VYOTE NDANI GONGA94
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
WhatsApp 0627949520
Nilikuwa nalifikilia lile busu la mdomoni kutoka kwa Chris lilikuwa lakipekee sana
Nilikaa pekeangu nikiwaza alikuja najma hata sikumuona maana nilizama kwenye hisia tam sana nikawa natabasam???? pekeangu
Najma akaniuliza kipenzi umekuja tuu lakini tayari unaonekana unakitu kichwani kwako
Nikastuka nikamwambia hapana sinakitu kipenzi
Najma akaniambia upo nami ila kihisia haupo hapa niambie ukweli
Nilicheka tuu nikamwambia najma nahisia tam sana ambayo imeniingia inanifanya nitabasam pekeangu
Najma akaniuliza inahusiana na Chris sio
Nilitabasam tuu nikamwambia najma hakika sinahaja yakukuficha kipenz
Nahisi ninampenda tena sana
Najma alifurahi na kuniambia sasa huko ndio kupenda shogaangu
Jiachie kwa Chris deka muonyeshe haswa uta enjoy mwenyewe
Nilimkumbatia najma na baada ya hapo tulielekea kantini kula chakula muda wa chakula cha mchana ulifika
Tulipo maliza kula tuliludi bwenini nilichukua sim nikamtumia msg moja Chris
Nikamwambia kuwa Chris hisia hizi sijawa kutana nazo tangu nazaliwa hivyo nahisi nakupenda kupitiliza
Nakuomba usije niumiza maana ukiniumiza utakuwa umeumiza hisia nzuri tam kama hizi zikibadilika zitakuwa mbaya mnoo
Chris alinijibu sipo tayari kuona zinakuwa mbaya mno nitazilinda kama mboni ya macho yangu sawa kipenzi changu
Nilimjibu asante baby
Chris alifurahi kuitwa baby akaniuliza upo wapi Irene
Nilimjibu nipo bwenini akaniambia tukutane getini tayari nimesha ongea na mlinzi vaa nguo za kawaida
Nilivaa suluali ya jinz na tishet nilibeba kibegi mgongoni
Nilienda mpaka getini nikaruhusiwa nilivyotoka nilikuta tax ina nisubili nikaingia
Alikuwepo na Chris nikamuuliza tunaenda wapi akaniambia sehem tulia
Tulienda mpaka sehem moja ilikuwa tulivu alishuka dereva akaingia ndani na baada ya muda alikuja na kutuambia mnaweza kuingia
Tulishuka ila Chris alimuambia ampe namba atamstua ili atufuate tena
Tuliingia hadi ndani kulikuwa na vyumba vyumba
Nikamuuliza wapi humu
Alinijibu tulia nataka tukae pekeetu mpenzi
Nilitulia maana nilikuwa tayari namuamini kutokana na ninavyo mpenda
Tuliingia kwenye chumba kimoja kilikuwa kizuri kina full kipupwe
Endelea kufuatilia................
FULL 1000
HALOPESA 0627949520 bahati
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NI WANGU PEKEANGU epsd 20
Waliingia maharusi kisha walifunga ndoa na kuelekea kupiga picha baada ya picha walienda ukumbini watu walifurahi sana ...
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
Hatimaye muda wa maandalizi ya harusi umefika walitoka kwenda kutafuta shera ya harusi mapambo nakila kitu na yeye alia...
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
Walifirahi mnoo wazazi wa Vanessa sana walimpenda mnoo Franco walianza maandalizi ya harusi ya mrembo wao kwani furaha ...
NI WANGU PEKEANGU epsd 17.
Walimtafuta sana bila mafanikio mama wakati amekaa sebureni kachoka siku yatatu mdada wakazi alikuja na barua nimeiokot...
NI WANGU PEKEANGU epsd 16.
Siku ya Franco kumtambulisha mpenzi wake ilifika na waliandaa chakula chajioni wakamkalibisha chaajabu walimuona Vaness...
NI WANGU PEKEANGU epsd 15
Franco alimwambia Fred hili sio kosa lake naomba ongea namimi Fred alijibu nataka kuongea na Vanessa sihitaji kuzungumz...
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
Muda ulifika Franco alienda kumpitia mpenzi Vanessa na kumpeleka sehemu kuenjoy kidogo ili asiboreke naile msg aliotumi...
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
Walianza safari kuelekea nyumbani kwa kina Vanessa walifika nyumbani nakisha waliagana kwa mabusu na romance zakutosha ...
NI WANGU PEKEANGU epsd 12.
Walianza safari kuelekea dar walipanda ndege nakuwasili dar essalam baada ya muda walichukua gari mpaka nyumbani kwa ki...
Tangazo - Elton John - Sacrifice
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 8.
WhatsApp 0627949520
Nilikuwa nalifikilia lile busu la mdomoni kutoka kwa Chris lilikuwa lakipekee sana
Nilikaa pekeangu nikiwaza alikuja najma hata sikumuona maana nilizama kwenye hisia tam sana nikawa natabasam???? pekeangu
Najma akaniuliza kipenzi umekuja tuu lakini tayari unaonekana unakitu kichwani kwako
Nikastuka nikamwambia hapana sinakitu kipenzi
Najma akaniambia upo nami ila kihisia haupo hapa niambie ukweli
Nilicheka tuu nikamwambia najma nahisia tam sana ambayo imeniingia inanifanya nitabasam pekeangu
Najma akaniuliza inahusiana na Chris sio
Nilitabasam tuu nikamwambia najma hakika sinahaja yakukuficha kipenz
Nahisi ninampenda tena sana
Najma alifurahi na kuniambia sasa huko ndio kupenda shogaangu
Jiachie kwa Chris deka...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mapenzi-ni-hisia-taam-sana-epsd-8
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mapenzi-ni-hisia-taam-sana-epsd
Maoni