ONE NIGHT ONE MISTAKE*❤ *1---2* *_____________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Kulikuwa na maandalizi ya ukumbi ambao kulikuwa na maonyesho ya kibiashara. Salsabil msichana mrembo
Baada ya maandalizi watu wote walikaal pembeni kumsubiri mgeni rasmi ambae watu wengi hawakuwa wakimjua.
Jamani kila mtu akae kwenye nafasi mgeni mgeni rasmi amefika magari yameanza
kuingizana huko. Alisema msichana mmoja anayeitwa Amina na kila mmoja alienda kukaa kwenye nafasi yake. Salsa alipokuwa anaenda kwenye sehemu yake
aliitwa.
"Salsa hebu katoe kile kikopo cha rangi pale. Salsa alienda kuchukua bakuri ya rangi ambayo ilikuwa inatumika kucholea michoro na maandishi ya kumkaribisha mgeni. Wakati anarudi kwa haraka alijikuta anavamiana na mtu na ile rangi ikawamwagikia wote wawili.
Kwani ulikuwa unaangalia wapi angalia sasa ulivyonichafulia nguo yangu nyeupe. Aliongea salsa bila kumjali kuwa kamchafua na huyo anamlaumu.
Yule mtu alinyamaza kimnya akiangalia suti yake ya gharama jinsi ilivyochafuliwa na ile rangi nyekundu.
Salsa aliponyanyua uso wake alikutana na sura ya kijana mtanashati mwenye sura ya kuvutia alibaki mdomo wazi kwa kuduwaa.
Yule mwanaume alimuangalia machoni huku kila mtu akiwa anaangalia jinsi walivyokuwa
wanaangaliana. Fumba mdomo nzi wataingia. Alisema yule kijana huku akimuangalia usoni na salsa akifumba mdomo wake haraka. Unatakiwa kuwa makini unapokuwa
unatembea ona sasa hasara kwetu umechafua
nguo yako na mimi nimechagua nguo yangu na nilipangiwa kuwa karibu na mgeni rasmi sasa kila kitu kimeharibika shauku yangu imeishia hapa.
"Masikini pole sana. Aliongea yule kijana huku
akimsikitikia
Afadhali kama hiyo pole yako Ingekuwa na msaada lakini haisaidil chochote ni kelele tu kwangu.
Salsa alitaka kuondoka lakini yule kijana alimshika mkono. Salsa akamuangalia usoni. *Vipi tena?
"Unaitwa nani? "Sidhani kama ni muhimu kujua jina langu. Naitwa Romex.
"Hongera kwa kwa kuwa na jina la kishua kama hilo ila mimi sina muda wa kuendelea kukusikiliza sababu kuna mtu muhimu anakuja hapa.
Mara alifika boss wa ila kampuni na kumkaribisha yule kijana kwa heshima, tu Karibu mr Romex ulikuwa unasubiriwa wewe
Salsa alishituka kusikia boss wake akimkaribisha kwa heshima "mmmh mbona boss anamkaribisha kwa
heshima inamaana ni mtu wa muhimu hapa? Meneja alipoangalia vizuri akaona salsa na Romex walikaa wamechafuka kwa rangi na salsa akiwa kamshikilia kikopo cha rangi.
"Salsa nini hiki? Aliuliza boss
"Aaa ni ajali ndogo imetokea.
*Salsa wewe sio muangalifu hata kidogo kwani ulikuwa huoni?
"Nisamehe boss ilikuwa ni haraka na imetokea. bahati mbaya.
"Usijali salsa chukua koti langu nenda kafue.
Romex alivua lile koti na kumpa salsa. Salsa aliondoka huku akiwa analalamika. "Sasa mimi nafuaje hizi rangi kiti lenyewe linaonekana zito sana.
Salsa alienda kufua lile koti lakini ilikuwa ngumu sana ile rangi kutoka. Alichukua muda mrefu sana kulitakatisha.
Wakati anamalizia mara alikuja msichana mmoja.
"Bado haujamaliza tu?
"Bado haikuwa kazi rahisi, rangi ilikuwa ngumu sana kutoka. *Pole.
Kwani yule kijana ni nani?
Ni mtoto wa hii kampuni amekuja badala ya baba yake na inasemekana yeye ndio mrithi wa hii kampuni.
"Weeee... Sasa itakuwaje?
"Kuwaje kivipi? Sikuongea nae kwa adabu na wala sikujua kama anaweza kuwa mmiliki wa kampuni.
"Umzaniae sir kumbe ndie. Inaweza kuleta shida kwangu natamani. kumuomba msamaha.
"Sijui kama unaweza kupata nafasi ya kukutana nae maana atakuwa Bize sana na maswala ya kazi.
Kesho Yake asubuhi wakiwa kazini mara aliingia Romex akiwa na bodyguard wake, alipita karibu na meza ya salsa alimuangalia na kuachia tabasamu la mbali kisha akapita zake na kwenda ofisini kwa boss Ivan. wakati huo moyo wa salsa ulikuwa ukidunda kwa kasi.
Uuuuh nimeshiriki sana sasa namuogopa sijui atatoa maamuzi gani kuhusu kauli zangu za Jana.
Baada ya muda Romex alitoka ofisini akiwa kaongozana na Ivan huku wakiwa wanaongea mambo yao
Yule mlinzi wa Romex alimfuata salsa
"Habaril
Salama... Salsa aliitikia kwa hofu huku akimuangalia uso.
Nina maagizo kutoka kwa boss Romex. Salsa kusikia hivyo moyo wake ulipasuka akajua
anaenda kupokea taarifa mbaya. "Leo jioni kwenye hoteli ya Silver hotel kutakuwa na sherehe hivyo itatakiwa kuja na lile koti. Sawa, sawa nitakuja nalo hata hivyo
limeshakauka na rangi yote imetoka..... Salsa aliongea maneno mengi yule mlinzi hakuwa na muda wa kumsikiliza aliondoka. Salsa alishika mapigo ya moyo wake kisha akashusha pumzi
Uuuuh... Huu mdomo utakuja kuniponza jamani.
Aliendelea kufanya kazi mara boss wao mr Ivan alirudi na kutoa tangazo kuwa siku hiyo watu
watatoka mapema kwaajili ya kwenda kufanya maandalizi kwaajili ya sherehe. "Ceo Romex amefurahishwa na utendaji wa kazi na kampuni imefanya vizuri kutokana na jitihada
zetu na kujituma hivyo basi ameamua tukajipingeze kwahiyo leo kuanzia muda ya saa moja jioni tutaenda kusheherekea mafanikio yetu kwenye hotel ya Silver hotel. Wafanyakazi wote walifurahi.
Ilipofika jioni Salsa alikuwa chumbani kwake alichagua nguo ya kuvaa, alitoa nguo nyingi na
kujaribisha. Alichukua gauni moja ya rangi pink. "Hii itafaa huwa inanikaa vizuri. Baada ya kufanya maamuzi alianza kujiandaa huku akiwa amekaa mbele ya kioo cha dressing.
table.
Baada ya kufanya maandalizi alichukua koti la Romex akiweka vizuri kisha akatoka kwenda kuchukua usafiri.
Wakati anaelekea hotelini kulikuwa kuna foleni sana barabarani hivyo kusababisha kuchelewa sana kufika kwenye eneo la sherehe.
Chapter 2
Alipofika alikuta ukumbi imechangamka sherehe ilikuwa imefana, kulikuwa na nyama za kutosha pamoja na vinywaji huku bufee ikiwa pembeni. alienda kukaa sehemu huku akiwa anasubiri mtu wa kwenda kuchukua lile koti.
Kwa upande wa Romex alikuwa amesimama sehemu akila nyama. Alimsogelea mlinzi wake
na kunnongoneza. Fanya maarifa si unajua siwezi kulala bila kupata mrembo.
Najua hili boss marekebisho sasa hivi. Sawa lakini ningempata Merry ingekuwa poa sana.
Mlinzi alisogea pembeni akatoa simu na
Sawa usijali
kumpigia mtu. Wakati huo watu waliendelea kula na kunywa.
Salsa alikuwa anakunywa juice tu. Wewe kwani ni mgonjwa? Mmoja aliuliza
Mimi mzima sina ugonjwa wowote.
Sasa mbona unajijaza juice kama mtoto mdogo?
"Unataka ninywe nini sasa? Kunywa vinywaji vya wakubwa achana na soda sijui juice.
Salsa hakukubaliana na ushauri wa wenzake lakini alipoenda chooni walimtilia wine kwenye kinywaji chake.
Baada ya kurudi alikunywa kidogo mara mlinzi wa Romex alipita karibu na alipokuwa amekaa.
Salsa alinyanyuka huku akiwa na lile koti. Mr.... Aliita. Hivyo sababu hakujua jina lake na yule mlinzi waligeuka kumuangalia.
Samahani nimekuja na koti la boss Romex.
Sawa, lakini kwa sasa nina kazi kidogo naomba uende mapokezi kawaambie nimekutana funguo ya chumba cha Romex alafu upeleke hili koti.
Salsa alisita kidogo lakini kwakuwa ni boss hakutaka kuleta ukaidi alikubali. Taratibu alielekea upande jengo kubwa la
ghorofa ambapo ndio kulikuwa na vyumba vya kulala. Alifika mapokezi. Habari dada.
Salama.
Nimeagiza funguo ya chumba cha Mr Romex.
Muhudumu akitoa funguo. Nenda chumba namba 97. Chumba kipo ghorofa ya 3.
Sawa, asante.
Salsa alipokea ule ufunguo kisha akaenda kupanda lift na kuelekea huko.
Alipofika ghorofa ya tatu alitoka kwenye lift na kuanza kutafuta chumba namba 97. Alipokiona
alifungua na kuingia ndani. Kulikuwa na mwanga hafifu sana hakuona haja
ya kuwasha taa alijua anaweka tu na kuondoka. Aliweka koti kitandani wakati anataka kutoka alihisi kitu kimeanguka chini, aliushika kwenye
masikio yake akagundua ameangushwa heleni yake moja.
"Heleni imeanguka, sijui taa zinawashiwa wapi? Aliangaza macho hakuona sehemu ya kuwashia taa akawa anapapasa chini kwa kubahatisha kama ataiona.
Wakati huo mlinzi alimfuata Romex.
Boss Merry ameshafika nimemwambia atangulie chumbani.
Romex aliachia tabasamu. Safi sana naenda sasa hivi.
Kwa upande wa Merry alikuwa ameshika kwenye taxi akawa anaingia hotelini lakini kabla hajafika.
hata mapokezi akakutana na mtu ambae
wanafahamiana nae na walipotezana siku nyingi. Walisomea pembeni wakawa wanaongea
na kupeana namba za simu. Romex aliondoka taratibu pale kwenye sherehe
na kuelekea chumbani. Wakati huo Salsa alikuwa ametafuta na kuona
anafanya kazi bure bila kuwasha taa, alisimama na kuangaza kama ataona sehemu ya kuwashia taa. Mara ghafla alikumbatiwa kwa nyuma
alishituka na kutaka kuongea lakini alisita baada ya Romex huanza kumbusu shingoni. Kutokana na harufu ya marashi salsa alijua kuwania
Romex. Salsa alijitahidi kugeuka ili wasngaliane usoni
lakini Romex hakuna hiyo nafasi Tulia Merry nilikuwa nina hamu sana na wewe,
nitulize kwanza mama mambo mengine badae. Alimnyanyua na kwenda kumlaza kitandani nа kutaka kumtia nguo zote lakini salsa alizuia.
Sawa kama leo umeamua kunukia na staili hii.
Kilikuwa ni kitendo cha haraka sana Romex alimuingilia salsa Salsa alikuwa anatetemeka huku jasho likimtoka kuna muda aling'ara neno yake kama vile anahisi maumivu, alimsukuma Romex lakini haikuwa rahisi kumtoa juu ya kifua.
chake. Baada ya kumaliza salsa alinyanyuka na kutoka
haraka Wewe unaenda wapi sasa? Romex aliuliza huku aliwasha taa za pembeni ya kitanda lakini
hakufanikiwa kumuona. Alinyanyuka kitandani na kuwasha taa yenye mwanga mkali.
Huyu vipi? Akiwa bado anajiuliza Merry aliingia huku akiwa na tabasamu.
Romex alishangaa na kuuliza
'Wewe umekuja saa ngapi?
Ndio nimeingia sasa hivi. Akili ya Romex ilianza kuzunguka alijua yule mwanamke hakuwa Merry.
Akienda kukaa kitandani na kujisimamia.
Kuna nini boss wangu? Merry aliuliza huku akimfuata pale kitandani Merry alipoangalia kitandani aliona doa la damu kwenye shuka pamoja na nguo ya ndani ya kike.
Merry alicheka na kumfanya Romex anyanyue kichwa kumuangalia.
"Unacheka nini?
Naona bikra hakufikishwa popote amekimbia na kuacha chup "Unaongea nini wewe?
Merry alimuonyesha kwa macho hapo ndipo Romex akageuka kuangalia akaona damu na
Huyu mwanamke alikuwa ni nani?
Romex aliuliza kwa sauti.
Hujui hata mwanaume ukielala nae? Merry aliuliza lakini Romex hakujibu.
nguo ya ndani.
Uhuni umekuzidi mpaka unalala na majini. Wewe Merry angalia kauli yako, chunga huo
mdomo wako. Romex aliongea kwa ukali. Merry alichukua pochi yake na kuamua kuondoka akamuacha Romex kwenye mshangao na5:45
Full 1000
Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni