MAUMBILE YANGU YA NYUMA ????
01&02
Naitwa Mamujee ni mzaliwa wa Musoma, sijabahatika kusoma sana niliishia f2 sababu ya kukosa mtu wa kunisomesha pindi tu nilipofiwa na Baba yangu, Mama yangu alifariki kitambo sanaa tangu nilipokuwa darasa la nne, Baba yangu alipofariki tu mm nikachukuliwa na shangazi yangu anaeishi Dar,. Kaka yangu alipelekwa kwa shangazi yangu mwingine anaishi Arusha, tumezaliwa wawili tu mm na Kaka yangu!!
Nilifika Dar kwa shangazi nilipokelewa vzr, shangazi yangu alikuwa Mwalimu wa shule ya msingi, pale nyumbani tulikuwa tunaishi na mjomba pamoja na watoto wa shangazi watatu,. Kiufupi pale nilikuwa kama house girl, kazi zote za nyumbani ni zangu, watoto wa shangazi walilelewa kama mayai hawawezi kufanya kazi yeyote, tuliishi vzr na shangazi huku nikiendelea kuwa mfanyakazi pale nyumbani ila sikujari sababu nilikuwa najua mm ni yatima sina pa kwenda bc nilivumilia,, ilikuwa imepita kama mwaka ivi tangu nije dar, nikawa mwenyeji nikazoea jiji vzr japo sikuwa mtu wa kujichanganya sana,, siku moja nimeamka zangu nyumbani nafanya zangu usafi shangazi na wanae walikuwa wametoka kama kawaida yao, nilikuwa bize sana na kazi zangu sikujua kama mjomba yupo ndani, nilifanya kazi zangu zote nilivyomaliza nikaingia bafuni kuoga ili nijiandae niende Solomon, nikiwa chumbani kwetu navaa nikaona mlango umesukumwa kwa nguvu, akaingia mjomba chumbani,, akanikamata kwa nguvu huku ameniziba mdomo, mjomba akanibaka nililia sanaa, sikuwahi kukutana na mwanaume tangu nimezaliwa mjomba ndio alikuwa wa kwanza, niliumia sana, mjomba akanitishia sana ole wangu niseme au nihadisie kwa mtu yeyote yule ataniua, nililala chumbani huku nikiwa na maumivu makali hadi shangazi aliporudi alinikuta nipo chumbani na sijapika chakula,, akaniuliza mbona Mamujee hujapika chochote na umelala kulikoni?? Nikamjibu naumwa huku nalia, bc akaniambia inuka ukanunue dawa umeze, nilinyanyuka kwenda kuchukua hela kwa shangazi ili nikanunue dawa, huku nachechemea, shangazi alivyoona nashindwa kutembea vzr bc akahisi kitu, akaniuliza umefanya nn huko chini hadi unashindwa kutembea?? Nilipigwa sana na shangazi akinituhumu nimeanza umalaya nimtaje huyo mwanaume aliyenifanya kitendo hiko,, nilipigwa sana niliomba msamaha kwa shangazi nikamwambia mm sio malaya ila hakunielewa kabisa, kipigo kilipo nizidia ndipo nikamwambia shangazi ukweli kuwa mjomba amenibaka bc shangazi hakunielewa kabisa akasema mm muongo namsingizia mumewe, mm ni Malaya tangu utoto, nimerithi umalaya wa Mama yangu,, shangazi hakutaka kunielewa wala hakutaka kumsubiri mjomba ili amuulize aliamua kunifukuza nyumbani kwake aliingia chumbani kwetu akabeba begi langu akaniuliza nje akanipa na elfu 60 ili nitumie nauli ya kunifikisha Musoma
Ukiikubari bc like na comment ndio zitanishawishi kurudi!!!
MAUMBILE YANGU YA NYUMA ????
02
Shangazi kanifukuza bila hata kuniulumia hakujali kuwa nimebakwa na mumewe nilitoka pale huku nachechemea cjui pakwenda, giza lilikuwa limeingia tyr,, nikatoka hadi stendi ya basi tulikuwa tunaishi bunju, nikapanda gari hadi ubungo ili nilale stendi asbh nipande gari za kwetu,, nilifika ubungo vzr huku nalia, nikiwa natembea kuelekea geti la kuingilia nikamsukuma Mama mmoja iv nilikuwa sijamuona nilimsukuma kwa bahati mbaya, yule Mama alinirudishia alinisukuma kwa nguvu hadi nikadondoka chini nikamwambia Mama mbona umenisukuma kiasi hiki?? Akaniambia tena ukome unavyotembea uwe unaangalia mbele sio macho chini kama mwizi bc nikajiinua ili niondoke zangu wakati nanyanyuka pale kumbe nilipoteza hela niliyopewa na shangazi kama nauli ya kwetu sikujua kama sina hela niliingia stendi nikasogea hadi kwenye gari za Musoma, ile nataka kutoa hela nikate ticket nikajikuta sina hela, nikapekua kila sehemu lkn wapi nikaanza kulia pale tena kwa nguvu, watu waliniuliza nalia nn niliwabia nimepoteza nauli ila hakuna hata aliye nijari, nilitoka pale stendi hadi yale maeneo Niliondoka nikaanza kutafuta hela ila wapi,, nikatoka nikaanza kutembea hata sijui naenda wapi,, nilifika mahari nikakaa chini huku nalia, hapo sijakula chochote tangu asbh, nikatamani nimpigie shangazi wa Arusha anapokaa Kaka yangu ila sikuwa na namba zao, nilikaa pale hadi ucku mwingi ukaanza kuingia niliogopa nikasema hapa nitabakwa tena Mamujee mm alipita Dada mmoja amevaa vzr tu nikamfata nikamsalimia vzr nikaanza kumuomba msaada,, nikamfata naomba unisaidie japo pa kulala tu kwa cku iyo,, yule Dada aliniangalia juu mpaka chini, akaniambia nitafute mtu mwingine yeye hana msaada,, yule Dada alivyoondoka akaja Kaka akaniuliza binti vp? Mbona unaangaika ucku wote huu? Nikamwambia sina pa kwenda nimetoka mkoani nimekuja kufanya kazi za ndani Sasa mtu niliyeambiwa atakuja kunipokea simuoni, ilibidi nidanganye,, bc aliniangalia vzr akaniambia twende nikakutafutie pa kulala kesho nimtafute bosi wangu, bc nilimfata yule Kaka, tulipanda basi hadi kwake, tumefika kwake vzr tukaingia ndani alikuwa kapanga chumba na sebule,, akaniambia nenda kaoge mm naenda kukutafutia chakula,, akanionyesha choo kilipo nikavua nguo nikaenda kuoga nikavaa nguo zangu vzr huku nina wasiwasi sijui hatima yangu, Kaka akarudi kabeba chips mbili na soda akanipa nikala na yeye akaenda kuoga, akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa Mamujee, basi akaniambia Sasa ingia chumbani ukalale, niliogopa nikasema hapana nitalala hapa hapa panatosha,, akaniambia Jee noo ingia chumbani ulale na mm nitalala hapa sebuleni,, bc nikanyanyuka japo kwa uoga nikaingia chumbani,, wakati nashusha neti nilale Kaka akagonga mlango, nikainuka kufungua huku natetemeka akaniomba achukue shuka, alivyotoka nikafunga mlango kwa ndani nikalala
Asbh palivyokucha nikaamka zangu nikatoka sebleni ila sikumkuta Kaka, nikaanza kufanya usafi ndani kuanzia chumbani hadi sebleni nikapanga kila kitu vzr, nikaoga nikachukua begi langu nikakaa kwenye sofa nimsubiri Kaka aje nimuage niondoke zangu,, bc Kaka alikuja akaniita Jee vp umeamka salama? Nikajibu ndio shikamoo Kaka, aliitika vzr, alibeba soda mbili na chapati, akaniambia Jee njoo tunywe chai, mm ni msera sina hata jiko,, tunaanza kula huku ananiuliza maswali kwetu ni Musoma sehemu gn nikawa namjibu, vp kuhusu wazazi wako nikamwambia mm ni yatima,, bc Kaka aliumia sana akaniambia Jee kaa hapa na mm nitakutafutia nauli urudi nyumbani maana hata ukirudi pale ubungo nina uhakika uwezi kumpata huyo bosi wako Zaid tu utafanyiwa vitu vibaya maana hii Dar es salaam sio kabisa, bc aliniuliza nauli ya kwenu sh ngapi nikamwambia akasema nisubiri apate mshahara,, tulikaa pale huku tukiangalia Tv ilikuwa sio siku ya kazi kaka hakwenda kazini,, mchana ilipofika alitoka alivyorudi akarudi kabeba jiko la gesi na sefuria tatu na hotpot mbili ila havikuwa vipya akaniambia amechukua kwa rafiki yake tuvitumie kwa muda hadi nikiondoka hatamrudishia maana sio vzr kula mgahawani,, bc niliinuka nikaviosha vzr akanielekeza magenge akanipa na hela nikaenda kununua vitu vya kupika
Nilinunua vitu vyangu nikarudi nikaanza kupika zangu, nakumbuka nilipika pilau nikaweka kwa hotpot ili tule hadi ucku,, Kaka alifurahi akaniambia Jee kumbe unajua kupika vzr iv?? Bc cku ikaisha kesho yake Kaka alikuwa anaenda kazini akamwita mpangaji mwenzie ni mdada, akamwambia huyu ni ndugu yangu anaitwa Mamujee naomba ushinde nae vzr,, Kaka akaondoka zake nikabaki na huyo jirani ,, ilivyofika jion nikaanza kupika chakula ili Kaka akija tule.......Itaendelea.