Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6
Gonga94 ยท Stories

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
WATOTO MAPACHA

Sehemu ya ,,, 6

Turudi kwa kina Celena,
Celena alikuwa hana shida kabisa , yaani maisha ya nyumbani kwao ni raha mustarehe , kila kitu anachotaka anapewa ,na yeye anajua pale ndo nyumbani na wazazi wake ndio hao , yaan hakuwa na wasiwasi kabisa ,

Celena alikuwa anasoma shule ya kifahari sana tena yenye watoto wenye vipaji maalum ,
Shule hiyo ilikuwa kila baada ya miez mi 3 inafanya mashindano ya mitihani kati ya shule hiyo na shule nyingine itakayo kubali kushindana ,na mtoto atakaekuwa wakwanza anapewa zawad,

Sasa siku hiyo Celina alivaa nguo zake za shule akamuaga mama yake kichaa ,kwa kumtekenya tekenya na mama yake akafurahi japo ni kichaa ,na Celina akaondoka zake kwenda shule ,

Wakati yupo njian mala kuna gari ikasimama mbele yake ,

""Wee Celena mbona unatembea kwa miguu ,halafu mbona upo hivyo ,yaani hujapiga pasi nguo,,""
Alikuwa mwalimu wa Celena ,alimuona Celina akajua Celena ,

Celina alishangaa tu maana hakujua hata ajibu nini,

""Panda kwenye gari twende shule ""
Mwalimu bado alimwambia Celina akizani Celena ,
Celina akaona isiwe tabu ngoja nipande ,

"Celina inamaana hujui leo kuna mashindano unavaa nguo hata pas hujapiga ""?
Mwalimu bado aliendelea kumuuliza ,huku anamwangalia vzr ,

Celina yeye alikaa kimya tu huku akijiuliza kwanini anaitwa Celena badala ya Celina ,akaona ngoja atulie aone nini kitatokea,
Gari ya mwalimu iliingia shuleni kwa kina Celena ,
Na Celina aliposhuka tu kila mtu alimshangaa,

""Hee we Celena mbona uko hivyo ,yaani uko rafu ,,""
Marafiki wa Celena walimwambia Celina bila kujua ,
Celina alibaki kuwashangaa tu maana hata huyo Celena mwenyewe hamjui ,akajisemea ili amuone huyo Celena anaetajwa tajwa inabidi akae shuleni hapo mpaka atakapokuja ,

Celena mwenyewe alikuwa kwenye gari ya kifahari anakuja shuleni hapo ,lakini wakati anakaribia nashule dereva wake akapigiwa simu ,akaambiwa arudi nyumbani upesi kuna shida imetokea,
Dereva akageuza gari na kurudi nyumbani upesi ,

"Vip anko mbona tunarud ,,""?
Celena alimuuliza dereva,

"Kuna shida nyumbani ,,""
Dereva alijibu kwa mkato,

""Lakini leo kuna mashindano shuleni ,,""
Celina alijalibu kum bembeleza dereva lakini wap dereva akaongeza mwendo ,

Na kweli walipofika nyumbani hali ya mama Celena ilikuwa mbaya sana ,
Aliteleza akaangukia kichwa ,wakafanya mpango wa kumpeleka hospitali,
Celena ndo alichanganyikiwa sana maana anavyompenda mama yake na hali aliyomuona nayo ,

Walipofika hospital mgonjwa alitolewa na kupakiwa kwenye welcher( wili chea) na kukimbizwa wodini ,
Hospitali waliompeleka mama Celena ni ile ya docta Mathias ,
Wakwanza kumuona Celena alikuwa ni yule nesi aliemfukuza Celina kipindi mama yake yule kichaa alipoumwa nakuja hospitalini hapo,
" Jamani au macho yangu ,,"huyu si mtoto wa yule kichaa huyu ,,""
Nesi alijiuliza mwenyewe,

""Nesi naomba umsaidie mama yangu apone ,,""
Celena aliongea kwa uchungu huku analia ,nesi akamkumbuka Celina nae alikuwa analia vile vile ,
" Haiwezekani atakuwa ni yeye ,,""
Nes bado alijiuliza maswali bila majibu.

Mala akatokea docta Mathias ,
""Docta mama yangu ni mgonjwa na siwezi kuwa na furaha bila yeye naomba umsaidie ,,,""
Celena aliongea tena huku analia ,docta akashikwa na butwaa , yaan anavyoongea celena na alivyoongea Celina siku ile ndio hivyo hivyo ,jinsi Celena anavyolia hakuna utofauti wowote na Celina ,

"" Mbona kama sielewi,,""
Docta aliwaza ,

Waliomleta mama Celena hospitali wakamshika celena
Ili asilete fujo maana alikuwa analia muda wote,
Docta Mathias alimpima yule mama yake na Celena huku akiwa na mawazo kibao ,
" Inawezekanaje Celina asimjue ,"?
Kwanini Celina anawazazi matajili vile halafu anakaa na kichaa ,,??
""Haiwezekani huyu sio Celina,,""
" Au huyu ndio yule aliemuona mke wangu ,,""?
Docta alijiuliza maswali mfululizo ,

Docta akatoka kule wodini akaamua akapige simu shuleni kwa kina Celina ,
Docta akaambiwa Celina hajafika shule ,docta akachanganyikiwa akajua huyu mtoto aliekuwepo hapo hospitali ndio Celina ,
Wakati huo Celina mwenyewe aliingia kwenye chumba cha mtihani na akafanya mtihani huku watu wote wakijua ni Celena wakati Celena yupo hospitali na mama yake,

Wakati docta anawaza ,mala ukaingia msafara wa magari ya kifahari na kupaki nje ya hospitali hiyo wakashuka watu wenye pesa zao akiwemo barozi ambae ndio mume wa mama Celena ,

Celena alimkimbilia na kumkumbatia baba yake ,
Docta hakuamini hata yule nesi pia alibaki kushangaa,

""Mbona kama maigizo ,,""
Docta Mathias aliwaza huku anamshangaa Celena ,

KUMBUKA story hii utaipata yote kwa elf moja tu, pia ukilipia story moja utapata moja Bure ,,,,0655772653njoo wassap
Tangazo - Watumiaji wapendwa, hongera!? Asante kwa kutuamini! Tunakupa nafasi ya kushinda hadi 2,300,000 TZS
Watumiaji wapendwa, hongera!? Asante kwa kutuamini! Tunakupa nafasi ya kushinda hadi 2,300,000 TZS
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6

WATOTO MAPACHA

Sehemu ya ,,, 6

Turudi kwa kina Celena,
Celena alikuwa hana shida kabisa , yaani maisha ya nyumbani kwao ni raha mustarehe , kila kitu anachotaka anapewa ,na yeye anajua pale ndo nyumbani na wazazi wake ndio hao , yaan hakuwa na wasiwasi kabisa ,

Celena alikuwa anasoma shule ya kifahari sana tena yenye watoto wenye vipaji maalum ,
Shule hiyo ilikuwa kila baada ya miez mi 3 inafanya mashindano ya mitihani kati ya shule hiyo na shule nyingine itakayo kubali kushindana ,na mtoto atakaekuwa wakwanza anapewa zawad,

Sasa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-6

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-sehemu-ya
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5
WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5
watoto MAPACHA  Sehemu ya ,,,,,,2
watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA        sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA       sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA sehemu ya 15
WATOTO MAPACHA                            SEHEMU...
WATOTO MAPACHA SEHEMU...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest