Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ๐Ÿฅฑ* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA*  Ilikua kama wiki mbili zimepita tangu nirudi kutoka Canada. Nililazimishwa kurudi nyumbani kwa sababu baba aligundua kule sikusoma kabisa. Nilikuwa nashinda kwenye starehe, kila siku club, kila week
Gonga94 ยท Stories

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ๐Ÿฅฑ* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA* Ilikua kama wiki mbili zimepita tangu nirudi kutoka Canada. Nililazimishwa kurudi nyumbani kwa sababu baba aligundua kule sikusoma kabisa. Nilikuwa nashinda kwenye starehe, kila siku club, kila week

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilijisahau kabisa mpaka pale mkuu wa chuo alipompigia baba simu kumwambia sijahudhuria masomo karibia semista mbili nzima. Babal alikasirika sana, akanipigia simu akaniambia nirudi Tanzania mara moja.

Niliporudi, maisha yangu yakawa magumu. Baba na mama walinifungia ndani kama mfungwa. Waliniambia hiyo ndiyo adhabu yangu kwa

kuwavunjia heshima. Sikuwa na cha kufanya, Nilikaa ndani siku zote, nikichezea simu na kusikiziliza mziki

Lakini nilianza kuchoka maana sio siri Nilihisi ninabanwa sana. Nikaanza kukumbuka utamu wa club usiku. Nikasema weeh usinichezee akili, Nilipanga nitoroke usiku wakati wote wamelala, niende club kisha nirudi mapema kabla hawajaamka.

Basi Usiku ule, nilingoja wote walale kisha nikatoka kimya kimya kama mwizi. Nje uber ilikua inanisubiri, na mlinzi getini nilimkatia genji kidogo ili afunge bakuli lake.

Huyo huyo mpaka club. Nilipofika

Palikua pamechangamka ile mbaya. Vibe kama lote na mitungi ya kutosha. Nilinunua vinywaji, nikapata mpaka marafiki nisiowajua nikawa na-enjoy nao.

Raha zikanizidia Nikaa hadi saa tisa usiku ndipo nikakumbuka kuna kurudi nyumbani. Alafu hata sikua na hofu coz nilijua wote wamelala.

Lakini ile Nafungua tu mlango wa sebuleni ghafla taa zikawashwa. Baba na mama walikuwa wamekaa kwenye sofa, wakinisubiri kwa hamu. Nyie nilihisi kama mkojo unatoka.

Baba alisema kwa sauti ya chini "Unarudi saa ngapi Gina?"

"Baba nilitoka kidogo tu"

"Kutoka kufanya nini? Kunywa? Clubbing? Haya ndiyo mambo uliyokuwa unafanya Canada, siyo?"

"Hapana baba, umeelewa vibaya....."

"Kila siku unanifanya nikose amani. Nilidhani hizi wiki mbili tulizo kufungia ndani utajitambua ila hakuna kitu. Nimegundua Wewe huwezi kubadilika Gina, bado unaniangusha" Baba alionyesha kuumia sana

"Baba am sorry, sitarudia tena"

Baba hakutaka kusikia samahani yangu maana alijua haikutoka moyoni.

"Sitaki sorry zako. Kila mara unasema hivyo na bado unafanya tofauti.... Wazazi wenzangu wanajivunia watoto wao. Mimi sina kizuri cha kwako cha kukusifia mbele yao. Nikusifie nini hata kumaliza chuo umeshindwa!......ivi wewe kweli ni damu yangu???"

Maneno hayo yalimuuma sana Mama hadi akaingilia kati sababu mda wote huo alikua amenyamaza.

"Mume wangu, tulia kidogo"

Kisha akaniangalia na kusema kwa upole.

"Gina, sisi tunafanya kazi na hii yote kwa ajili yako. Tukifa, tunataka uendeleze biashara zetu. Lakini kila siku unatupa hasira. Kwa nini hutaki kuelewa? Kubadilika kwako imekua ngumu??"

Nilikaa kimya maana sikuwa na cha kujibu. Baba akavuta pumzi ndefu na kusema,

"Hatuwezi kuendelea hivi. Mimi naona Tuendelea na mpango tuliouweka

Nikauliza "Mpango gani?"

"Utaolewa na mwanaume tuliyemchagua. Labda ndoa itakusaidia kuwa mtu wa maana, ujue maisha ni nini na ujifunze kujituma"

Nilishtuka "Baba Mimi bado mdogo, nina miaka 21. Siwezi kuolewa na mtu nisiyemjua..."

"Utamjua mkishafunga ndoa. Usiwe na hofu!"

"Sitaki kuolewa. Siwezi kuishi chumba kimoja na mwanaume. Sijajiandaa kisaikolojia" nililalamika mno nikaona kama baba hanielewi ivyo Nilimgeukia mama nikamwambia

"Mama, utaacha Baba aniozeshe kwa nguvu? Eeeh???"

"Gina, nilikuwa sipendi hii idea mwanzoni, lakini sasa nimeona hakuna namna. Labda ndoa. itakubadilisha. Nakubaliana na baba yako.."

Nilijisikia vibaya sana aiseee Nililia. Nikaenda chumbani kwangu nikajifungia. Nilifikiri labda wanatania ili kunitisha, Lakini siku iliyofuata asubui Baba aliniambia nijitayarishe, tutakwenda kukutana na familia ya huyo kijana walie nichagulia

Hapo Ndipo nikajua kumbe hii issue ipo serious kiasii hili. Wee sikua tayari kuolewa hata kidogo,

yani niolewe na raha za dunia nimuachie nani??? Nikaona nifanye kitu chap kabla mambo hayajawa mabaya. Baada ya kuwaza sanal mwishoni nilipanga mpango wangu wa kutoroka.

Nilichukua nguo chache, kadi yangu ya benki na vitu muhimu, Nikaweka kwenye begi. Nilihakikisha hadi natoka nje hakuna alie niona hata gateman hakunidaka siku hiyo.

Nilijua nikikaa Dar, baba angenipata haraka kwa sababu ana watu wengi. Kwa hiyo nikaamua kuondoka kabisa ikiwezekana nihame mkoa. Basi Nikaenda kituo cha mabasi nikanunua tiketi ya kwenda Arusha.

Je nini kitaendelea?

Nakuja

Chapter 2

Baada ya kukamilisha taratibu za tiketi Nilipanda basi nikihakikisha nimezima simu kabisa. Sio icho tu nilihakikisha pia hadi laini naitoa na kuitupa dirishani.

Nilitaka tu kuishi maisha yangu bila kuulizwa au kubanwa banwa bila sababu za msingi. Basi mdogo mdogo safari ikakolea. Hadi nafika Arusha ilikuwa usiku kama saa nne ivii. Apo baridi ni kali sana lakini hata siku jali sababu nilikuwa na furaha ya kuwa huru.

Nilikuwa tayari nimebook Airbnb Appartment kupitia pesa nilizokuwa nazo kwenye card yangu ya bank. Ilikua unalipia laki mbili kwa usiku mmoja kwaiyo nililipa siku tatu mfululizo.

Kitu cha kwanza nilioga nikalala maana sio kwa uchovu niliokua nao.Kesho yake sasa ndo nilitoka. Nilianza kutembelea club tofauti tofauti ambazo zilikua maarufu.

Kwakua pesa zilikuwepo nikawa sijivungi kununua vinywaji. Nilishusha madorime ya kama kichaa. Wakanibatiza jina kabisa wakaniita "tajiri mtoto

Na meza yangu ikajaza watu ambao sikua namjua hata mmoja ndo kwanza nilikutana nao huko club.

Siku iliyofuata tena jioni nikatoka, Nilisikia kuna club mpya imefunguliwa maeneo ya Sakina nikaamua kwenda. Nilipoingia mule ndani nikapasifia sababu mambo yalikua ni fire

Nilikaa meza moja karibu na Dj nikaagiza wine

yangu nikifurala vibe. Dakika chache baadaye

wakaja wasichana wawili wazuri na jamaa mmoja kajazia jazia. Wote walikuwa wameshalewa alafu wanaongea hao kama. redio. Kwakweli niliwapenda mno na wenyewe walinipenda pia maana walianza kuniita nlungane nae. Na mimi ambavyo sijul kujivunga?? Bila kuchelewa Nikahamia meza yao nikakaa nao,

Walinipigisha stori, wakanifuraisha klasi kwamba nikaanza kuwanunulia vinywaji. Yani Ilikuwa furaha tupu. Lakini sasa yule jamaa alianza kunitazama kwa macho ya tamaa! Kila mara alikuwa anajaribu kunigusa kiuno mara bega sijui shingo.

Alafu sasa nilikua simfagilii hata kidogo nikawa namuambia kwa upole "usiniguse bhanaa"

Lakini niliona kama haelewi vile. Majibu yangu hayakumridhisha nitampapatikia. Basi baada ya kumkatalia Alikuja na plan. maana alitegemea

Lengo la yule nyang'au lilikua tukitoka pale club tukalale wote. Kwaiyo alitoa kapakti kadogo cha dawa kwenye suruali yake akaniwekea kwenye glasi yangu ya kinywaji

Mimi apo sina habari Nilikunywa bila hata kufikiria mara mbili. Ndani ya dakika chache nilianza kuhisi kitu tofauti mwilini. Moyo ulikuwa unaenda mbio, kichwa kizito alafu nilianza kuhisi kama nataka kukumbatiwa, kuguswa guswa. Niseme tu ukweli nilibanwa mno na upwiru

Nilimwangalia yule jamaa nikajua kuna kitu sicha kawaida, nikasimama nikawa naondoka Kumbe asivyo na aibu akawa ananifuata nyuma.

Aliponifikia alinisogelea haraka akanishika mkono kwa nguvu njoo basi twende nje kidogo, najua unatamani"

"Natamani nini.....?? Embu niache huko..... "Nikamtoa mkono wake nikawa nimetoka nje kabisa ya ile club.

Lakini kijana bado ananifuata tu nyuma akijaribu kunivuta ili niondoke nae. Weeh uvumilivu ukanishinda nikapiga kelele "niachieeee.....msaaadaa...."

"Nyamaza na wewe! Unataka watu wasikie..... Tuliaa..." Akaniziba mdomo

Bahati nzuri kuna mtu alijitokeza kutoa msaada.

Ni kidume flanii iviil alikuwa tofauti. Alimvuta yule jamaa kwa nguvu, akamsukuma kwa ngumi

tu

Sijui kwanini nilihisi usalama kiasi cha kujificha nyuma yake bila hata kujali yeye ni nani.

Kale kanyang'au kakasimama eti kakataka kupimana mkono na kidume. Wee ilikua ni dakika moja ila alichezea kichapo cha fasta fasta hadi akakimbia mwenyewe.

Kisha yule mwamba aliniangalia na kuniuliza, "uko sawa?"

Badala ya kujibu Nilicheka tu kama mjinga. Msisahau zile dawa nilizo ekewa kwenye kinywaji zilikua zikinipeleka resi sana, zilikuwa zinanifanya nionekane kama nimepoteza akili. Lakini Licha ya ivyo niliweza kumchambua yule kidume.

Alikuwa mrefu, kifua kipana, harufu yake nzuri sana. Alikuwa anaonekana mkali asie penda utani hata kidogo.

Nilimtazama nikamwambia kwa sauti ya chini, "we ni mzuri..." Nikaanza tena kucheka kama tahira

"unaishi wapi nikurudishe nyumbani?"

"hata sijui ninaishi wapi.....unadhani naelewa hata...... Sijui ni huku..... au kuleeee....."

Nilionekana mlevi kweli na Aligundua ilo hivyo akaamua kunibeba akanipeleka mpaka kwenye gari lake.

Alipeniweka siti ya mbele na yeye akakaa upande wa dereva. Apo mimi sina hali natamani

aniguse maana zile dawa zilikuwa zimenibadilisha kabisa joto la mwili.

Aweee kabla hata hajawasha gari nikamrukia. kama mwewe, nikaanza kumbusu kwa nguvu. Ajabu ni kwamba hakupinga. Alinipa ushirikiano. hadi tukapeana ndani ya gari.

Sikumbuli details zote ila nilifural sana usiku huo, siwezi sahau. Na baada ya kumaliza kila kitu tukalala mule mule ndani ya gari mpaka kunakucha.

Je nini kitaendelea?

Nakuja.......

Chapter 3

Nilipoamka asubuhikitu cha kwanza nilichoona ni uso wa mwanaume aliyelala karibu nami. Nilishtuka, Nilihisi kama nimepigwa ganzi Nilijiuliza hivi nimefanya nini mimi?"

Nilianza kukumbuka kilichotokea usiku mzima nikahisi aibu kali. Nilimgeukia yule mwanaume nikamgusa bega taratibu akafumbua macho.

Aliniuliza "uko sawa sasa?"

Nilijikuta nikimvamia kwa maneno, "we unaona niko sawa kweli?? Ulichofanya ni vizuri??? Umenitumia kwa sababu ulijua sijitambui sio

Hakunijibu, Alikaa kimya, uso wake ukabadilika akawa mkali kama vile amekasirishwa sana na nilichosema. Ni kama nimegusa sehemu ambayo haikutakiwa kuguswa.

Nilipoona mtu yupo kimya nikaendelea kulalamika. Nilianza kuvaa nguo zangu huku naendelea kunung'unika kama mtoto alie ibiwa. pipi. Nilihisi hasira, aibu, na chuki kwa wakati mmoja. Nilichukua pochi yangu nikamwangalia tena, nikasema kwa sauti ya juu

"Kwa nini hunijibu? Ina maana ninacho kisema hakina maana!!"

Napo pia hakujibu, ndo kwanza alitoa simu yake mfukoni akawa anaperuzi taratibu bila papara. Apo alinichukiza mno nikaamua kumwambia kitu ambacho kingemuuma ili nae aumie

"Aah ndio maana huna lolote wewe. Una kibamia. halafu umenipakaza shombo zako usiku mzima. hata sija-enjoy! Mwili mkubwa, shughuli

kisoda"

Nilisema kwa kujiamini lakini kumbe nilimgusa pabaya. Alinisogelea kidogo akaniuliza kwa sauti ya chini lakini nzito "umesema nini?"

Nikamjibu bila kuogopa "sirudii matangazo!!! na

natumaini sitakuona tena, mwanaume mjinga!" "We mwanamke... omba nisikukute mahali"

alichukia mno

"Utanifanya nini??? Peleka pumba zako huko..." Nilifungua mlango wa gari kwa hasira nikashuka bila hata kugeuka nyuma.

Nilikodi usafiri, nikarudi kwenye apartment yangu nikiwa na hasira kali. Nilipofika nikaingia

bafuni moja kwa moja. Nilioga kila sehemu kana kwamba najiondoa doa fulani lililonibaki. Nilipotoka bafuni nilijitupa kitandani nikapotea. usingizini,

Nilikuja kushtuka usiku nikajiandaa vizuri nikaenda kula bata tena. Yani kwa wiki nzima nilikua nazurura club za huku na kule. Bahati nzuri sikuwai kukutana tena na yule jamaa

Sasa Kama mnakumbuka nililipa apartment kwa siku tatu tu. Nilipomaliza hizo siku tatu, nikaendelea kukaa kwa wiki nzima bila kulipia. Sikua na shida maana nilijiamini kuwa nina uwezo wa kulipa mda wowote, lla sasa yule dada mwenye lle appartment akawa anataka hela yake nikaona niende ATM kufuata hela.

Nilipofika ATM, nikachomeka kadi, kisha nikaingiza PIN kadi eti ikakataa! Nikajaribu tena, ikarudisha majibu kuwa TRANSACTION FAILED. Nikajua labda ATM ina matatizo Ivyo Nikatoka haraka nikaenda moja kwa moja benki.

Nilipofika huko ndo ikawa kimbembe. Cashier Akachunguza kwenye kompyuta, kisha akaniangalia usoni, akasema kwa sauti ya upole "Samahani dada, akaunti yako imefungwa

"Nini?? Imefungwaje??

"Namaanisha imefungwa kwaiyo huwezi kutoa wala kuingiza hela"

"Nini???"Nilihisi kama dunia imenizunguka kichwani. Nilisimama kimya hata kupumua vizuri nilishindwa

Nilijua tu hakuna mtu mwenye ubavu wal kufunga akaunti zangu zaidi ya Baba. Alikua ananikomoa sababu ya kutoroka nyumbani

Kwalyo mpaka hapo kadi zangu zote sasa hazikua na maana. Nilichokua nacho mfukoni ni elfu thelathini tu tena yenyewe ilikuwa chenji ya jana club baada ya kulipia vinywaji

Nikajikuta nikijiuliza "nifanye nini sasa?" Dada mwenye appartment ananidai pesa ya wiki

nzima kama milioni moja na laki 41 Sikua na pesa ya kula wala rafiki ambae ningeweza kumtegemea. Mbaya zaidi sikutaka kabisa.

kurudi nyumbani wala kuwapigia wazazi wangu.

Nilihisi nimekwama tena sio kitoto. Ningefanya nini??? Kiburi chote nilichokua nacho nikwal sababu ya pesa zilizokua kwenye akaunti. Niliwaza mno cha kufanya ndipo nikaanza kupanga ujanja.

Nilifikiria kurudi kwenye appartment, nikusanye kila kitu changu kisha nikimbie. Hiyo ndio njia ya kuepuka lile deni. Basi kweli niliporudi Nilianza kupack vitu vyangu chap nikahakikisha

nakusanya kila kitu.

Nilipomaliza nikaanza kunyata taratibu ili kusudi nisije nikasikika. Kwa Bahati nzuri dada wa mapokezi alikua kaenda chooni kwaiyo nikapita speed kama kimbunga. Heeee, ile nafika kwenye mlango wa kutoka nje nikasikia sauti nyuma

yangu

"Madam! Madam! Unakwenda wapi na mizigo yako?"

Nilishtuka, nikageuka. Alikuwa ni yule dada mwenye appartment. Alinifuma vizuri nikajifanya nacheka "Ah, naenda.... duka kidogo kununua kitu........

nitakuja sasa hivi."

Akanitazama juu chini akasema "dukani ukienda unaenda na mabegi yote hayo?"

"hizi ni nguo chafu naenda kufua kwa dobi ndo maana

"Huna haja ya kuhangaika wakati tunatoa pia huduma ya kufua na kupasi bure kwa wateja wetu ali smile

"Aaah... kumbemhhh" nilijikuna kichwa maana sikua na uongo mwingine wa kudanganya.

"Vipi? Umekosa kingine cha kudanganya sio??? haya nipe hela yangu Madam......." Aliongea kwa hasira na mara hii hakua akicheka na yoyote

"Nitakulipa tu.... Nipe mpaka... jioni...."

Akanikazia macho akasema "Madam sikuamini... nipe hela yangu! Chap chap"

Nilijaribu kueleza vizuri nikamwambia, "Dada, kadi yangu inagoma, sina pesa kabisa kwa sasa. Nipe muda kidogo please"

Kwani alinisikiliza sasa??? Alianza kunivuta mkono kwa nguvu akinipiga kelele "mwiziii.....anataka kukimbia........ Lipa hela

yangu.......

Saa ngapi mlinzi asifike na wafanyakazi wengine. wa pale?? Sijakaa sawa wageni waliokuwa vyumbani kwao na wenyewe wakatoka. Ilikua ni mshike mshike ile mbaya. Nilihisi aibu na maumivu makubwa.

Kabla sijakaa sawa polisi walifika na sijui nani aliwapigia. Walikuja na defender yao, wakashuka na kuuliza "ndiye huyu?"

Dada mwenye appartment akasema "ndiye huyo,

anakimbia bila kulipa

Chapter 4

Tulipofika kituo cha polisi, polisi walianza kunihoji. Waliuliza kilichotokea nami nikawaelezea hali yote, kwamba kadi yangu. ilikuwa imefungiwa, lakini hawakuniamini kabisa.

Walinambia nipige simu kwa mtu atakayekuja. kuniwekea dhamana lakini sikuhiitaji kumpigia mtu yeyote, hasa wazazi wangu.

Kwaiyo waliandika fomu yangu na kunipeleka kwenye selo ndogo nikisubiri hatma yangu. lle ilikuwa mara yangu ya kwanza kukaa kwenye selo.

Ilikuwa chafu sana na kunuka vibaya. Kulikuwa na watu kama watano hapo, na mimi sipendi kukaa sehemu chafu. Nilianza kulia nikijilaumu kwa kukimbia nyumbani

Baada ya mda yule dada mwenye appartment alifika na kuwaeleza polisi kwamba hataki lolote zaidi ya fedha zake zilipwe mara moja.

Tatizo kubwa kwangu lilikua ningepataje izo pesa? Nilianza kufikiria jinsi nitakavyopata pesa za kumlipa dada watu nisipate jibu. Mbaya zaidi nilikuwa na njaa sana, sikula chakula toka

asubuhi. Wenzangu mule ndani walipokea chakula kutoka kwa ndugu zao, lakini mimi nilibaki peke yangu niking'ang'a sharubu.

Sasa Kuna Afande mmoja mwanamke jina lake Ruth. Bila kutegemea Aliniletea chakula cha mchana nikafural na kumshukuru sana. Nilisema, "Asante."

Akaniambia "Usijall" Kisha akaniuliza "ina maanahuna mtu yeyote atakaye kukuwekea mdhamana?"

"nina wazazi ila kwasasa hatupo sawa na sidhani kabisa kama watanisaldia"

"Kwaiyo una mpango gani? Utabaki hapa milele? Pia lazima utoke ukatafute hela ya kumlipa yule dada. Sisi tumeongea nae na tumekubaliana ndani ya mwezi mmoja uwe ushakamilisha deni lake"

Nilisema kwa huzuni "asante kwa hilo Nitatafuta. njia afande" "

Embu usikate tamaa, ngoja Nitazungumza na OCS wangu"

Nikashangaa "OCS?" Sikua najua maana yake

"Ndiyo! OCS ni mkuu wa kituo. Nitazungumza naye na kuona tunaweza kukusaidiaje. Maana kama mtuhumiwa hana mtu wa kumuwekea dhamana iwe ni ndugu ama familia basi mkuu wa kituo anauwezo wa kukupa dhamana yeye

mwenyewe na akakusainia jalada lakol Ningekua na uwezo wa kukuwekea mdhamana mimi basi ningekusaidia ila OCS ndo anauweza huo! Nitaongea nae, sawa?"

"Asante afande! Asante sana" Nilishukuru sana kisha akaondoka.

Alipotoka pale alikwenda kuzungumza na OCS wake kama walivyo niahidi. Sijui waliongea kitu gani ila Baada ya lisaa limoja na nusu alikuja kunichukua

"Ginah nimeshaongea nae, anahitaji kukuona. Ukifika Lazima umshawishi aweze kukuachia ili ukatafute hela za kumlipa mdai wako"

"Sawa afande nimeelewa

"Haya ofisi yake hio apo ingia alipanyooshea kidole Nikasogea taratibu na kubisha mlango. Sauti nzito ndani ikanikaribisha.

Kwa hofu nilifungua mlango nikaingia ndani, kitu cha kwanza nilicho kiona ni kibao kidogo mezani kwake ambacho kilikua na cheo pamoja na jina lililo someka "Elton Joshua"

Baada ya kusoma jina la kamanda si nikainua macho bhana kumtazama? Nyie....ndo yule yule, yuleee niliemwambia anakibamia! Yule niliyemwambia ni mjinga kanipakaza mate?. Eheeee huyo huyo ndie OCS wa kile kituo cha polisi

Nikasema Mbona kizaa zaaa! Yani ni matatizo juu ya matatizo?? Kilicho bakia kilikua kuomba Mungu asinikumbuke. Nilisimama nikitetemeka kama popkoni kwenye sufuria

OCS alinitazama kwa dakika tano Kisha

akasema

"We bado ni mtuhumiwa huwezi ongea na mimi umesimama.....huna adabu siooo?" Alifoka mpaka nikahisi mkojo

"Hapana...afande....ndio afande..... sijuii Sikuelewa nilichokua najibu ila nilipiga magoti nikitazama chini

"We ndo tapeli??" Akauliza baada ya kupiga maqoti

"Hapana Afande....wallah vile mimi sio tapeli

Alicheka kwa dharau akauliza swali lingine. "Unanikumbuka?"

"Eh????" Nikajifanya sijasikia

"Huelewi kwani? Nimeongea kichina...?"

"Hapana...afande"

"Nauliza, unanikumbuka??"

"Hapanal Sikukumbuki" nilimkana ili kuepuka matatizo

"Ngoja urudi selo kwanza ukaliwe na mbu! Upigwe na baridi labda akili yako itakaa sawa na kunikumbuka hakua anatania, alimpigia simu afande mmoja, akamuita na kumuagiza

anirudishe selo.

Yani Nilirudi selo nikilia kwa sababu hiyo ilikuwa tumaini langu pekee la kuachiwa huru. Kamdomo

Kangu kaliponza na alinambia kuwa siku akikutana na mimi nitakoma na kweli nimekoma

Baadaye jioni, Afande Ruth alirudi akashangaa kuniona bado nั–ั€ะพ ะฟั–ั‚ะตั˜ะฐะฐ kะฐma pishi la mchele "Gina, bado uko hapa?"

Nikajibu "Ndiyo, bado nipo Afande"

"Nilikutuma ukazungumze na OCS, kilitokea nini?"

"Hakijatokea kitu afande mimi Sidhani tu kama OCS ananipenda, kwa sababu yeye ndo ametoa amri nimerudishwe selo"

Ruth akashangaa "Mnafahamiana?"

"Hapana, simfahamu"

"Sasa kama ndo ivyo kwanini akatae?? OCS wetu siyo mtu wa aina hiyo. Ni mkali ndio hapendi utani na hacheki ovyo lakini moyo wake. ni safi. Usijali nitaongea naye tena kesho

"Asante afande" Nilishukuru sana. Baada ya hapo, Ruth alinipa chakula, nikala kisha nikalala kwenye sakafu yenye baridi

Nakuja......

Chapters

Chapter 5

Siku iliyofuata OCS hakuja kazini. Afande Ruth alinambia OCS alikua na kikao ndo maana hakuja, labda angekuja baadaye. Lakini hata iyo baadaye yenyewe napo hakuja.

Kesho yake, kesho kutwa yake mpaka mtoridogoo hakutokea. Mara Wiki nzima ikakatika hakufika kituoni. Apo binti yenu.

nimeshalala kwenye sakafu mpaka nikakoma.

Ukija swala la mbu ndo usiongee kabisa. Walifanya party mwilini mwangu hakuna rangi sikuacha ona

Kiharufu cha jasho, kikwapa utadhani nimechacha. Mwili haukua umegusa maji hatal kwa bahati mbaya. Nililia sana na Nilimiss. nyumbani, nilizoea kulala kwenye godoro la spring lina nesa nesa kama kitenesi lakini sasa nalala sakafuni kwenye vumbi.

Msaada wangu wa pekee niliokuwa nautegemea ni OCS, lakini ndo ivyo nilishamkera. Na laiti ningewapigia simu wazazi wangu wangenisaidia na lazima ningeolewa.

Wakati wote huo nikiwa selo, Afande Ruth ndiye alikuwa akinisaidia, aliniletea chakula na kunipa. moyo. Alikuwa upande wangu utadhani tulikua ndugu kumbe sio.

Sasa Wiki iliyofuata OCS ndo akaja. Alipofika tu nikaambiwa niende ofisini kwake. Nilipoingia kitu cha kwanza nilichofanya ni kupiga magoti huku nalia, nikamwambia, "tafadhali samahani, kama nilikukosea naomba unisamehe....."

"Mimi sitaki machozi yako! Nataka uniambie kitu kimoja! Unanikumbuka?"

Nikajibu "ndiyo, nakukumbuka.........nakukumbuka sanaaa"

"Enheee embu niambie yale maneno uliyoniambia siku ile alisema kwa dharau

"Maneno gani afande.....?"

"aaah, ngoja nikurudishe selo utakumbuka vizuri."

Nikajibu haraka "hapanal Nakumbuka! Nakumbuka kabisa!"

"Unakumbuka alafu husemi?? Sema nisikieee"

"nilisema wewe ni mjinga, nikasema una kibamia! Lakini samahani, niliteleza tu, sikumaanisha. Pleasee nisamehe.... Nilikuwa nalia, sikua na kingine cha kufanya zaidi ya kulia tu.

lla mwenyewe hakuonyesha huruma hata kidogo. Alinitazama vibaya sana. "Mimi sisamehi kirahisi! Ulichokisema jiandae kukilipla! Nataka nikifunze adabu kidogo na ukumbuke kuwa simba hashikwi kalio

Alianza kukagua jalada langu kwa dakika chache mwishoni akasema "umepewa mwezi mmoja ulipe hela unazodaiwa. Unacho takiwa kufanya ni kutokutoka nje ya mkoa huu. Kila wiki lazima uripoti kituoni na kuleta kiasi cha hela cha kulipia hilo deni, umenisikia?"

Nikajibu "ndiyo nimekuelewa.....afande"

"Skia! Deni lako nitalipa lote mwisho wa mwezi! Unachotakiwa kufanya ni kuwa mfanyakazi wangu wa ndanil Mwezi ukiisha unasepa" aliongea akiwa kashafanya maamuzi tayari sio kwamba alikua akisubiri jibu langu.

Alafu kingine Kwa wakati huo sikuwa na option nyingine. Ningetoa wapi hela za kulipa?? Ni bora kukubali kwenda kufanya kazi za ndani kwake kisha mwezi ukiisha, deni linakua linalipwa lote na pia nakua huru wa kusafiri kurudi nyumbani.

Nikisharudi nyumbani nitaomba msamaha na kubadilika maana nilikoma mimi

"Sawa" nilijibu kwa huzuni

"Utapitia mapokezi utachua vitu vyako then utanisubiri nje mpaka nimalize kazi zangu"

Sikuwa na jinsi, nilifata alivyosema nikasubiri nje ya kituo. Wakati huo Ruth alikuwa akifanya mbali na kituo kwaiyo hakuwepo kuniliwaza.

Nilikaa pale nje kuanzia asubuhi hadi jioni. Yani alijua kunitesa sana huyu kaka. Na sikuwa nimekula kabisa njaa mpaka kwenye kope

Nilipokuwa naanza kusinzia, nikasikia mtu. anafoka nyuma yangu, "aaah! Weee tapeli..... Simama Nifuate!"

Nilipoangalia nyuma nikamuona OCS kakunja sura, Mara moja nikasimama na kumfuata.

Tupanda kwenye gari lake, gari lile lile tulilo nyanduana ndani yake usiku ule kwenye club. Safari ilikua ni moja tu, moja kwa moja nyumbani kwake. Njiani hatukuzungumza hata neno moja. Ni mtu wa serious kweli hapendi

stori

Tulipofika, tukashuka kwenye gari tukaingia ndani. Nyumba yake ilikuwa safi sana, yenye harufu nzuri, kila kitu on point.

Nilihisi kabisa jamaa anatoka kwenye familia yenye sasampa za kutosha maana mshahara wa polisi hautoshi kununua magari matano expensive yaliyo paki nje kwake. Au kuwa na jumba kubwa kama lile. Kwaiyo Nilijua tu anatoka familia tajiri.

Tulipoingia ndani, hakutaka hata nikae kwenye sofa. "unanuka sana, nenda kaoge"

Akanionyesha chumba, nikaingia, nikavua nguo, nikaenda bafuni kuoga. Sikuwa nategemea atanifuata huko huko bafuni. Lakini ghafla akaingia. Nilistuka sana! Yeye hakujali akasema

"unakumbuka ulivyosema nina kibamia? Basi sasa ngoja nikuadabishe" sasa ngoja nikuadabishe

Weeee mimi nilijua kashasahau kumbe kwel bhana hajui kusamehe kirahisi.

Nakuja

Maoni

You're not logged in


profile
majario 17 Oct 2025 21:32
Toa maoni yako je hii iendelee??
Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ๐Ÿฅฑ* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA* Ilikua kama wiki mbili zimepita tangu nirudi kutoka Canada. Nililazimishwa kurudi nyumbani kwa sababu baba aligundua kule sikusoma kabisa. Nilikuwa nashinda kwenye starehe, kila siku club, kila week



Nilijisahau kabisa mpaka pale mkuu wa chuo alipompigia baba simu kumwambia sijahudhuria masomo karibia semista mbili nzima. Babal alikasirika sana, akanipigia simu akaniambia nirudi Tanzania mara moja.

Niliporudi, maisha yangu yakawa magumu. Baba na mama walinifungia ndani kama mfungwa. Waliniambia hiyo ndiyo adhabu yangu kwa

kuwavunjia heshima. Sikuwa na cha kufanya, Nilikaa ndani siku zote, nikichezea simu na kusikiziliza mziki

Lakini nilianza kuchoka maana sio siri Nilihisi ninabanwa sana. Nikaanza kukumbuka utamu wa club usiku. Nikasema weeh usinichezee akili, Nilipanga nitoroke usiku wakati wote wamelala, niende club kisha nirudi mapema kabla hawajaamka.

Basi Usiku ule, nilingoja wote walale kisha nikatoka kimya kimya kama mwizi....

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-nilegezee-kamba-1-5-sehemu-ya-kwanza-ilikua-kama-wiki-mbili-zimepita-tangu-nirudi-kutoka-cana

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-nilegezee-kamba
 *AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ*    *19&20*  FINAL  Kwa takribani masaa mawili tuliyatumia njiani mpaka kufika tulipokua tunaenda. Apo kwenye
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *19&20* FINAL Kwa takribani masaa mawili tuliyatumia njiani mpaka kufika tulipokua tunaenda. Apo kwenye
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* 17 -- 18 Chapter 17  Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* 17 -- 18 Chapter 17 Mapenzi yangu na Elton yalikuwa mazuri kupita maelezo. Nilifurahia kila dakika niliyoitumia naye. Kila kukicha tulikuwa tunazidi kuwa karibu zaidi
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 12  Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 12 Baada ya kunipeleka chumbani kwake, Elton alinilaza kitandani, akafunika na blanketi kisha akatoka nje. Dakika zile zile alirudi na bakuli la maji moto...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *14&15*  Maneno ambayo Elijah alinambia yalinivunja moyo vibaya sana. Niliapa nikasema lazima nimulize Elton akirudi. Nilihitaji kujua sababu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *14&15* Maneno ambayo Elijah alinambia yalinivunja moyo vibaya sana. Niliapa nikasema lazima nimulize Elton akirudi. Nilihitaji kujua sababu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 13  Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 13 Ile busu lilifanya tujihisi tupo kwenye dunia nyingine kwa dakika tano hivi hatukuwa sisi nikajiuliza, "mbona naenjoy hii kitu?"
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Asubuhi tuliamka wote, tukicheza na mito kama watoto. Elton alikuwa ananikimbiza chumbani na kila aliponikamata alinikumbatia na kunibusu
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ*  Chapter 9  Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 9 Elton alikuja jikoni pale nilipokuwa nimekaa, Akanikamata mkono wangu kwa nguvu, akaniambia kwa hasira
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 8  Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 8 Nilikumbuka jinsi chai inavyopikwa, nikadhani labda kahawa nayo ni hivyohivyo
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Ile simu ya Siku ya kuripoti kituo cha polisi ikafika. Nilipaswa kwenda peke yangu, ila Elijah akaniambia atanipa kwa gari
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ*   Chapter 7  Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
_* *AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* Chapter 7 Siku hiyo ilikuwa ngumu sana, yani hata sijui nilikuwa nafanya nini. Nilisimama tu pale kwa dakika tano nikiwaza "Sasa hii...
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA SITA*  Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
*AFANDE NILEGEZEE KAMBA ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜ซ* *SEHEMU YA SITA* Kabla hata sijamjibu kitu, akanirukia na kuanza kunishika shika hadi Mwili wangu ukaanza kulegea.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

851
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

608
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

533
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20

426
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

312
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.62K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.53K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA โ€œ Brayton..โ€ Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa โ€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?โ€ Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest