MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 7.
Nikamwambia ok kumbe lakini ulisema una dada pia
Chris akajibu ndio kaenda na mama wameenda nje ya nchi
Nikamjibu ok sawa nivizuri kunawatu lakini
Chris akaniambia Irene niambie kipenzi changu unajua kwa mala yakwanza nimependa
Nikamjibu ok kumbe sikujua na wala sikuwa naamini
Chris nikweli Irene nimependa hakika nakupenda toka ndani ya moyo wangu
Nikamjibu vizuri maana nikigundua unanidanganya nitakuua ????niliingiza utani kidogo
Chris alicheka akaniambia nitakusaidia uniue kabisa maana sistahili kuchezea moyo wa mrembo kama wewe
Nilifurahi kusikia baada ya hapo nilimruhusu akaoge maana ndio kaingiatuu kwao
Basi bwana muda ulisogea mbele msg sim kutoka kwa Chris zilinibadilisha
Hatimae siku ikipita bila kuongea au kupoke msg ya Chris napagawa
Nikaanza kujiuliza nini hiki au ndio ugonjwa wa mapenzi unaanza kunivaa
Nikiongea na Chris najihisi vizuri sana huwezi amini
Iliendelea hivyo hadi m tulipofungua shule tuliludi shule nikiwa nimependeza maana nikijinunulia begi jipya na soxi viatu
Kichwani nilinyoa vizuri maana shule yetu haturuhusiwi kusuka
Nilipofika shule nilimtumia ujumbe Chris nipo shule upo wapi nimekumis
Akanijibu nipo hapa hapa shule njoo maeneo ya huku katin utanikuta
Niliweka mabegi yangu na kwenda nikamkuta nilipomuona nikamkimbilia na kumkumbatia
Ila nilikuwa namuonea aibu sikuwa namtizama machoni
Aliniinua uso na kunitizama aliniambia mbona hunitazami usoni mpenzi kwasauti tam
Nilipomsikia akiongea mapigo ya moyo yalinienda mbio
Nilishindwa mkumjibu wala kumtizama nilimkumbatia tuu kwanguvi
Akaniambia naelewa usijali naelewa mpenzi haya basi
Aliniambia niambie unanipenda
Nilimjibu kwa sauti ya chini chini nahisi naanza kupenda
Chris alinibusu akaninyonya mdomo yaani romance tulikuwa pekeetu
Akaniambia asante kwahilo mpenzi
Hauotojutia kunipenda nakuahidi mapemazito kutoka kwangu
Nikatoka na kuelekea bwenini nilikuwa naona aibu hatari kama watu woote wametuona
Endelea kufuatilia..................
FULL 1000
HALOPESA 0627949520 bahati
WhatsApp 0627949520.