Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA                            SEHEMU YA  11
Gonga94 ยท Stories

WATOTO MAPACHA SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
WATOTO MAPACHA

SEHEMU YA 11

"Kwahiyo kuna Celena na Celina "?
Bado mama Stefano aliuliza maswali maana nikama anawasiwasi ,
"Ndio mama mi nishaonana na Celena mala moja tu na hatujaongea sana na sikumuona tena mpaka leo ,"
Aliongea Celina huku akimwangalia mama yake ,
Wote wakabaki kimya huku baba Stefano akiendesha gari kwa speed kumuwahisha mama Celina hospital,
Walifika mpaka pale hospital wakapokelewa na mama Celina akapelekwa kwenye WOD maalumu ya wagonjwa wa akili ,
Walipohakikisha kila kitu kipo sawa na mgonjwa kapokelewa walirudi nyumbani wakiwa na Celina huku wakiahidi kuja kesho yake kumuona mama Celina kama amepata nafuu ,

***

Huku kwa kina Celena mama yake bado alikuwa anatafakari namna mwanae anavyomdanganya maana ye anajua anadanganywa haiwezekan et kuna mtoto anaefanana na mwanae na alikuja mpaka hapo kwao na kulala ,
""Celena mwanangu ,baba yako anakuja , naomba usimwambie chochote sawaee,,,""
Mama Celena alimwambia mwanae,

Sawa mama ,,"

Mr Benson aliingia ndani na wakasalimiana na mkewe na kumuuliza shuleni kulikuwa na shida gani ,akaambiwa sio shida kubwa mtoto kichwa kilikuwa kinamuuma lakini sasa hiv kidogo afadhali,
Bas Mr Benson akawa anacheza na Celena na Celena hakumwambia chochote baba yake,

"Mbona jana ulikuwa umepooza sana mwanangu nini shida ,,""
Mr Benson alimuuliza mwanae , bila kujua yule wa jana sio Celena ni Celina ,

"Hamna baba nilikuwa najiskia vibaya ,,""
Celena nae alimdanganya baba yake,
Baba Celena nae kwa kuwa alikuwa kachoka kutokana na uchovu wakazin hakuweza kumuuliza sana maswali mwanae akaamua ajipunzishe tu ,
Kesho yake Celena aliandaliwa na akapelekwa shule huku baba na mama yake kila mtu akichukua gari yake na kwenda kazin ,
Njiani mama Celena alikuwa na mawazo sana aliwaza kile alichokuwa anaongea mwanae jana kuwa et kuna mtoto amekuja nyumban akalala na sio yeye , sasa yeye atakuwa alilala wapi dah ,! Utoto huu ,,
" au ni Celina ananifanyia mchezo ,?
Aliwaza sana mama Celena , akajikuta anazama kwenye mawazo huku anaendesha gari ,

"Lakini Haiwezekani ,,"mbona mganga alinihakikishia kabisa Kuwa hawezi kupona kabisa ,mpaka kufa kwake,"?
Mama Celena alikuwa anawaza akiwa anaendesha gari ,na mawazo yakamrudisha maisha yake ya nyuma kabisa ,kipindi ameenda kwa mganga na shoga yake fatu,

"Shida yako naijua ,nimeshaona kwenye lamli ,,sasa sema wewe unataka tumfanyeje ,,""?
Mganga alimwambia Maria ,
Kumbuka mama celena alikuwa anaitwa Maria kipindi hicho,na hapo anakumbuka akiwa anaendesha gari,

""Mi nnachotaka afe kabisa halafu yule bosi wangu nimuweke mikononi kwangu ,yaani nnachotaka mimi anifanyie ,,""
Maria aliongea ,

"Hiyo kazi ya kuua nindogo sana kwangu ila ukimuua mapema utastukiwa kuwa wewe ndo umemuua,sasa fanya hivi ntakupa dawa ya kumfanya kama zezeta halafu baadae atakuja kuwa chizi na baadae atajifia zake ,,""!
Mganga alitoa ushauri ,

"Sawa mi nnachotaka na yule mumewe anisikilize mimi ,,""
Maria aliongezea ,

"Usijali mimi ndio mganga ndere hahahaaa a""
Mganga alijitapa,

Maria akapewa dawa ,na wiki iliyofuata akarudishwa kazini ,
Natumaini Maria umejirekebisha sasa fanya kazi achana kabisa na mume wangu sawa ,?Na nikigundua ujue nitakufukuza kazi,""!
Celina mke wa Benson alimwambia Maria bila kujua kuwa Maria alikuja kwa ubaya,

"Sawa dada nimekuelewa na naomba unisamehe,,""
Maria aliomba msamaha kama mtu vile , kumbe nikondoo nje ndani ni chui,

Maria alifanya kazi ndani ya mwezi mmoja akiwa mtiifu na mtu aliejirekebisha makosa yake ,na hata Celina mke wa Mr Benson alianza kumpenda na kufuta tofauti zake kabisa ,kwani hata Mr Benson nae alitambua kuwa alifanya makosa kutembea na Maria nae akajirekebisha na kurudisha mapenzi kwa mkewe,
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza ,
Siku hiyo Maria akapika chakula na kumtengea mke wa Mr Benson yaani Celina,
Celina alipokula tu akapata mstuko na hapo hapo akawa kama taahira yaani mtu asiejielewa,
Maria alipoona mambo yametiki akaondoa kile chakula na kumpigia Mr Benson kuwa,aje nyumbani kuna shida ,
Mr Benson alirudi nyumbani fasta nakumkuta mkewe akiwa katika hali mbaya ya kutokujielewa ,akamkimbiza hospitali ,
Madocta walihangaika ikashindikana ,ikabidi wamrudishe tu nyumbani,
Ndugu wa celina nao hawakuwa nyuma kuhangaika kumtafutia tiba ndugu yao lakini ikashindikana,
Masikini celina hapo ndio ukawa mwanzo wa mateso yake ,
Maria akatumia ugonjwa wa Celina kumtia mikononi mwake Mr Benson ,na Mr Benson akawa hasikii wala haoni kwa Maria ,ilifika kipindi mapenzi yao yakawa sio Siri tena,mr Benson akamuhamisha mkewe chumbani kwake na kumuweka kwenye mabanda ya uwani ,na Maria akawa ndio mama mwenye mjengo,

Kama kuna watu waliteseka basi Celina mmoja wapo,
Ilikuwa Mr Benson akiondoka bas ndo ilikuwa mateso kwa celina ,alipewa chakula kama mmbwa ,na hali aliyokuwanayo ya uzezeta alikuwa anajisaidia hapo hapo , na akijisaidia Maria huchukua maji na kummwagia na makofi juu ,

"Mpuuzi wew si ufe tu nile raha mie ,,"" na mwaka huu ndo utaelewa kwamba mimi ndio Maria,,""
Maria alijitamba,

"We yakobo njoo tayari kashajisaidia mpuuzi huyu,,""
Maria alimwita yakobo ili am badilishe nguo ,

Yakobo ni mlinzi wa getini na alikuwa anamuonea huruma sana celena kwani alijua kabisa ule ugonjwa ni wakishilikina ,nayeye hakuwa na jinsi yoyote ya kumsaidia ,zaidi alikuwa anamlisha chakula na kum badilisha nguo pindi anapojisaidia,

"PIPiiiiiiiiii,,,,,,puuuuh"""
Mama Celena alistuka amegonga mtu ,na mawazo aliokuwa anawaza yakaishia hapo ,alizama kwenye mawazo akajisahau kuwa yupo barabaran na alikuwa anaendesha gari kwa spidi,

""Ameuwaaa ,,""ameuwaaa ""
Watu wakazid kuizunguka ile gari ya mama Celena ,
Mama celena hakuamini alichokiona mbele yake ,kijana kama wa miaka kumi na tano hivi alikuwa amelala chini damu nyingi zikimtoka ,
"" Sasa nyie mnashangaa nini m bebeni huyo kijana na mumpeleke hospitali pamoja na huyo mama ,,"
Aliongea msamalia mmoja ,na watu wakam beba kijana yule na kumuingiza kwenye gari ya mama Celena na wakapanda watu wengine wawili na safari ya hospitali ikaanza ,
Walifika hospital na yule mgonjwa ,na haraka wakapokelewa , mama Celena alikuwa kama amechanganyikiwa maana kumgonga mtu si mchezo ,
Wakati yupo pale kwenye viti vya kusubili wagonjwa mala wakaingia mama yake Stefano, baba yake Stefano pamoja Celina, walikuja hospitalin hapo kumuona mama Celina ambae walimleta jana yake baada ya kuzidiwa na homa ,
Mama Celina akashangaa nakusimama kabisa , leo kwa macho yake anamuona Celina mtoto aliefanana kila kitu na mwanae Celena , alimuangalia kwa makini ili aone kama ni mwanae Celena ,lakini cha ajabu Celina alionesha kutokumjua kabisa tena alimpita huku akiongea na mama Stefano ,
" Hii mbona ni Kali ya mwaka , "
Aliongea mama celena huku akimkazia macho Celina,

Je mama Celena atachukua uwamuzi Gani , na Je itakuwaje hospital hapo ,
Kumbuka story hii utaipata yote mwanzo mwisho kwa elf moja tu 0655772653 njoo whtsap,

Itaendelea
Tangazo - HONGERA WEWE NI MWAMBA
HONGERA WEWE NI MWAMBA
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA SEHEMU YA 11

WATOTO MAPACHA

SEHEMU YA 11

"Kwahiyo kuna Celena na Celina "?
Bado mama Stefano aliuliza maswali maana nikama anawasiwasi ,
"Ndio mama mi nishaonana na Celena mala moja tu na hatujaongea sana na sikumuona tena mpaka leo ,"
Aliongea Celina huku akimwangalia mama yake ,
Wote wakabaki kimya huku baba Stefano akiendesha gari kwa speed kumuwahisha mama Celina hospital,
...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-sehemu-ya
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5
WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5
watoto MAPACHA  Sehemu ya ,,,,,,2
watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA        sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA       sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA sehemu ya 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest