“kwan si umesema alikuwa anatoa mimba unakuja kuniuliza nini tena hapa” recho alimjibu huku anainuka kuhama hilo eneo ,, Rahul akamvuta mkono
“okay Samahan kwa yale niliyoyasema mwanzo sikujua kama ni Vicky ,,Vicky ni mwanamke wa thamani sana kuliko hataa pumzi zanguu,,tafadhal nijuze alikunywa nini na ilikuwaje akanywa”
Recho alimtazama chinii akampandish juu ‘juice mfyuu” recho akamsonya huku anageuka pembeni akamtupia na jibu lake
“juice?? Hakuna kingine maana doctor wanasema ametumia dawa za kuharibu mimba”
Recho ndo akashtuka hakuwa anaelewa nini kinaendele tangu mwanzo unasema ninii wewee??”
“juice ndio ilikuwa kitu cha mwisho au kuna kingine alitumia “
“noo ,ni juice ndio na baada ya kunywa ndio tumbo likaanza kumuuma “
“juice gani na aliitoa wapi”
“juice ya mtunda aliletewa na rafiki yake” recho aliishiwa pozi baada y kupokea maelezo y kutosha kutoka kwa Rahul ,, ilikuwa inakuja inakataa sasa kwanini yule mtu amuwekee dawa
Rahul akamuuliza hiyo juice ipo akasema ndio hakuimaliza akamwambia twende tukaichukue ifanyiwe uchunguzi ,, waliondoka haraka kurudi nyumban , wakachukua juice ,,, wakati wamefika getin kuingia hospital walikutna na alberto nae ndio alikuwa anafika akamuwahi recho kumuuliza vipi hali ya abby , akamwambia ndio ameingizwa kwenye upasuaji
Rahul akamsogele boss wke akamwambia nenda nyumbani kwa masha kachukue ile saa yako ulio mpatia kipindi kile then njoooo nayo hapaa
Alberto akaona huyu nae namchanganyia mada tu hapaa akasema siwezi Kwenda hukoo
Rahul akamsogelea kwa hasira akamkaba koromeo kwa nguvuu mpaka albrto akanza kukohoa yaan Rahul kama kachanganyikiwa et hata alberto limshngaa haijawahi kutokea ,, akamwambia kwa kufok nenda kaichukue ile saa njoo umpe Vicky ,, alberto akasema vickyy ,,Vicky ganii ??”
50 ( SEASON THREE)
“okay ni abby,,, iwe abby awe Vicky whatever kalete ile saaa kabla ya jua halijachomoza ,, akamsuukuma alberto hajawwahi kumuona hivi Rahul ikabidi achuke gari Kwenda nyumbni kwa masha hakuwa anataka hata kidogo kuonana na masha ..
Aligonga geti kwa muda likafunguliwa na maria akamuuliza bos wako yupo wapi akampa maelezo kilichotokea ,, akili yake ilikuwa inamuwaza tu Vicky wakati huo akauliza u hoosptal aliyopelekwa masha ili akitulia aende kumuona ,, akaingia chumbani kwa masha akasasambua kila kona kutafuta saa ,, kweli aliikuta kwenye dro za dresstabble …
Akaichukua fast na kutoka kurudi hospital ,,,,
alikutan na Habari njema ambazo hatokuja kusahau hisia alizo pata hapo ,, akapewa tarifa abby amejifungua mtoto wa kike na ametoka salama hakuna ambae taarifa hizi hazikumfurahisha kila mtu alifurahi lakini alberto yeye ilikuwa mara elfu yaoo ,, wakaomba kumuona mama wakaambiwa watamuona baada ya masaa nane ndio atakuwa sawa ataweza hata kuongea kwa sasa hivi haruhusiwi kuongea
Alberto aliomba sana Kwenda kumuon mtoto alikuwa chumba cha uangalizi wa Watoto,, wakingia kumtazama mtoto ,,,
“Mungu wanguuu!!!!”recho ndio alikuwa wa kwanza kustuka akaziba mdomo wake baada ya kumuona mtoto
“samahani ness ,, sijui umetuchanganyia mtotoo” Me alberto yeye alimuwahi ness aliekuwa anatoka baada ya kuwaonesha kitanda cha mtoto wao
‘”nyie nii ndugu wa Abigael??”
“ndio”
“yeah ndo mwanae huyoo”
Alberto alisogea taratibu mpaka karibu kabisa na kitanda cha mtoto huku anamtazama kwa makini kitu alichokuuwa anatarajia na hichi kipo mbele yake vilimchanganya sanaa ,, Rahul alijikuta anacheka sanaaaaaa ,,
ni yeyee pekeee ndie alikuwa anaelewa mpaka sasa nini kinaendelea,,recho alikuwa kainama chini hajui aulize niiini au aseme ninii moyoni alibak kusema Vicky hadi yeye alimuongopea
Rahul alimuinua mtoto akamshika mikononi akamwangalia kwa ukaribu ,, mtoto alikuwa mzungu puree hakuchanganya hata kwa mbalii sura yake na alberto kama zimetolewa copy ,, midomo pua macho hata masikio yalikuwa alberto mtupuu
Ness akaja na sindano kwa ajili ya kumchoma mtoto ,, akamuangalia alberto
”wewe bila shaka ndio baba wa mtoto aisee kama unamashine hahah hongera una ka bint kazuri sanaaa”
itaendelea.....
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments