Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26
Gonga94 ยท Stories

CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

????SEHEMU YA 25*

CHUMBA CHA MPANGAJI
"" "" Njia nzima alikuwa akimuwaza Nasra tu.. Alikuwa na hasira kupita kiasi.. Lengo lake kuu lilikuwa kujua kwanini Nasra kamuua Dalali sele.??

Rehema aliendesha gari kwanguvu sana..
Alifika hadi nyumbani kwa Saidi alipokuwa akiishi Nasra na kupaki gari..

Alisogea getini na kumkuta mama Fulani anabisha hodi pia....

"" " Shkamoo mama... Kwani Nasra hayupo.???
Aliongea Rehema...

" "" Marahaba mwanangu..
Yupo ndani, nimeita akaitika nadhani anakuja..
Aliongea yule mama....

****
Kweli Nasra alifika na kufungua Geti lakini Kabla hajatoa uso kujua nani alikuwa anagonga, Nasra alishangaa anakoswa na teke usoni kisha kurudi nyuma.

Rehema aliingia ndani ya Fensi na kuwahi kumshika Nasra..

"" " Kwanini umemuua Sele.???
Nakuuliza Nasra kwanini umemuua Sele..???
Aliongea Rehema kwa ukali huku anatokwa na machozi..

" "" Rehema umetumwa kwangu.?? Au umekuja tupimane nguvu Eti.. Hembu niachie upesi kabla sijakubamiza hapa....

Aliongea Nasra na kuuchomoa mkono wa rehema uliokuwa umemshika..

Yule mama aliekuwa anagonga geti, pia aliingia ndani huku anatazama kwa makini...
"" "" Mbona ni kama ngumi zinataka kupigwa asubuhi hii... ???????? Aliwaza yule mama na kucheka kimya kimya...

"" "" Nasra kwanini umemuua dalali sele nakwambia.????
Aliongea Rehema kwa ukali tena..

"" " Rehema naomba uondoke kwangu, nadhani umetumwa wewe.. Alafu muda tu nakuonaga unanitafuta we Rehema.. Unakuja kuniletea fujo nyumbani kwangu.. Nitakufanya kitu kibaya sasa hivi...
Aliongea Nasra pia..

" "" Mavi tu wewe.. Umfanye kitu kibaya nani.?? Aliongea Rehema...
Nitakupiga mbwa wewe nikuvunjevunje hiyo miguu yako kama spoku ya baiskeli mshenzi wewe..
Aliendelea kuongea Rehema..

"" "" Rehama nani anamguu Kama Spoku.?? Umetumwa kwangu leo.???
Sasa ngoja nikuonyeshe mshenzi wewe...

Nasra aliongea kisha kufungua kitenge alicho jifunga na kubaki na Taiti tu,
Nasra alikunja ngumi na kukaa sawa tayari kwa kukabiliana na Rehema..

Rehema alikunja ngumi pia na haraka alimfuata Nasra na kumtupia ngumi kama nne mfululizo ila zote Nasra alizikwepa..

"" " Nasra alirusha teke na kumkanyaga Rehema shingoni...

Rehema alipepesuka karibu adondoke..

Yule mama alikuwa pembeni anashangaa tu mkono unaopigwa pale..

Nasra alirusha tena teke lakini alimkosa Rehema..

Nasra alianza kurukaruka kama mchina kisha kukunja vyema ngumi...

Nasra aliruka na kumshika Rehema Shingoni.. Rehema alikabwa hadi mishipa ilimtoka.. Macho yalimtoka makubwa na mekundu sana..

Rehema alijikaza hadi akauondoa mkono wa Nasra shingoni kwake..

Kwa harka Rehema alirusha ngumi mbili na teke zito lililotua tumboni kwa Nasra....

Nadhani Nasra aliisikia ile teke tumboni kwasababu alijikunja na kujishika tumbo...

Rehema alitumia nafasi ile kurusha teke jingine lililotua vyema kwenye shingo ya Nasra...

Nasra alidondoka akiwa ameikamata vyema shingo yake huku analia.
Aliinua uso na kumtazama Rehema kwa hasira sana..

Rehema alisogea karibu na Nasra na kumkanyaga tena mgongoni kisha kumwambia..

"" " Kuwa makini binti.. Aliongea Rehema..

******
Muda huo Gari la Polisi lilikuwa limefika kwa Saidi ili kumkamata Rehema kwasababu ya kosa la kuvunja mlango wa mochwari....

Polisi walisukuma geti na kuingia..

Walikuwa wanaongozwa na Mkuu wa kituo cha Central pale mjini...

Askari walitangulia ndani na kumshika Rehema kisha kumfunga Pingu..

Wakati huo Nasra alijikaza na kuinuka kisha kujifunga kitenge vizuri...

Mkuu wa kituo yeye alikuwa wamwisho kuingia..
Alifika ndani na kukuta Rehehema ameshafungwa pingu..

"" "" ""
Yule Mkuu wa kituo alivyomuona tu Rehema.. Upesi aliweka miguu yake sawa na kupiga Saluti kisha kutoa Amri ya Rehema kufunguliwa pingu....

Askari walishangaa ni vipi Mtuhumiwa anapigiwa Saluti na Mkuu wao wa kituo...

"******
"" "" Samahani mkuu sikujua kama ni wewe.. Aliongea mkuu wa kituo cha polisi huku anamtazama Rehema..

"" " Mfungeni pingu huyu binti nimkute kituoni...
Aliongea Rehema na kumfuata yule mama aliekuwa amesimama pembeni anashangaa tu..

Wale Askari walimfunga pingu Nasra na kuondoka nae...

Rehema alimsogelea yule mama na kumshika mkono kisha kuingia nae ndani...

*SEHEMU YA 26*

******
"" " Mama ulikuwa unasemaje.??
Aliongea Rehema..

"""" Mwanangu mimi ni mama yake Saidi, nimekuja kumuangalia Mwanangu..

Mwanangu Saidi alikuwa anaumwa lakini siku mbili tatu hizi nasikia hakuonekana..
Ndiomaana nimekuja ili nimuulize huyu binti....
Aliongea yule mama....

" "" Mama, mwanao yupo kwenye mikono salama.. Usiwe na hofu mwanao yupo kwenye uangalizi wangu kwa sasa...
Nakuomba unielewe..

Kwasasa naomba ubaki hapa nyumbani kuangalia nyumba na usiku nitakuja mimi na Saidi hapa,
Kwa sasa saidi hawezi kuonekana Mchana hata mara moja..

Aliongea Rehema na kuinuka kisha kuondoka zake..
Yule mama alibaki anatumbua tu macho bila kuelewa nini kinaendelea...

**********
***
**********
Gari lililombeba Nasra lilikuwa linatembea upesi sana hadi likafika kituoni...

Nasra alishushwa na kuingizwa Sero akiwa na kanga moko yake..

Askari walitoka akabaki mkuu wa kituo ndani ya Sero huku anamtazama Nasra...

***
"" " Binti, unapigana na yule dada unamjua ni nani.???
Mbona nyie watoto mnajitafutia matatizo makubwa kiasi hicho.????
Aliongea mkuu wa kituo huku anamtazama Nasra....

" "" Kwani wewe unanijua mimi ni nani.?? Aliongea Nasra huku anamtazama mkuu wa kituo kwa dharau..

"" " Sihitaji kukujua sana.. Lakini yule dada uliekuwa unapigana nae anaitwa "Rehema Gwandu"
Yule dada ni mkuu wa Usalama wa Taifa kwenye kanda yote hii ya kati...

Viongozi wote wa usalama wa taifa hapa Dodoma na mikoa mingine ya kanda ya kati wapo chini ya yule dada...

Tena Siyo dada, yule ni mmama kwasababu anaumri mkubwa sana, pia anae mtoto mkubwa tu..
Aliongea Mkuu wa kituo..

Nasra alibaki kutumbua Macho tu kwasababu hakujua kama Rehema ni mtu mkubwa kiasi kile..

Kumbe hata yule mzee ambaye Alimpeleka Saidi kule bondeni, alikuwa na cheo kidogo sana kwa Rehema..

"" "" Mbona hakuniambia sasa.??? Aliongea Nasra...

"" " Akwambie ili iweje..???? Unadhani hizi ni kazi za kuuza karanga kila mtu akujue..
Yaani kupata kazi kubwa kama hii siyo rahisi.. Wewe ulikuwa na kitambulisho tu lakini hukuwa na kibali cha kukuruhusu kufanya opareshen kubwa za kimataifa..

Mkuu aliamua akuchunguze yeye mwenyewe... Nadhani kuna madhaifu yako aliyaona..

Aliongea mkuu wa kituo kisha kuondoka zake na kulifunga lile Sero...

********
********

Rehema alifika kwemye jengo la NSSF kisha kuingia ndani na kwenda kwenye ofisi namba 25 anapokuwaga yule mzee anaepokea wageni....

Mlango ulifunguka kisha Rehema akaingia ndani..

Mzee alisimama na kupiga Saluti kwa heshima mbele ya Rehema..

"""" Nahitaji kuonana na Saidi usiku wa leo.. Aliongea Rehema na kuondoka zake...

Rehema alipanda gari na kurudi nyumbani kwake..

Rehema alifika nyumbani na kuoga kisha kujipumzisha..

*****
Alikuja kuamka saa kumi na mbili kasoro jioni..

Alishika simu yake na kukuta Missed call kama mbili,,
Alizifungua na kutazama.. Alikuwa ni mama yake...

Rehema alimpigia mama yake na kumuelekeza taratibu zote za Msiba na kuwaambia kuwa kesho mwili utapelekwa na Ambules ya Hospitali ya mkoa...

Mama yake Rehema alishukuru kwa msaada alio utoa binti yake,
Yule mama alikata simu kisha kutoa taarifa kwa ndugu wengine...

*********
*********
*
*
Rehema aliingia kuoga na kuvaa kisha kutoka...
Muda ulikuwa umeenda na ilikuwa ni saa moja na nusu Usiku...

Rehema alienda kambini ili kumchukua Saidi...

****
Alifika na kukuta Saidi ameshafikishwa ofisini kwa yule babu...

Rehema aliingia na kusalimiana na Saidi...

"" " Shkamoo mwalimu.. Aliongea Saidi huku anamtazama Rehema kuanzia juu hadi chini...

" "" Marahab. Haujambo Saidi...
Nimekuja kukuchukua mara moja kuna sehemu tuende,
Aliongea Rehema...

""" Sawa. Alijiu Saidi kwasababu alishajua kuwa na Rehema ni afisa wa usalama pia..

Yule mzee alipiga Saluti na kuwaaga..

Saidi alishangaa kidogo na kujiuliza imekuwaje hadi mzee apige saluti kwa Rehema..

"" ****

Waliondoka na kurudi nyumbani kwa Rehema..

Walifika na kumkuta mtoto wa Rehema amekaa Sebuleni anajisomea..

Baada ya mtoto kumuona mama yake, alifurahi na kumkumbatia..

***
Muda huo Saidi alikuwa amesimama anamshangaa tu yule mtoto jinsi alivyo Fanana nae...

"" " Mbona nimefanana sana na Huyu mtoto.??? Aliongea Saidi..

" " Ni mwanao, alijibu Rehema na kumkumbatia Saidi huku analia...

****
Saidi Wakati unasoma umesahau kama uliingia kwenye mahusiano na mimi mwalimu wako.???
Basi kipindi kile ulinipa mimba.. Na baada ya wewe kumaliza tu shule mimi nilipandishwa cheo na kuacha kazi ile ya kufundisha..
Aliongea Rehema.....

*
Saidi alimshika mtoto yule mwenye miaka kama Tisa hivi na kuanza kumtazama huku na yeye anabubujikwa na Machozi..

Offer offer offer
Soma yote kwa sh 800
Whatsp 0784468229
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBA CHA MPANGAJI 25---26


????SEHEMU YA 25*

CHUMBA CHA MPANGAJI
"" "" Njia nzima alikuwa akimuwaza Nasra tu.. Alikuwa na hasira kupita kiasi.. Lengo lake kuu lilikuwa kujua kwanini Nasra kamuua Dalali sele.??

Rehema aliendesha gari kwanguvu sana..
Alifika hadi nyumbani kwa Saidi alipokuwa akiishi Nasra na kupaki gari..

Alisogea getini na kumkuta mama Fulani anabisha hodi pia....

"" " Shkamoo mama... Kwani Nasra hayupo.???
Aliongea Rehema...

" "" Marahaba mwanangu..
Yupo ndani, nimeita akaitika nadhani anakuja..
Aliongea yule mama....

****
Kweli Nasra alifika na kufungua Geti lakini Kabla hajatoa uso kujua nani alikuwa anagonga, Nasra alishangaa anakoswa na teke usoni kisha kurudi nyuma.

Rehema aliingia...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumba-cha-mpangaji-25-26

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chumba-cha-mpangaji
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI 8--9
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 15*
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 1---2
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI 11---12
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 17 & 18
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 29--30 final season one
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI 10
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 13 & 14
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 3--4
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI 6--7
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 27*
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI SEHEMU YA 19 & 20
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
CHUMBA CHA MPANGAJI 21---22
SEHEMU YA 23  CHUMBA CHA MPANGAJI
SEHEMU YA 23 CHUMBA CHA MPANGAJI
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.83K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.22K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.89K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.71K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.63K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.61K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.6K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest