Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPENDA NDEFU 13
Gonga94 · Stories

MPENDA NDEFU 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MPENDA NDEFU 13 ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

ENDELEA........
Niliwakuta Joyce na Vanesa wakiwa uchi kabisa tena wamelaliana.
"Mmmmh hawajasagana kweli hawa!?" nilijiuliza na sikutaka kuwasumbua zaidi kufanya kilichonipeleka chumbani.
Nilijiandaa na baada ya kumaliza nilitoka chumbani na kupitia upande wa sebleni na kumkuta Sarah au binti mdogo wa kazi akichakalika na kazi ya kudeki.
"Shikamoo dada!"
"Marahaba mdogo wangu, pole na kazi!"
"Ahsante!"
Nilitoka mpaka nje nikimuacha Sarah akiendelea kudeki.

Kwakuwa kulikuwa na kaumbali basi ilibidi nichukue usafiri na kwenda mpaka sehemu anayoishi dada, nilifika na kukutana na ugomvi uliokuwa ukiendelea kati ya dada na shemeji na baadhi ya watu walikuwepo akiwemo John pamoja na Amina waliokuwa wamesimama pembeni, siku hiyo nilielewa ni wapi John anapoenda kulala karibu kila siku na nilikuwa na uhakika huwa analala kwenye chumba cha Amina

Ugomvi uliokuwepo ni dada kumtimua shemeji yaani hakutaka aendelee kuishi kwenye chumba chake na nilishangaa zaidi pale shemeji aliposema kuwa Eliza usiku uliopita alilala na mwanaume chumbani, Niliamua kuwa upande wa dada na sio upande wa shemeji na kwa hasira shemeji alichukua vitu vyake na kuondoka na watu walitawanyika baada ya ugomvi kumalizika.

Mimi, dada pamoja na Amina tuliingia ndani lakini John aliamua kuondoka.
"Dada ivi kimetokea nini kwanza na mwanaume yupi ulikuwa naye jana!"
Hakutaka kuniambia mwanaume aliyekuwa naye usiku uliopita zaidi ya kuniambia tu amemchoka shemeji ndiyo maana kamtimua.
Jinsi walivyokuwa wakiangalia na Amina nilianza kupatwa na wasiwasi kidogo, niliamini kuna kitu wanachonificha na hawataki kuniambia.
Basi tuliongea mengi na siku hiyo niliamua kushinda na Amina kwenye kibanda changu cha matunda alichokuwa akikisimamia kwa mda.
Eliza yeye alienda kwenye kazi yake anayoifanya siku zote.

Mida ya saa 1 jioni nilimuaga Amina na kugeuza kwa ajili ya kurudi ninapoishi lakini nilipigwa na butwaa kwa mbali nilipomuona Juma akiwa pamoja na dada yangu Eliza.
"Jamani huyo si Juma au naona vibaya!"
Yaani kama kulikuwa na mtu pembeni yangu niliyekuwa naongea naye wakati nilikuwa mwenyewe tu!, nilitaka kusogea mpaka wao walipo ila moyo ulisita na kuamua kuwafatilia ili nione mwisho wao ni upi.
Kingine kilichonifanya niamue kuwafatilia ni baada ya kukumbuka siku aliyoniambia Eliza kuwa anatamani kumpa utelezi Juma ili aone ukubwa wa mtalimbo wake ukoje, nilihisi huwenda wapo kwenye kampeni ya kugawiana utamu.

Nilianza kuwafata taratibu pasipo wao kuniona na macho yalinitoka baada ya kuwaona wakiingia wote ndani ya chumba cha dada na kabra hawajafunga mlango nilikimbia na kuusukuma mlango na kuingia ndani.
"Happy!"
"Dada!? mbona upo na mpenzi wangu!"
Wote waliniangalia baada ya kuwafuma na Eliza alikuwa ni mwenye aibu.
"Ngoja tu nikwambie ukweli mdogo wangu ila samahani na usinifikirie vibaya!, Kiukweli kabisa mimi jana nilifanya mapenzi na Juma na ndiyo maana nilimfukuza shemeji yako, nimevutiwa na huyu mwanaume Happy naomba uniachie mdogo wangu tafadhali!"
Nilijua kilichomvutia ni ukubwa wa mtalimbo tu wa Juma na ufundi wake kitandani na sio kingine.

Niligeuka na kuondoka zangu bira kuongea kitu chochote yaani nguvu zote ziliisha baada ya dada kumchukua Juma, licha ya kuwa mda mwingi niliutumia kusagana na Mke wa Boss ila Juma alikuwa na nafasi yake, joto la mwanaume sio sawa na joto la mwanamke na mboo ya mwanaume sio sawa na mboo bandia, niliumia kiufupi kwa kitendo cha Eliza kunichukulia Juma.

Nilifika home huku nikiwa sina raha kabisa na karibu kila mtu alijua sipo sawa hasa Mke wa Boss aliyeniita pembeni na kuanza kuniuliza kipi kilichokuwa kikinisumbua.
"Mimi nipo sawa tu baby!"
"Sijazoea kukuona hivyo kwanza leo hujashinda hapa nyumbani, najua lazima kuna kitu umekutana nacho huko kilichokuumiza!"
Aliendelea kunisisitizia nimwambie ukweli na mwisho nilijikuta nikifunguka kila kitu kwake kwa kumwambia kile kilichonikuta.
"Pole sana baby, mimi ndiyo maana huwa napenda tusagane tu sisi kwa sisi hawa wanaume ni pasua kichwa hawa!"
"Lakini mimi sitaki kuishi haya maisha ya kusagana tu nataka niwe na mwanaume wa kutengeneza naye maisha na familia!"
"Ila vipi kama ukimpata wa kuwa anakutuliza tu kihisia utatulia hapa hapa nyumbani au!?"
Mawazo yalikuwa mbali na mimi sikusikia vizuri kile alichoniuliza ila nilitikisa kichwa tu nikimkubalia.
"Basi sawa ngoja nitaangalia namna ya kukusaidia, najua unapenda mipini ya wanaume na mimi napenda huduma yako sitaki uende mbali na mimi kabisa Happy maana Rebeca ameshahama hayupo tena, sina mwanamke mwingine wa kufanya naye zaidi yako!"
Yaani nilikuwa ni mtu wa kukubali tu kile alichokuwa akikisema Mke wa Boss.

Ila kiukweli kuna watu mbigu wataisikia tu, sijui kama Mke wa Boss alikuwa timamu kwenye kichwa chake, nasema haya kutokana na maamuzi aliyoamua kuyafanya yaliyoniacha mdomo wazi na kubaki kwenye mshangao mkubwa usiku huo, baada ya wote kumaliza kula dinner ya usiku Vanesa na Joyce walichukuana na kupelekana chumbani tena wakiwa na haraka kweli, licha ya kuwa nilikuwa na mawazo yangu ila nilikumbuka asubuhi nilivyowakuta wamelaliana, moja kwa moja nilipata jibu kuwa lazima nao wameanza kusuguana wakate upwiru wao.

Mimi niliingia kwenye chumba cha Boss kwa ajili ya kulala maana nilikuwa nimeshazoea na kukichukulia kama chumba changu tu, nikiwa chumbani nilishangaa kumuona Mke wa Boss akiingia na mwanaume chumbani na kuufunga mlango.......ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPENDA NDEFU 13

MPENDA NDEFU 13 ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

ENDELEA........
Niliwakuta Joyce na Vanesa wakiwa uchi kabisa tena wamelaliana.
"Mmmmh hawajasagana kweli hawa!?" nilijiuliza na sikutaka kuwasumbua zaidi kufanya kilichonipeleka chumbani.
Nilijiandaa na baada ya kumaliza nilitoka chumbani na kupitia upande wa sebleni na kumkuta Sarah au binti mdogo wa kazi akichakalika na kazi ya kudeki.
"Shikamoo dada!"
"Marahaba mdogo wangu, pole na kazi!"
"Ahsante!"
Nilitoka mpaka nje nikimuacha Sarah akiendelea kudeki.

Kwakuwa kulikuwa na kaumbali basi ilibidi nichukue usafiri na kwenda mpaka sehemu anayoishi dada, nilifika na kukutana na ugomvi uliokuwa ukiendelea kati ya dada na shemeji na baadhi ya watu walikuwepo akiwemo John pamoja na Amina waliokuwa wamesimama pembeni, siku hiyo nilielewa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpenda-ndefu-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpenda-ndefu
MPENDA NDEFU 01
MPENDA NDEFU 01
MPENDA NDEFU 02
MPENDA NDEFU 02
MPENDA NDEFU 04
MPENDA NDEFU 04
MPENDA NDEFU 06
MPENDA NDEFU 06
MPENDA NDEFU 05
MPENDA NDEFU 05
MPENDA NDEFU 03
MPENDA NDEFU 03
MPENDA NDEFU 14
MPENDA NDEFU 14
MPENDA NDEFU 21
MPENDA NDEFU 21
MPENDA NDEFU 16
MPENDA NDEFU 16
MPENDA NDEFU 15
MPENDA NDEFU 15
MPENDA NDEFU 17
MPENDA NDEFU 17
MPENDA NDEFU 10 ?
MPENDA NDEFU 10 ?
MPENDA NDEFU 19
MPENDA NDEFU 19
MPENDA NDEFU 20
MPENDA NDEFU 20
MPENDA NDEFU 11 ?
MPENDA NDEFU 11 ?
MPENDA NDEFU 18
MPENDA NDEFU 18
MPENDA NDEFU 09
MPENDA NDEFU 09
MPENDA NDEFU 07
MPENDA NDEFU 07
MPENDA NDEFU 08
MPENDA NDEFU 08
MPENDA NDEFU 12
MPENDA NDEFU 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.6K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

1.32K
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

368
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

223
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

194
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

152
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓

121
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

74
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

45
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

36

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.97K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.66K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.06K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.01K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest