VYOTE NDANI GONGA94
MPISHI ANA UTAMU WAKE 1 - - - - 5
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SEHEMU YA 1
" Mtoto mvivu wewe khaaa !!! siamini kama tangia asubuhi nimekuacha ndo vile nilivyokukuta, si nguo si kuoga wala sebule ni hivi hivi....ama kweli wenzangu wanazaa ila hapa nilijisaidia hakika " alizungumza mama yangu huyo bibi cha mdomo pindi alipotia mguu wake nyumbani kwetu.
" Nipo kwenye siku zangu mama hakuna hata kazi niwezayo kuimudu.. maumivu niyasikiayo ni balaa " nilizungumza.
" Kula, kunywa kulala, kujibizana na mama yako ndo kitu pekee unaweza sio ? "
"Lakini mama ? "
" Sina haja ya kuongea mara mbili " alizungumza mama kisha akanikata jicho la mwana ukome ๐, sikuhitaji kuangaliwa mara mbili, japo fagio lilikuwa mbali nilijikuta nikinyanyuka nikalikwapua chaap hapo nikaanza usafi wa nyumba.
Nilipomaliza ikawa ahueni sasa...... nikaona walau nikae...namna mgongo unaniuma waweza sema nimetoka kubeba viroba vya simenti...sikatai mimi ni mvivu jamani ila khaa huyu mama atakuja kuniua siku si zangu jamani eeh ๐.
" Inuka inuka inuka haraka " alizungumza mama.
Kwanza mtoto mchafu wewe, ona vumbi hizo miguuni, siamini ndo unakaa kabisa, kunchafulia makochi tu haya mguu wako mguu wangu bafuni kuoga, sina imani na wewe ni wazi utamwaga maji na kuoga sehemu zinazoonekana.
Basi sikuwa na ujanja nilizama bafuni na kuoga huku mama akiwa pembeni ananisimamia ila huyu mama hapana ni wale wa enzi za iddi amin dada ๐..nilipomaliza nilitoka sebleni muda huo mama hakuwepo tena chumbani kwangu... sikuona haja ya kukaa tena na kwavile muda ulikuwa umeenda sana nikaelekea moja kwa moja jikoni kuandaa chakula cha usiku.
Si vibaya mkisema najisifia ila huo ndo ukweli buana, mie jiko naliweza haswaa...yaani nikikaa natoa kitu kitu chenyewe yaani ๐ฅฐ.
Basi nikaanza kupika zangu wali, halafu nikaja mboga ya majani pamoja na nyamaa....hapo kwa nyama sasa..japo ilikuwa nusu.... nikajikuta naipunguza kufikia robo......
" Mbwa wewe si ajabu hii ndo kazi uliyokuwa ukiifanya muda wote " alizungumza mama yangu huku akininyakua bakuli la supu nililolijaza nyama.
" Mama lakini " nikalalamika.
" Ebu !!!!! nitokeee mie nimpakulie mume wangu chakula si muda tu atarudi " akazungukza bi mdashi....ni kawaida ya mama angu kuniona sina maana tena pale baada ya kumaliza kazi zake zote muhimu hivyo sikujali nikatoka jikoni humo.
Ile kukatiza, saa ngapi nisimuone baba...hapo nikafurahi balaa nikamkimbilia na kumkunbatia.
Kama mjuavyo watoto wa kike kwa baba na ndivyo ilivyo kwangu mimi.
" Ebu njoo humu nikuoneshe kitu, unaonekana una furaha sana siku ya leo huwenda ukawa na mood ya kujifunza " alizungumza mzee wangu kisha tukaongozana hadi maabara.
Itaendelea
SEHEMU YA 2
ENDELEA.......
Wacha nistaajabu mazingira niliyoyakuta humo....ni bonge moja la maabara ๐ ama kweli nilijinyima kusafisha macho hakika.
Yaani ni hivi mara zote baba yangu alinisihi niingie nae kwenye maabara hii ila nilikataa, niliona kama ananipotezea muda tu maana akiingia saa moja basi kutoka saa 7 usiku si mama tu hata mimi sikuacha kulalamika kwani muda mwingi hutumia ndani ya chumba hiko halafu akataka na mimi niingie nae halafu netflix nitamuachia nani ?.
Basi buana nikaendelea kuangaza huku na kule, ndani ya hio maabara.
" Amara njoo upande huu " alizungumza baba kisha nikamfuata.
Akaanza kunionesha sasa vifaa vyake ndani ya hio maabara mie kukodoa tu, ukizingatia shule zilikua hazimo ๐ basi full balaa, nikaona sijui test tube sijui nini ile hata sielewi na vile ni form four failure ๐basi balaa.
Tukafika hadi kwenye kifaa kimoja hiko....hiko hakika kilinivutiaa kuliko vyote ๐ japo sikujua kazi yake ila nikajikuta nakiangalia kuliko vyote.
" Hiki ni kifaa changu kipya, natambua muda wote mlikua mkinilaumu bila kutambua nini nilikuwa nikifanya, ni ugunduzi wa hiki kifaaa, ni kifaa cha kisasa chenye uwezo wa ajabu sana binti yangu...kama ungekuwa na uwelewa basi nisingesita kukueleza " alizungumza baba nikaona kabisa hapa ananikosea adabu sasa..haiwezekani ameanza vizuri na kumaliza vibaya kabisa yaani.
" Ndo nini sasa baba, nikajitia nimesusa nikakunja uso na kuanza kuondoka " vile baba yangu ananipenda sasa akanivuta akanikumbatia kisha akaniambia ;
" Calm down Amara,nitakueleza yote mama; hiki kifaa ni kipya kama nilivyokueleza, kina uwezo wa kukupeleka karne za mbele ama laah karne za nyuma kabisa, sogea karibu mama hapo nikasogea akili imetulia kweli kweli eti nna hamasa ya kujifunza tangu lini ๐ ? "
Hiki kifaa kimegawanyika sehemu tatu.
1. Kulingana na karne ya kisasa ama future, sehemu hii ya kwanza ina uwezo wa kukupeleka miaka ya mbele endapo utaibonyeza na kuipa joto la haraka, litakalosoma 37 kuashiria wewe ni binadamu.
2. Sehemu ya pili ni karne ya zamani au zilizopita, hii inaweza kukupeleka mahala huko kama utafanya lile nililotoka kukueleza ambalo ni lipi hilo? akauliza baba huku akinikodolea...nikajikuta nikiropoka..." kuipa joto "
" Ewaaa zimo mpishi wangu " akajibu baba, hapo nikakenua hatari kama sio mie.
3. Sehemu ya tatu na ya mwisho ni sehemu inayoamua nchi au mahali unapoenda..... ina rangi nyingi sana kuna nyekundu, bluu,nyeusi na nyingine kibao...kila rangi ina nchi zake mfano nyeusi ni nchi za kiafrika, nyekundu ni za america na kadhalika, umenielewa mwanangu ? aliuliza baba.
" Ndio baba nimekuelewa " nikajibu huku nikikiangalia kile kifaa, rangi yake inavutia hakika...nilijikuta nimependezwa sana na kile kifaa.
" Shaaaa we shaaaa weee babe shaaaa !!! " sauti ya mama angu bi cha mdomo ๐ ikasikika ikimuita baba.
" Abeee babe nakuja " akaitika baba.
" Halafu nilishakukataza kuitika hivyo " mama alijibu huku akiingia maabara mule...nahisi sikuonekana ama nilisahaulika kwani nilishuhudia baba na mama wakichapana denda zito lisilo na uchovu wala heka heka mbele yangu.
Mimi binti wa miaka 21 sikutaka kushuhudia mengi, hivyo nikatumia mlango wa nyuma na kuondoka maabara humo.
Ndo hivyo tena ratiba ya chakula iliharibika, hatukula saa mbili tena bali saa nne.
Muda wa kula baba na mama walioneka wakifurahiana kupita maelezo mara wakanyagane, hivi na vile.....nilipoona sielewi nilinyanyuka na kuwapisha mezani hapo.
" Sijui kwanini hawa wazee wanakuwa namna hiii,wanabebishana mbele yangu wananipandisha midadi tu " nilizungumza hiku nikiosha sahani jikoni...nilipomaliza nilielekea sebleni kuangalia netflix....hapo ndo nikachoka kabisa yaani baba na mama mmmmh....
" Wananifanya nimkumbuke juma wangu hakika " nilizungumza kisha nikanyanyuka na kuelekea chumbani.....huko nilijikuta nikitokwa na machozi kila nikikumbuka namna juma alikuwa akiupenyeza mtarimbo wake kwenye nunu yangu...na hivi sasa anapewa mtu mwengine si mimi... basi hapo nachoka mwenzenu. Uuuih ๐ฅฒ.
Itaendelea
SEHEMU YA 3
Kwani najua hata huo usingizi ulinipitia saa ngapi? Hapana wala sitambui ni vile tu nilikuwa nna majonzi halafu nina machungu basi nikalala mara moja vuump.
Nikaamka asubuhi hapo nimechoka balaa, ni saa mbili kasoro inaelekea....vile sikutaka kugombana na mama yangu nikajikuta nakurupuka bila kunawa uso.
Siku zote baba yangu huelekea kazini saa tatu hivyo kuna lisaa na ushee, niandae chakula na nifanye kazi za ndani...basi nikakurupuka hapo huyo hadi jikoni.
Nilipofika huko nikaanza kuandaa supu pamoja na chapati hiko ni chakula pendwa sana cha baba yangu ๐ฅฐ.
Kama ilivyo desturi nikaanza kuonja sasa๐, si kuonja ni kula huku nikiutazama mlango kwa hofu ya mama kuingia na kuninasua.
Nilipoona ni kimya sana nikajihakikishia asilimia 100% nipo salama, kwanza nikachukua bakuli, pili nikamimina supu na nyama za kutosha...tatu nikaanza kunywa bila hofu kama mfalme aliyeko ikulu.
Nilipokaribia kumaliza, ghafla nikasikia mlangi ukifunguliwa, ile kugeuka nikakutana na mama akiwa anaingia na uso mkavu kupita maelezo.
Sijui ujasiri niliupoteza wapi, nikajikuta naangusha like bakuli kwa woga na hofu...wacha mama anikazie macho kupitiliza...nikajikuta naogopa.
Ile akaanza kunisogelea mahala niliposimama nikajikuta nikimponyoka....ni wazi alijiandaa kwa kunipa kipigo cha uhakika.
" Mshenzi wewe !!!!! nitakukamata tuu " alizungumza mama huku akinifata na kuja upande niliokuwa nikielekea.
Akili ya haraka haraka ikanijia, ikanituma nizame kule kwenye maabara ya baba ile tuliyoingia jana.
Basi nikazama ndani humo, nilipoingia tu mama naye huyo akazama akawa ananifata kule nilipo.
Akili nyingine ikanijia ikanambia kuwa niguse kile kifaa, kuliko kujibizana na kugombana na mama yangu kila siku ni heri niende ulimwengu mwengine tu ili nikabadilishe hali ya hewa.
Basi nikagusa vile vidude kama nilivyoelekezwa, nikagusa nyeupe pamoja na nyekundu kama sijakosea.
" Tobaaa !!! alisikika mama akizungumza pale aliposhuhudia mwili wangu ukiyeyuka na kuvutwa na hiko kifaa, japo ni kidogo ila kina uwezo mkubwa na waajabu "
" Shaaa ba Amara shaaaaaa......" aliita mama punde nilipokuwa naishia ndani ya kile kifaa "
Hakuweza kustahimili ayaonayo, alijikuta akikata moto hapo hapo ๐, mama kayataka.
Mimi sasa, yaliyonikuta๐acheni tu, embu ngoja kwanza nikanywe maji halafu nakuja mnisubiri friji halipo mbali kihivo.
Nakuja basi....
SEHEMU YA 4
ENDELEA...................
" Ni wapi hapa na hawa mamidoli ni wakina nani jamani mbona sielewi mimi " nikajiuliza hapo nishasahau kabisa hata kama niligusa kile kidude cha baba kabisa.
Nikiwa nashangaaa huku na kule si nikaona mishikaki.... ikiuzwaa basi nikaikimbilia kwa namna napenda nyama nikajikuta nikishangalia balaaa.
Wacha nianze kuifakamia sasa kula kula na mimi sina habari, hapo nyama sijui ina viungo gani hii mbona tamu namna hii? nilijikuta nikijiuliza huku nikiondomora mautamu.
Upande wa ikulu kwa mfalme wa korea kipindi hiko ni inaitwa belgiji nahiisi kulingana na eneo nililokuwepo kwa wakati huo, maongezi yafuatayo yanasikika.
" Nimechoka kula vyakula vya hapa ikulu, nimejaribu vyakula vya nnje vimenivutia japo si sahihi kwa afya yangu, nahitaji mpishi mpya haraka iwezekanavyo " alisikika mfalme Rei JAMPIO akizungumza japo jina Jampio ni maarufu kupita maelezo akizungumza.
Wacha mpishi wa ikulu ainame na kuanza kuomba rehema.
" Ewe mfalme, nihurumie mie hii kazi naitegemea kwangu na familia yangu, tafadhali baba " alisikika mpishi huyo akiomba.
" Nitakulipa mshahara, familia yako haitaondoka ikulu mtakula juu yangu ila kwa sasa nahitaji pishi jipya ya kwako yamenichosha " alizungumza mfalme.
" Cha hurumaa weeeh !!!! "
" Nipo mtukufu mfalme " aliitikia kisha akasogea mbele kusikia hukumu yake.
" Jua la leo lisizame nahitaji mpishi mpya, akiwa wa kiume itakuwa na unafuu " alizungumza mfalme kisha akanyanyuka kuondoka.
Namna cha huruma ana utii uliopitiliza alijikuta akiinama kisha mfalme Jampio akampitia kwa juu yake mithili ya miguu ikanyagayo kapeti ๐.
" Ishhhh !!!! ! " alisikika cha huruma akilalamika huku akinyanyuka.
Wacha mpishi mkuu sijui mstaafu aangue kicheko kilichopitiliza.....
Maskini cha huruma hakuwa na la kufanya zaidi ya kuondoka tu japo cheko lile lilimkera.
" Una bahati ni cha huruma , ingekuwa ni mimi ningekukata huo mdomo wako na vidole vyangu hakika " alizungumza mlinzi mwengine aliyekuwa kando na cha huruma kisha akaondoka.
Upande wangu nikala mishkaki hadi nilipotosheka nika kaa sasa kuanza kuvuta pumzi, si nikakumbuka sijalipia? wacha nijisachi haraka.
" Anhaaa afadhali, ningeshangaa kama sina mia mfukoni " nilizungumxa kisha nikatoa elfu kumi na kumkabidhi muuza mshikaki.
" Ni nini hii umenipa ? " aliuliza mama yule.
" Huwa sipendelei maswali yasiyoeleweka ila kwa vile nimekula mishikaki nikashiba wacha nipunguze shibe hii, ni hivi unanidai shingapi ? ukate hapo, natumai haitimii elfu kumi hivyo hio inatosha.
" Ni mwizi weee hakika tabia ya kula na kutokulipa biasharani mwangu, ukome sijaja kucheza mahala hapa " alizungumza mama yule huku akinikwida.
Nikabaki nikimuangalia tu nisijue nini cha kusema kabisa, kama hela nimempa shida ni nini au ni kichaa huyu ? usinambie kama kanilisha mbwa ? nikajiuliza.
" Walinzi njooni hapa nipo na mwizi mahala hapa " alizungumza mama huyo pindi alipowaona walinzi wakija maeneo tuliyokuwepo.
Mie wala sikuogopa akili yangu ikaanza kuwaza yale mavazi waliyoyavaa walinzi wale ๐.
" Sio bat man hawa ? mbona kama wanataka kupaa " nilijiuliza kimya kimya.
Ile nashangaa nikashangaa nimeshikiliwa na walinzi, kwa namna walikuwa na minguvu waweza sema mimi nina udugu na kindege ama nna uzito wa karatasi ya lim paper ๐.
" Wewe mbwa mweusi hela ya watu ipo wapi ? " alisikika mlinzi mmoja akiuliza.
Basi sikuwa na la maana la kujibu, nikajikuta nikikaa kimya kama si mimi cha mdomo Amara.
" Sikia we binti unajua kupika ? "aliuliza mlinzi mwingine aliyeonekana kuwa na ustaarabu uliopitiliza pamoja na utu.
" Hahaha !! ni fan yangu hio nafahamu vyema namna ya kupika like a pro " nikajibu huku nikichekacheka kama nmeona bia za bure๐.
" Mbwa wewe, maneno gani hayo unatuongelesha ? "alizungunza mlinzi wa mwanzo huku akiniwekea panga shingoni.
Wacha nitetemeke almanusura mkojo unitoke.
" Haina haja ya kufanya hayo na wewe, ebu kuwa na huruma huwezi kujua ni nini kimemkuta " alizungumza mlinzi mmoja kati yao.
" Sawa mkuu, huruma yako ina nihuzunisha kwani haitakiwi kwenye hii dunia ya wenye viburi " alijibu yule mlinzi kauzu.
" Sikia dada, nitakulipia hio mishikaki uliyokula, nitakupa ofa ya kuongeza mingine hata kama ni yote uitakayo, ila kwa makubaliano husika " alizungumza mlinzi yule mwenye ustaarabu.
" ๐ ๐ kheee masharti gani hayo na wewe ? " nikauliza hapo nimejisahau kama naongea na mlinzi kutokana na ustaarabu alionionesha.
" Vile makaka wa watu ni mpole kupitiliza akabaki kimya akaniangalia kwa muda kisha akanijibu ; utakuwa mpishi wa mfalme "
Basi nikabaki nimeduwaa tu nisielewe nini kinazungumziwa, hapo nikahisi huwenda nataniwa basi ikanilazimu kuuliza.
" Mfalme ๐ kwani hii nchi ina mfalme na sio raisi au ?" nikauliza.
" Wacha maswali ya kipuuzi wewe mbinti hebu chagua mawili ulipiwe ama ukawe mtumwa wa kusaga unga kwa mwaka mzima " alizungumza yule mlinzi kauzu.
๐ ๐ mwaka mzima ? mimi huyu na mikono yangu hii milaini mithili ya sponge leo hii nikasage unga ? ebu huko.
Namna yule mlinzi mwingine ni mstaarabu akaanza kunibembeleza hadi nikasikia raha eti akasema " we mbinti kubali kuwa mpishi wa mfalme uokoe kazi yangu, bila wewe leo familia yangu italala njaa ".
Kwa namna mie mbinti ๐ nilivyo na huruma basi nikaona nikubali tu japo sielewi hata huyo mfalme ni nani, akili yangu ikawaza naenda blue house.
" Ni nini hio una mpatia ? siamini kama anakubali mawe ilihali hela yangu kaikataa " nilizungumza.
Basi nikashtukia nimewekewa panga shingoni, vile yule mlinzi kauzu ana roho mbaya akaanza kunifikicha na ule upanga.. vidamu si vikaanza kunitiririka ๐ฅฒ
Sijui ndo ikawaje nakuja kushtuka nipo sijui ndo ikulu mwenzenu jamani, mbona kama nimeyakany'aga namna hii ๐ฅฒ.
Itaendelea.......
SEHEMU YA 5
" Jicho moja fumbu , hatimae yakawa yote mawili ๐ hapo nipo nashangaa tu kama nimeona bia za bure "
" Hapa nipo wapi jamani ? tangu nizaliwe sikuwahi kukutana na hili jengo ebu ngoja kwanza nilicheki vema " nilizungumza kisha nikanyanyuka kuanza kulitazama.
" Ina maana nipo korea ? Hii nyumba ya mbao ni ya wapi ? " nikabaki najiuliza.
"Ebu ngoja nitoke nnje, na imani nitaona vema mazingira ya mahala hapa "
" Ni heri umeamka, mfalme anahitaji kuzungumza nawe " alisikika mlinzi kauzu akizungumza.
Mimi sasa kusikia ni mfalme, acha nianze kukimbia....
" Huyu ananitania sana naona, kwanza tangu lini kukawa na mfalme....kama kweli nipo korea nita uliwa hakika pale akifahamu si wa asili yao " nilizungumza huku nikikimbia.
" Ni wapi mahala hapa ? " nilijiuliza macho yangu yakiangaza huku na huko yakishangaa uzuri wa chumba nilichokuwepo.
" Ni usiku sasa,natumai nimeletewa msichana wa kupumzika nae siku ya leo " nilisikia sauti hio ikitokea sehemu isiyojulikana japo niliisikia.
Nikabaki nashangaa shangaa nisijue wapi naelekea.
" Kamata huyo, search kila mahali " nikiwa nimesimama mahala hapo nikasikia sauti ya mlinzi yule kauzu ikizungumza huku kivuli chake nikikiona kwa ndani na kwa vile ilikuwa ni giza... ilikuwa rahisi sana kwangu kumtambua.
Mara nikaona kama anakuja ndani ya kile chumba nilichopo mimi, hapo ndipo nikagundua kuwa nimeisha kwa kweli, nikabaki nikitafuta wapi pa kujificha....
" Kwanjaap !!, nikasikia mlango ukifunguliwa "
Sijui ikawaje, nikashtuka nimevutwa mkono haraka sana.
" Niache buana ndo uniloweshe namna hii " nilizungumza huku nikiutoa mkono wangu kwa yule kijana aliyoko mbele yangu.
" Mbona huna nguo ? "nilijikuta nikiuliza.
Akiwa anajiandaa kujibu.... kwa mbali nilisikia.....
" Yalaaa !!!, samahani mfalme macho yangu yawe pazia kwa kile nilichokiona, mdomo wangu uwe bubu kila nitakapo zungumza kuhusu hili, nionee huruma mfalme wangu "
" Hii sauti si ngeni masikioni mwangu hakika " nilizungumza huku nikitafakari maneno niliyoyasikia.
" Ondoka mahala hapa " nilisikika sauti ya kijana yule aliyenivuta kwenye maji kama mwendawazimu ikizungumza, basi nikanyanyuka na kuanza kupiga hatua...
" Sio wewe mrembo, wapi unaenda ilihali wewe ni chakula changu cha usiku wa leo ? " alizungumza yule mkaka kisha akaanivuta karibu yake tukawa zero distance.
Nikashangaa ananishika nyonyo ๐.
Nakuja si mda.
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpishi-ana-utamu-wake

