Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

DRAMA OF LOVE????????????  Part 1
Gonga94 · Stories

DRAMA OF LOVE???????????? Part 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
???????????? DRAMA OF LOVE????????????

Part 1

Monday morning, kwa saa yangu ya mkono inaniambia ni saa mbili asubuhi, nimesimama kwenye gate ya shule kumgoja mama ambaye nilikuwa nmemwacha nyuma kidogo????, macho yangu hayaachi kutazama picha nzuri nzuri na zenye mvuto wa aina yake, zipo kwenye ukuta wa gate❣️. Moyoni mwangu nimeanza kuhisi nikama ndoto yangu ya kusomea kwenye shule ya majuu imeanza kutimia????. Mbele yangu amesimama bawabu mlinda lango, mwenye macho mekundu kama damu, sura yake ilieleza mengi, haonekani mzee mwenye mzaha????.

"Kijana samahani, weye ni msomi wa hapa?" Aliniuliza kwa sauti nzito ambayo ilinifanya nishikwe na wasiwasi ????.
"La hasha mzee, nmekuja kuomba nafasi tu" nilijikakamua.
"Ahaa, karibu kwenye shule yenye masomo ya hali ya juu, hapa ndipo, umefika mwanangu, ila nilikuwa nishajuwa wewe si wa humu, maana hapa wanafunzi wana heshima," ????

???? mmh heshima?, Ina maana mm sionekani mwenye heshima????. Nilijiuliza kimoyomoyo. "Samahani mzee, una maana gani??".
Kwa kicheko cha kulazimisha, "ndio, wanafunzi wa hapa kamwe hawawezi simama karibu na mtu aliyewazidi kwa umri na wakose kumrushia salamu, hilo tu ndo lilikuwa dhibitisho tosha ????".

"Ahaa naomba radhi jamani, shikamoo mzee wangu?" Nilisema kwa aibu, nisijue pa kuficha sura yangu????????.

"Marahaba kijana, unaonekana chiriku mwenye hana maneno mengi????, mie naitwa mzee Kwatu, mm ndimi principal wa hapa???????????? naomba kukufamahisha kwamba umeshapita mtihani wa kwanza, una heshima nimeona".

Mwili wote ukaanza kunitetema, "Principal??" Niliuliza kwa mshangao????????.

"Ndio, mimi ndimi, kwa sasa naomba unifwate????". Tulifululiza hadi ofisini, kumbe mama yuashafika, inaoenekana ilikuwa plan yao kunijaribu.

Hata hivyo, nilifanikiwa kupewa nafasi kwa hiyo shule maridadi????.

Wiki la kwanza kwa shule mpya halikuwa rahisi. Haya yote yanatokea baada ya kutolewa kwa shule niliyojiunga nayo mwanzo kwenye kidato cha kwanza. Nilipofika kw cha pili,, kukatokea mkasa wa moto na hivyo kila kitu kilichokuweko bwenini hakikusaswa na moto????????. Shule ilipofungwa basi mamangu akaamua kunileta kwa hii shule niliyomo kwa sasa????????.

Siki yangu ya kwanza darasani????. Kila niliyemwangalia alikuwa ameniangalia,, si wa kusmile si wa kunicheka kwa aibu yangu, si wa kunifinyia jicho. Lakn kuna mmoja wao ambaye hata hakuniongelesha, kuniangalia wala kunipa smile????????. Amerembeka ajabu, big and sexy eyes, akiamka nitawaambia body shape, lkn kwa sura lazma niseme, she had a baby face ????.

Nilikuwa na haja sana ya kujuwa kwann anakaa tofauti na wengne????????.

Kama si lazma basi ni kawaida, huwa mgeni akija darasani, kila mtu hutaka kujuwa huyu mtu ni wa aina gani????.

My curiosity didn't allow me to remain seated, though nilikuwa bado mgeni,, sikujuwa ni nani wa kumchukuwa kama rafiki na ni nani wa kumbeba kama adui,, lakn possibility of me being her enemy was over a hundred percent ????????.

Kabla niamke ili nmsongee nikijifanya naomba notes. Kuna mmoja wao alikuja nilipokuwa nmekaa, sema wengne kumwangalia, mind ikanishow huenda amenipenda na ameshawaambia wengne kuhusu hilo, niliapa kutojiangusha.????????.

"Hi, sorry for interrupting your studies, am Hellen lakn wenzangu huniita Cute????????." She explained.
"Ohh nice to talk to you Cute. Am Trevor, (nikapelela mkono kumsalimia lakn daro yote ikaangua vicheko???????? nikarudisha mkono wangu????????).

Cute: Sorry Trevor,, huku we don't shake hands. Yan kwenu haikuwa imefika ama??

Nilijiona fala for first time,, hata maneno niliyokuwa nmepanga kumrushia yote yanihama????????. "Ooh it's okay, I now know ????".

Hellen: So mm ndo class piri????. Ningependa kujuwa majina yako yote tafadhali????. Trevor nani??

Bado nilishangazwa na behaviors za huyo huyo mrembo mwengne????. Hata watu walipocheka yeye hakushughulika kuniangalia????. Am I ugly??

"Hey Trevor, nimetaka kujuwa majina yako kamili????," Hellen alirudia
After kumwambia alinirushia kakaratasi kwa locker yangu????. Sikumind kukasoma hiyo tym, because I knew she was already in love with me❣️. Nilifeel ni kama nimeanza kuwakunywa mapema mapema????????. Boy child????.

After tea break, niliamua nooh, lazma nijue kwa nini huyu dem hana shughuli nyingi kama wenzake????????. Nilisanya ujasiri hadi ukafika kilo moja na nusu then nikasema baasi????. Liwalo na liwe.

Kwa hii life kila msee ana crush ama amewahi kuwa naye. As for me, my heart had already fallen for someone, none other than the different prettiest girl in class ,mwenye hakuwa na shughuli na mm????.

Nilipoamka kumwendea kila mtu alinigeuka kwa mshangao ????,, kwanza Hellen ndo hakuamin????, alijaribu kunifinyia jicho lakn nikaona ni wivu yake tu,,

"Hey, am Trevor,".
"Am Stacy," she said with lots of smiles on her face.
"WOW, beautiful name, just as your face."
"OMG please stop it, (blushing) am not that beautiful Trevor, I mean stop exaggerating ????????".

Hapo nikajuwa kitu imeanza kujipa????.

"Amn't exaggerating Stacy, so am not supposed to praise your beauty ❣️?"

"Who said that Trevor,, (still blushing) okay thanks basi,, now go????. You are making me uncomfortable ????". She said with an angelic voice... For sure kama mm ningekuwa nyoka basi sijui pangoni ningekuwa nafanya nini???? ningekuwa nishatoka kitaambo????.

"Please, can I have your number Stacy, here is mine," I gave her mah number and guess what ????????. She took it ????.

"Yangu ndakukol uipate sawa" she said in a low voice.
"Promise you will call me today Stacy ????????".

Her: Today?? Trevor this is a boarding school, kwan uko na simu huku shuleni wewe?

Me: Chill manze, usichome. But iko kwa Dom kwa bag yangu ????????.

Her: It's okay then I'll try.

Me: Nita apriciate sana????. Si tutabonga lunch time ????????.
Her: okay.

The whole class ilikuwa kimia hakuna anyeamini nilichokifanya????. Kwanza CUTE, waah ak si watu wana wivu????????. Alikuwa hamalizi kuniangalia, usoni alikuwa mwenye mshangao ajabu????????.

Nilitembea kiboss, ili kuwaonesha maboys wenzangu jinsi ya kucheza na maneno????????. I know Stacy alikuwa amewatisha ju ya upole wake na sura yake ya kazi????????. Kwanza nikapita kwa boy fulani hapo pia alionekana mfunny sana kulingana na watu????.
"Oyah bro umechachi..... KIDOGO Akanyamaza ghafla kuangalia nyumba kumbe alikuwa amemwogopa Stacy ????????.

Sema kuenda kukaa chini ndo nisome kale kibarua nilirushiwa na Hellen ????????????. Kwanza karibu nifaint venye nilisoma tu sentence ya kwanza????????????????.

"Please bro,, usifanye kitu mbaya, huyo unaona amekaa hapo mbele ni madam wetu wa chem, ametumwa ajifanye mwanafunzi ndo aone tabia zako koz umetoka kwa shule yenye ilichomwa na wanafunzi so bado wanakushuku ????????,, nmeamua kuandika ndo nikusave manze, she's our deputy principal. Bye bye"

Whaaaat????????????. Mara hiyo Stacy akaamka na kuenda staff room ????. 2mins later akarudi????

ngài ????????.

Her: Trevor. Follow me to staff room ????????.

Just introducing the new story guys.. if you are interested in following it. Please weka like yako ya kwanza manze????????????.

Part two loading....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DRAMA OF LOVE???????????? Part 1

???????????? DRAMA OF LOVE????????????

Part 1

Monday morning, kwa saa yangu ya mkono inaniambia ni saa mbili asubuhi, nimesimama kwenye gate ya shule kumgoja mama ambaye nilikuwa nmemwacha nyuma kidogo????, macho yangu hayaachi kutazama picha nzuri nzuri na zenye mvuto wa aina yake, zipo kwenye ukuta wa gate❣️. Moyoni mwangu nimeanza kuhisi nikama ndoto yangu ya kusomea kwenye shule ya majuu imeanza kutimia????. Mbele yangu amesimama bawabu mlinda lango, mwenye macho mekundu kama damu, sura yake ilieleza mengi, haonekani mzee mwenye mzaha????.

"Kijana samahani, weye ni msomi wa hapa?" Aliniuliza kwa sauti nzito ambayo ilinifanya nishikwe na wasiwasi ????.
"La hasha mzee, nmekuja kuomba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi drama-of-love-part
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 18.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 18.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 22.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 22.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 37.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 37.
DRAMA OF LOVE????????????  part 2.
DRAMA OF LOVE???????????? part 2.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 11.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 11.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 8.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 8.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 20.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 20.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁.  part 19
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 19
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 34.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 34.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 9
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 9
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 43.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 43.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 38
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 38
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 16
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 16
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 30.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 30.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 41
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 41
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 36.  Although our God is almighty, he doesn't
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 36. Although our God is almighty, he doesn't
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 27  Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi😱,
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 27 Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi😱,
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 33
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 33
????????????DRAMA OF LOVE????????.  part 13.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 13.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 40.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 40.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 44
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 44
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 28  No matter how bad and long a night
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 28 No matter how bad and long a night
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 45
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 45
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 31
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 31
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 14
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 14
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 26..
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 26..
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 21.
💕😁💖DRAMA OF LOVE💖😁. part 21.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

869
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

556
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

353
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

166
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

165
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

126
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

100
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

29
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest