๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 8.
I was trending everywhere ๐ญ๐ญ, kumbe kulikuwa na wanahabari hapo town๐ญ. Nilijitazama venye Brianna alikuwa ananiomba msamaha watu wakituwatch๐ญ. Kabla hata mam hajasema kitu. Kamau alinikol.
Him: Bro hii ni blunder gan tena man๐ฒ๐ฒ. Kwa street na Brianna mlikuwa mnafanya nini sasa,, si ilikuwa uende kwao๐ค๐ค. I just pray and hope principal hajaona hii taarifa bro๐ญ๐ญ.
I started feeling likes everything was falling apart๐ญ, nikiimgn how our principal was tough and harsh when it comes to disciplining ๐ญ. That man can even expell you from his school just because you came late๐ช, I knew he wouldn't give us time to explain ๐ญ๐ญ.
"Wee nimekuuliza kama unataka kuniua๐ช๐ช, wewe ni mtoto mzuri mwenye kila mara napata ripoti nzuri nzuri kutoka kwa wanaokujua, ilikuwaje ukajiingiza kwa mambo ambayo hayawezi kukuongezea chochote kwa masomo๐ญ๐ญ, wewe ndiye taa yangu kwa sasa,,, nan anakuharibu Sky??" Mam aliuliza
Nilibaki kama nadondokwa na chozi nisijue nini cha kumjibu mamangu,,, lakn yeye kutokana na upendo aliokuwa nao kwangu, she just gave some words of advice, hakuna kitu huuma kama kuona mama akitoa machozi๐ญ๐ญ. Should I put Brianna aside ๐ค๐ค, my mam is my priority, I don't think if I would allow LOVE to destroy my mom's happiness ๐ญ๐ญ.
I was served supper,, hata hiyo day sikusoma wala kuwatch,, my mind was just thinking about how it would be at school ๐ญ๐ญ.
After looking into the issue well, niliona ni vyema mm na Brianna tukae kando kwanza,,, we were only in form two,, nilikuwa nikimkol kila usku saa nne after kusoma๐๐. That day niliassume tu๐๐, 10:30pm I received a please Call me message from her๐ช๐ช.
At that point alikuwa out of my mind kabisa,, what I was thinking is how I would get out of the mess I caused๐ญ๐ญ. Ilibidi nikadelete number yake kisha nikamblock.. it wasn't easy for me๐ญ. I loved Brianna so much,, but for the sake of my mom's happiness ๐๐, I had no other option ๐ญ.
At 11pm, new number ikakol๐ฒ๐ฒ. Who could be that??
VOICE: Hello Beb,,, mbna umeniblock๐ญ. Sina gredo nikol ni p.....
I hanged up even before she finished talking,,, nikiimgn kukaa mbali na huyo mtoto, my mind could go crazy ๐๐.
Finally week ya kufungua shule iliwadia,,, hiyo siku asubuhi ndo niligundua hata sikuwa nmefanya assignment nilopewa na mode wa maths ๐ญ๐ญ. Who's our math teacher,,, guess ๐ญ๐ญ๐ญ. The principal.. sijawahi fikiria kuwacha shule but that day sijui hizo fikra zilitokea wap๐๐.
Anyway, mamangu hangeniruhusu nikae home tena๐๐, nilifika chuo mapema kuliko borders wengine,,, coincidentally I found kumbe hata Brianna pia alifika mapemaโ๏ธโ๏ธ.
Her: Beb, why did you choose to block me??
Me: Am really sorry please. But just call me Sky From today ๐ญ.
Her: What is it ak.. have I wronged you again??
Me: Nooh not at all,,, but please, just go to where you sit,,,
Her: Beeb??, come on dear,, we need to talk, what is all this about ๐ญ. We need to discuss something,, ama wewe umejuwa venye utamjibu Prinz koz alimkol siz and am telling you ๐ญ, walichoma hata zaidi๐๐.
Me: What are we gonna do now๐ค๐ค . Am so scared, huyu teacher anaweza tupea ex๐ญ๐ญ.
Her: Okay I got an idea, wewe tukifika huko niwache niongee kila kitu,,, then utajua venye utaingiza uongo yako sawaโ๏ธโ๏ธ.
That day mkuu hakutokea๐คฉ, so we got enough time tym to plan everything ๐๐. Kamau pia alikuja the following day,,,
BRIANNA: Beb, I will say Kuna rafiki yangu anafanya harusi, so alikuwa ameniambia niende niact kamovie ka Love kwa wedding yake, so nikakuita wewe.. kwa hiyo chenye aliona tukifanya kwa street ilikuwa practice tuโ๏ธโ๏ธ.
Me: Wow Miss planner, I think that will work . Then please,, tukitoka kwa hii ngori, kila mtu akae kivyake kwanza๐ญ๐ญ. I still love you but hiyo ni ya baadae ๐ช๐ช.
Her: Lakn mbna umechange haraka ivo Beb.. watu hukaa chini wakaongea mambo๐ญ. Why?? Ama wewe uko tu sawa ukikaa mbali na mm๐ญ
Me: Brianna you won't understand ๐ญ๐ญ. Am also feeling the same, but my mom's happiness comes first ๐. Haven't seen her crying before ๐ญ๐ญ. Please dear,, you have to stay away from me
Her: Just like that,,, so we're breaking up ๐ญ๐ญ.
Me: You are getting everything wrong dear... I love you but at this time, our education first ๐๐. Kwanza nisaidie assignment yako ya math nicopy๐.
HER: Ngร i, si hiyo ndo nmekuja kukuomba Sky ๐ฒ๐ฒ.
Me: So pia wewe hujafanya๐ฒ๐๐. Sisi kwisha๐ญ๐ญ.
Siku iliyofwata๐ญ, kamau alifika asubuhi, sikutaka kujua assignment alifanya correctly ama hapana, nilicopy kila kitu hadi fullstop๐๐. Jamaa hakuamin๐ฒ.
Him: Bro man,,, kwan hukufanya kitu ukiwa home?? (Brianna akafika kumuomba pia acopy).... Hey guys stop kidding me please. Hata wewe hujafanya assignment??
Brianna: KAMAu wacha maswali mob ak. Time is not on our side๐๐.
Kamau: It's okay then,, thanks for believing and trusting my answers ๐๐. Am humbled ๐.
Me: I believe in you โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Kamau: So tell me you two... Hiyo ni blunder gan mlimake manze hamgefanyia hayo yote kwa nyumba๐ช๐ช. Sasa nyny mkipewa ex watu kama sisi tutafanya aje bro๐ญ๐ญ. Kwanza wewe Sky.
Brianna: Don't worry kamau,, we have planned something ๐๐.
Kamau: mmediscuss vizuri??, Huyu Prinz wetu ni wazimu kivyake๐๐. Kwanza mmeplan nini??
Me: Kwamba tulikuwa tuna practice ndo twende tuact kwa harusi ya peshte ya peshโ๏ธโ๏ธ.
Kamau: ๐ค๐ค๐ค, inaweza work but bado nafeel mnawezachomeana huko mbele,,, lazma muwe na specific place, Church na vitu mob..
Brianna: Don't worry kamau,,, tumejiamin๐.
Kamau: I hope mtajitoa kwa hii ngori wasee,,, I can't afford to loose you in class, principal wetu hananga huruma๐ญ๐ญ.
Alipomaliza hivi, kwa mlango akaaingia madam Stacy ๐ญ. "Hellooooo, how was your week??" She asked. "Please collect your books Hellen anipelekee staff๐. Then ๐ค๐ค๐ค(akituangalia mm na Brianna ๐๐ญ๐ญ) You two,, please our principal wants to see you in his office now ๐ญ๐ญ.
Everyone one in our class alikuwa amejuwa everything between Brianna and I ๐๐.
Tulifika kwa office, mm nilikuwa mbele ๐. Ile kofi niliwekelewa๐ญ๐ญ, hadi chini,, nilianza kuskia mtu akiongea naskia sauti nyingi kwa maskio๐ญ๐ญ.
Principal: Wewe Sky,, you are brave in class but nmekuwa nikikufwatilia kwa ukaribu sana๐ญ. Unataka kuoa??
Me: Nooh Sir it's not what you are thinking ๐ญ๐ญ.
Prinz: What am I thinking??
Me: ๐๐๐.
Him: Brianna?? Tell me the truth, nyny wawili ni wanafunzi wazuri sana darasani๐๐. Sitaki niwape ex, na hilo litatokea tu kama utaniambia ukweli๐ช๐ช.
BRIANNA: sure Sir, I'll speak nothing but the truth ๐๐.
Him: okay go ahead, am listening ๐๐.
Her: So mm nina rafiki yangu ambaye anafanya harusi next week but one,,, kwa hiyo alitaka wedding yake ikuwe A bit more interesting, alinishow tupractise the Love action ambayo tutaact kwa harusi yake๐๐. So venye Sky alitutembelea home,, nikamsindikiza, tukiwa kwa njia nikaanza kumwambia hiyo story na akasema pia anaweza penda kunijoin,, that is how we decided try it tukiwa tu hapo kwa njia,, tulikuwa tunajaribu tu yan just for fun hata si hiyo yenye tungeact๐๐.
Prinz: sky do you know jina ya hiyo rafiki yake๐ค๐ค.
Me: Yes Sir I know her๐๐.
Prinz: Ooh but hiyo kitu mlifanya ilikuwa serious sana,,, karibu ugongwe na gari๐ฒ๐ฒ. Are you sure you are telling me the truth,, koz nikijuwa mmechukuwa huo muda wote mje hapa kunidanganya,, mtakuwa mmeniforce kuwatoa kwa hii shule,, ju nyny bado ni watoto wachanga sana,, kuanza mambo ya mapenzi itawaharibia tu performance yenu๐๐.
Brianna: We're saying the truth Sir..
Me: Yes that is the whole truth teacher ๐๐.
Principal: Oookay,, (huku akitoa fullscaps mbili). Sky take this,, nawe Brianna hii ni yako๐๐. Haya nifwate nifwate๐ฒ๐ฒ,
Brianna alipelekwa kwa unfinished building na mm nikapelekwa kwa reception room...
Principal: kwa hizo fullscaps nmewapa. Nataka mjibu haya maswali hapo๐๐ Majibu lazima yafanane๐
1: Andika jina moja tu la mtu anafanya harusi
2: Jina ya kanisa penye harusi itafanyika.
Ngร i ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
To be continued..... Niombee wakuu.
Maoni