Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - Jiunge sasa upate bonasi ya 500%
Jiunge sasa upate bonasi ya 500%

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu

18th Dec, 2025 Views 396

,    nilipokutana macho kwa macho na mjomba niliganda nikiwa nimetoa macho,   kisha nilisimama juu na kumuita:



"Mjomba!


General nae alishtuka na kugeuka haraka kumuona mjomba wangu,  mjomba alisogea adi tulipokuwa na kunishika mkono akanipeleka nje kwenye gari yake,   bila kusema kitu chochote kisha akafungua mlango wa gari na kuingia na  kisha akawasha gari tukaanza safari,   kiukweli alikuwa na hasira sana  njia nzima alikuwa kimya hakuongea kitu,    nilihisi kuchanganyikiwa sana kwani sijawahi kumuuzi namna hii mjomba wangu,    amekuwa akiniamini sikuzote  niliwaza sana,    na General tumeachana hata namba ya simu hajanipa hapajui kwetu wala sijajua kambi ipi anaenda kufikia,    nilijikuta natokwa na machozi kwa mengi kisha nilimuambia mjomba:



"Mjomba  nisamehe"


Lakini hakujibu kitu mjomba aliendelea kuendesha gari akiwa kimya,   nilihisi leo sijui itakuwaje tulipita chalinze na kusonga mbele kuelekea dar,  kumbe tulipo ondoka  huku nyuma  General aliingia nae kwenye gari,   na kutufuata nyuma  hadi tunaingia dar alikuwa nyuma yetu,  tulienda hadi nyumbani kunduchi  bichi General alikuwa nyuma nyuma akatushudia tunaingia kwenye geti la nyumbani hivyo alipaki hapo na kusubili kwa muda kisha alishuka na kuja mpaka getini akagonga mlinzi alifungua na kumuuliza:



"Nikusaidie nini?


"Samahani nilikuwa namuulizia hapa ninyumbani kwa kina Laura?


"Ndio wewe nani  mkuu?


"Mimi ni soja mwenzie tumemaliza leo mafunzo,   je amefika nyumbani tayari?


"Kaingia sio muda mkuu karibu ndani,  au nikuitie?


"Ooh! Asante kama kaingia sio muda atakuwa na mjomba pamoja shangazi yake wanafurahia,    sitaki kuwaharibia furaha yao,   ngoja nikupe hii kadi yangu utampatia sawa,   akikuuliza muambie Ethane"



"Ok sawa  mkuu"



Kwakuwa alikuwa anamavazi ya kijeshi hivyo hata mlinzi alimuongopa na kumuita mkuu,  alimuachia kadi na kisha akaondoka na kurudi kambini,  sasa tulipoingia ndani mimi na mjomba tuliposhuka nikiwa na mavazi yangu yakijeshi  shangazi mke wa mjomba wangu alikuwa akinisubili kwa hamu sana tulipofika alinipokea kwa furaha mno na kuniita:

"Karibu nyumbani soja wangu nilikuwa nimekumiss sana mwanangu"


"Mimi pia mama"


Napenda kumuita mama kwani amenilea tangu nikiwa mdogo,   nikamkumbatia akanishika mkono na tukaingia ndani,  nilikuta kaniandali  vitu vingi hatari,   ila mjomba alienda zake moja kwa moja chumbani,   hata shangazi alielewa tuu kuwa hayupo sawa,  shangazi akaniuliza:


"Kwani kulikoni mbona mjomba yupo hivyo kipenzi changu  ameudhiwa na nani tena?



"Mama nimemuudhi mimi"


"Ehee!  Nini tena,   ndio mmekutana tuu leo muda mrefu mliokukuwa mbali kulikoni?


"Nisaidie mamab kumbembeleza,    kanikuta nalishwa chakula  na General ndio kakasirika hataki kuongea namimi kabisa"


"Mmh!  Haya niambie General kwanini akulishe chakula wewe kunanini hapo?


"Mama nakuambia ukweli,   kiukweli  nimpenzi wa maisha yangu,   ninampenda sana General Ethane"


"Mmh! Haya hayo mambo umeanza lini kipenzi jamani?


"Mama jamani nenda kwanza kambembeleze,   kisha nitakuelezea kilakitu  ngoja nikabadili haya mavazi kwanza"



"Sawa lakini umependeza sana kipenzi changu,  umekuwa sasa yaani upo vizuri hatari"


"Asante mama"


Kisha shangazi aliondoka na kwenda chumbani kwao,  kumkuta mjomba,  namimi nilianza kuonja onja mapishi niliyoandaliwa  na shangazi,   kisha nikataka kuoondoka kuelekea chumbani kwangu,  lakini ile naanza kuondoka tu mlinzi akaniita:


"Samahani mkuu Laura"


Nikageuka na kutabasam kwani leo hii mlinzi ananiita mkuu,   kutokana na haya mavazi ya jeshi m,  nika muitikia:


"Unasemaje uncle moris?


"Kwanza kabisa hongera kwa kuhitimu mafunzo mkuu,  kingine ninahii kadi hapa kuna mkuu moja alikuja hapo getini  na kunigongea,    nae kavaa mavazi ya jeshi  kasema mmetoka kuhitimu wote,   hivyo hakutaka kuvuruga furaha yenu na wazazi wako,    kaniachia hiyo kadi tuu nikupatie"


Nikaiponea  hiyo kadi kusoma jina nilishtuka sana,   nikakimbia hadi getini nikafungua mlango,   nikatoka nje na kutizama kote lakini sikuona kitu chochote,  nikarudi ndani lakini nilikuwa natabasam tuu,   kiukweli nilifurahi sana kugundua kumbe General Ethane alikuwa anatufatilia hadi nyumbani kwetu,   nilifurahi sana  nikawa naingia ndani  mlinzi tena akaniita:



"Mkuu Laura huyo jamaa kasema anaitwa Ethane"


Nilitabasam tuu na kuelekea ndani  bila kumjibu  chochote,   nilienda hadi chumbani kwangu nilikuwa nafuraha sana kiukweli,   nilivua nguo na kuingia bafuni kuoga,   kisha nilipotoka nilivaa pensi yangu fupi na tisheti,  kisha nilitoka  kuelekea dining nilipoandaliwa misosi mitam tam na shangazi,  shangazi  alimuambia  mjomba:


"Mumewangu binti tayari nimkubwa sasa,   chamsingi tushukuru hata hajatuaibisha,   amefanikiwa kuhitim vizuri mafunzo yake,   apo anasubili apangiwe  jeshi la yeye kujiunga tu,   jivunie yeye  wengine wanawaibisha wazazi mapema sana,   kwakubeba mimba au kutoroka na wanaume eeh!,    Shukuru mtoto ametuheshimu  kuwa namoyo mzuri kwake mumewangu,   haya inuka twende tukafurahi nae asijisikie vibaya"



Mjomba alielewa na kuinuka kutoka na kuja dining nilipokuwa mimi,   alikuwa na furaha tuu tukala chakula pamoja,  tukafungua mvinyo na kuanza kunywa,   shangazi akaenda ndani na kuniletea  box la simu,  na kuniambia:


"Zawadi yangu hii kipenzi kwako"


Nikamkumbatia kwani alijuaje nahitaji simu kwa wakati huu,   nilifurahi sana  na laini akanipa nikaiweka kwenye simu,   na kisha nikaweka vocha pia  wakwanza kumpigia alikuwa General,  simu iliita sana kisha ilikuja kupokelewa na mdada yaani sauti ya kike




Je nini kitatokea Laura  baada ya kusikia sauti ya kike  unatamani kujua endelea kuifuatilia............
Tangazo - Jiunge sasa upate bonasi ya 500%

Jiunge sasa upate bonasi ya 500%
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-11-15-__________________________________-sehemu-ya-11-nilishtuka-sana-m



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________*   *SEHEMU YA 01*  "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - EARN MONEY TO DAY
EARN MONEY TO DAY

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest