Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPENDA NDEFU 20
Gonga94 · Stories

MPENDA NDEFU 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MPENDA NDEFU 20 ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

ENDELEA........
Tulijiandaa na baada ya kumaliza tuliondoka na Aisha aliniambia tuelekee kwanza nyumbani kwao mara moja, sikutaka kukataa maana yeye ndiye aliyekuwa muendeshaji.
Tulifika na kukutana na kikao cha familia.
"Bora umekuja, aya njoo ukae hapa!"
Ilibidi nitoke nje na kumuacha Aisha akiongea na familia yake baada ya kuambiwa na baba yake.

Zilipopita dakika 5 Aisha alitoka nje huku akiwa na hasira.
"Tuondoke!"
"Kuna nini mbona uko hivyo!"
"Wazee wananilazimisha niolewe ili niondoke nyumbani!"
"Mmmmh! pole shoga!"
Aisha hakutaka hata kuitikia pole niliyompa zaidi ya kuingia kwenye gari. Nilipanda na safari ilianza huku muendeshaji akiwa ni yeye mwenyewe, tulifika sehemu kulipokuwa na magari mengi yamepaki.
"Ngoja tuanze na hapa shoga!"
"Kivip tena!"
"Aaaaah unanikera bhana yaani mpaka sasa ivi hujaelewa tu!"
Alifoka kwa hasira na kuisogeza gari karibu kabisa na magari yalipokuwa na kuipaki.

Aisha aliizima gari na kutulia ndani ya gari.
"Sasa subiri tukimuona mwanaume anayeleweka tunaluka naye!"
"Basi sawa!"
Tulikaa zaidi ya nusu saa bira kuona mwanaume yoyote yule na mwisho nilianza kukata tamaa na niliona tunapoteza mda bure ila Aisha alishuka ndani ya gari na kwenda kuchomoa waya wa kwenye betry la gari ili gari isiweze kuwaka na Baadae alirudi ndani ya gari na kutulia.

Dakika mbili mbele tulianza kuona watu tofauti tofauti wakisogea na yalipokuwa magari na kuanza kuingia ndani ya magari yao, baadhi walikuwa ni wanaume na wengine walikuwa ni wanawake.
Aisha alishuka kwenye gari na kuniacha mimi ndani ya gari, alisogea mpaka sehemu kulipokuwa na kijana wa makamo aliyekuwa kavaa kitanashati na kuongea naye.

Sijui alichomwambia kwakweli ila tu niliona akiongozana na kijana aliyekuwa akiongea naye mpaka kwenye gari nilipokuwa mimi.
"Kaka gari yetu ndiyo hii!"
"Poleni sana jamani!"
"Ahsante sana kaka yangu yaani hapa tunashindwa cha kufanya jamani na tulikuwa tunawahi ofisini"
Mkaka wa watu alisogea mpaka upande wa mbele wa kwenye gari na kuangalia tatizo nini na ndipo alipoona waya wa betry la gari ukiwa umechomolewa.
"Mbona tatizo dogo tu dada angu!?"
Aisha aliniangalia na kumsogelea.
"Kwani tatizo nini kaka!?"
"Tatizo ni huu waya tu!"
Aliurekebisha vizuri na baada ya kumaliza Aisha aliingia ndani ya gari na kuiwasha gari na kweli ilikubali kuwaka.
Alitoka ndani ya gari mbio mbio na kwenda kumkumbatia mkaka wa watu tena akimbusu kabisa kwenye shavu lake.
"Ahsante sana kwa msaada wako jamani!"
"Usijali ni kawaida tu!"
Aisha alimwomba namba yake ya simu huku akiwa na maana yake na kijana aliitoa, baada ya hapo waliagana na kijana alielekea kwenye gari lake na kuondoka.

Aisha alinisogea na kuniambia.
"Mimi tayari nimepata namba bado wewe changamka shauri yako wewe kaa kizembe hapa!"
"Mmmmh sasa mimi nifanyeje Aisha!"
"Tumia akili mtoto wa kike mjini hapa!....
Ngoja kwanza kuna mwingine huyo uko"
Haraka alisogea upande wa mbele wa gari na kuutoa waya tena kwa mara nyingine na kumkimbilia mwanaume aliyemuona akiingia kwenye gari lake.
Aliongea naye na baada ya mda alikuja naye mpaka kwenye gari.
"Oooh poleni sana warembo ngoja nimpigie fundi wangu aje!"
"Kaka jamani hawa mafundi hawaeleweki huwa wanataja bei kubwa mno!?"
"Msijali nitalipia mimi!"
Aisha aliniangalia na kunikonyeza kuwa tayari kaisha ingia kwenye mtego wake.

Alimpigia simu na baada ya kumaliza kuongea naye ndipo Aisha alipoanza kujibebisha sasa huku akimshukuru na akimuuliza ampe kitu gani ili afurahie mwenyewe.
"Hahahahahaha haina haja ya kunilipa mimi nimewasaidia tu!"
"Jamani sema tu mimi nipo tayari kukupa unachotaka maana msaada uliotufanyia ni mkubwa mno!"
"Tetetetetetetete!"
Aliachia kicheko na kwa jinsi alivyokuwa alionekana ni domo zege kweli kutongoza mwanamke.
Aisha alimsogelea karibu na sijui waliongea nini ila niliwaona tu wakipelekana mpaka kwenye gari lake.
Walitumia mda mrefu kidogo na gari lilikuwa likitikisika kwa mbali.
"Mmmmh Aisha tayari anazagamuliwa!?"
Niliongea mwenyewe huku nikipiga piga mikono nikiwa siamini kabisa kama Aisha anatiwa kwenye gari.

Baada ya mda Aisha pamoja na mwanaume waliyekuwa naye kwenye gari walitoka wote ndani ya gari na mda huo huo alifika fundi wa gari aliyekuwa amepigiwa simu.
Walisogea nilipokuwa mimi huku Aisha akitabasamu na fundi aliangalia tatizo la gari ni lipi.
"Mbona tatizo dogo tu hili!"
Fundi alizungumza huku akiuchomeka waya kwenye betry la gari.

Alilipwa pesa yake na kuondoka akiwa na mwanaume aliyeamua kutusaidia na baada tu ya wao kuondoka Aisha aliingia kwenye gari na kusogea karibu yangu.
"Shoga unaona!, mambo haya shoga yangu uhuuuuuu!"
Aliongea huku akizitoa pesa zilizokuwa kwenye pochi yake akiziweka pembeni.
"Weeee usitake kuniambia amekupa zote hizi!?"
"Amini shoga yangu, nimeikalia na kuinyonga kama nataka kuivunja mbaba wa watu ubongo ukata kutoka!"
"Mmmmh!"
"Kwanza tuondoke asije akarudi bure!"
Aliwasha gari na kuiondoa maeneo yale.

Huo ndiyo ulikuwa mtindo wa maisha yetu, hata mimi nilijikuta nikitumia mtindo huo kutafuta wanaume wenye uwezo kiuchumi, licha ya wengi kutokuwa na mitalimbo mirefu ila tulizingatia maokoto tu mimi pamoja na Aisha, pia Benson aliendelea kulala na sisi tena tulikuwa tukimtaka wenyewe ili tu aturidhishe maana yeye alikuwa na mbo ndefu na wote tulikuwa wapenda ndefu.

Aisha naye aliamua kuhama kabisa nyumbani kwao na kuhamia kwenye chumba nilichokuwa nikiishi mimi lodge.....ITAENDELEA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHAMIRA fully episode
SHAMIRA fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPENDA NDEFU 20

MPENDA NDEFU 20 ??
WhatsApp……...0613083801
Umri………………..18+

ENDELEA........
Tulijiandaa na baada ya kumaliza tuliondoka na Aisha aliniambia tuelekee kwanza nyumbani kwao mara moja, sikutaka kukataa maana yeye ndiye aliyekuwa muendeshaji.
Tulifika na kukutana na kikao cha familia.
"Bora umekuja, aya njoo ukae hapa!"
Ilibidi nitoke nje na kumuacha Aisha akiongea na familia yake baada ya kuambiwa na baba yake.

Zilipopita dakika 5 Aisha alitoka nje huku akiwa na hasira.
"Tuondoke!"
"Kuna nini mbona uko hivyo!"
"Wazee wananilazimisha niolewe ili niondoke nyumbani!"
"Mmmmh! pole shoga!"
Aisha hakutaka hata kuitikia pole niliyompa zaidi ya kuingia kwenye gari. Nilipanda na safari ilianza huku muendeshaji akiwa ni yeye mwenyewe, tulifika sehemu kulipokuwa na magari mengi yamepaki.
"Ngoja tuanze na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpenda-ndefu-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpenda-ndefu
MPENDA NDEFU 01
MPENDA NDEFU 01
MPENDA NDEFU 02
MPENDA NDEFU 02
MPENDA NDEFU 04
MPENDA NDEFU 04
MPENDA NDEFU 06
MPENDA NDEFU 06
MPENDA NDEFU 05
MPENDA NDEFU 05
MPENDA NDEFU 03
MPENDA NDEFU 03
MPENDA NDEFU 14
MPENDA NDEFU 14
MPENDA NDEFU 21
MPENDA NDEFU 21
MPENDA NDEFU 16
MPENDA NDEFU 16
MPENDA NDEFU 15
MPENDA NDEFU 15
MPENDA NDEFU 17
MPENDA NDEFU 17
MPENDA NDEFU 13
MPENDA NDEFU 13
MPENDA NDEFU 10 ?
MPENDA NDEFU 10 ?
MPENDA NDEFU 19
MPENDA NDEFU 19
MPENDA NDEFU 11 ?
MPENDA NDEFU 11 ?
MPENDA NDEFU 18
MPENDA NDEFU 18
MPENDA NDEFU 09
MPENDA NDEFU 09
MPENDA NDEFU 07
MPENDA NDEFU 07
MPENDA NDEFU 08
MPENDA NDEFU 08
MPENDA NDEFU 12
MPENDA NDEFU 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.62K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89

1.39K
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

232
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

194
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

157
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓

154
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

80
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

48
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

39
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12

30

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.97K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.66K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.06K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.01K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest