua kabisa mimi nimetoka na wewe umetoka bila kupika na nguo zangu za kuvaa kesho zote umeziloweka kwenye maji,
una akili kweli wewe, kumbe ndo maana hata mama Yako wa kufikia huelewani naye wewe, halafu lawama unarudisha kwao,
bora hata mwanzo ningemchumbia Vero tu ,daaah!"

Turi huku akiwa analia kilio kisicho na majibu akajibembeleza kwa mumewe Amani,
" tafadhari Amani naomba unisikilize, mbona chakula niliacha na nguo ni mimi ndo nimekupigia pasi!".

Lakini,
Amani alizidi kucharuka kwa hasira isiyo ya kawaida kabisa ,
" wewe kinyago!, usinifanye mimi sina akili timamu kama ulikuwa hunitaki ungesema , kuriko nimeteketeza pesa zangu bila faida, njoo huku, mamba wee!".

Turi akiwa haelewi hayo yote yametoka wapi maana kila alichokiaema Amani , hakuna hata kimoja ambacho amekifanya ,
Turi akiwa ameduwaa kwa dakika kama tano hivi , akajisemea kimoyo moyo,
" mbona sielewi Mimi jamani, au alikuwa chizi kweli, au ni mwezi mchanga nini ndo urchin umeanza tena?!, ila si wangenambia ukweli tu!".

Mama Vero naye, akamsihi Turi arudi nyumbani akamsikilize mumewe , " mwanangu Turi!, usijali ,
kila kitu kitakuwa Sawa tu, atakuwa kachoka Tu huyo, si unajua wanaume wakirudi kazini na njaa,
weee! hata baba yako alikuwaga hivyo hivyo! mmh..! mmh...!".

Turi alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa, maana ndoa Yake ndo kwaanza ilikuwa na wiki moja tu!, na ukizingatia mumewe alikuwa ni mtu mwenye upendo mkubwa na huruma kwa Turi kutokana na mazito aliyopitia kwenye maisha yake,
sasa inawezekanaje ghafla hivyo eti mumewe aanze kumkaripia!, tena kwa kosa ambalo hajatenda!.

Turi bila kupoteza muda, akaamua kutoka nje na kuondoka kuelekea kwa mumewe Amani.

Baada ya Turi kuondoka, mama Vero akiwa na furaha tele huku akipeana mkono yeye na mwanaye Vero, akasema,

" yaani mwanangu!, Yule mtaalam ni kiboko, Yani hata lisaa halijafika, kitendo tu cha Turi kunywa maji , Yani kila kitu kimejipa looooh!, lazima nimpelekee kuku yule babu mweeeh!".

Vero naye akamjibu Mama yake, " daah !, mama we hatari, sasa yule Babu alikuonesha nani!?,
eti mpaka Amani anasema Bora angenichumbia mimi!, yaani siamini mama, mmmmmh!".

Mama Vero Akasema, " umeona sasa , ndo maana nilikuambia usijafanye huruma, wewe hujazaliwa naye tumbo moja yule,
wanaume wenyewe siku hizi wachache , huo wakati wa kuringa unautolea wapi!?, sasa hii ndo fursa yako usilembe".

ITAENDELEA...,

JE WAJUA kwamba unaweza kukamata sms za mwenza wako anazochart na watu wake na ukazisoma kupitia simu yako bila yeye kujua??

Kwa huduma hii ya sms tracking ncheki whatsapp 0710204647 nikuunge kwenye group letu

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! ( Part 6)



ILIPOISHIA...,

Baada ya Turi kuwasili kwa mama yake , alikaribishwa kwa tabasamu nzito la Mama Vero pamoja na Vero mwenyewe ,
mpaka Turi alihisi hofu moyoni mwake, maana isingeweza kuwa rahisi kiasi hicho kwa mtu ambaye aliyemzoea miaka mingi na hata baada ya kupewa pesa bado alionyesha kinyongo,
sasa inawezekanaje amchekee mapema kiasi hicho!?.

Lakini,
Turi alijipa moyo na kuomba mungu amsaidie maana yeye ndiye mjuzu wa kila shari na kheri.

Alipofika hadi ndani, mama Vero haraka haraka kuriko kawaida, akamkaribisha Turi maji ya kunywa,
" karibu maji haya mwanangu Turi, maana na joto hili duuuuh!, ebu ona unavyo vuja jasho , Loooh!...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/walimwozesha-na-chizi-kumbe-ni-tajiri-part-6

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi walimwozesha-na-chizi-kumbe-ni-tajiri-part
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 5)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 5)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 4)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI!(Part 4)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 3)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)
πŸŽ™οΈ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)
πŸŽ™οΈWALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 2)
πŸŽ™οΈWALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part 2)
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

359
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

322
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

248
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

211
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

159
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

153
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

153
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

146
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

143
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

105

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest