Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

WATOTO MAPACHA       sehemu ya 15
Gonga94 · Stories

WATOTO MAPACHA sehemu ya 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
WATOTO MAPACHA
sehemu ya 15

Celena aliendelea kulala huku amepakatwa na mama yake Stefano ,tena Cha ajabu aliuchapa usingizi kabisa ,
Sasa kumbuka mama Celena bado alikuwa anamtafuta yule mama kichaa , Nia yake amwangalie Kama bado kichaa anacho au amekaribia kupona , maana Kama anaweza kukumbuka vitu inamaana anakaribia kupona , Sasa akawa anauliza uliza mpaka akaelekezwa anapopatikana , akaja mpaka kwenye mtaa huo ,kumbe mtaa huo ndio anaokaa , mama Stefano na tena yupo nje kwenye kibaraza amempakata Celena , mama Celena yeye alikuwa kwenye gari huku akiangalia huku na kule Kama atamuona yule mama kichaa gafra akaona Kuna mama amekaa kibarazani ,na kampakata mtoto, alipomuangalia vzr mtoto mwenyewe akagundua ni Celena,
" He huyu si ni Celena huyu , au ndio yule mtoto aliefanana na Celena ,"?
Alijiuliza maswali Sasa kumbuka gari ya mama Celena inatinted yaani sio rahis wa nje amuone wa ndani lakin wa ndani anamuona wa nje , mama Stefano yeye alikuwa anaangalia tu ile gar nakuishangaa maana ilipaki mbele ya nyumba yake na dereva hata hatelemki ,
Sasa ule mlio wa gari ukamstua Celena na alipoamka akaliona gari la mama yake , akamwambia mama Stefano " huyo aliesimamisha gari ni mama yangu , " mama Stefano akashangaa , "ni mama yako kivipi ,"?
Mama Stefano alimuuliza Celena ,
" Ni mama yangu mzazi ,"
Sasa wakati wanaongea mama Celena hakuwasikia maana alikuwa ndani ya gari , lakin alikuwa anawaona , Sasa kosa alilofanya mama Celena akaona ngoja aende shule kwa kina Celena ,halafu amchukue Celena aje nae mpaka hapa kwa kwa kina Stefano ,ili awakutanishe na huyu mtoto anaefanana na mwanae, na amuulize mama Stefano kuwa kwanini Hawa watoto wamefanana kiasi hiki au Kama ni mapacha ajue ni wanani Kama ni wakwake au ni wanani ,"?
Akaondoka haraka eneo Hilo ,
Celena akamwambia mama Stefano kuwa mama yake atakuwa amemuona na hapo anakwenda shuleni kwao ,ili kuhakikisha Kama yupo ,
Celena akanyanyuka upesi upesi akaenda ndani na kuvaa nguo zake za shule na akamuaga mama Stefano kuwa anaondoka zake kurudi nyumbani maana mama yake akimkosa shule lazima atakuja nyumbani kumuangalia ,

Sasa huku shuleni kwa kina Celena, kumbe Celina alikuja hapo shuleni ili aonane na Celena , na ukumbuke Celena hajaenda shule alienda kule kwa kina Stefano ili asubilie Celina akitoka shule amuone yaan waonane ,
Sasa huku kwa Celina akaanza kuuliza wanafunzi Kama wamemuona Celena , wanafunzi wenzake wakaanza kumcheka , " yaani we unajitafuta mwenyewe, "
Wanafunzi walicheka walijua ni Celena ,
" Jamani Mimi sio Celena Mimi naitwa Celina namtafuta Celena ,"
Aliongea Celina lakin bado wanafunzi wenzake hawamuelewi ,ndio kwanza walicheka na kumuona Kama amechanganyikiwa ,
" Yaani Celena sijui anamawazo Gani eti anamtafuta Celena wakati Celena ni yeye ,"
Waliongea wanafunzi huku wakiondoka ,
Sasa wakati Celina anashangaa akamuona mama yake na Celena kumbuka yeye hamjui ila anajua huyu mama ndie yule aliepigana na mama yake kichaa kule hospital, Sasa alivyomuona akaogopa na kukimbia ,
Mama Celena akashangaa kumuona mwanawe anamkimbia , kumbuka yeye mama Celena anajua huyu ndie Celena ,kumbe huyo ni Celina ,
" Huyu mtoto vip au sio yeye ,?
Bado mama Celena alijiuliza maswali huku akiendelea kumsaka shuleni hapo bila mafanikio ,
Mama Celena aliamua kurudi nyumbani huku akiwa amechukia ,

Celina akarudi nyumbani baada ya kumkosa Celena kule shuleni kwao ,kumbuka Celina anakaa pale kwa kina Stefano baada ya wazazi wa Stefano kuamua kumsaidia yeye na mama yake kichaa , na ukumbuke kuwa mama Stefano ameamua kumsaidia Celina kwa sababu anampenda Kama mwanae , na hajui Kama ni mwanae , na kinachomchanganya ni kwamba hao watoto wapo mapacha, na kwanini mmoja yupo kule kwa matajiri na mwingine yupo huku kwa kichaa , Hilo ndio swali analojiuliza na hajapata jibu ,
Celina na Stefano wakafika nyumbani ,wakamsalimia mama Stefano na kuingia ndani ,
Wakashangaa ndani kumevurgika ,kumbuka Celena ndio kavuruga vuruga humo ndani , yaan makoch katupa tupa ,nguo chumbani katupa tupa ,
" Mama mbona kuko hivi huku ndani ,"?
Celina alimuuliza mama Stefano na kumbuka Celina anamuita tu mama Stefano MAMA kutokana na heshima tu ila anajua sio mama yake ,anajua mama yake ni yule kichaa ,
" Amekuja Celena ameshinda hapa ,"
Mama Stefano alimjibi Celina ,
'celena alikuja hapa nyumbani,"?
Celina aliuliza huku akishangaa ,
" Ndio tena ameondoka muda sio mlefu Kama masaa mawili yamepita ,"
Aliongea mama Stefano ,
" Jamani mama si ungemzuia mi nikaja kumuona ,"?
Aliongea Celina ,
Kumbuka mama Stefano akiitwa mama na Celina au Celena moyo wake hustuka na hujihisi tofauti kabisa ,

Kule kwa mama Celena alirudi nyumbani huku akiwa na mawazo tele ,kwanza kwanini Hawa watoto wako wawili , pili kwanini yule mama kichaa anakaribia kupona , Cha tatu kwanini Celena amemuona kule shuleni akamkimbia ,
Sasa wakati anaingia kwake akamuona Celena ameshavua nguo za shule tena amekaa mezan anakula ,
" He huyu mtoto vip amefikaje huku mala hii ,"
Alijiuliza huku anamuangalia Celena ,
Celena yeye alikuwa anakula bila hata wasiwasi ,
"Au nilizaa mapacha ,"?
Bado alijiuliza bila jibu ,
" Vip mke wangu mbona umesimama unashangaa ,"?
Alikuwa Mr Benson akimuuliza mkewe ,
Mama Celena akastuka na kukaa kwenye sofa ,
" Hapana ni mawazo tu ,"
Aliongea mama Celena ,
Wakati wanaongea akaja Celena na kumuuliza baba yake ,
" Baba eti Celina ni nani mbona nimefanana nae ,"?
Swali Hilo likawastua wote , maana ni kweli Celena anahaki ya kujua kwanini amefanana na Celina ,swali ambalo hata wazazi wake hawana jibu la kumpa ,
" Baba na mbona Mimi nimefanana na mama yake Stefano au sisi ni ndugu ,"?
Celena aliuliza tena swali ambalo hawakuwa na majibu yake ,
" Kama ni ndugu zetu mi nataka kwenda kuishi kule ,"
Celena bado aliwaumiza vichwa wazazi wake ,

Kumbuka story hii utaipata yote mwanzo mwisho kwa elf moja tu namba ni 0655772653 njoo whtsap

Je itakuwaje hapo ndani , wazazi watajibu nini , na Je watamruhus aende , na Je itakuwaje wakigundua ni mapacha ,na Je mama Stefano akigundua ni watoto wake itakuwaje , na Je ukichaa wa yule mama kichaa ilikuwaje ,
Usikose Leo saa 12 jion

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

WATOTO MAPACHA sehemu ya 15

WATOTO MAPACHA
sehemu ya 15

Celena aliendelea kulala huku amepakatwa na mama yake Stefano ,tena Cha ajabu aliuchapa usingizi kabisa ,
Sasa kumbuka mama Celena bado alikuwa anamtafuta yule mama kichaa , Nia yake amwangalie Kama bado kichaa anacho au amekaribia kupona , maana Kama anaweza kukumbuka vitu inamaana anakaribia kupona , Sasa akawa anauliza uliza mpaka akaelekezwa anapopatikana , akaja mpaka kwenye mtaa huo ,kumbe mtaa huo ndio anaokaa , mama Stefano na tena yupo nje kwenye kibaraza amempakata Celena , mama Celena yeye alikuwa kwenye gari huku akiangalia huku na kule...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/watoto-mapacha-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi watoto-mapacha-sehemu-ya
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,4
WATOTO MAPACHA     Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,, 8
WATOTO MAPACHA ,  Sehemu ya ,,,,,. 5
WATOTO MAPACHA , Sehemu ya ,,,,,. 5
watoto MAPACHA  Sehemu ya ,,,,,,2
watoto MAPACHA Sehemu ya ,,,,,,2
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA Sehemu ya """""1
WATOTO MAPACHA   Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,, 6
WATOTO MAPACHA        sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA sehemu ya 14
WATOTO MAPACHA  Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9
WATOTO MAPACHA                            SEHEMU...
WATOTO MAPACHA SEHEMU...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157

474
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150

423
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160

366
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9

304
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7

279
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓

184
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

IN LOVE WITH ZURI* *12&13*

170
*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14*

*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*

155
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20

119
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*

113

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.74K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.7K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.14K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.92K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.79K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.73K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • NAKUPENDA BILA MIPAKA 161 -- 164 29-03-2026 00:00
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*IN LOVE WITH ZURI*  *SEHEMU YA 14* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *SEHEMU YA 14*
@majario LIVE

Basi bwana siku hiyo chai ilishuka bila wasiwasi kabisa, maana zuri kila muda alikuwa ananijali sana, utasikia frank nikuletee maji?? Mara ohooo kaka Frank umepaliwa jamani pole Yani alikuwa anaongea huyu...

IN LOVE WITH ZURI* *12&13* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *12&13*
@mjukuu LIVE

* SONGA NAYO....... Nilisema huku nikimkabizi ule mfuko, zuri alinitazama sana mpaka ule ujasiri wote niliokuwa nao ulianza kupotea kidogo kidogo "Unasema..??" Aliniuliza "Am nimekuletea hii hapa zawadi.." "OH my God ni yangu..??" Aliniuliza tena huku akitabasamu,...

*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11* Post Mpya
*IN LOVE WITH ZURI* *Sehemu ya 11*
@mjukuu LIVE

SONGA NAYO...... Haraka haraka nilitoka nje ambako nilimkuta Ethan akiwa ananisubiri, bila kusubiri chochote niliingia kwenye gari na safari ya kurudi nyumbani ilianza, ni mida ya saa moja na nusu hivi "Dah...

ZARA❤️ Sehemu ya 10 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 10
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA ila sasa ni alijuwa na heshima sana na mimi, yani alijirejebisha kweli kweli , waha hakuwa annifanyia ujeuri kabisaa,yani ata kidogo hapana ,...

ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 8 na 9
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Nikasema.dady sio kuhusu mama ni kuhusu yule dereva melvin, baba aksema ahaa yule derebaa si tumeshamfukuza jamani zara nn sasa, nikasema baba mi nimemuonea huruma ,nahisi...

ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
ZARA❤️ Sehemu ya 6 na 7
@mjukuu LIVE

__________ Mwandishi; LISSA WA HURU MEDIA Khaaaaa nilichukia nikamuangalia uyu kaka kwa dharau na hasira kwli kweli, kwanza nikampandisha kisha nikamshusha , nikamuuliza eeeh umesahau nn, au unadai mshahara apa ulikuwa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 158 -- 160
@mjukuu LIVE

:158 Aliendesha na kuniambia “nisamehe kwa kukuteka asubuhi, nisamehe maneno yalinitoka asubuhi lakini ilikuwa lazima nifanye vile. Wewe katoto ni kabishi sana. Huna hata huruma unataka mtu mzima mpaka nipige ukunga.” Nilimtazama,...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 151 -- 157
@mjukuu LIVE

:151 Kwenye akili yako vuta picha zile Abaya za kituruki, halafu ziwe tatu, nzuriiiiiii, rangi nyeusi, rangi nyeupe, na zambarau fulani imechanganyika, halafu kuna gauni mbili za ukali, eenh, eenh sijui...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON FOUR 145 - 150
@mjukuu LIVE

:146 Nilimtazama natabasamu, nakuambia uoga mimi sina, sina kabisa maana nishajua huyu Dokta anapambania mahali ahitajiki. Kwanza angejua raha mimi nilikuwa naipata hapa ameniharibia mimi. Si unajua unampenda mtu huwezi kumwambia halafu...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "16_17"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "16_17"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) Alikunywa dawa zake akatulia 🥹nilikuwa namuonea huruma sana yule mkaka jmn 🥹 Muda huo huo wateja wakaja watatu , mimi sasa bize...

Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo Post Mpya
Zamani kidogo nilikuwa darasa la saba siku moja mama aliongea na Mimi akanambia baba ako anarudi leo
@majario LIVE

toka safari(Hawa ni mama na baba angu wa kunizaa) mama alinambia baba akifika tuu chochote atakachokwambia kubali nikamwambia Kuna nini akanambia Nisikilize Mimi nikamwambia nakusikiliza akasema leo utalala chumbani...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 (MWISHO SEASON 1) 19 -- 20
@majario LIVE

19 Aliingia kaka yake na Glad Mimi ndio nilikuwa namalizia kupika jikoni, G nimekuletea ice-cream 🍨🍦 unayopenda nilinyamaza kimya hadi alipokuja jikoni. Glad ametoka mara moja nipo mimi peke yangu nilikuwa namalizia...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest