SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥3
Tulikaribia ofisini kwetu nilimwambia shemeji nishushe hapa hapa nitatembea
Shemeji aliniambia Sasha naomba jioni ya leo kuzungumza nawewe
Nilimuitikia sawa haya naomba nitolee lock ya mlango nishuke
Shemeji alinitolea lock na kisha akaniambia kazi njema kuwa makini
Nilimuitikia asante nawewe pia kisha nilitoka na kufunga mlango nilianza kutembea pembeni mwa barabara
Akawa anaendesha gari taratibu akiwa sambamba na mimi akaniambia nitakutumia pesa ya kula mchana
Nilimjibu sawa ila nilishindwa kumuelewa kwakweli alikuwa kama sio shemeji yule niliemzoea
Aliniaga kisha aliongeza spidi na kuondoka zake namimi nilikuwa bado natembea huku nikijiuliza
Hakika ameshakuwa waajabu sana sijui nini hiki nikimwambia dada jee atanielewa ila mmmh
Niligunatuu nilikuwa tayari nimefika ofisini kwetu niliingia na kuanza kufanya kazi zangu
Nikiwa hapo nafanya kazi nilihisi simu imeingia msg
Nikaifungua kutizama ilikuwa ni msg ya hela ilikuwa ni shilingi laki moja na nusu
Nilibaki nashangaa mbona laki na nusu zanini zote hizi niliona nimpigie simu nilimpigia shemeji
Kisha alipokea na kuniuliza umepokea mzigo wako
Nilimjibu nimeupata ila mbona hela nyingi hivi yanini nyingine
Alinijibu wewe ni binti utakua unamahitaji yako yamuhimu utanunua
Nilimuambia hapana shemeji sina uhitaji wapesa mimi kwani nina mshahara wangu mwenyewe tafadhari sihitaji hii pesa nairudisha
Shemeji alijibu usiwe hivyo Sasha tumia hiyo hela kwani kunaubaya gani shemeji yako nikikuhudumia
Nilijibu sawa lakini sio kwa sasa tafadhari shemeji naomba uache hiyo tabia
Nakisha niliikatasimu na kuelekea washing room maana nilikuwa najiuliza mengi sana nakosa majibu
Niliirudisha hela yoote kwa shemeji haraka sana kwani niliona sasa shemeji ni kama anataka kuvuka mipaka yake
Na nilipoirudisha niliizima simu yangu na kujiambia kuwa hivi huu ujinga kweli dadaangu akiujua itakuwaje
Na jee taarifa zitakapo wafikia ndugu mjomba na shangazi kuwa mimi nimevuruga ndoa ya binti yao watanielewaje
Watanichukia sana hapana hapanaa sitaki napenda amani muda wote hivyo sitomuambia dada na nitajitahidi kukaa mbali na shemeji ili kujiepusha na haya matatizo
Nilinawa uso nakisha nikajifuta nikaludi kwenye meza yangu yakazi nikaendelea na kazi zangu
Muda wa chakula cha mchana ulipofika nilikuwa sina pesa hata ya chakula sikuhiyo hivyo niliamua kukaa na kuendelea na kazi zangu
Lakini cha ajabu nililetewa chakula na kuambiwa hii nioda yako
Niliuliza nani kanipa yule alieniletea akajibu mimi nimeagizwa tuu na bosi
Niliposikia nioda kutoka kwa bosi nilivuta pumzi na kusema asante mungu kama nibosi wacha nile maana namjua bosi wangu
Nimtu mwenye huruma sana na anaupendo na wafanyakazi wake hivyo nilinawa na kuanza kula chakula
Baada ya chakula niliendelea na majukumu yangu ya kiofisi hadi muda wa kutoka ulifika tulitoka nilielekea kupanda daladala na kuondoka hadi nyumbani
Nilipofika nilimkuta Valentino alikuwa tayari kaludi niliingia ndani na kwenda kuoga kisha nilibadili nguo na kutoka nikaenda jikoni kuandaa mapishi
Valentino aliposikia nimeingia jikoni alikuja na kunisalimia kisha aliniuliza vipi mama atakuja lini naona siku zinaenda
Nilicheka na kumtania mtoto wa mama huyo umemkumbuka kudeka kwa mama sindio eeh
Valentino alinijibu hamna mamdogo bwana mimi nimemzoea tuu bwana mama naona kama akikaa mbali muda nahisi upweke
Nilicheka tena na kumuambia kwani mimi hunipendi mpaka umkumbuke yeye tuu mimi pia nimamaako tena ninae kupenda sana
Valentino alijibu haya basi mamdogo nakupenda pia nakupenda sana
Nikamuambia ok sawa haya utakula nini leo mwanangu kipenzi
Valentino akajibu unajua mamdogo napenda vitu gani wewe fanya mpango wakueleweka
Nilicheka kisha nikamuambia sawa nenda nisubilie nitakuita uje ule sawa kipenzi
Valentino alijibu ok sawa nipo chumbani kwangu najisomea tuu
Niliendelea na kuandaa andaa chakupika jioni hiyo wakatihuo naanda andaa nilisikia gari inaingia katika geti
Nilitoka na kwenda kutizama ninani karudi kutizama lilikuwa ni gari la shemeji nililudi zangu jikoni na kuendelea na mapishi yangu
Shemeji alipaki gari na kisha akashuka na kuja ndani alikuja moja kwa moja jikoni nilipokuwa mimi
Akaniita Sasha
Niliitikia naam shemeji
Akaniuliza umeshindaje na kazi
Nilimjibu salama
Akaniuliza jee ulikula chakula chako
Nikamuuliza chakula gani hicho
Alijibu hukuletewa leo mchana chakula
Nilijibu ndio nililetewa ila sio chakula kutoka kwako kimetoka kwa bosi wangu
Shemeji alitabasam nakisha akaniambia nilimuagiza mimi akuletee
Niliposikia nilielewa na kumuambia kwanini lakini huelewi shemeji
Alinijibu nataka utambue kuwa mimi nakupenda tena sana tuu kuliko unavyo dhania
Na nakuahidi penzi hili hakuna wakulizima nakupenda mno naomba sana kuwa wangu utafurahia
Shemeji alielekea chumbani kwake na kwenda kuoga
Nilitoka na kwenda zangu jikoni kuendelea kupika chakula
Nilimaliza kupika na kuandaa mezani kisha nilienda kumuambia Valentino aje kula nilimuambia aende kumuita na babaake
Tulikaa na kula chakula cha jioni pamoja na baada ya chakula niliweka sawa meza na kusafisha vyombo na jiko
Nilipomaliza nilienda kumtakia usiku mwema Valentino kisha nilienda chumbani kwangu kulala
Shemeji alikuwa bado kabaki sebreni pekeake hivyo alinitumia msg kwenye sim na kuniambia Sasha naomba njoo sebreni tuongee au nije huko chumbani??
Utamu utamuuuuuuuuuuu😋💋😍😋💞😘🫦
Itaendeleaaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100.