Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,,,,,4
Gonga94 ยท Stories

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
WATOTO MAPACHA

Sehemu ya ,,,,,,4

Celina na stefano walijikuta wanakaa dawati moja ,
Tatizo la stefano ukiacha utundu aliokuwa nao alikuwa hana akili kabisa ,yaani mwalimu alikuwa anafundisha weee lakini stefano haelewi kitu .

Wazazi wa stefano walijitahid sana kumfundisha yaan kila akirudi kutoka shule mama yake anamfundisha na kumpa maswali ya hapa na pale ili aelewe lakin wap.

Tokea kipindi kile celina aonane na celena ,celena alikuwa hana raha kabisa ,
Mala nyingi celena alikuwa anatoroka kwao na kuja mpaka eneo alilomuona celina na kuzunguuka eneo hilo akizani atamuona celina lakini wap ,,Celena akaona inawezekana ni kweli siku ile alikutana na jini , maana haiwezekani yule mtoto kufanana kiasi kile ,

Celina alikuwa akitoka shule hupitia kwa docta Mathias na kubadili nguo halafu huchukua chakula na kwenda nacho jalalani kwa Mama yake na kumpa ale ,
Kitendo hicho kilikuwa kinamuuzi mke wa docta Mathias,

""Wee weee,,,rudisha upes chakula changu ,"""
Mke wa Mathias alimwambia celina kwa ukali,baada ya kumuona anabeba wali ili akale na mama yake ,

""Mama yangu ananjaa na hawezi kula bila mimi kuwepo,,"""
Mtoto celina aliongea taratibu sana,

""Ukome ,,tena iwe mwisho leo yaani chakula changu ukampe kichaa ,,naona wee hunijui weweee,,"""
Mke wa Mathias alikichukua kile chakula na kukimwaga kwenye mfuko wa matakataka ,

""Chakula nipike mimi halafu we unampelekea kichaa mpuuz ww,,""na kama unaleta ubishi hapa kwangu utaondoka ,umepewa msaada tu bado unaleta kibuli,,""
Mke wa Mathias alikuwa anazarau haswa ,

""Na hicho kiroba cha matakataka nikiingia ndani nikitoka nisikikute ,ukienda kwa Mama yako uwende nacho ,"""
Bado mke wa Mathias alimsimanga celina,

Celina alichukua kile kiroba cha matakataka na kutoka nacho nnje akatoa kile chakula juu juu na kwenda kwa Mama yake .
Alipofika mama yake japo ni kichaa lakini alifurahi kumuona ,na walipomaliza kula walianza kucheza michezo mbali mbali huku wakikimbizana ,japo celina sio kichaa lakini alicheza ili kumfurahisha mama yake,

Siku iliyofuata celina alienda shule ,na kama kawaida alikaa dawati moja na stefano ,

,""Nataka nikufundishe kusoma mpaka ujue ila uwache ugomvi na wenzako ,""
Celina alimwambia stefano.

Stefano aliitika kwa kichwa tu lakini moyoni alikuwa na hasira na asubuhi alipigana na mwenzake na yule mwenzake alimpiga ngumi akakimbia, sasa stefano akadai wakitoka atamkamata wapigane,

Mda wa kutoka stefano akamvizia yule mwenzake njian nakuanza kupigana ,
Kwa bahati nzuri njia ile alipita celina akaukuta ugomvi ule,

""We stefano si nilishakwambia uwache ugomvi,,,""?

"Amenianza mwenyewe ,,""
Stefano alijitetea ,

""Haya acha ugomvi twende nyumbani""

Stefano akajikuta anachukua begi lake na kuongoza njia huku akiwaza kwanini anakuwa zaifu mbele ya celina ,

" leo nakupeleka mpaka kwenu ,,""maana nikikuacha njian utarud kupigana ,,
Celina alimwambia stefano huku wanatembea.

""Nishafika nyumbani we rudi zako ,,""
Stefano alimwambia celina

""Siondoki mpaka nione umeingia ndani,,,""

Mama Stefano alikuwa ndani ambaye ndio yule Rebecca ,akasikia mtoto wake anabishana huko njee,ikabid achungulie dirishan ,
" Haaah,,,""
Kilichomshangaza mama stefano ni celina kufanana nayeye ,akajipa moyo labda tumefanana tu ,ila chapili anavyomjua mtoto wake Stefano alivyomtundu na mchokozi , amekuwa mpole mbele ya Celina ,tena celina kamshikia fimbo stefano,

""Ingia ndani au nimwite mama ,,,""?
Celina akamwambia stefano ,
Kauli ile ikamshtua tena mama stefano akajikuta mapigo ya moyo yanakwenda kasi,

""Ingia ndani au nimwite mama,,,""??
Ile kauli ikajirudia kichwani mwake,mama Stefano akajikuta anamwangalia kwa umakini Celina ,

MAMAAAAA,,,,!!!
Celina aliita kwa sauti ili kumtisha stefano .
Mama stefano aliposikia ile sauti akashangaa moyo umepiga PAAAH ,,

Kumbuka mama stefano hamjui celina ndo mala ya kwanza anamuona ,na celina hamjui mama Stefano kabisa ,

Ukinunua story hii kwa elfu moja utaipata na story ya BIBI YANGU ALINIINGIZA KWENYE UCHAWI AKANIPONZA ????,
Bure kabisa ,
0655772653 njoo whtsap
Tangazo - Watumiaji wapendwa, hongera!? Asante kwa kutuamini! Tunakupa nafasi ya kushinda hadi 2,300,000 TZS
Watumiaji wapendwa, hongera!? Asante kwa kutuamini! Tunakupa nafasi ya kushinda hadi 2,300,000 TZS
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4

WATOTO MAPACHA

Sehemu ya ,,,,,,4

Celina na stefano walijikuta wanakaa dawati moja ,
Tatizo la stefano ukiacha utundu aliokuwa nao alikuwa hana akili kabisa ,yaani mwalimu alikuwa anafundisha weee lakini stefano haelewi kitu .

Wazazi wa stefano walijitahid sana kumfundisha yaan kila akirudi kutoka shule mama yake anamfundisha na kumpa maswali ya hapa na pale ili aelewe lakin wap.

Tokea kipindi kile celina aonane na celena ,celena alikuwa hana raha kabisa ,
Mala nyingi celena alikuwa anatoroka kwao na kuja mpaka eneo alilomuona celina na kuzunguuka eneo hilo akizani atamuona celina...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-sehemu-ya
WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5
WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5
watoto MAPACHA  Sehemu ya ,,,,,,2
watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA        sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA       sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA                            SEHEMU...
WATOTO MAPACHA SEHEMU...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest