๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 22.
OCS: mnasema kuhusu kupeana mimba?? Wee NJERI kuja hapa๐ช, una ujauzito??
Swali la OCS lilikuwa ndo jibu. Njeri alimwangalia Mom kwa huruma, hajui akisema mm kutatokea nini๐ค, already she heard Mom would kill herself ๐ญ๐ญ. Kisha akanigeuka hakujuwa aseme nini, lakn kimia chake cha muda mrefu kilikuwa kishasema yote๐ญ. She was pregnant ๐ญ.
Principal: Whaat?? How can you Njeri?? Who's responsible for the pregnancy,, that idiรตt must rot in jail๐ช๐ช.
NJERI: ๐๐(looking at me)
MOM: Please my daughter,, don't tell me that my son Sky is the one responsible for it๐ญ๐ญ.
OCS: Nan alikupa mimba๐ช. Ama ni huyu sky wako??
ME: ๐ฑ๐ญ๐ญ
NJERI: No he's not the one๐๐.
PRINCIPAL: Oookay, this case is not mine,,, mm nmekuwachia wewe OCS ๐. Kama ni barua ya kudhibitisha kwamba Njeri ni msomi na amepachikwa ujauzito naiandika sasa hivi, nataka hii iwe funzo kwa wengine๐ช๐ช๐ช.
MOM: Hapo Ni kweli mwalimu ๐. Watoto wa shule si wa kuchezewa,,, hii ni kumdhulumu mtoto kingono,,, huyo jambazi ashikwe na ufungwe jela maisha.. mtoto msichana siku hizi sio factory ya watoto, watuwachie watoto wetu wasome nao wawe na mafanikio makubwa kama wanaumeโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธ. My daughter, usifiche mtu amekuharibia maisha,, mtaje haraka ili sheria ichukue mkondo wake๐๐. Haya ni maisha yako๐๐.
NJERI: Mom you don't know ๐ญ๐ญ. Hii bol (woih nilimkanyaga kwa mguu ndo asinitaje ๐ญ๐ญ) . Ama wacha tu๐ฑ.
Ile kofi aliwekelewa na mwalimu MKUU ๐ฑ๐ญ, walahi hata ningekuwa mm ningesema mara hiyo๐ญ. NJERI alipita hadi chini na kunyamaza zii! ๐ฑ๐ฑ. Umewahi ombea mtu afe ndo shida zako ziishe hapo hapo๐๐. Nilianza kumuomba mungu amchukuwe Njeri ajifie pale chini๐ญ๐ญ. Hata kabla sijamaliza maombi, jitu liliamka tena๐ฑ๐ญ.
NJERI: Wow โฃ๏ธ Sir your slap was so sweet and romantic,, please can you give me more, koz ni kama umejuwa mwenye hii bol.. . You never know hata maybe ni wewe๐๐.
OCS: Wait et ni ya Who?? Mwalimu??
HER: Relax Sister,, wacha pupa,, unashangaa kwani huyu mwalimu MKUU hawezi peana mimba au๐๐.
ME: Hey please Njeri,, don't say that ๐ฑ he's our principal ๐๐.
Wote walibaki kimia, hata OCS alingoja usemi wa njeri ndo ajuwe cha kufanya๐๐.
ME: Mkuu, can we go to class hii case iendelee baadae๐.
PRINCIPAL: Please go go go๐ญ.
MKUU alikuwa ameshtuka ajabu๐ฑ. On the way to class,,
ME: Beb, mbna umeongea ivo๐ฑ.
NJERI: unajuwa huyu mwalimu anakuwanga na kiherehere sana๐ญ. Sasa amenichapa mbna?? Then sky we've to look for another way round of getting you out of this pregnancy,, mamako already ako depressed ๐ญ๐ญ. Ak sijui mbna nilijiweka kwa huu ujinga๐ญ. Nitamwambia Nini kamau wangu๐๐. That man will kill himself ๐ญ๐. I know him๐
ME: Have you ever slept with him??
HER: How can I do that.. I mean I have no reason to sleep with Him ๐ช๐ช.
ME: But now you have it...
HER: Sky ivo ndo unataka rafiki yako aumie wewe ukiwa huru๐. What kind of friendship is that?? Which reason ๐ค
ME: It's not like that dear,,, mm niko ready hata kuhukumiwa kifo, but my Mom ๐ญ๐ญ. That woman believes in me too much๐ญ. She might end up being paralysed ๐๐ญ.
NJERI: So ulitaka nifanye aje??
ME: Romance Him tonight,, have sex with him. The pregnancy will all be his,, in the mean time hamtawachana๐๐. Si unampenda??
HER: I love kamau so muchโฃ๏ธโฃ๏ธ. But your idea is so selfish Sky.. sasa akifungwa maisha nitamuona wap??
ME: Please this is for my only Mom,,, ama ulikuwa amepanga aje๐ค๐ค.
HER: sikuwa na any plan kwa kichwa changu๐๐. But waah๐ญ๐ญ.
ME: Stop imgning dear,,, before tuitwe tena kwa staff kesho, make sure umefanya ivo๐. Sawa??
HER: Okay ๐.
A week later, we hadn't been called again in our Principal's office. I think he was still thinking about Njeri's shocking words๐ญ. Nikiwa nyuma ya daro my best friend kamau came to me,, his face was full smiles and sorrows at the same time ๐๐.
ME: My guy,, I can read everything that is in your heart by just looking at your smiling face๐๐. Now tell me,, what is it ๐, Kwan NJERI leo amekupa nini broโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Kamaa: Guess what??
ME: Come on bro,, you know very very well that am not a good guesser ๐๐. Break it down โฃ๏ธ.
KAMA: Unajuwa the other day ile day nilikushow nilikuwa msick hadi sikuja preps??
ME: Of course I remember very well ๐ฒ. What happened??
HIM: Manze mtoy alitaka kuniona huo usikuโฃ๏ธ. So we went to teachers latrines
ME: wait bro,, wacha kunipeleka mbio๐๐ช. Don't tell me ulilima mali for the first time man๐ช๐ช.
HIM: I tried to resist but mwana akakataa eti alikuwa horny man,,, mm nae ni nan?? Nilifungulia missile imuume๐ช๐๐. Nilipiga kitu hadi saa tano usiku bro,, this girl is so sweet ๐น๐น. I think siwezi ishi bila yeye Sky ๐๐.
ME: WOW ๐, finally bro,, but am sure ulitumia protection ndo mzuie bol man,, unajuwa nao days huwezi juwa. Unaweza mpa bol na uharibu kila kitu bro๐๐.
KAMAU: Sasa hapo ndo shida inaingilia bana๐ญ. We didn't use protection,, and now she's telling me about missing her monthly period man๐๐. Manze yan karibu nataka kurukwa na kichwa๐ญ๐ญ
ME: Oh my God, that is very risky ๐ฒ๐ฒ. Mbna hukutumia kinga lakn??
HIM: So unataka kuniruka bro,, hapa shule unaonanga wap condoms ๐ช. Nipe mawazo bana, am down ak๐ฒ. You are my best friend โค๏ธ
ME: Sasa mtoy anasema aje mwenyewe??
HIM: Nimeongea something like abortion weeh,,, karibu niumwe maskio I say๐ญ. Sasa hiyo sio shida,, naambiwa et mwalimu mkuu amejuwa pia๐ญ๐ญ. Manze bro mm naona masomo yakiishia hapa๐ญ.
Me: Stop saying that man,,,, it's too early to give up๐๐. Sasa kuhusu hii bol, umepanga aje bwanaโฃ๏ธโฃ๏ธ.
KAMAU: Yakimwagika maji huwa hayasoleki bro,,, am ready to be jailed, hata nikihukukiwa kifo, niko ready koz mtoy ni wangu man ๐๐. Am ready for anything โฃ๏ธโฃ๏ธ.
Me: Usiseme kifo bro,,, things will be better with timeโฃ๏ธโฃ๏ธ.
Kidogo Njeri akaitwa na Mwalimu mkuu,, Kamau akajuwa baasi, yeye kwisha๐๐. After kitu 15mins ivi, mtoto alifika tena na kumuita kamau,, sema kutoka nje๐ฑ๐ฑ
Niliona Land cruiser ya polisi mbele ya office ya Principal ๐๐ฑ.
Kamau alitolewa ndani ya ofisi na kuingizwa kwa gari๐ฑ. Kidogo tena akashuka na kukimbia akija darasani kwetu๐ญ๐ญ.
Nilienda mbio kukutana nayeye
KAMAU: Bro ni kunoma I say,, nmekamatwa๐ญ๐ญ. Nakuomba kaka, usiwahi jiingiza kwa ujinga kama huu please.. a very small mistake, now Principal has told me to kiss my education Bye ๐ญ๐ญ. Nikifia huko jela nakuomba unilindie mtoy wangu jamaa... ๐ญ. Mm sina baba wala mama๐ญ. Ambia Njeri nampenda sana akiwa na mtoy wangu๐ญ๐ญ
Alipigwa cheky na kubebwa hopelahopela hadi garini wakaishia๐ฑ๐ฑ๐ฑ.
To be continued......
Catch up with part 23 in the morning.. don't forget to like ๐ญ๐ญ๐ญ. DRAMA OF LOVE๐๐๐๐.
Maoni