Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *
Gonga94 · Stories

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
___________________________________*

*SEHEMU YA 16*

Kisha shangazi slimpigia simu mjomba na kumpa taarifa:

"Mumewangu  hapa nyumbani kunamgeni,  mgeni mwenyewe ni mama yake na Laura  hivyo nimeona nikupe taarifa, anataka kumuona mwanae"

"Mkewangu subili kwanza,  Laura  yupo hapo nyumbani?

"Ndio yupo Mumewangu"

"Subili nakuja hapo sio muda,  sitaki aumie Laura wangu"

"Sawa japo ameomba amuone wakati nakupa taarifa kama yeye yupo"

"Hapana nakuja hapo"

Mjomba alitoka na kuanza safari ya kurudi nyumbani,   ili kuja kuzuia nisiumie kabisa,     kwani nimuda mrefu sana usema ukweli hata sura ya mamaangu siijui kabisa,   ninajuaga  mama mzazi hayupo duniani yaani amefariki,  kwani haji hata kuniona,  na ndio maana mjomba hataki niumie kabisa,  nikiwa chumbani kwangu sina hili wala lile nilipigiwa simu na General Ethane akaniambia:

"Naomba nikuone,   kwani ninazawadi yako kipenzi changu"

"Ethane bwana!,   unajua sipo sawa,  na  nawezaje kuja huko sasa, eeh!?

"Nakutumia usafili,   utafika hapo sio muda mrefu jiandae mpenzi wangu "

"Baby!"

"Please baby"

"Ok"

Kisha nilianza kujiandaa,  muda sio mrefu mjomba aliingia nae,  baada ya hapo  alitumwa dada wa kazi na kuja kuniita,  bila kusita  nikatoka na kwenda hadi  sebreni,   nilipo muoma mjomba yupo  hapo nilifurahi na kumfuata nikamkumbatia na  kumuambia"

"Mjomba umesahau kitu gani nyumbani,    ungeniagiza mimi mwanajeshi wako faster ningekuletea"

"Nimerudi kwasababu nimekukumbuka wewe  kipenzi changu"

"Mjomba bwana  haya umeniona sasa umefurahi,  nataka baadae nitoke naenda kukutana na rafiki yangu,  ambaye  niliekuwa nae kambini anaitwa Nancy"

"Mimi siutumii mudawako wote kipenzi changu utaenda tu"

"Ok sawa"

Unamuona huyu hapa mgeni?

"Ndio nimemuona mjomba"

"Huyu ni dadaangu ambaye ni mamayako wewe"

"Mh! Mjomba bwana acha basi masihara yako,   nilikuwa najiandaa mimi utanichelewesha nitamfanya Nancy anisubili sana"

"Laura siku danganyi na ndio kikubwa kimenirudisha hapa nyumbani japokuwa hakuja kwa utaratibu amezuka kama mvua tu sijui kakumbuka nini?

Nilishtuka sana na nikasimama huku nikimtizama kisha nikamuambia shangazi:

"Wewe ndio mama yangu mimi ninaekujua   na huyu ndio baba kwangu,  hao wengine naomba mkiwajua nyie inatosha,   naomba mnisamehe"

Nilipoongea hivyo kisha nilisimama na kutoka mbio nikaenda chumbani kwangu na kujifungia mlango nilijisikia vibaya sana kisha nilianza kujiandaa ilinitoke,  huku mama alianza kulia na mjomba alibaki akimtizama tuu kisha alimuambia:

"Lakini dada mimi nilijua tuu tangu umenikabizi mtoto ni muda gani sasa hadi leo hii,    ana haki yakufanya hivyo,   hata ningekuwa mimi pia ningefanya hivyo,  kwani unataka nini hasa ulivyokuja, eeh! Umuone kisha ufanyeje,   hukuja siku zote uje leo,  nibora hata usingekuja  bwana"

Mama alizidi kulia na shangazi nae akamuambia:

"Nilijua tuu hichi ndicho kinakuja kutokea,   wifi kama kweli unampenda ungekuwa unakuja kumuona hata baada ya miezi miwili unakuja mala moja,  lakini tangu umetukabidhi mtoto akiwa na miaka miwili,  leo hii katoka jeshini  anamiaka ishirini,   nimtu mzima kabisa anajua mimi ni mama na mjombaake ndio baba,   alafu leo hii tumuambie wewe ndio mzazi wake,   kweli hatakama niwewe unaweza kuvumilia maumivu yake,   jibu ni hapana, haya sasa muache mwanangu na uondoke tafadhari nakuomba sitaki kumuona hana raha"

Nilitoka chumbani na kupita sebreni nikiwa nimekasirika,  huku  ninatokwa machozi kwa hasira,   niliubamiza mlango na kutoka nje nilienda hadi nje ya geti kabisa,  nikakuta usafili niliotumiwa na General ukiwa unanisubili,   kisha nikaingia na kuondoka zangu,    nae mama alipoona kachafua hali ya hewa aliamua kuondoka zake,  kilamutu alikuwa kavurugwa kabisa,   nilienda hadi kwa General alipomuelekeza dereva anipeleke,  nilimkuta kasimama ananisubili,  nilipofika nilishuka na kumkimbilia kisha nikamkumbatia huku nikiwa nalia,  alishangaa kuniona nipo kwenye hali hiyo,  akanishika mkono na kunipeleka kwenye kiti nikae,  kisha alinianza kuniuliza:

"Nini tatizo mpenzi wangu?

Nilishindwa hata kumuambia nilikuwa bado nalia,  kwani nilikuwa na hasira sana,  kisha General alienda kunichukulia maji yakunywa,  kisha akanipa na kunituliza kidogo,  akaendelea kuniuliza:

"Nini tatizo hembu niambie,  kitu gani kimekupata Laura?

Kisha nianza kumsimulia:

"General leo kuna mmama kaja nyumbani kwetu,  na mjomba akanitambulisha kuwa yule nimamaangu mimi,   yaani nidadaake  nilishindwa kumuelewa kiukweli,  kwani  mimi siku zote nimekuwa nikijua hao ninao kaa nao ndio wazazi wangu mimi,  sitaki mtu yeyote mimi wote niwaogo tuu kwangu"

"Haya basi tulia nipo hapa mimi mpenzi wangu,   hakuna atakae kudanganya tena sawa"

"Sawa"

Je unavyodhani Laura atamuelewa mamaake mzazi au ndio hataki kabisa kudanganywa tena ili kujua endelea kufuatilia.................

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *16--20* *

___________________________________*

*SEHEMU YA 16*

Kisha shangazi slimpigia simu mjomba na kumpa taarifa:

"Mumewangu  hapa nyumbani kunamgeni,  mgeni mwenyewe ni mama yake na Laura  hivyo nimeona nikupe taarifa, anataka kumuona mwanae"

"Mkewangu subili kwanza,  Laura  yupo hapo nyumbani?

"Ndio yupo Mumewangu"

"Subili nakuja hapo sio muda,  sitaki aumie Laura wangu"

"Sawa japo ameomba amuone wakati nakupa taarifa kama yeye yupo"

"Hapana nakuja hapo"

Mjomba alitoka na kuanza safari ya kurudi nyumbani,   ili kuja kuzuia nisiumie kabisa,     kwani nimuda mrefu sana usema ukweli hata sura ya mamaangu siijui kabisa,   ninajuaga  mama mzazi hayupo duniani yaani amefariki,  kwani haji hata kuniona,  na ndio maana mjomba hataki niumie kabisa,  nikiwa chumbani kwangu sina...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-16-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO*  *11--15* *__________________________________*  *SEHEMU YA 11*  Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *11--15* *__________________________________* *SEHEMU YA 11* Nilishtuka sana mjomba alipo niona ndio mkono wa General Ethane upo mdomoni kwangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema:
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________*   *SEHEMU YA 01*  "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"
*GENERAL SILI SILALI JUU YAKO* *01--05* *__________________________________* *SEHEMU YA 01* "Kikosi namba saba, wote mnatakiwa  pared,  leo jioni kutakuwa na ugeni,   hivyo mjiandae"
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

899
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

490
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

434
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

419
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

311
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

222
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

182
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

139
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

96

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest