Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
01 Oct 2025
30 views
VYOTE NDANI GONGA94
ONE NIGHT ONE MISTAKE* *11 *_______________________________________* Meena aliwapigia simu wazazi wake na kuwaelezea hali ya Salsa hizo habari
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ziliwashitua sana na kuwaumiza lakini haikuwa na jinsi walimsamehe lakini walimtaka binti yao arudi nyumbani pindi atakapokaribia kujifungua.
Meena alikaa na Salsa kwa siku chache kwaajili ya kumuangalia.
Ndani ya moyo wa Romex haki haikuwa shwari hata kidogo hasa pindi alipomuona Salsa alitamani hata kwenda kumsemesha.
Kuna siku Romex alikuwa amekaa sehemu. akawa anamuangalia sana Salsa Lilian
alitambua hilo.
Romex unajua nashindwa kukuelewa, hivi kwanini unaniangalia sana yule mjamzito? Romex alimuangalia kisha akamuuliza
"Una hisi wivu au?
"Wewe ni mchumba wangu sasa na sifikiri sijul chochote kuhusu wewe na yule mfanyakazi wako.
"Unajua nini?
"Alikuwa mwanamke wako.
Romex alicheka kidogo
Nilijua watakujaza ujinga tu. Salsa hajawahi kuwa mwanamke wangu ni rafiki hili liwekwe
akilini mwako
"Sawa lakini kuna hisia za mapenzi kati yenu.
"Leo umeniamulia au?
Nakwambia ukweli sababu nimechoka kuvumilia kuona unamuona mwanamke wa muhimu kuliko mimi, haujawahi kuniangalia kama unavyomuangalia yeye.
"Mmm naomba angalia nafasi yako kwangu, sahau kuhusu wengine pia acha kusikiliza maneno ya pembeni.
Siku moja baada ya kutoka kazini Romex alienda kukaa sehemu huku akiwa anatafakari mambo
yake hasa kuhusu yeye na Salsa. Alijikuta anakumbuka mambo ya zamani na kujikuta anatabasamu mwenyewe
"Leo siwezi kuvumilia kukaa mbali nae acha. niende nikamuone hata mara moja tu.
Akienda kupanda kwenye gari lake na kuelekea
nyumbanibkwa Salsa.
Alipofika kwenye mlango wa chumba chake alikuta mlango upo wazi, alijaribu kubisha hodi lakini hakuitikiwa, taratibu aliingia ndani na kuangaza macho kwenye kila oembe ya kile chumba, kisha taratibu alisogea karibu na dressing table ndogo iliyokuwepo pale ndani kwaajili ya kujiangalia kwenye kioo lakini ghafla jicho lake lilitua pembeni ya dressing akiona hereni ya dhahabu iliyokuwa imefanaba na ile hereni aliyokuwa nayo.
Aliuchukua na kuanza kuiangalia kwa makini. "Inawezekana vipi hii hereni imefika hapa? Unamaana Salsa alichukua kutoka kwangu bila mimi kujua?
Romex alianza kujipapasa kwenye mifuko ya
Suruali lakini hakuona ile hereni. Hapana inakuwaje salsa aichukue, na
ameichukua lini?
Wakati amesimama mbele ya dressing table akijiuliza maswali na kutafakari huhzsuvile hereni, salsa aliingia kutoka bafuni huku akiwa kajifunga kanga moja kifuani. Alishituka sana kumuona Romex ndani kwake. Romex.. aliita na Romex akageuka
kumuangalia huku wakiwa wanaangalia usoni. Kwa sekunde kadhaa waliangaliana huku maji yakiwa yanaondoka mwilini kwa Salsa "Romex unafanya nini hapa? Salsa aliuliza huku alimsogelea na Romex alishikilia ile hereni
kwenye kiganja cha mkono ili salsa asiione. Samahani nilikuwa sina sehemu ya kwenda nikaamua kuja kusalimia.
"Kumuangalia tu au kuna jambo lako?
"Jambo gani sasa? Utajua mwenyewe maana kama kuniona tulishaonana kazini.
"Kazini na hapa ni viti viwili tofauti.
Salsa alitulia kimnya, Romex alimuangalia kisha
akasema Kwakuwa upo sawa basi acha nikuachie
tutaonana wakati mwingine. Romex aliondoka na kumuacha salsa akiwa
bado kasimama huku akishangaa ujio wake wa ghafla.
"Kumbe hawezi kuishi bila mimi eee. Sasa mimi sitaki aende hukohuko kwa Lilian wake aliyechaguliwa na wazazi wake.
Romex aliendesha gari kuwahi nyumbani kwake alikuwa na shauku sana ya kujua ukweli kuhusu ile hereni maana hakuwa na uhakika kama Salsa alichukua hivyo alitaka kujihakikishia kwa kwenda kuitafuta Aliangalia ile hereni aliyochukua kwa Salsa na kuiangalia vizuri. Yani ni kama hii, ipo hivihivi. Acha nifike nyumbani nitajua ukweli.
Baada ya muda akifika nyumbani kwake alishuka haraka kwenye gari na kwenda chumbani kwake. Alienda moja kwa moja kwenye droo ya kitanda, alifungua na kukuta ile bahasha aliyokuwa anahifadhia ile hereni. Alichukua na kuifungua, alikuta ile hereni ipo na sasa mkononi kwake alikuwa ameshika hereni mbili zinazofanana.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in ...
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact....
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sud...
ONE NIGHT ONE MISTAKE* *11 *_______________________________________* Meena aliwapigia simu wazazi wake na kuwaelezea hali ya Salsa hizo habari
ziliwashitua sana na kuwaumiza lakini haikuwa na jinsi walimsamehe lakini walimtaka binti yao arudi nyumbani pindi atakapokaribia kujifungua.
Meena alikaa na Salsa kwa siku chache kwaajili ya kumuangalia.
Ndani ya moyo wa Romex haki haikuwa shwari hata kidogo hasa pindi alipomuona Salsa alitamani hata kwenda kumsemesha.
Kuna siku Romex alikuwa amekaa sehemu. akawa anamuangalia sana Salsa Lilian
alitambua hilo.
Romex unajua nashindwa kukuelewa, hivi kwanini unaniangalia sana yule mjamzito? Romex alimuangalia kisha akamuuliza
"Una hisi wivu au?
"Wewe ni mchumba wangu sasa na sifikiri sijul chochote kuhusu wewe na yule mfanyakazi wako.
"Unajua nini?
"Alikuwa mwanamke wako.
Romex alicheka kidogo
Nilijua watakujaza ujinga tu. Salsa hajawahi kuwa mwanamke wangu ni...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/one-night-one-mistake-11-_______________________________________-meena-aliwapigia-simu-wazazi-wake-n
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi one-night-one-mistake
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio
ONE NIGHT ONE MISTAKE 17&18* Romex hakuwa sawa kabisa alimkagua mama yake *Vipi wewe na baba hajajeruhiwa?
ONE NIGHT ONE MISTAKE _____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Siku ya pili yake Saisa na Romex walikuwa madukani wakifanya manunuzi ya vitu vya mtoto wao ikiwemo nguo, midoli...
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 13 Romex alikuwa na wasiwasi alihisi huenda Lilian akawa amesikia
ONE NIGHT ONE MISTAKE 07****08 Rose alienda kununua vitu vyote akivyoagiziwa na kupeleka ofisini kwa Boss.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 10 Baada ya dakika kadhaa Romex aliwasha gari akaondoka na kuelekea mgahawani. Alimkuta
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 9 Baba Ake Romex alikubali na ombi la mtoto wake. *Sawa acha tukupe muda wa kuzoeana nae.
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 15 Baada ya sauti nzito ya baba yake Romex kimnya kilitawala, Mama yake alikuwa bado ameshikilia kanga yake mkononi.
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ Chapter 5 Ukali wa Romex ulimfanya achanganyikiwe, Salsa Romex alimshika mkono na kumuangalia usoni kwa macho ya hasira lakini Salsa alikuwa na wasiwasi sana
ONE NIGHT ONE MISTAKE❤ chapter 4 Siku zilienda na kazi ziliendelea kama kawaida Salsa alijua Romex kaamua kupotezea nae hakuona haja ya kujielezea
ONE NIGHT ONE MISTAKE ____________________________________* *SEHEMU YA SITA* Siku Iliyofuata Salsa alienda kazini akiwa na shauku ya kusema
ONE NIGHT ONE MISTAKE🍎 Chapter 3 Salsa hakuwa na furaha ya kukaa kwenye sherehe moja kwa moja alielekea getini kwaajili ya kuondoka, alipofika nje ya hotel alichukua...
ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 14 Maswali yote aliyoulizwa Romex hakuna hata moja ambalo salsa alijibu. Romex walinyoosha mkono wake akamgusa
ONE NIGHT ONE MISTAKE*❤ *1---2* *_____________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Kulikuwa na maandalizi ya ukumbi ambao kulikuwa na maonyesho ya kibiashara. Salsabil msichana mrembo
Maoni