MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 6.
WhatsApp 0627949520
Hatimae sikuiliofuatia ya kufunga shule ilifika tulifunga shule na kuingia kwenye magari kuludishwa nyumbani
Niliingia kwenye gari ya kwenda moro tukiwa njiani tayari safari imeanza
Ilikuja gari ya wazili kwa mbele yetu ikaisimamisha gari yetu na baada ya hapo alishuka Chris na kuniomba mimi nishuke kwenye hii gari
Nikamwambia kwanini mbona
Aliniambia twende tukupeleke na gari yangu
Nilikuwa naona aibu ila sikuwa na njia nilishuka na kuingia kwenye gari yao
Tulienda tukafika sehem tulisimama twende tukale chakala nilikuwa sina hela tena
Ila niliambiwa na Chris usiogope mimi sinimpenzi wako
Niliitikia sawa tulishuka na kuagiza nilichukuwa nyama choma na viazi yaani chips na soda nikakaa na kula na Chris pia alichukua
Tulipomaliza tukaendelea na safari tulifika moro mapema tuu na alinipeleka mpaka karibu na nyumbani
Nilishuka Chris aliniminyia mkononi hela sikuweza kuitazama pale pale aliniwekea na sim kwenye begi langu smartphone
Kisha aliondoka nami niliweka nilichopewa kwenye begi kisha nikaingia nyumbani
Milipokelewa na mama vizuri alifurahi sana na alizidi kufurahi hasa nilipo muonyesha matokeo
Alinikaribisha vizuri akasema nenda uoge kisha nakuandalia chakula sawa
Nilimuitikia sawa mama
Nilipofika chumbanu kwangu nikasema nitizame yule kanipa shilingi ngapi
Nipozitoa ilikuwa ni laki mbili niliogopa
Nikajisemea hivi huyu hela nyingi hivi jamani mmh sijui zanini
Nikawa nafungua begi niweke vitu vyanhu vizuri
Nikakuta box la sim kulifungua ilikuwz smartphone niliogopa ila nilijiambia ndio mapenzi haya hebu niione
Mala ikaita nikaipokea haloo
Alikuwa Chris akajibu niambie kipenzi changu umeipata zawadi yako kwenye begi nilijua nikikupa ungekataa
Nikamjibu kwanini umenipa hii ungeachatuu
Chris unavyodhani ningehitaji kuongea nawewe ningekupata wapi sasa nilijuatu ungekataa
Nikamjibu basi asante nitajitahidi niifiche wasiione na kingine mbona umenipa pesa nyingi hivyo eeh
Chris akajibu kuwa mpenzi wangu Irene sipendi upate tabu wewe ni msichana utakuwa namahitaji mengi hivyo sipendi upate tabu
Nikamjibu hapana mimi sio wahivyo sina mayumizi makubwa kihivyo
Chris huwezi kuniambia nawajua wasichana bwana mimi pia ninadada
Nilimuelewa nikamjibu ok asante Chris
Akajibu asante kushukulu kipenzi changu
Nikamuuliza mmefika wapi sasa
Akajibu yupo njiani bado ila baada ya lisaa atakuwa dar
Nikamwambia ngoja nioge kisha nikale nitakupigia nikisha kuwa free maana mamaangu ananisubili
Akajibu ok sawa baadae
Nilimjibu ok baadae
Nilienda kuoga na baada ya hapo nilivaa na kwenda kula chakula
Baba alikuwa tayari karudi wote walifurahi mnoo na tulikula pamoja chakula
Kisha nilipomaliza nilienda chumbani kupumzika
Nilitizama muda nikaona lisaa nimesha pita nikamtafuta Chris je wamefika
Alipokea sim na kuniambia kuwa asante kwakunijali ndio nipo nyumbani sasa kipenzi
Vipi umesha kula chakula
Nilimjibu ndio nimesha kula vipi wewe
Chris nilipita mgahawani nimekula ndio nikaja nyumbani mama hayupo na baba pia hayupo
Nikamuuliza upo na nani sasa
Chris akajibu kuwa kuna bibi na bamkubwa na ndugu wengine na yaya wangu
Endelea kufuatilia...............
FULL 1000
HALOPESA 0627949520 bahati.