Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MR ARROGANT 14&15*
Gonga94 · Stories

MR ARROGANT 14&15*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



Hatimae Mchana ulipita, jioni ilipokaribia, Leon alimpigia Jasmine simu.
“Njoo ofisini kwangu kabla hujaondoka.”
" Sawa boss.
Baada ya sekunde chache Jasmine alifika ofisini kwa Leon alikaa kwenye kiti bila hata kuambiwa.
“Boss, umeniita?” aliuliza kwa tabasamu.
Leon alinyanyuka taratibu, akamfuata kwa hatua huku akiwa ameweka mikono yake mifukoni, akimtazama kwa macho ya moja kwa moja.
“Jasmine… nimechoka kupigana na moyo wangu Bata ka kufanya jambo la kufanya wote tuwe sawa.

Jasmine akashtuka kidogo alijua huenda ndio ikawa mwisho wa kazi yake.
Alisimama akamuangalia Leon usoni.
" Unataka kunifukuza kazi?
" kwani wewe unataka ni hilo litokee?
Jasmine alikuwa mpole ghafla alikaa kwenye kiti .
" Sijui ulikuwa mzaha au kisasi lakini katika haya yote tuliyopita pamoja kuna kitu nimezaliwa kwenye moyo wangu. Japokuwa unanionea sifai ,sina hadhi ila moyo wangu umetokea kuvutiwa sana na wewe nimejikuta nakupenda sana Leon.
Leon akimsikiliza kwa makini kisha akameza mate.
" Leon kisasi chako kwangu kinezaa upendo na kuna wakati hazina upendo wako kwangu ila wewe ni jeuri tu unajaribu kurudisha nyuma hisia zako . Ok labda kwasababu mimi ni secretary huwezi au tulikutana kwenye mazingira ya chuki na bado unajaribu kuibeba chuki juu yangu. Ila mimi bakuli kwako kuwa nakupenda japo kuwa sio rahisi kwa mwanamke kuzamia hivi mbele ya mwanaume ila acha mimi niseme lililo moyoni mwangu.
Leon aliendelea kukaa kimnya akimuangalia.
" Leon kama hili haliwezekani basi mimi nipo tayari kuaga haya mashindano.
Baada ya kumaliza kuongea kimnya kilitawala kwa muda Jasmine akaona kama anajichoresha alisimama na kutaka kutoka lakini Leon akamdaka mkono wake na kumvutia kwake Jasmine alijikuta yupo kifuani kwa Leon.
Leon alimshika kiuno na kumsogelea kwake zaidi
“Nasema nakupenda Jasmine,” Leon aliongea kwa sauti ya chini lakini kwa msisitizo.
“Nakupenda namna ambayo siwezi kueleza kwa maneno. Nimejaribu kukataa, nimejaribu kukimbia, lakini moyo wangu haunipi nafasi tena.
Jasmine moyo wake ulidunda kwa kasi, akajilaza kifuani kwa Leon huku machozi ya furaha yakitoka.
“Nilijua, Boss. Nilijua siku moja ungefika huku.

Leon akavuta pumzi nzito, akamshika mikono yake yote miwili. “Lakini kumbuka, mimi ni mkali, nina mipaka, na sitaki mchezo. Usije ukacheza na moyo wangu, Jasmine, kwa sababu hii siyo hadithi ya kawaida.
Jasmine akatabasamu kwa upole, akainua mikono yake na kugusa kidevu cha Leon. “Sichezi Boss… moyo wangu ni wako. Nilikuwa nasubiri siku hii kwa hamu kubwa sana.

Mara hii Leon hakujizuia tena. Alimbusu Jasmine kwa mapenzi makubwa, akafuta kila ukali wake na kumlaza kwenye kifua chake. “Basi kuanzia leo, wewe si secretary tu wewe ni mwanamke wangu, mwanamke wa maisha yangu . Ujeuri wako umejenga kitu kwenye moyo wangu nakupenda sana Jasmine.
" Nakupenda pia leon.

Ndani ya ofisi kulikuwa na ukimya wa mapenzi, moyo wa Leon na Jasmine ukigongana kwa mapigo ya aina moja. Safari ya kimapenzi ilianza rasmi, na safari hii Leon hakuwa tena “Mr. Arrogant” pekee alikuwa mwanaume aliyekubali moyo wake kutekwa na binti kiburi asiyekuwa na uwoga nae hata kidogo.
Siku hiyo ilikuwa ni mwanzo mzuri wa penzi lao jipya lililochipuka. Na mapenzi yao yalikuwa ya siri sana hakuna ambae alijua pale kazini .

Siku zilienda penzi lilipamba moto kuna wakati Leon alikuwa alitamani kumuona Jasmine alimpigia simu na kumuita ofisini kwake.
Jasmine alienda akamkuta akiwa kasimama mbele ya meza yake huku akiwa kuegemea meza na mikono yake ilikuwa kwenye mifuko ya Suruali. Jasmine aliingia akiwa na tabasamu.
" Nimefika Boss wangu. Aliongea huku akiwa anamuangalia Leon usoni.
Leon alimkagza kuanzia juu mpaka chini .
" Leo umependeza sana.
" Asante. Alijibu Jasmine huku akiangalia chini kwa aibu. Leon alitoa mikono mfukoni akapiga hatua mbili kumsogelea . Alimshika kiuno na kumvutia kwake.
" Sikujua kama na wewe huwa una aibu. Jasmine alicheka
" Umeanza uchokozi wako.
" Ni kweli tangia nimekufahamu sijawahi kuona ukiunganisha nacho chini kwa aibu.
" Basi hata mimi sikuwa nikiamini kama unaweza kuwa romantic hivi.
Leon akimvuta na kumkumbatia vizuri.
" Nimemiss busu lako.
" Leon hapa ni kazini na haya mambo tukisema mwisho pale getini.
" Ni kweli lakini nimeshindwa kujizuia na wala kazi haziendi. Please nipe busu kidogo.
Jasmine alijifanya anaona aibu kukubali lamba midomo yake. Hisia zilizidi kupanda Leon, aliinamisha kichwa chake na kukutanisha midomo yao leon akiinyonya ulimi wa Jasmine kwa ufundi mkubwa Jasmine alikuwa akitoa mifumo ya mbali.
Ghafla mlango ulifunguliwa na paul akataka ndani na kushuhudia kila kitu.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MR ARROGANT 14&15*




Hatimae Mchana ulipita, jioni ilipokaribia, Leon alimpigia Jasmine simu.
“Njoo ofisini kwangu kabla hujaondoka.”
" Sawa boss.
Baada ya sekunde chache Jasmine alifika ofisini kwa Leon alikaa kwenye kiti bila hata kuambiwa.
“Boss, umeniita?” aliuliza kwa tabasamu.
Leon alinyanyuka taratibu, akamfuata kwa hatua huku akiwa ameweka mikono yake mifukoni, akimtazama kwa macho ya moja kwa moja.
“Jasmine… nimechoka kupigana na moyo wangu Bata ka kufanya jambo la kufanya wote tuwe sawa.

Jasmine akashtuka kidogo alijua huenda ndio ikawa mwisho wa kazi yake.
Alisimama akamuangalia Leon usoni.
" Unataka kunifukuza kazi?
" kwani wewe unataka ni hilo litokee?
Jasmine alikuwa mpole ghafla alikaa kwenye kiti .
" Sijui ulikuwa mzaha au kisasi lakini...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mr-arrogant-14-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-arrogant
MR ARROGANT SEHEMU YA KUMI NA TATU*
MR ARROGANT SEHEMU YA KUMI NA TATU*
MR ARROGANT 💎🔥*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MR ARROGANT 💎🔥* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
MR ARROGANT 17&18*
MR ARROGANT 17&18*
MR. ARROGANT 💎🔥 9
MR. ARROGANT 💎🔥 9
MR ARROGANT 💎 🔥 8
MR ARROGANT 💎 🔥 8
MR ARROGANT 💎🔥* ______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MR ARROGANT 💎🔥* ______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
MR. ARROGANT 💎🔥* *1----2* *
MR. ARROGANT 💎🔥* *1----2* *
MR. ARROGANT 💎🔥 3
MR. ARROGANT 💎🔥 3
MR ARROGANT 💎🔥10
MR ARROGANT 💎🔥10
MR ARROGANT 14&15*
MR ARROGANT 14&15*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

576
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

496
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

226
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

223
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

208
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

132
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
SASA. NAKUPENDA One to sex

SASA. NAKUPENDA One to sex

82

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.34K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba 🥰😆 yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest