Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

CHUMBA CHA MPANGAJI 10

15th Jun, 2025 Views 220

?CHUMBA CHA MPANGAJI 10
ILIPOISHIA.....
" "" " Inamaana huyu Dada ni usalama wa Taifa..??? Aliongea Saidi na haraka alianza kurudisha vitu kwenye Begi kwa hofu...

Baada ya kuona begi lipo sawa kama alivyoikuta mwanzo.
Saidia litoka na kurudi sebuleni, alikaa huku anachezea mito kama alivyojifanya kichaa huku anacheka kwa mtego walio muingiza Nasra...

"""" Chunga Saidi usije ukawa wewe ndio unategwa, Aliwaza saidi na kujikuta anacheka hadi akajilaza kwenye kochi..

Akiwa bado amejilaza, ghafla alisikia honi ya Gari inalia njee ya geti,

Kwa haraka saidi aliinuka na kujiweka Rafu upesi kisha kuanza kuvuruga vitambaa vya kwenye kochi kisha kurudisha Chaneli ya Mziki aliyoiacha Nasra asubuhi..

Saidi alitoka njee huku anaruka ruka na kujichekesha kama mwehu kabisa..

Wakati huo Nasra alikuwa ameshashuka kwenye Gari na alikuwa anajifungulia geti mwenyewe baada ya kuona Saidi hatoki ndani..

******
"" "" Dadaaa daaaada huyooo katoka Shuleni na mfuko wa Daftari uliojaa chaki za kuandikia kwenye ubao wa chuma wenye rangi nyeupe..

Aliongea Saidi na Nasra alikuwa akitabasam tu baada ya kuona saidi yupo nyumbani na ametii amri yake ya kuto toka na kwenda popote...

"" "" We dogo acha uongo.. Chaki nyeupe itaandikiwa vipi kwenye ubao mweupe bana.. Alafu Saidi umezidi uongo mdogo wangu...
Sema leo umenifurahisha sana kuto toka.. Kuna zawadi nimekuletea...
Aliongea Nasra kisha kutoka njee na kuiingiza gari lake.

Aliipaki vizuri kisha kwenda kufunga geti....

Kisha aliingia kwenye Gari na kuchukua kibahasha kidogo pamoja na mfuko wenye vyakula...

Kulikuwa na mikate pamoja na matunda na mazaga zaga mengine ya kupika..

Saidi aliyapokea huku anajichekesha na kuingia nayo sebuleni..

Alifika na kuyamwaga chini kisha kuokota nyanya moja na karoti na kuanza kuvila kwa pupa..

"" " We saidi.. Acha ujinga. Haya okota upesi hivyo vitu kabla sijakuchapa.. Nakwambia fanya upesi sana uokote hivyo vitu na uvipange kwenye Friji....
Alongea Nasra na saidi alianza kuviokota kwa haraka na kwenda kuvipanga kwenye Friji...

" "" Kwanini unakula nyanya bila kuosha.. Utaumwa tumbo uanze kuharisha ujifie humoo chooni..
Aliongea Nasra...

******
"" "" Dada chiku.. Habari za huko shuleni kwenu.. Vipi nyota angavu ya Alfajiri uliiona huko.. Au haijafanya kazi kama ilivyo nyota ya magharibi usiku muda wa mwezi mwandamo kuchomoza.???
Aliongea Saidi na kucheka huku anaendelea kupanga vitu kwenye Friji..

"" "" Nimerudi mdogo wangu.. Pole najua unanjaa ndiomaana nimerudi upesi.. Siunajua nakupenda mdogo wangu na sipendi uteseke.??

"" " Nakuomba sana Saidi uwe msikivu kwangu.. Popote nitakapo kupeleka uwe tayari....

Nimetoka kazini na kuomba Ruhusa kwa kusingizia kuwa mama yangu anaumwa.. Nimekopa na pesa zaidi ya Milioni nane kwaajili ya kukuweka wewe sawa...

Tutazunguka kila mahali hadi hali yako iwe sawa mpenzi wangu... Mama yako amekuja na kuongea maneno makali sana..

Sipendi yule mama aendelee kuchukia, najua machungu ya mwana anayo yapata mzazi mara baada ya mwanae kupata tatizo...

Mama yako hana kosa na siwezi kumchukia kamwe...

Sasa ujiandae ukaoge.. Nimesikia kuna mganga Fulani maeneo ya Chang'ombe.. Nasikia yupo vizuri sana na atakusaidia..

"" "" " Saidi alitumbua macho baada ya kusikia habari za kwenda kwa mganga tena.. Aliogopa sana endapo atabainika kuwa alikuwa anaongopa mbele ya mrembo yule..

Hakujibu chochote Saidi.. Alianza kucheka tu mwenyewe na kujilaza chini kisha kuanza kukatika mithili ya watu wanaofanya mapenzi...

"""" Hahahahah.. Saidi hembu acha vituko bana.. Mimi naongea ya msingi wewe unaanza kuniletea habari zako za Hovyoo.. Aliongea Nasra na kuinuka kuingia ndani kwake ili akaoge...

Nasra alisukuma mlango wake na kuingia ndani kisha kuwasha taa..
Japokuwa ilikuwa mchana lakini kulionekana kagiza fulani kwasababu pazia zilikuwa zimeshushwa...

"" "" Mmmmhh.. Nasra aliguna kidogo na kurudi nyuma..
Alihisi kama huenda kuna mtu kapekua chumba chake....

Watu wa usalama wanakuwaga na machale sana..

Mara nyingi akiwa anatoka huwa anakariri kila namna alivyoacha chumbani kwake..

Aliangalia kitandani na kuhisi kama begi lake lilishushwa na kuwekwa pale kitandani..

Alianza kuvuta hisia na kuona kama kuna mtu aliishika bastola yake...

Kwa haraka Nasra alirudi nyuma ili atoke kumfuata Saidi..

Akiwa anatoka alikutana na Saidi kwenye mlango wa chumbani..

Kabla hajaongea kitu.. Alishangaa kabebwa na Saidi na kwenda kutupa kitandani...

"" " Dada chiku kwenye ubora wake na marumaru za Sebuleni jinsi ya mnato wa uso wake hadi anatamanisha...
Alijiongelesha saidi kama kawaida yake....

Nasikia mkia unawasha sana dadaangu... Aliongea Saidi na kuingiza mkono kuuchomoa muhogo wake..

Nasra alikuwa kama amelogewa kawenye Muhogo wa Saidi.. Alivyo uona tu alihisi hamu ya kuunyonya na kufanya mapenzi na mwanaume wake ampendae..

Nasra alisahau kila kitu na kujikuta anaanza kumvua mpenzi wake nguo huku anaitazama mashine ya Saidi iliyokuwa imesimama sana kwa muda ule..

ITAENDELA..

Full 1000
Whatsp 0784468229.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBA CHA MPANGAJI 10 https://gonga94.com/semajambo/chumba-cha-mpangaji-10 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 02.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DEAR DOCTOR 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MPANGAJI ... 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 01

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

Obi's Pain Chapter 1

mjukuu rewards 100 Comments 1
 

MSHANGAZI EPISODE 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MSHANGAZI EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

YAMENIKUTA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MIMBA YA BESTMAN 9

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINSI YA KUTUNZA UKE

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

PART 5 MY HEART

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest