Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

ISHARA 15 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA NA ASIYEONA MBELE NA WEWE

1st Jun, 2025 Views 20

ISHARA 15 ZA MWANAMKE ASIYEKUPENDA NA ASIYEONA MBELE NA WEWE

Wanaume wenzangu, kuna wakati unapenda mtu ila hujui kama anakuchukulia poa. Leo nakuletea dalili 15 zinazokuonyesha wazi kama mwanamke huyo hana nafasi ya moyo kwako:

1. Kila maongezi ni pesa — Ukiona kila meseji au simu ni ombi la hela, na hajali hali yako, jua hapo hakuna penzi.

2. Unahangaika kukutana naye — Ukiwa ndiye kila mara unaomba kukutana na yeye anatoa visingizio, fahamu hayupo serious.

3. Mipango yote unatengeneza wewe — Yeye hajawahi kupanga hata siku moja muonane? Hujui hata anakufikiria kweli?

4. Mazungumzo yanakuwa na ukali — Kitu kidogo kinamkera, anakujibu kwa hasira bila sababu.

5. Hataki kukutambulisha kwa ndugu au marafiki — Akiepuka hili, ana sababu zake, na mara nyingi si nzuri.

6. Hajali ndoto zako — Mwanamke anayekupenda hupenda kujua future yako. Akipuuza haya, jua hakujali.

7. Anakasirika kirahisi kupita kawaida — Jambo dogo tu linageuka kuwa ugomvi mkubwa.

8. Mazungumzo hayadumu — Mnapoongea anaishia kusema "nipo bize" na hakumbuki hata kukutafuta baadaye.

9. Hatamki anakupenda — Ukiona maneno haya ni nadra kutoka kwake, pengine hayupo moyo wake kwako.

10. Hataki ukaribu na watu wako — Hafanyi juhudi kuwa karibu na marafiki au familia yako.

11. Anapuuzia simu na meseji zako — Ukimpigia hawezi hata kupokea au kurudisha meseji kwa wakati.

12. Hamuombi msamaha — Akikosea anakaa kimya, hana shida hata kama umeumia.

13. Hajielezi ukiwa na mashaka — Unapouliza jambo anajibu kwa mkato bila kujali.

14. Anakuambia 'kata simu kuna mtu ananipigia' — Hilo ni onyo kuwa kuna mtu anampa kipaumbele kuliko wewe.

15. Hana hisia na mambo yako — Ukimpigia au kumtumia meseji hajali, hata ukiondoka hana habari.

Ukiona hizi dalili, usijidanganye, tafakari upya. Mapenzi ya kweli yanajionyesha.

#UshauriWaMapenzi #FahamuDalili.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest