8--9 MADAM NIPE KIDOGO BASI 💋
Basi ikaonekana kama Yule nurse alikuwa anapitia changamoto nyingi sana kwenye mahusiano na maisha yake, na Yule kijana ambae ndio Kendrick akawa anazitatua, na mwisho wa siku akamfata na kumtongoza tena, safari hii hakukataa akakubali na wakaanza kuwa na mahusiano, na Yule mwanamke alishangaa kumuona kijana mdogo ambae alikuwa anahisi kama hajakuwa hivi kama mtu ambae amepevuka kiakili sana, na anafaa kuwa mume kuliko hao wanaume ambao alidhani ni sahihi kwake, na huo ndio ukawa mwisho wa igizo, na baada ya igizo kuisha Kendrick akachukua mic kisha akasema…
“ sijawatukana na wala sijawadhalilisha walimu na wazaz wangu kwa kuleta igizo la mahusiano, nimeleta igizo hili nikiamini maswala ya mahusiano ndio maswala ambayo yanapendwa sana kwenye zama hizi, hivyo ingekuwa rahisi sana kueleweka kuliko ambavyo ningefanya namna nyingine yoyote ile….
”Ila funzo ambalo tulitaka kulitoa kwenye igizo ledtu ni kuwa, kwanza usimdharau mtu, kutokana na udogo wala ukubwa wake, au kutokana na kutokusoma au ufupi wake, au kutokana na kitu chochote kile, maana Baraka ya maisha yako na mafanikio yako, yanaweza kuja kwa mtu ambae haujawah hata kumfikiria hata mara moja…………
Kila mtu alipiga makofi, na wakaanza kumpongeza, ni kweli aliongea kitru cha msingi sana, ila sikudhan kama alifanya lile igizo bila sababu, akili zangu zikanituma kuwa alikuwa amefanya vile kwa sababu yangu, kwa sababu alitaka na mimi niaminiu kuwa umri ni namba tu, nay eye anaweza kuwa mwanaume bora sana kwenye maisha yangu, kitu ambvacho akili na ubongo wangu bado uliendelea kukataa kabisa..
Basi baada ya igizo kuisha shughuli nyingine za maswala ya mahafali zikaendelea, kuna muda nikawa nimekaa zangu najipiga zangu picha sina hili wale lile, mara nikashangaa namuona mwanafunzi anakuja kuniita na kunambia naitwa na wazaz wake Kendrick, nikanyanyuka maana nilikuwa nimekaa kisha nikaenda walipo, walikuwa wamechukua moja ya darasa kisha wanamalizia mahafali huko, nikashangaa napewa zawad, kuangalia ilikuwa ni handbag, zile za DIOX yaan ilikuwa nyeupe, kisha mama yake akaanza kusema kuwa “ mwanangu Kendrick amekuwa akikusifia sana kuwa umekuwa na mchango mkubwa sana kwenye masomo yake, umempa moyo sana na kumpa moyo wa kusoma ambao mwanzo hakuwa nao kabisa, amejichanga ilia kununulie zawad za kimjini, amemjuagiza hii pochi shangazi yake yupo daslam, hio sio pochi ya bushi hio mwanangu, akamalizia kusema mama yake Kendrick na nikaipokea, ila wakati wote huo Kendrick alikuwa ananiangalia kwa jicho flani hivi la matamanio ila sikumjali kabisa yaan…
Basi maafali yaliisha na pale walikuja wageni kadhaa kwenye maafali kuna mwamba mmoja alionekana kunielewa, katika story za hapa na pale si nikampeleka kwangu, sijui ndio nilikuwa nawashwa au nini, au ndio kwakuwa sikuwa nimefanya muda mrefu kuna namna nikawa kama nataka hogo, hapo hata mtu mwenyewe simjui….
Mimi ni mtu wa vyombo, nikaagiza bia mbili tatu, ambazo tutashushia tukiwa tunaendelea kupiga story za hapa na pale…
Nikaanza kulewa, sijui hata ilikuwaje, maana nikaja kuanza kusikia msisimko wa ajabu sana, kuanzia hapo sikuwa najua kimetokea kitu gani, nimekuja kuamka asubuh, kwenye maumbile yangu kuna mbegu za kiume, ni dhahiri kuna mtu alinilala, kwa akili za kawaida nikajua kuwa ni Yule mwanaume ambae nilikuja nae, ila nilijisikia vibaya sana, maana hata kama lakin ndio anilale alafu aondoke bila hata kuniaga, nikaona kama sio sawa kabisa, nikiwa naendelea kutafakar mara mlango wangu ukaanza kugongwa, akaingia Kendrick…
“ nimekuletea mikate, mayai, na kuna godo nimemuagiza akuletee maziwa, maana najua lazima utakuwa umechoka sana kwa shughuli ya jana, kwa akili zangu za kawaida nikajua shughuli ya jana ni swlaa la maafali, hivyo nikajibu tu asante sana, unaweza kwenda sasa, nikashangaa mwamba haondoki, kisha akanisogelea kwa mahaba sana kisha akanambia “ samahan ila nataka tena…
ITAENDELEA……..
MADAM NIPE KIDOGO BASI 9
Nilimuweka bonge la bao, maana sikumuelewa, anataka tena anataka nini, akasogea pembeni kisha akaniangalia na kusema “ ni lini ambapo utaniona na mimi kama mwanaume na ukajali hisia zangu, na ukanipenda kwa moyo wako wote, naomba unambie ni lini, maana naona kama nachanganyikiwa kila siku kukubembeleza, na wakati unajua kabisa kuwa mimi ni mwanaume kama ambavyo wanaume wengine walivyo, na sio siri nakupenda kuliko maelezo, na nimeshakuwa madam naweza hata kukuzalisha….
Niliona kama ameanza kunivunjia heshima,nikaanza kumtimua, ila hakutaka kuondoka, ila alipoona kelele zimezidi akaniangalia kwa sekunde kadhaa na kusema “ wewe ndio umenifundisha mapenzi, miguno na utamu wako naapa kwa jina la mama yangu utakuwa wangu milele, kisha akaondoka zake…
Nikaona hiki kitoto kinajiamini nini, yaan anajiamin kabisa na kusema kuwa mimi daima nitakuwa wake, labda nitakuwa wake kivipi, maana sikuona namna yoyote ile ambayo ingeonesha kuwa mimi naweza kuwa wake…
Kendrick hakuacha kunisumbua, akawa ananiletea mboga kila siku, kila mwisho wa mwezi nakuta kilo kumi za mchele, unga wa ugali, unga wa ngano na sukari, alafu hasemi kitu, yaan navikutra mlangoni, mwanzo nilikua naviacha nikijua kuwa anakuja kuvichukua ila hakuwa anakuja kuchukua ikabidi nitumie tu…
Maisha yakawa yanaendelea, kiukweli ingawa alikuwa mtoto ila alikuwa ananisiadia vitu vingi sana huenda mtu mzima mwenzangu asingeweza kuvifanya, alikuwa ni zaidi ya mwanaume, maana alikuwa anaendesha pikipiki na hesabu yake ya kila siku alihakikisha ananinunulia mboga, mshahara wangu haukuwa unatumika kabisa, ingawa ilikuwa kwa siri sana, ila mpaka kodi alikuwa ananilipia, kiasi kwamba nikawa nipo tu na nimeshazoea kupokea vitu kutoka kwa Kendrick….
Basi maisha yakawa yanaenda, na hatukuwa tunazungumza, ila alihakikisha wakati wote nakuwa salama na ninapata kila ninachokitaka, tena kwa wakati kabisa…
Matokeo yalitoka na akachaguliwa kujiunga na kiudato cha tano katika shule ya tabora boys, nilifurah sana maana niliona kama ndoto yake inaenda kutimia na huenda akakutana na mwanamke wake ambae anamtegemea na ambae atakuwa saizi yake…
Basi siku zikaenda, siku moja akaja kuniaga, nilishangaa ananipa elfu hamsini kisha akasema, “ jichunge maana naenda kutafuta kwa ajili yetu, na nakuahidi kuwa nitahakikisha nakutunza na kukutumia pesa ya matumizi, nilishangaa sana, maana niliona kama kitu kisichowezekana kabisa, yaan inawezekana vipi anitumie pesa ya matumizi, na wakati hata yeye mwenyewe ndio kwanza alikuwa anaenda shule…
Sikutaka kubishana nae, nikaona ndio anaondoka zake, hivyo huenda tusisumbuane tena, ila kumbe nilikuwa najidanganya, maana alishanipenda, na kama tunavyojua mtu wa kwanza kumuweka moyoni namna ambavyo ni ngumu sana kumtoa…
Akaenda shule na mimi maisha yangu yakawa yanaendelea kama kawaida, mwezi wa kwanza ukapita, sijasikia habari za Kendrick, na kwakuwa hakuwa kwenye mipango yangu, nikaanza kumsahau na kujiaminisha kuwa natakiwa kumtafuta mwanaume wa hadhi yangu na umri wangu….
Basi nikawa naenda kazini kama kawaida, na majukum yangu ya kila siku yakawa yanaendelea kama kawaida, nikawa najiambia kuwa natakiwa kujipumzisha nisiingie kwenye mahusiano, maana huenda nakurupuka ndio maana nakutana na watu wa ajabu, ila lait kama ningekuwa sikurupuki huenda ningekutana na mwanaume sahihi sana wa maisha yangu…….
Siku zikaenda na mwezi ukapita bila kuona siku zangu, sikuwaza sana, maana sikuwa nakumbuka hata kama nilisha cheza michezo michafu, mwezi wa pili nao hola, nikaanza kupata wasiwasi, siku moja nikaenda zangu zahanati, nikajiambia hata kama najiamin kuwa sina mimba ila nikapiume tu mimba, sikuamin majibu maana nilikutwa nina ujauzito wa miezi miwili……
Yule mwanaume ambae nilikuwa nae kwenye siku ya mahafali sikumuona tena na wala namba yake haikuwa inapatikana, nilihisi kuchanganyikiwa maana niliamin kuwa mimba itakuwa ni yak wake, maana ndio mtu wa mwisho nilieenda nae nyumban kwangu, na kweli siku hio niliamka nikiwa nina mbegu za kiume, ni dhahiri alinilala…
ITAENDELEA…
Full 1000
Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi









Maoni