๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 11.
Her: You are lucky alipatikana hai๐ช๐ช. Then unafaa uelewe hawa ni watoto, sio kila kosa unampunish,, sometimes they just need advice, you are a teacher by profession Sir,,, sitaki nikufunze kazi yako,, stop punishing children for small small mistakes ๐.
Mkuu: Thank you madam๐๐. Sky am sorry, come here๐(alinishika mkono)๐. Don't go home okay??
Me: ok
Inspector: What about the suspension letter you gave him??
Mkuu: Hiyo imeendea huko na hewa madam,,, wacha arudi shuleni๐๐. Can I go now๐.
Inspector: Yes you can go๐.
Mkuu alitoka mbio kama mtoto๐๐๐.
Me: thank you so much ๐. That could be the end of my education ๐ญ.
Inspector: You are welcome,, but you are still children, why do you watch those videos,, they will just spoil your mind, even in the law, it's not legal for a person under 18 years to watch pornographic videos. Sahi nikiamua kucombine article 67A and 123, you all might end up in jail for 5 good years ๐ช๐ช.
Kamau: Madam officer, we promise not watch them again,,, thank you so much ๐.
Inspector: You are all welcome.. Please go back to school, make sure you study harder โ๏ธ, life is not friendly to illtrate people ๐๐.
On the way to school,,
NJERI: SKY your faith has rescued you,, my sister isn't the way I told before.. thank God we found her in good mood ๐๐.
Hellen: Waah I almost fainted ๐. Kumbe mkuu pia anaweza pelekwa haraka ivo kama mtoto๐. Mmeona ile mbio ๐๐, ama pia anakuwanga familia moja na kipchoge๐.
Kamau: Hellen you always make fun from anything ๐๐.
NJERI: Guys one problem down,, still one more to go ๐๐.
Hellen: One more?? What could be that??
Kamau: Tell us, am green๐ค๐ค.
NJERI: Getting back Brianna to Sky ๐ they seem to be so in love โฃ๏ธ๐.
Me: Yaa for sure that's a big problem.. you are right Njeri ๐
In my heart I still loved Brianna so so much โฃ๏ธ. That lady was everything to me๐ช. I don't know why she pushed me aside just easily like that ๐ค. Or was she pretending?? Oh noh I don't think because I asked her twice but she remained on that she didn't want me anymore ๐ญ๐ญ.
Hellen: Do you think it's possible for them to solve their differences ๐ค.
Kamau: Yes why not,, there's nothing possible on Earth,, I can testify ๐คฉ๐คฉ. Wait Njeri uko na plan gan sasa??
Hellen: Plan gani tena,, si Sky ataenda tu aombe msamaha then warudiane๐คฉ๐คฉ.
Kamau: ๐ค๐ค, Bro how do you see that??
Me: Wasee nyny nyote mnajuwa nampenda huyu mtotovsana๐๐. Ila mm sijajuwa kama ananipenda, koz hata mliona venye alibehave just because alikuwa ameskia watu wakiniongelelea vibaya๐๐. This round nataka mwenyewe akuje kwangu,, siendi kwake tena,, hapo ndo nitajua kama ananipendaโ๏ธโ๏ธ.
Kamau: Bro hapo sidhan kama itawork.
NJERI: Mmh๐ค๐ค. I got a new plan,, since every woman on Earth is jealousy ๐. Hellen na Sky you will pretend to be lovers right?? Lazma mjifanye mnapendana kabisa,, am 100% sure, Brianna akiwaona pamoja kila tym, lazma atamuita amuulizeโ๏ธโ๏ธ.
Hellen: Itawork kweli,,, sidhan
Kamau: let's give it a try I trust Njeri ๐คฉ.
Hellen: Then let's change this game,,, Njeri ni wewe utajifanya kuwa in love na Sky โฃ๏ธโฃ๏ธ. Unakaa miss planner hatari sana๐๐.
NJERI: But me๐๐๐. Okay haina,,,,,,, haina shida
Kamau: why are you stammering girl,, come on you must be so close to sky from nowโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Njeri: But I don't have any feeling for sky,,
Hellen: Cool mrembo,,, hampendani cha ukweli๐. Then ni lazma hii game iendelee๐ช๐ช. Najuwa hauna feelings kwake ju hujamwangalia kwa macho yake direct, SKY, wewe na Njeri mko na 1min muangaliane direct kwa machoโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Nilimtazama njeri,,,, macho ya goroliโฃ๏ธ, very sexy. Trust me, Njeri blushed hata before dakika iishe.
Her: Sky stop looking at me like๐๐.
Hellen: Baaasi,,, work done,, check njeri venye unablush๐๐.
NJERI: Hey noh...... blushing does not mean I have feelings for him ๐๐.
Kamau: Okay you will act as if you are in love with him sawa๐๐.
NJERI: Do you guys think this will work๐.
Hellen: Whose idea was this now๐. Of course it will work tena haraka sana๐๐.
Kamau: Sky are you in??
Me: ๐ค๐ค.
"Njeri are you in?" Hellen asked.
Njeri:Yes am downโฃ๏ธโฃ๏ธ.
In class, njeri l hakakuconcetrate kabisaโฃ๏ธ. Kila time alikuwa ananiangalia tu๐คฉ. She continued untill madam Stacy noticed her reactions...
MADAM: Hey Njeri,, what is going on between you and sky, unataka nini koz naona tangu lesson ianze wewe ni kumwangalia tu๐ค๐ค.
Brianna: ๐ช๐ช๐ช.
Njeri: No madam nothing,,
Madam: Nothing?? Why are staring at him then??
HER: He borrowed my ruler madam,,, nataka anipe๐ฒ๐ฒ.
BRIANNA: But Sky has his own ruler๐ช infact ako na mbili๐ช.
Me: I don't have any ruler with me,,, it's true I borrowed it from her Madam..
MADAM: give her faster,, you guys are disturbing my lesson๐ช๐ช.
Hata sikuwa na ruler yoyote๐๐. Nilijifanya naangalia kwa locker and after 3mins ivi,,
Me: Oooh madam I gave it to Hellen ๐๐.
Ile kushtuka hellen alishtuka, nilijuwa sasa hapa tumepatikana,, koz hata yeye hakuwa na ruler.
HELLEN: Kamau, did you took the ruler that was in the book you borrowed ๐ฒ๐ฒ.
Kamau: ๐๐, ye.....ye akh๐ญ๐ญ. Yes I took it,, ikooo hapa ndani,, please madam let's continue nitaangalia after lesson, we're wasting our own time๐๐.
MADAM: make sure after this lesson umempa sawa๐๐.
On break time tulizidi kuchill na Njeri
Me: So, do you still don't feel anything about me๐ค. Your words were hurting me so much...
NJERI: Haaa really?? Okay I was just kidding them๐ค๐ค.
Me: Oh my .. so you also have feelings for me ๐๐.
HER: who said that ๐๐. Sky tell me more about yourself please,โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Me: Am skyboy Kenya, the only son of.........
"Hey bro, kidogo tu,,,," nilikatizwa na sauti ya kamau akiniita kutoka daro๐.
Me: njeri sorry for that,, just two mins am coming โ๏ธโ๏ธ.
Her: Okay please hurry โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Nilitimua mbio hadi daro, "what is it bro?" Nilimuuliza.
Kamau: Kaka wewe unamwona aje huyu Njeri, it's like am falling for her man๐๐. Please, remember you are just acting as lovers, Aren't you??.
Me: we will see bro don't worry ๐๐.
Kamau: Ukienda hapo jaribu kuniconnect man,, sawa??
Alijaribu kuniomba tusiwe serious na Njeri nikamshw asiworry๐๐. Nilirudi kwa Njeri
NJERI: Amekuitia nini ama amekuwa huyo mtu wako๐ช๐ช.
Me: Mbna unaongea na machungu Njeri ๐ค. Hajakuwa Brianna relax.
Her: Lakn hata akiwa yeye hakuna shida๐ช.
Break ya kwanza iliisha,, Brianna was just looking at us,, again during another lesson, mwalimu ma math alinotice venye Njeri alikuwa ananiangalia๐ฒ๐ฒ.
"Why are you looking at sky so often Njeri?" The teacher asked..
Her: No sir, nmemuuliza tu kama ana kalamu mbili anisaidie๐๐.
Teacher: kalamu mbili?? Mbna usimuombe huyo jiran yako Brianna ๐ฒ.
BRIANNA: Sina๐ช๐ช.
Me: Here it's Njeri, take it๐คฉ๐คฉ.
Teacher: Next time make sure you excuse yourself first sawa??
NJERI: Yes Sir ๐๐.
Lesson ilipoisha kila mtu alikuwa anaongelea tu mm na njeri ๐คฉ. Second break tena mtoto alikuja tukae huko nyuma na yeye๐.
NJERI: Sky tell me now?? You are the only son of??
Her smiles and laughs made even Hellen so suspicious, tukiwa huko nyuma pia akafika..
HELLEN: Aaaih majamaa, nakumbuka tulisema mjifanye malovers, but hii yenu haikai acting.. Njeri do you love Sky??
NJERI: Nooooh
HELLEN: mbna unaambia watu venye alikukiss huko nyuma ya daro๐ฒ๐ฒ.
Me: ๐ฒ๐ฒ๐ฒ, so unaambia kila mtu??
HELLEN: Shut up sky, si wewe uliniambia pia๐. Kama mko in love semeni tu๐.
Njeri: Ak to be sincere ๐. Am really in l.......
"SKY, come with me please . Ama uko busy?๐ช๐ช" kabla Njeri hajamaliza, niliitwa na Brianna ๐, kumwangalia njeri hakufurahia kabisa๐ฒ๐ฒ. Na ju sikutaka ajam.....
Me: Njeri can I go??
Njeri: ๐๐๐
HELLEN: ๐ฒ๐ฒ๐ฒ.
NJERI: Ok but.....ok Ama enda tu๐ช๐ช.
Nilimfwata Brianna hadi kwa field,, alikuwa amejam kiukweli๐ช.
BRIANNA: .........
To be continued.....
Maoni