๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 9
Principal: Oookay,, (huku akitoa fullscaps mbili). Sky take this,, nawe Brianna hii ni yako๐๐. Haya nifwate๐ฒ๐ฒ,
Alipelekwa kwa unfinished building na mm nikapelekwa kwa reception room...
Principal: kwa hizo fullscaps nmewapa. Nataka mjibu haya maswali hapo๐๐๐
1: Andika jina moja tu la mtu anafanya harusi
2: Jina ya kanisa penye harusi itafanyika.
Ngร i ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ. My mind kicked back to what kamau had told us๐ญ, I wish I could have listened to him, I wish I had a chance to get to kamau's advise again, but It was too late,, fikra zangu zilianza kuona nikiwa kwa new school ๐ญ, Wait,,,, sasa Briannaameandika nini๐ญ, oh my God, how will I explain to ma mam if nitapewa suspension๐ญ.
We were given only 10mins and at that time ilikuwa imebaki dakika tatu pekee๐๐, kweli uongo haudumu๐ญ, walisema wahenga,, aliyekando siku sote huwa haangukiwi na mti๐ญ, sasa hata nilienda Nini kwa Madam ๐ญ๐ญ, nilianza kugive up na masomo sasa๐, blunder here blunder there,, nikiwa kwenye ndimbwi la mawazo,, nilishtukia mbele yangu amesimama mwalimu mkuu,, sura ya kazi, hacheki hatabasamu๐ญ๐ญ.
Him: sky,, you better admit early before it's out of your hands๐๐. You are such a brilliant student,, hata mm mwenyewe sitaki nikutoe kwa shule yanguโฃ๏ธโฃ๏ธ. But wanasema akililia wembe mtoto,, basi mpe๐๐. Kama unaona ni vyema kuendelea kunidanganya basi hiyo ni sawa na kunilazimisha nifanye nisichokipanga๐ญ๐ญ. For one more chance,, tell me the truth,
Me: ๐๐๐๐๐,tcha ilikuw.....,. (Kuangalia kwa dirisha nikamuona kamau ananikanya nisiseme chochote๐ฒ)
Principal: Hey ilikuwa nini??,, Mbona ukakimia tena,, ama unakataa kuongea kama Brianna ๐ช๐ช. Sawa basi 2mins to go.. nikirudi hapa uwe tayari kunipa majibu๐ช๐ช.
Principal alipoondoka, kamau alinyemelea dirisha aste asteโ๏ธโ๏ธ. Alikaribia na kunirushia kakaratasi ambako kalikuwa kameandwa jina la bibi harusi, place na kanisa๐๐.
Him: Hurry up bro,, he's coming ๐๐๐.
Immediately after kumaliza kuandika, mwalimu naye akatua๐๐,
"Haya leta,," aliongea kwa hasira kweli kweli,, heri simba jike ambaye kajifungua jana๐ฒ๐ฒ.
Baada ya muda mchache, niliitwa ofisini,, kufika nikamkuta Brianna pia kashaitwa๐๐.
Principal: Ooh sasa nmeamini,, alfu sijui mbna mlikuwa mmetense sana na mlijuwa mnasema ukweli๐ค๐ค. Naona mliandika majibu sawa๐๐. Kwa sasa mko huru๐คฉ๐คฉ.
BRIANNA: thanks so much sir
Me: ๐๐๐ฒ.
Principal: one more thing,, you are still children,, pia sikuwa natarajia niwapate na hatia ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi๐๐. Isitoshe nyie wote ni wanafunzi hodari ikija kwa masomo,, sioni sababu ya kuwafanya muanze ujinga wa mapenzi sahi๐๐. (Brianna aliniangalia tu). Yes Brianna mbna unamwamgalia sky,, yeye hawezi kusaidia na chochote sahi koz pia ni mtoto tu๐, focus on your academics first sawa๐.
Sisi: Yes Sir ๐.
Him: Haya nendeni darasani.
Sema kamau kufurahi alipotuona๐คฉ๐คฉ.
Kamau: WOW,, thank God oo , nilikuwa nawaombea the whole day๐.
Me: Thanks bro,, you have really saved my destiny โฃ๏ธโฃ๏ธ.
BRIANNA: Kamau you are a such good hearted person,,, I never knew you will one day save my education ๐ญ. (She hugged her)
Me: Hey that's enough ,,, yan hug pekee mnachukuwa almost 2min bana๐ช๐ช.
Kamau: Hahaa okay Mr jealous๐๐. But please you have to be careful ak.. in this school kila mtu ni spy wa prinz๐๐. Kama ni lazma mpendane basi make sure iko chini ya maji๐๐.
2 months later,,
our class had become so cooperative โ๏ธโ๏ธ, performance ikawa higher than other classes,,, it's only 5 to 10 students ndo bado walikuwa nyuma,, so wakafanya mean grade pia ikawa constant,,
Principal alikaa chini akawaza na kuwazua๐ค๐ค. Koz he had done everything to make those students improve but all his efforts went in vain๐ค๐ค. Ndipo one day on the closing date, alikuja daro na simu yake kubwa ivi..
Principal: Am happy this class has become my favorite one๐คฉ๐คฉ. Please clap for Kamau for emerging the 3rd student this round,, my son, nmeamin wewe unaweza hata kuwa number one๐ค๐ค. Continue working extra harder ๐๐.
Kamau: Thanks Sir,, sure I'll ๐๐.
Principal: That's my boy โฃ๏ธ. Then kwa wale wameitwa kwa bottom ten, please, what exactly is the problem ๐ค๐ค. You daily come to school, your parents have cleared all fee arrears ๐๐. Ni nini mbaya??
Sisi: ๐ค๐ค๐ค๐ค.
Him: I need your suggestions guysโฃ๏ธโฃ๏ธ. Kamau what pushed you into top 3๐ค.
Kamau: It's God Sir,, when you believe in Him and work hard, he never disappoint I swear ๐๐. Then kama kuna mtu ana personal problems yenye hataki kushare na mwalimu๐. Please talk to that guy sitting around the corner ๐๐. Sky has changed my mind completely Sir.. he's a God sent student in this school ๐๐.
Principal: Nimeambiwa na madam Stacy kuhusu hiloโฃ๏ธ. Sky, thank You for that ๐๐. Then as kamau has just said,, Please my students wenye wako nyuma kimasomo, you can talk to him๐,..
Hellen: Yes we'll Sir ๐๐.
Principal: Ama unasemaje sky??
Me: Haina shida Sir.. ila hata ili mgonjwa apone, lazma aamin kwa akili yake kwamba atapona๐๐. Namaanisha ukitaka kufanya vyema, bidii inaanza na wewe mwenyewe โฃ๏ธโฃ๏ธ. Kwanza jiambie unaweza๐ช๐ช. Passing exam always starts with your mind๐. Ukijiona huwezi juwa tu hutawezaโ๏ธ. Hayo tu mwalimu..
Principal: WOW ๐.. sasa I wish ungeedelea jamani... (Akashika kidefu๐ค๐ค,anaonekana kufikiria kitu) Ahaa jamani ee, si kila mtu ana simu humu ndani,,
Wote tukakana๐๐.
Principal: Hapana simaanishi hapa shuleni๐คญ๐คญ. Wacha kuniogopa wanafunzi,, nimekuja hapa tusaidiane,, najuwa kama huna simu basi lazma mzazi wako anayo๐คฉ๐คฉ. Leo natengeneza group ya WhatsApp ๐ค. Hii group itakuwa tu na lengo moja,, na ni masomo๐๐. Mkifika home wote nitumieni namba zenu ama za wazazi wenu niwaadd.. nataka tukifungua shule kila mtu awe choppy sawa๐ค๐ค.
Kila mtu alisema ako na simu kwanza smartphone ๐๐. Sema Hellen kuruka ju kama Masai ๐. Briannanaye haachi kusmile ๐๐. Kamau alikuwa na kabambe so hakufurahia hilo wazo๐ช๐ช. Principal alimnunulia papo hapoโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Shule zilifungwa na nilipofika home,, first thing ilikuwa kumkol mkuu kutumia line ya Airtel๐๐.
Me: Hello morio?? Uko aje hapo hivo??
Principal: Who's this and what does the word morio mean??
Me: Oya wacha uyoyo bro,, nitakufinya, hilo swali uliza morio hukud....๐๐.
Principal: Wee ni nani,, unajuwa naweza kutrack sahiโ๏ธโ๏ธ.
Me: Buda utaacha ufala,,, wee ni msee mbladf*ck*** sana.. sahi nikieza kupata naezakurarua mbaya sana๐๐๐ช๐ช.
Nikaskia woi,, mama Deizy sijui nini kilinifanya nikawapa wanafunzi namba yangu๐. Huyu lazma awe mwanafunzi wangu๐ช๐ช. Kisha akahang upโ๏ธ.
Alfu nikamkol na line ya safaricom๐๐.
Me: Hello Sir. Am sky, this is my number please add me to that Whatsapp group ๐๐.
Him: Ooh WOW how are Sky.
Me: Am good Sir thank you ๐๐.
Him: Mama Deizy?? Hii sauti mbona inafanana na hiyo ya mwenye amenitusi๐ฒ๐ฒ.
Me: Helo he,,,,helo,,,, helo Sir. Network
Hapo ndo nilikata๐๐. Huo usiku group ililala saa saba โ๏ธโ๏ธ. Mkuu alifurahi sana venye tulikuwa tunachambua maswala tata,,, ilipofika saa tano prinz akachoka๐.
Discussion iliendelea smoothly untill Steve came home๐ช๐ช. Steve is my uncle Mike's only son ๐๐. Hakupenda kusoma kabisa,, everywhere penye alikuwa yeye alikuwa tu anapractise kuimba na kurap๐. Aliniomba simu et atumie kudownload the trending songs๐๐.
Huo usku nilipata muda mchache sana kuingia kwa group ๐, class ilikuwa ianze saa mbili uskuโ๏ธ. But Steve hakutaka kabisa,, hadi nikashndwa aaih, kwan anafanya nini na phone yangu๐ช๐ช.
Me: Hey bro,, it's time for class, ukitaka ungoja hadi saa tano usiku kwanza,,,
Kuangalia kumbe alikuwa amedownload p0rnรธgraphic videos,,, hizo ndo alikuwa anawatch kila mara๐ช.
Me: Wee cuzo,, my phone is not for those shits sawa,,, bring my phone,, ak Mom akikupata hutalalia kwa hii nyumba,, you are only 16 bro,, mbna hizi vitu??
Steve: Wait nidelete kwanza bro,,, bundles zimekuwa zangu๐ฒ๐ฒ. Ooh hadi naona watu wako washaanza kuchart,,, let me forward these videos to my device nitawatch baadae ๐.
Me: Harakisha man,,, then after that ka hizi ndo vitu huwa unafanya, usiniombe simu tena๐ช๐ช.
Kidogo hivi nikaona kamau ananikol๐ฒ๐ฒ.
Him: Hey bro,, what are you doing ๐ญ๐ญ. What is this now?? Sky are you mad??
Me: Ni nini bro,,, what have I done again,,??
Him: Whaaat, hata haujashtuka,,, eti what have I done na umetuma videos za porno kwa group ๐ญ๐ญ. Bro you are finished ๐ญ๐ญ.
Me: Nooh, mm hata sijaingia online bro,, ndo nakula kwanza,, what are you talking about??
Kuingia nikapata kumbe Steve alimess akaforwad kwa group badala ajiforwadie๐ญ๐ญ.
Kidogo simu ya principal ikaingia๐ญ๐ญ๐ญ
To be continued......... Am dropping 3parts today.. just finya LIKE tufike 500 niangushe next.โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Mm kwisha๐ญ๐ญ๐ญ.
Maoni