Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA  Sehemu ya """""1
Gonga94 ยท Stories

WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
,, WATOTO MAPACHA

Sehemu ya """""1

Barozi wa Tanzania nchin Colombia Mr Benson alikuwa anawaza namna ya kumwambia mkewe atakapoamka ,kuwa mtoto wao amefariki. Kwa mala ya tatu mfululizo mkewe akipata ujauzito hiaribika ,au akifikisha muda wa kujifungua basi mtoto huyo hufariki hata kabla hajakaa hata lisaa limoja ,
Na ndivyo ilivyotokea siku hiyo
.
Mr Benson akapata wazo akawafuata manesi wa hospitali hiyo na kuwaambia atawapa milioni 20 cash ,wakimuibia mtoto hospitalin hapo na apewe mkewe kabla hajaamka yaani akistuka tu amkute mtoto pembeni yake,

Manes wawili wakakubali kufanya dili hilo ,
Siku hiyo hospitalin hapo palikuwa na mama mmoja mjamzito anaitwa Rebecca,
Nae alikuja kujifungua na kwa bahati nzuri yule Mama akajifungua MAPACHA.

Rebecca baada tu ya kujifungua alizimia akakimbizwa ICU ,

Wale manesi wakamchukua mtoto mmoja na kumuweka kwenye kitanda cha mke wa Mr Benson ,na katoto kengine wakaenda kukatupa dampo wakijua mpaka asubuhi katakuwa kamekufa,

""Tumeshamaliza kazi yako tumalizane bas,,"""!
Wale manes walimwambia Mr Benson

Mr Benson alifurahi sana baada ya kukaona katoto ka kike kapo pembeni ya mkewe.
Akatoa check ya milioni 30 akawapa wale manes ,
Mr Benson hakujua kuwa mtoto alieuziwa wamezaliwa Mapacha na mmoja alitupwa dampo kupoteza ushahidi.

Mke wa Mr Benson alipoamka akamuona mtoto pembeni yake ,alifurahi sana mpaka machozi yalimtoka kwa furaha ,bila kujua kuwa mtoto aliezaa alifariki na mtoto alienae mumewe alimnunua pesa ndefu na akamuwekea pale kitandan ili atakapoamka ajue ni mtoto aliemzaa,

Wakat mke wa Mr Benson anafurahi huku Rebecca analia ,baada ya kuzinduka na kuambiwa alizaa Mapacha lakini wote wamefariki ,
Rebecca alilia sana hata mumewe alipokuja kumfariji hakunyamaza,

Miaka ikakatika hatimae miaka 7 ikatimia ,
Familia ya Mr Benson ilimpenda sana yule mtoto huku mtoto akiita "mama "na mke wa Benson akijibu "mwanangu,,"huku Siri ikibaki kwa baba yaan Mr Benson mwenyewe.
Yule mtoto walimpa jina la celena na alijaaliwa uzuri haswa ,
Siku moja mama yake alimchukua waende super market ,wakapanda kwenye gari yao ya kifahari na safar ikaanza,
Wakiwa njian gar ilikuwa inatembea taratibu huku mke wa Benson akiongea na sim ,
Selena akatupa jicho nnje
Akamuona kaschana makamo kama yake kachafu na kanaokota makopo ,alipokaza macho vzr akashangaa na asiamin macho yake ,kale kasichana kalifanana nayeye kila kitu,
Celena akamwambia mama yake asimamishe gari , mama yake bila kujua akasimamisha , celena akashuka na kumkimbilia kale kaschana na alipomfikia akaanza kumshangaa,

""Wewe ni mimi ,,""!!!
Celena aliongea na kumshtua kale kasichana wakakutanisha macho,

Walijikuta wanasisimka na mapigo yao yanakwenda spidi ,
Kale kasichana hakuamini macho yake kama kuna mtu anaweza kufanana nae kiasi kile ,yaan kasoro yao ni celena alikuwa kavaa nguo za garama na kale kasichana kamevaa nguo chafu ,

""Unaitwa nani ..""
Celena alijitahid kumuuliza huku anamshangaa ,

"Naitwa Celina ,,""
Kale kasichana kalijibu .

Celena akaduwaa ,akashangaa huyu mtoto alifanana nae eti anaitwa Celina wakati yeye anaitwa Celena , naukumbuke ndugu msomaji kuwa Hawa watoto wamefanana kila kitu mpaka mambo yao,

"We celenaaaa,,""""
Mama yake celena aliita huku anakimbia upande uleule waliposimama wakina celena ,

Itaendelea
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1

,, WATOTO MAPACHA

Sehemu ya """""1

Barozi wa Tanzania nchin Colombia Mr Benson alikuwa anawaza namna ya kumwambia mkewe atakapoamka ,kuwa mtoto wao amefariki. Kwa mala ya tatu mfululizo mkewe akipata ujauzito hiaribika ,au akifikisha muda wa kujifungua basi mtoto huyo hufariki hata kabla hajakaa hata lisaa limoja ,
Na ndivyo ilivyotokea siku hiyo
.
Mr Benson akapata wazo akawafuata manesi wa hospitali hiyo na kuwaambia atawapa milioni 20 cash ,wakimuibia mtoto hospitalin hapo na apewe mkewe kabla hajaamka yaani akistuka tu amkute mtoto pembeni yake,

Manes wawili wakakubali kufanya dili...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-sehemu-ya
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5
WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5
watoto MAPACHA  Sehemu ya ,,,,,,2
watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA        sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA       sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA                            SEHEMU...
WATOTO MAPACHA SEHEMU...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest