Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

WATOTO MAPACHA sehemu ya 14

8th May, 2025 Views

WATOTO MAPACHA
sehemu ya 14

Mr Benson alimuangalia vzr Celena lakin hakuona utofauti wowote , " we ulikuwa wapi ,"? Mr Benson alimuuliza mtoto wake ,
" Baba mi si ndo natoka shule ,"
Celena alijibu , " mbona hujapanda gari la shule ,"?
Mr Benson alimuuliza tena mwanawe,
" Mi niliwahi kutoka kabla ya gari kufika "
Alijibu Celena , na mama yake Celena akatokea akiwa kavimba uso Mr Benson akajua kweli alichosema Celina kichaa mkewe nikweli alimpiga ,
"Vipi mbona umevimba uso "
Mr Benson alimuuliza mkewe kwa kumtega ,ili ajue Kama nikweli alikutana na Celina kichaa au vipi ,
" Aaah nilipata ajali kdg nikajigonga usoni kwenye steringi ,"
Alijibu mama Celena ,
" Hujakutana na Celina mke wangu wewe "
Mr Benson aliuliza swali ambalo lilimstua mama Celena,
" Hapana kwani vipi ,"?
Mama Celena aliuliza huku akiwa na wasiwasi maana Mr Benson alitaja jina la Celina mkewangu , inamaana anamkumbuka mkewe , akajua mda si mlefu Celina anaweza akapona kichaa chake na akipona lazima arudi kwa mumewe ,Sasa asipofanya kitu mapema atajikuta anampiteza Mr Benson kwa mala nyingine ,
Waliingia ndani na kukaa kwenye sofa huku Celena akienda chumbani kwake kubadilisha nguo ,
Mr Benson yeye alikuwa yupo kimya huku anawaza kuwa yawezekana , Hawa watoto walizaliwa mapacha na ukumbuke yeye ndio alietoa pesa ili auziwe mtoto kule hospital, wakati mkewe nae yeye aliwaza kivyake , yeye aliwaza yawezekana alizaa mapacha na pacha mmoja akaibiwa ,lakin sasa mbona Yuko na yule kichaa ,"? Mama Celena bado alikuwa anawaza bila majibu , aliwaza amuulize mumewe lakin akahofia kuwa anaweza kugundua mpango wake hivyo alikaa kimya ,
Mama Celena alipanga kwanza kesho amtafute yule kichaa mke wa zamani wa Mr Benson amuangalie Kama bado ni kichaa basi achunguze yule mtoto anaefanana na mtoto wake ni wanani ili ajue, maana anampango wa kumuua kabisa yule kichaa ,yeye aliona akipona atarudi nyumbani na hapo itakuwa vita nyingine ,Sasa ni heli amuue kabisa ,
Celena nae akajifanya hajui kilichotokea na kutokana na utoto wake akaona kule kwa kina Stefano ndio mahali sahihi pa kwenda kushinda ,na Kama baba yake anawajua wakina Stefano basi Kuna uwezekano wa wao kuwa ndugu , hivyo aliamua kesho yake aende akashinde kule badala ya kwenda shule ,
Kweli kesho yake Celena aliandaliwa na mama yake ndie aliempeleka mpaka shule , mama yake Celena alimpeleka Celena shule ili apitie kumtafuta yule kichaa , yaani Nia yake amtafute yule Celina kichaa mke wa Mr Benson wa zamani , ambae yeye ndio alimfanyaga kichaa ,
Sasa Celena alifikishwa shule vzr na mama yake akahakikisha ameingia shule akageuza gari , na kurudi mtaani kumtafuta yule mama kichaa ,
Lakin Celena alipohakikisha mama yake ameondoka ,yeye alitoroka na kuchukua bodaboda na kuondoka kwenda kwa kina Stefano ,
Sasa alipofika kwa kina Stefano kumbuka yeye hajazoeana na yule mama kichaa , na wakati huo Celina na Stefano wao walikuwa wameenda shule hivyo yule kichaa alikuwepo mwenyewe tu pale nje ya nyumba ya kina Stefano , na yule kichaa alipomuona Celena akajua ni mwanawe Celina , akaanza kumkimbiza huku akiwa anacheka Cheka hovyo , Sasa kumbuka Celena anamuogopa maana alikuwa hajui uhusiano wa huyu kichaa na Celina , akaanza kupiga kelele huku akiitaa mamaaaa ,"
Mama Stefano akaisikia ile saut na akatoka nje , akamuona Celena amejibana kwenye ukuta huku anaita mamaaaa,"" yaan anamuogopa yule kichaa huku yule kichaa aliona Kama Yuko na Celina wanacheza ,
Mama Stefano alimuangalia vzr akagundua huyu aliekuja ni Celena , maana Celena hamjui huyu mama kichaa , Sasa kilichokuwa kina mshangaza nikwamba mtoto huyo akiita mamaaa ," mapigo ya moyo yanadunda kwa nguvu mama Stefano ,yaan anakuwa Kama mtu mwenye wasiwasi ,
Mama Stefano akaenda na kumtoa Celena pale alipokuwa kajibana akimuogopa Celena ,na alim beba , Celena alikuwa analia tu ,lakin pia alipom beba mama Stefano alihisi vitu vya utofauti mwilin mwake , kwanza alihisi Kama yupo na mwanae kabisa wa kumzaa , pili alipokuwa Anam bembeleza alitamani aendelee kum bembeleza tu ,
Walipofika ndani mama Stefano alimshusha Celena na kumuweka kwenye kochi huku anamuangalia vzr , " hakyaMungu huwezi kuwatofautisha Hawa watoto,"
Aliwaza mama Stefano huku anamuangalia vzr Celena ,
Celena aliponyamaza akaingia mwenyewe jikon na kumimina chai akafunua sufulia akakuta Kuna ndizi za kuchemsha akaweka kwenye sahani akaanza kula , mama Stefano ye alikuwa anashangaa tu maana hata Celina kipindi anakuja siku ya kwanza nae alikula chakula Kisha akaosha vyombo na akamfulia Stefano nguo zake za shule , na huyu nae alikuja siku ya kwanza alianzisha utundu humo ndani mpaka wakavunja gras ,
Leo amekuja peke yake na akaingia jikoni na akapakuwa ndizi akawa anakula ,
Tatizo ni kwamba wanapokuja watoto hao mama Stefano hujihisi vizr Sana , na huwaacha wafanye wanachokitaka japo hawajawahi kukutana na mwenzake Celina ,
Kumbuka Celena anajua hapo nyumbani ni kwa kina Celina na Stefano hivyo alikuja kuwasubilia wakirudi shule wamkute hapo na waanze kucheza ,
" Mama gauni langu liko wapi ,"?
Celena alimuuliza mama Stefano, Sasa alipomuita mama Stefano akajikuta moyo wake unakuwa tofauti Sana ,yaani akajikuta anajiuliza Hawa watoto ni kina nani , maana wakimuita mama moyo wake unadunda Sana ,
" Mama gauni langu " Celena alirudia tena kuita ,
" Aah sawa ngoja nikakupe ,"
Mama Stefano alijibu ,
Kumbuka siku ya kwanza anakuja Celena mama Stefano alimpa gauni Celena na Celena alilivaa akacheza na alipomaliza akalivua akavaa nguo zake za shule na akaondoka zake ,
Celena akapewa gauni akalivaa Kisha akaanza kucheza zake , Sasa Celena Hana mtu wa kucheza nae akaanza kucheza na mama Stefano ,
Celena alikuwa mtundu Sana , mala apande kwenye kochi aruke ruke ,akafungulia mziki akaanza kucheza ,yaan humo ndani ni vurugu , kumbuka Celena akiwa hapo kwa kina Stefano anajihisi amani Sana japo sio kwao , lakin alijikuta anafanya mambo mengi ya utundu utundu , Celena alikuwa Kama Stefano tu ,maana alikuwa hasikii , aliingia chumbani kwa Stefano akavaa nguo za Stefano akaja sebuleni , "mama onaaa nimependezaa ," Celena alimwambia mama Stefano , kumbuka Celena anamuita mama Stefano mama kwa heshima tu na hajui Kama huyo ndio mama yake kweli , na mama Stefano alikuwa anaitikia bila kujua huyo ni mtoto wake kweli ,
"Heeh makubwa ,,! Umevaa nguo za Stefano ,"
Mama Stefano alishangaa huku akitabasamu tu maana Celena alikuwa mtundu haswa , na alizoea hiyo nyumba Kama kwao ,bila kujua ni kwao kweli ,
Ilifika Kama saa 6 mchana mama Stefano akatoa mkeka nje akawa amekaa zake huku anatafakari jinsi hao watoto mapacha wanavyofanana halafu sio ndugu , " huyu kazaliwa kwenye familia ya kitajiri na yule mwingine mama yake ni kichaa , hapo mbona Kama Kuna utata ,?
Aliwaza mama Stefano huku akijishika shavuni ,hakujua kuwa watoto hao nikweli ni MAPACHA na ni watoto wake na ndio maana wamepazoea hapo nyumbani ,
Sasa wakati anatafakari akaja Celena na kulala kwenye mapaja ya mama Stefano ,
" Mama mi nimechoka nataka kulala ," alisema Celena huku akilala kwenye kifua Cha mama Stefano,
Mama Stefano alihisi mwili kusisimka na na akampkata vizr Celena Kama mtoto wake , Sasa alivyompakata si akamwangalia vzr uson akashangaa Kama anaiona sura yake ,yaan Celena kafanana na mama Stefano, ni kweli watoto hao wamefanana na na mama Yao ,mama Stefano alianza kutokwa na machozi huku anamuangalia Celena ,
" Mama mbona unalia , " Celena alimuuliza mama Stefano bila kujua kuwa mama Stefano alitamani watoto hao wangekuwa watoto wake maana wamefanana nayeye ,
" Hapana mwanangu ni mawazo tu ,"
Mama Stefano alijibu huku akijifuta machozi ,
Mama Stefano alikaa na mtoto wake tena alimpakata kabisa bila kujua ni mwanawe kweli ,ila nafsi zikawa zinavutana ,si unajua damu nzito kuliko maji ,,?

KUMBUKA story hii utaipata kwa elfu moja tu ,
0655772653 njoo whtsap,

Itaendelea.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA 09 AGE ????

mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA Sehemu Ya 06

mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA Sehemu Ya 05

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA sehemu ya 15

mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA Sehemu ya 03

mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA Sehemu Ya 02

mjukuu rewards 100
 

SHINDU LA KIHAYA Episode (1)

mjukuu rewards 100
 

CHAKULA CHA MUME

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA sehemu ya 14

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA, kipande Cha 13

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA SEHEMU YA 11

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10

mjukuu rewards 100
 

SHEMEJI KAUTAKA Sehemu -01

mjukuu rewards 100
 

UTAMUU WA MABOSS ??????11

mjukuu rewards 100
 

UTAMUU WA MABOSS ??????9

mjukuu rewards 100
 

BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA--10

mjukuu rewards 100
 

CHAKA LANGU Episode 1

mjukuu rewards 100
 

Shangazi Kodogo tu ?EPISODE 5

mjukuu rewards 100
 

SHANGAZI KIDOGO TU EPISODE 4

mjukuu rewards 100
 

?SHANGAZI KIDOGO TU ?EPISODE 3.

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS?????? 8

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS??? 6~7

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS?????? 5

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS??? 4

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS??????3

mjukuu rewards 100
 

UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02

mjukuu rewards 100
 

?SHANGAZI KIDOGO TU ? EPISODE 2

mjukuu rewards 100
 

?SHANGAZI KIDOGO TU ?EPISODE 1

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 11

mjukuu rewards 100
 

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03

mjukuu rewards 100
 

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 10

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 9

mjukuu rewards 100
 

?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 8 ?

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA Sehemu ,,,,, 3

mjukuu rewards 100
 

WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1

mjukuu rewards 100
 

?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 7

mjukuu rewards 100
 

?WE KULA TU BINAMU ?EPISODE 6

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 5

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 4

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 3

mjukuu rewards 100
 

WE KULA TU BINAMU EPISODE 2

mjukuu rewards 100
 

We Kula Tu Binamu Sehemu 1

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA 38,39,40 *38*

mjukuu rewards 100
 

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 01

mjukuu rewards 100
 

SHANGA TISA EP: 20

mjukuu rewards 100
 

KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 6

mjukuu rewards 100
 

KITUMBUA CHA PACHA EPISODE 5

mjukuu rewards 100
 

MZEE WA BAKORA EPISODE 3

mjukuu rewards 100
 

MZEE WA BAKORA EPISODE 2

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA 28--29 ENDELEA.

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 05

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 03

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (02)

mjukuu rewards 100
 

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 05

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 04

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 03

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 02

mjukuu rewards 100
 

MCHEZA CINEMA 01

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 18 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 17 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME..... S2 (16)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 15 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 14 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 13

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 12 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 11 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 10 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 09 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 08

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 07 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 06 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 05

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 04 (02)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME 03 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME.... 02 (S2)

mjukuu rewards 100
 

DO YOU LOVE ME..... 01 (S2)

mjukuu rewards 100
 

KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 4

mjukuu rewards 100
 

PENZI LA PACHA ?EPISODE 3

mjukuu rewards 100
 

?KITUMBUA CHA PACHA ?EPISODE 1

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 7

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 6

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH EP 5

mjukuu rewards 100
 

?NG?ZA YOTE CH?TARAH 4

mjukuu rewards 100
 

INGIZA YOTE CHITARAH CHITARAH 3

mjukuu rewards 100
 

KISURA WA DAMPO SEHEMU 2

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 21

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 20

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 19

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 18

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 17

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 16

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 15

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 14

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 13

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 12

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 11 ?

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 10 ?

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 09

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 08

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 07

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 06

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 05

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 04

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 03

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 02

mjukuu rewards 100
 

MPENDA NDEFU 01

mjukuu rewards 100
 

DEMU MLA MADEMU (CHOMBEZO)

mjukuu rewards 100
 

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*

mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 43 (FINAL).

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest