Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BILIONEA NDANI YA HOTELI 45,46,47,48
Gonga94 · Stories

BILIONEA NDANI YA HOTELI 45,46,47,48

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


‘”Elekea sasa hiivi AQ HOSPITAL, abby yupo hapo kamsaidie anaumwa “

“ embu achana na abby nataka tuonane mimi nawewee sasa hivii ,, kuna jambo muhimu sana kuhusu masha inatakiwa ujue”

Alberto alichukia hata kuficha hasira zake alishindwa et achana na abby moja ya kauli iliyo mchefua nafsi halafu tuongee kuhusu mashaa? Alberto alihisii kupasuka kama Rahul angekuwa mbele yake nina uhakikaa angempasua hata na ngumi ……….

“rahulll embu acha upuuzi nenda kamjali abby nipo kwenye kikao ,, sitaki hizo Habari zingine kuzisikia” alifoka akaikata simu hakutaka story zingine Rahul aliguna tu eeh mpaka pombe zikapungua

Watu wote kwenye kikao wakabaki kumshngaa boss wao kawaa mbogo gaflaa ,, Rahul akainuka haraka kuwahi huko …..
Masha kila sec na dakika zilivyosogea ndio maumivu yalizidi kuwa makubwa kila sec maumivu yalikuwa afadhalli sec ile iliyoisha …

Alishindwa kuvumilia damu nyingi sana zilikuwa zinamtoka kwa kasii ,, maria alisikia kelele za uchungu zinatoka ndani kwa bosss wake akawaahi , akajikuta anaziba mdomo kwa anacho kiona kitandani kilikuwa kimetapakaa dam muda huo akaingia boazi nae alizisikia zile kelele ,akamkuta maria ameduwaa hajui anatakiwa kufanya ninii ….

“ nisaidien ,,nisaidien nipelekeni hosptall” boazi alimuinua haraka mpaka ndani ya garii masha alimwambia boazi ampeleke hosptl ambayo vero ndiio anafanya kazi ,, Aliona huko itakuwa rahisi kwake kuhudumiwa ,,

46 na 47 ( SEASON THREE)

Vero hana hili wala lile anashangaa kuona boss wake analetwa hapo mbio mbio ,, alielewa nini kinaendelea maana ni yeye ndie alimwambia dawa za kutolewa
“shog angu chunga mdomo wako usije kuniharibi kibarua ‘”
Vero akamuinamia masha akamwambia kwa sauti ya chini masha alikuwa na hali mbayaa hata hakutoa jibu kwanza Aliona ancheleweshwa kupatiwa hudumaa

Bozi alisubili kwa muda akaletewa majibu ya mgonjwa wake,, akaulizwa ni nani yako akaongopa kuwa ni dada yake akaambiwa dada yako alikuwa anajaribu kutoa ujauzito ametumia dawa kali sana”

Boazi kichwa kikamuuma mimba yangu auuu???,, kama ya mume wake kwanini aitoeee”

Rahul alifika mpaka hospital hamjui recho wala abby lakini baada tu ya kumuona recho pale eneo la kusubiri alihisi ,recho alikuwa na wasi wasi mwingiii na uoga kamsogelea akamwambia habar yako ...recho akajibu salama
“wewe ni ndugu yake na abby”

“ndio,,ndio doctor ni mimiii”

“ooh mimi sio doctor ni ndungu yake mr qassano ,amenituma hapa ,,mgonjwa yupo wapi??

“ooh samahani ,, walimpeleka hukoo bado hawajaja”

“narudi ngoja nikaonane na daktar”

Rahul alienda mpaka kwa doctor akauliza hali na maendeleo na tatizo haswa ni ninii”

Ametumia dawa imepelekea kuharibu mji wa mimba tunampeleka kwenye upasuaji tuone kam tunaweza kunusuru mtoto “

“yaan unataka kunambia doctor alikuwa anataka kuharibu mimba eeh”

“ siwezi kusema hilo moja kwa moja pia sina uhakika mana mimba imekamilika kujifungua kama angehitaji kuharibu nina uhakika angeiharibu kabla hajafika huku ,, inaonesha kuna kimiminika alikunywa ndio sababu “

“ naweza kumuona?”

“haina shida kiongozi yupo katika wodi anaandaliwa Kwenda fyeta ...

Rahul akatoka haraka Kwenda huko wodini kumuwahi huyo abby akamtazame ,, akili yake inamuona labda kweli alitaka kuuwa mtoto mpaka akajikuta anasema wanawake wa huku bwana hawaishiwi vioja

Recho alimuona huyo kaka aliejitambulisha ni ndugu na qassano ikabidi ainuke kumfata mbio akamuita kakaa kakaaa…

Rahul akageuka akamwambia ooh wewe okay naitwa Rahul we unaitwa nani

“naitwa recho ,, umeambiwaje na doctor”

“mlikuwa mnataka kutoa mimba auu??” Rahul alimuuliza badala ya kumjibu swali lake tena aliuliza kama mtu asie jali lolote ,, na pombe alikuwa nazo kichwani bado ndo kabisa walikuwa wanamchanganya tu

“we kaka kuwa mstarabu basii ,, nilijua hata una akili mfyuuu” recho nae alishindwa kuficha hasira zake kauli ya Rahul ilimkera sanaa

“naitwa Rahul”
utajua mwenyewe siongei na wa….. jamani Vicky ‘ “ recho akaacha kuongea na Rahul baada ya kumuona Vicky anatolewa ndani ya wodi

Akakimbia kumfata ,, Rahul alisikia jina la Vicky akamtazama haraka mtu alieitwa Vicky maana yeye anajua mtu aliemfata ni abby

itaendelea

48 ( SEASON THREE)

Macho ya Rahul yalikutana na uso wa mwanamke ambae alimtafuta kwa muda mrefu alimuulizia sana alikuwa na hamu ya kumuona sanaaa

Mwili wote ulimsisimkaa mpaka alihisi kuruka juu sijui kwa furaha au huzuni akaita vickyy ooh Godness Vicky it’s youuu?????

Vicky hakuwa na
shida na Rahul , hakuwahi kumuwaza hata kumkumbuka tu hakuwahi ,,, kumuona Rahul mbele yake alimuona kama mtu anaefahamina nae tuu

Rahul alipiga hatua za haraka haraka akamsogelea Vicky akamwambia ness tafadhali naomba sec kadhaa ness akamwambia “abby sec kaadhaa vumilia “

‘wewe ndio abby,, et huyu ndio abby???” Rahul kendelea kupiga na mishangao isiyoisha Vicky kwenye maumivu hayo hayo aliushika mkono wa Rahul akamwambia
“naomb unisaidie kituu ,, sitamani kumpoeza mwanangu lakini kuna asilimia chache za yeye kupona,, tafadhal sanaa Rahul naomba unisaidie kupata saa yangu kutoka kwa masha hicho ndio kitu pekee baba wa mtoto aliiniachia naweza kuwa namkumbuka mwanangu kupitia hiyo saa sihitaji kusahau niliko pitaa’

“saaa?? Saa ya aina gani unasemea saa za ,,,”

Rhuli akatoa simu yake harakaharaka huku anatetemeka mana kitu alicho kuwa anakiwaza kilikuwa kinammaliza nguvu kabla hajathibitishiwa

“saa hiii” alionesha saa ya Mr alberto , saa ghali sanaa huwezi kuipata wala hakuna mtu Tanzani anaimiliki saa hiyo labda utasema zimefanana

“ndio Rahul naomba unisaidie niipate hiyo ndio kumbu kumbu pekee ya mwanangu’”

“hahh mungu wangu Vicky unasema et haha eeeh”
Recho alishamtoa akili mr Rahul tangu mwanzo na hapa livyocheka ndio kabisaa akona hili baba bure kabisa

“jamani anaumia huyu embu mpelekenii “
Recho Aliona aue mada ,, ma ness walimtazama Rahul mana ndie kiongozi hapo lakini recho hakuwa anajua Rahul alitikisa kichwa kumaanisha wafanye hivyo

Recho alikuwa amekaa kwenye bench kimya akiomba mungu na nafs yake Vicky atoke salama yeye paamoja na mwanae

Rahul hata kiti hakukiona alikuwa anatembea Kwenda na kurudi kordo nzimaa akisimama ananza kuchekaa,,, hakuwa anacheka kwa dhihaka au pombe bado ipo kichwani kam recho alivyokuwa anamchukulia hapanaa,, Rahul alikuwa kachanganyikiwa mpaka anashindwa kuyabeba mambo kichwani

“ kwahiyo alikuwa Vicky na sio mashaa,, hahah daah kwa kipindi chote hichii!!! Kwahiyo mimba ni ya alberto?? Ooh mungu wanguu kwahiyo abby ni Vicky na qassano ni alberto , hahah aisee hii imetulia sanaa hii hahahahahahahahhahaha “

Alicheka kwa sauti mpaka maness walio kuwa karibu walimshangaa huyo recho ndo kabisaa akashindwa kuvumilia akasony huku anajiongelea kumbe ndugu zake shem akili vi…”

“sikia we dadaa!! Kwanin.. ooh no sio hivyoo ,, Vicky alikunywa ninii??”

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTELI 45,46,47,48



‘”Elekea sasa hiivi AQ HOSPITAL, abby yupo hapo kamsaidie anaumwa “

“ embu achana na abby nataka tuonane mimi nawewee sasa hivii ,, kuna jambo muhimu sana kuhusu masha inatakiwa ujue”

Alberto alichukia hata kuficha hasira zake alishindwa et achana na abby moja ya kauli iliyo mchefua nafsi halafu tuongee kuhusu mashaa? Alberto alihisii kupasuka kama Rahul angekuwa mbele yake nina uhakikaa angempasua hata na ngumi ……….

“rahulll embu acha upuuzi nenda kamjali abby nipo kwenye kikao ,, sitaki hizo Habari zingine kuzisikia” alifoka akaikata simu hakutaka story zingine Rahul aliguna tu eeh mpaka pombe zikapungua

Watu wote...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hoteli-45-46-47-48

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi bilionea-ndani-ya-hoteli
BILIONEA NDANI YA HOTELI  53__54       (  SEASON THREE)
BILIONEA NDANI YA HOTELI 53__54 ( SEASON THREE)
BILIONEA NDANI YA HOTELI  55__56      (  SEASON THREE)
BILIONEA NDANI YA HOTELI 55__56 ( SEASON THREE)
BILIONEA NDANI YA HOTELI 49/50     (  SEASON THREE)
BILIONEA NDANI YA HOTELI 49/50 ( SEASON THREE)
SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli
SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 20
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 20
BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40
BILIONEA NDANI YA HOTELI EP40
BILIONEA NDANI YA HOTELI  EP 30
BILIONEA NDANI YA HOTELI EP 30
SEHEM YA 14    MWANDISHI ::HURU MEDIA  Bilionea ndani ya hoteli
SEHEM YA 14 MWANDISHI ::HURU MEDIA Bilionea ndani ya hoteli
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 15
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 15
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 17
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest