Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥4

23rd Jun, 2025 Views 69

SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥4

Shemeji alikuwa bado kabaki sebleni pekeake hivyo alinitumia msg kwenye sim na kuniambia Sasha naomba njoo sebreni tuongee au nije chumbani??

Nilimwambia hapana usije nilitoka na kwenda sebleni kumsikiliza nikamuambia haya niambie

Shemeji akanishika mkono na kuja mbele yangu akanipigia goti kisha akainamia mikono yangu huku akiniambia

Sasha kipnzi nipo mbele yako nakuomba nifungulie moyo wako nikalibishe nakupenda sana unaelewa mimi nimwanaume leo nimekuja namagoti yangu nakuomba nipokee

Nilimjibu hivii shemeji mbona unakuwa hivii unajua kabisa mimi nishemeji yako unawezaje kuniambia hivi

Shemeji alinijibu huu nimoyo shemeji sijakutamani nakupenda sana kuwa wangu mimi pekeangu

Nilimjibu siwezi naomba ondoka hapa niliinuka na kwenda chumbani kwangu nikawa najiongelea mwenyewe hivii huyu shemeji sijui amekuaje jamani

Nikiwa chumbani najiongelesha mwenyewe gafla aliingia shemeji na kuufunga mlango wa chumba changu

Kisha aliniambia nimechoka kukubembeleza Sasha nionee basi huruma niko vibaya nilibaki namwangalia tu alinisukumia kitndn🙄🙄

na kisha alini🙄 ngu o kwa lazima na kuniingizia naniliu akaanza kunifanyaaaa

Alinifanya kisha alipo maliza aliniambia Sasha nisamehe kwa hili lakini tambua nakupnda sana

Nilimjibu toka sitaki kukuona ondoka sitaki hatakukusikia ondoka

Shemeji aliinuka na kuondoka chumbani kwake niliinuka na kwenda bafuni kujisafisha

Nilipomaliza nilipanda kitandani kulala nilikuwa nalia usiku kucha hadi palipokucha niliamka na kwenda kumuamsha Valentino ajiandae kwenda shule

Na mimi nilijiandaa kisha nilipomaliza niliondoka zangu nikawaacha shemeji na Valentino bila kuwaaga

Nilienda kazini nilikuwa namawazo sana sikuhiyo nilikuwa sina raha kwani nilikuwa sina pakwenda mimi

Ningekuwa namahali pakwenda sio siri ningeondoka yaani sina baba wala mama dadaangu binam ndio kajitolea kukaa na mimi

Mjomba na shangazi halizao sio nzuri na ndio waliniambia niende kwa dada anitafutie kazi

Lakini sasa nayapitia haya kwa shemeji yangu sio siri nimeumia mnoo

Nikiwa najiwazia hapo na huku nikitokwa na machozi alikuja mfanyakazi mwenzangu na kuniambia unaitwa na bosi

Niliinuka na kwenda ofisini kuonana na bosi

Chaajabu ofisini kwa bosi alikuwa shemeji yangu nandio kakalia kiti cha bosi

Nilishangaa na kumuuliza unafanya nini shemeji hapo

Alikuja mfanyakazi mwenzangu kuleta faili kisha alimpatia shemeji na kumuambia kazi njema bos kisha aliondoka

Nilibaki nimeshangaa na kumuuliza inamaana hii ofisi niyako wewe eeh

Alijibu hicho ndio ulikuwa hujui sio

Nikamuambia inamaana kumbe hii niofisi yako sio

Nilichukia na kutoka nje nilikuwa namawazo mno nilijiambia niende wapi kwanza nilimpigia sim dada

Nikamsalimia kisha nilimuuliza unaludi lini dada

Akanijibu umenimis sio mdogo wangu eeh

Nilimjibu nimekumis sana pia Valentino jana alikuwa anakuulizia pia

Alijibu nakuja msijali

Nilimuuliza dada hii ofisi ninayofanyia kazi ni ofisi ya shemeji pia

Dada alijibu ndio niyake anaofisi nyingi tuu vipi umejuaje alikuja huko sio

Nilimjibu ndio nimemuona

Dada aliniambia sasa kuwa na amani ofini kwani niofisi yetu wenyewe mdogoangu

Nilikuwa natamani nimuambie dada kilakitu lakini bado naogopa

Tuliagana na kukata sim nikarudi ofisini kwangu nilikuwa namawazo sana nilifanya kazi na muda ulipofika wa kurudi nyumbani nilienda kwenye kituo cha daladala

Wakati nikiwa hapo kituoni alikuja shemeji na kupaki gari kisha alishuka na kuja moja kwa moja nilipokuwa akanishika mkono na kunivuta

Niliinuka aliponivuta mkono akanishika na kunipeleka kwenye gari yake nikamuuliza shemeji kwanini unanifanyia hivi

Hakuongea kitu mpaka kaniingiza kwenyegari na kuwasha gari kuondoka aliondoka kwa mwendo mkali kama amefukuzwa

Tulienda hadi ufukweni mwa bahari kisha alipaki gari na kushuka na kuja kwangu alinifungulia mlango kisha akanitoa kwa nguvu

Alinivuta hadi karibu na maji baharini pale akaniachia na kuvuta pumzi kidogo kisha akaniambia haya unaweza kumaliza hasira zako hapa

Unaweza kulia unaweza kunipiga ukitaka nipige nipige sasha hivii unavyodhani nakunyanyasa siyo kweli wewe ndo unae ninyanyasa mimi

nakupenda sana hujui tuu naumia kiasi gani najua nimekuumiza sana usiku lakini nilifanya hivyo ili unikubali sasha

Naumia unavyolia lia hata mbele za watu hujui namimi naumia kiasi gani

Unajuta kama vile umekuwa hunathamani tena duniani nakuambia sasa ujue kuwa unathamani kubwa sana kwangu nakupenda mnoo acha kujilaumu sasa

Nilimtizama muda wote akiongea hayo na baada ya hapo nilimjibu hivi unajisikia wewe au unaongea tuu

Shemeji alijibu sasha inamaana mimi sieleweki

Nilimmjibu wewe nimume wa mtu shemeji yangu mimi hapa

Japokuwa mimi nibinamu yake na mkeo lakini sio sababu ya wewe kujipa mamlaka ya kujifanya unanipenda huo niuongo na usaliti

Shemeji alijibu kuwa binam haviusiani na upendo wangu kwako nikweli nimekuwa msaliti ila nikuambie nimekuwa msaliti wa moyo wangu mwenyewe

Nimeusaliti moyo wangu kumuoa mtu ambae sikuwa nampend leo nimekutana na mtu nimpendae anae ugusa moyo wangu nashindwa kumsogerea inauma sana

Mbaya zaidi hanipendi kabisa sijui nini nifanye ili aelewe

Nilimchapa kofi nakisha nikaanza kuondoka kwenda ilipokuwa gari

Alikuja na kunikmbtia kwa nyuma alinikmbtia kwa nguvu na aliniomba nitulie kwa muda

Nilikuwa namsukuma sukuma lakini alikuwa ananguvu kunizidi kwani anakifua kipana na kapanda hewani kinyamwezi

Nilitumia nguvu sana mwisho niliishiwa nguvu na kutulia huku nikiwa nadondosha tuu machozi

Shemeji nae alikuwa analia huwezi amini niliona ajabu mtu mkubwa kwangu analia tena kwaajili yangu nilijikuta namfuta machozi huku nikimuambia

Acha kulia basi😰😰 namimi nilikuwa nalia nayeye analia nilimgeukia na kumfuta machozi

Aliniambia Sasha wangu nashindwa kuvumilia kwani kujizuia nimejizuia muda mrefu sana lakini siwezi tena

Nakupenda sana mimi nionee huruma nateseka kwaajiliyako nakuhitaji sana sasha wangu

Endelea kufuatilia......

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHEMU WANGU MTAMUU🫦🔥4  >>> https://gonga94.com/semajambo/shemu-wangu-mtamuu-4
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 34

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 33

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_32

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_31

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _26 & 27

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_25

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA_24

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_23

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_22

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _20 & 21

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA_18 & 19

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA _16 & 17

majario rewards 100 Comments 0
 

SAKINA 14 & 15

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 13

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 12

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 11

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 10

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 9

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 8

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 07.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 06.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 05.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 04.

majario rewards 100 Comments 0
 

TAMU YA SAKINA 03.

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 38

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

MARIA Sehemu ya 7

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 37

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA sehemu ya 36

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest