Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPISHI ANA UTAMU WAKE 13&14
Gonga94 · Stories

MPISHI ANA UTAMU WAKE 13&14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SEHEMU YA 13
" Amka buana, haifai wewe kulala kwenye chumba cha kijakazi kama mimi " nilizungumza huku nikimtikisa mfalme aamke.

Nilipoona haamki nilihitaji kutumia njia ya ziada kumtoa mahala hapa.

" Mama Dorcas nimekuletea habari njema sana siku ya leo" alizungumza mtabiri mkuu wa ikulu akiwa mbele ya malkia mkuu.

Kwa namna wanavyoongea waweza sema wana mazoea ya muda mrefu sana, si kawaida kwa kijakazi wa kifalme kunyanyua uso pale anapoongea na malkia.

Upande mwingine za ndani, malkia Dorcas mara kwa mara huonekana usiku kwenye kasri la mtabiri mkuu si haba wanakulana siri kwa siri.

" Ni zipi hizo, masikio yangu yana tamani kuzisikia " alijibu malkia Dorcas.

" Ni siku za usoni mfalme atapata mrithi wa kiti chake .. " alizungumza mtabiri kisha akaweka pause.

Wacha malkia Dorcas afurahie, ni muda sana alikuwa anataka mjukuu japo waita hakufanikiwa kumpatia hilo.

Furaha yake ilienda mbali, akajikuta akimkumbatia mtabiri mkuu kinyume na makubaliano yao.

" Sijamaliza mtukufu malkia kuna habari zishangazazo "

" Ni zipi hizo "

" Ni kwamba mwanamke huyo si malkia waita.... "

" Nini enheee jingine ? "

" Ni kwamba mimba yake itahatibika siku ya leo kama hatutazuia vurunguti hilo " akamaliza mtabiri mkuu kunena.

Malkia forcas si mzembe kama anavyoonekana, mgongo wa mtabiri mkuu ulikuwa ngazi zake, alimpita kama hewa.

Kituo cha safari yake ilikuwa ni chumbani kwa binti Amara.

Upande mwingine anaonekana malkia waita akitembea kwa jazba kuelekea chumbani kwa binti Amara.

Haijulikani nini kitajiri zaidi endelea kufuatilia mdau wangu.
SEHEMU YA 14
Nikiwa chumbani kwangu, nikihangaika kumuamsha mfalme sina hili wala lile .

" Ananikera sana huyu mpuuzi, kwanza siamini kama ananila kirahisi namna hii ni mara ya pili sasa sielewi ni wapi ananishika mpaka nalainika namna hii, sawa ni mfalme ila sipaswi kumpa mwili wangu kizembe namna hii ukizingatia sifahamu ni wapi nimetokea, wazazi wangu ama familia yangu katika nchi hii, vipi kama akinisababishia matatizo mtu huyu ? " Nilijikuta nikianza kulalamika.

Nikiwa nawaza yangu huku macho yangu yakimtazama mfalme aliye jiachia sana juu ya kitanda nipumzi chasho mwili wangu ghafla nikasikia mlango ukifunguliwa.

" Ni nini tena ? " Nikajiuliza.

Nikajikuta nikiruka kitandani mithili ya spiderman, mikoni yangu ikatua kwenye sakafu za mbao huku kichwa changu kikielekea chini.

" Naomba rehema yako malkia wangu sikudhamiria kufanya hili " nilizungumza.

" Ingekuwa busara sana kama ungemsitiri kwanza mwanangu, nafahamu kuwa unampa kile asichokipata kwa waita ndomana ananogewa namna hii japo nimechukizwa sina budi kukubali " alizungumza malkia huyo.

Basi nikanyanyuka kumsitiri mfalme, hakuwa mtupu kama mnavyofikiria ni vile maumbile yake yalijichora kutikana na vazi jeupe na jepesi alilolivaa mithili ya sanda .

" Nifuate " alizungumza malkia Dorcas nami nikamfuata.

Kwanza mnajua ilikuwaje? mpaka malkia waita hakufika kwenye chumba changu ilihali alionekana akija huku kwa jazba .

Najua mna hamu ya kujua basi ngoja niwahadithie sasa.

Ilikuwa hivi, kama tulivyoona malkia mkuu ama Dorcas mzuri wa sura mkavu wa roho punde aliposikia utabiri ulivosema aligundua moja kwa moja huyo binti mjamzito ni Amara si mwingine na alipoambiwa mimba ya mfalme itaharibika siku hii alifahamu fika haitaharibiwa na mwingine zaidi ya malkia waita.

Hivyo akaamua kufunga safari kuja chumbani kwangu.

Kama alivyotegemea njiani akakutana na malkia waita akiwa kafura kweli kweli.

Imezoeleka kwa malkia waita kunywea mbele ya mkwe wake, hivyo alijikuta akielezea lile linalo msibu.

" Mama Jampio simuoni chumbani kwake na kama tulivyokubaliana ni lazima nishike minba siku ya leo, kuna kijakazi kanipa uelekeo wake hivyo nimeamua kumfata japo nina mashaka " Alizungumza malkia waita.

" Mashaka gani hayo ? " Aliuliza malkia Dorcas akiwa mkavu kama ndimu.

" Nina mashaka kuwa anatembea na mpishi mkuu " akajibu waita akiwa na uwoga machoni mwake .

" Naona ni muda umeanza kumvunjia heshima mumeo sasa, naona umesahau kuwa ni mfalme wa nchii hii, hebu rudi mara moja chumbani kwako nitahakikisha anakuja kulala nawe siku ya leo " alizungumza malkia Dorcas.

" Lakini mama !!! "

" Nafahamu una uhitaji wa mimba na kulinda cheo chako, niamini nitakusaidia katika hilo" alizungumza malkia Dorcas kisha akampa mgongo waita.

Alijikuta akiachia tabasamu la ushindi pale mpango wake ulipotiki kirahisi sana, uwoga na utii wa malkia waita ulikuwa ni nguvu kubwa ya ushindi machoni mwa malkia huyo.

Basi baada ya mazungumzo hayo, malkia waita akarudi kwenye kasri lake kisha malkia Dorcas akaja chumbani kwangu ambapo alifahamu fika ni nini kinaendelea au atakikuta.

Najua unahitaji kujua nini aliniutia muda ule.

Tukutane kipande kijacho, endelea kuwa na mimi.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPISHI ANA UTAMU WAKE 13&14


SEHEMU YA 13
" Amka buana, haifai wewe kulala kwenye chumba cha kijakazi kama mimi " nilizungumza huku nikimtikisa mfalme aamke.

Nilipoona haamki nilihitaji kutumia njia ya ziada kumtoa mahala hapa.

" Mama Dorcas nimekuletea habari njema sana siku ya leo" alizungumza mtabiri mkuu wa ikulu akiwa mbele ya malkia mkuu.

Kwa namna wanavyoongea waweza sema wana mazoea ya muda mrefu sana, si kawaida kwa kijakazi wa kifalme kunyanyua uso pale anapoongea na malkia.

Upande mwingine za ndani, malkia Dorcas mara kwa mara huonekana usiku kwenye kasri la mtabiri mkuu si haba wanakulana siri kwa siri.

" Ni zipi hizo, masikio yangu yana tamani kuzisikia "...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpishi-ana-utamu-wake-13-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpishi-ana-utamu-wake
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
MPISHI ANA UTAMU WAKE 9 na 10
MPISHI ANA UTAMU WAKE 9 na 10
MPISHI ANA UTAMU WAKE 1 - - - - 5
MPISHI ANA UTAMU WAKE 1 - - - - 5
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 8
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 8
MPISHI ANA UTAMU WAKE 13&14
MPISHI ANA UTAMU WAKE 13&14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.44K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.41K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

836
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

349
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

194
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

169
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

111
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

36
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

35
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

23

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.97K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.06K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.01K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest