Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.

31st May, 2025 Views 130

MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5.

Akaniambia Irene nimefurahi sana huwezi amini najihisi kunakitu kizuri sana mwilini mwangu kimeingia

Naomba niambie nini kupe chochote utakachosema nitakupa

Nikamwambia kuwa usijali Asante wala usinipe chochote

Kwasasa niachetu nijisomee maana kunamitihani kesho

Chris akamwambia sawa nakuacha ila wacha niende mpenzi

Aliondoka akiwa na furaha sana nilibaki nikimshangaa

Nikaona niajabu sijui alifurahia nini kwakuwa sijui kitu chochote kuhusu mapenzi hivyo sikuona cha maana

Niliendelea na kusoma kwangu

Baada nilipomaliza kusoma nilienda bwenini kujipumzisha nilikuta kwenye kutanda changu kuna zawadi nyingi

Nikawauliza wenzangu nivitu gani hivi na vyanani mbona vipo kitandani kwangu

Alikuja Najma na kuniambia kuwa vitu hivi nivyako kutoka kwa Chris

Nilijiskia vibaya nikavikusanya na kuviweka pembeni

Ilikuwa vitu vizuri vya thamani

Kulikuwa na duvet na shuka zake sleeps viatu vizuri sana saa ya mkononi pajama na cheni ya gold

Najma alinifuata na kuniambia nakuona hauko sawa kabisa hembu jitulize

Nilimjibu kuwa nahofu watu watanitafsili nini sasa Najma

Najma akamjibu usiwaone hivyo kilamtu anamajanga yake shukulu mungu wewe mwanaume anae kutaka kila mtu anamtolea macho

Kwanza anahela anauwezo anaogopeka shule nzima hadi walim wanasujudu kwake kuwa na amani

Nikajituliza kidogo nikaanza kuelewa kisha nilivichukuwa vile vitu na kuvihifadhi vizuri

Niliingia kitandani nikalala hatimaye siku nyingine ilifika

Niliamka na kuoga na kujianda kwenda kwenye mtihani

Tulifanya mitihani na baada ya hapo nilikuwa nikiwaza matokeo tuu

Hivyo nilikuwa niko bize na vitu vya masomi ila Chris alikuwa ananiwazia mimituu

Majibu yalikuja kutoka nilitoboa kama kawa

Hivyo Chris aliniangalizi zawadi

Aliniomba tukale pamoja chajioni

Yaani tukae meza moja nayeye niogopa ila nilijikaza kama alivyoniambia najma

Nilikaa meza moja na Chris na alkkuwa ana special dayati

Tulikula kuku wakienyeji na chips

Alikuwa akiongea Irene kipenzi changu nimefurahi kuwa wako wamoyo hivyo hakika hutojutia kwa uamuzi ulio uchukua kwangu

Nilimwitikia na baada ya hapo nilimwambia likizo imefika mimi kwetu ni morogoro wewe wapi

Chris akajibu mimi ni Dar-es-Salaam ila sio mbali na morogoro usihofu kuhusu hilo nitajua namna yakulizingatia

Nilimwitikia sawa ila naogopa sana nyumbani hawapaswi kujua kitu

Akaitikia sawa wala sitoluhusu wajue

Baada ya chakula nilienda bwenini kulala kesho tufunga shule

Endelea kufuatilia.....

FULL 1000

HALOPESA 0627949520 bahati

WhatsApp 0627949520.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest