๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 19
"Fika Mama Lucy hospital, Brianna is not feeling well. According to the letter she left, you are the reason for her unwellnes ๐ฑ๐ฑ"
Whaaat ๐ฑ. Noh๐ญ, am the reason?? How?
Kumbe Mom alikuwa nyuma yangu๐. Nilidial namba ya Madam kuenda kumkol ndo nikamuona mathe ๐ฒ.
HER: Sky, ni nini mbaya unashinda ukisema no?? Niambie mm ni mamakoโฃ๏ธ. Ukifanya ivo hata mm pia naanza kuwa na wasiwasi ๐ญ.
"That girl๐ญ๐ญ"
"That girl mgani sasa? Ninini kimemfanyikia?" She implored
ME: Brianna Queen has poisoned herself, na amesema et ni mm ndo nmefanya ajiue๐ญ.
MOM: Jesus Christ ๐ฑ๐ฑ. Unasema yule msichana nilikuja shule kumjuwa๐ฒ๐ฒ.
ME: Eeh mwenye ulikuja shule hadi ukafanya sahi tuko home hatusomi๐ญ๐ญ.
MOM: ๐๐, where's she now, is she alive??
ME: Yes mah, she has been rushed to Mama Lucy hospital ๐๐.
MOM: Take care of everything Sky,,, am going there now๐ฒ๐ฒ.
Mathe aliprepare na kutoka hiyo tym yenyewe๐. Hata hakufika mbali, madam akanipigia simu tena๐ฒ.
HER: Sky, please you have to forget what she did to you and come๐ญ๐ญ. You have to save my sister's life, she wants to see you please ๐ญ๐ญ.
ME: I can't make it Madam,, I have so many things to do here at home.
MADAM: How heartless are you sky?? Many things yan zinashinda maisha ya Sistangu ๐ญ. Come please??
ME: Kata kidogo mam ananikol madam๐๐. Akiwa anaongea mm nikarecieve simu ya mathe๐.
VOICE: Which room Sky, nmefika huko๐.
ME: Ulizia tu ukitumia majina yake kamili mam, hadi mm sijaambiwa๐๐.
Mam alipohang up, kumbe madam hakukata.
Madam Stacy: Are you done talking to your mom now you heartless boy๐ญ๐ญ๐ญ. So umeamua akufe sindio?? Eh?
ME: I said I have some stuffs to handle Madam,, I can't make it there๐. Am sorry ๐๐.
MADAM: Waaah, sikujuwa kama unakaa ivi Sky, sikujuwa kama una roho ya shetani hivo, good Bye ๐ญ๐ญ.
Nilimkol Mam akaniambia amempata, na sasa hayuko mbaya sana ila anainsist tu niende et ana kitu cha kuniambia๐ช๐ช.
ME: mam just tell her akipona mkam nayeye home kwetu๐. Si unajuwa siwezi wacha boma ๐.
MOM: Okay hata anaskiza ndo huyuโฃ๏ธ.
HER: Hello Beb ๐ญ๐ญ.
"Hello to you Brianna,, how are you now??"
"Am happy kumuona mama akoโฃ๏ธโฃ๏ธ,"
ME: And if I may ask, do you think Killing yourself is the solution for our differences??
HER: To me it's Yes Sky,, I can't bear it seeing you there ignoring me as if I killed your mother ๐ญ๐ญ. All I did was totally nonsense ๐ญ, ND I had apologized to you and to her๐๐. Sikujuwa full story ๐ญ.
ME: So ukaamua kusema et mm na yeye tulikuwa tunakiss, hadi nikapewa suspension ๐ช๐ช.
MOM: Sky, sky?? My daughter ebu leta hiyo simu๐ช๐ช. Wee ni nini mbaya na wewe, mtoto wa mtu anaumia na bado unamuuliza maswali ya ujinga ka hayo๐ช. Kama huna kitu poa ya kumwambia kata simu๐๐.
Nilianza kuskia sauti nyngi kwa room yao๐ฒ๐ฒ. Kwan ni nini kinaendelea๐ค๐ค. Hakuna aliyenijibu๐.
Nilikata then nikakol tena๐. "Hello Mom, kuna nini naskia makelele ivo??
HER: Oh kwan hukua umekata?? Ni mwalimu mkuu na wanafunzi kadha wamekuja kumwona Brianna Queen โฃ๏ธโฃ๏ธ.
ME: Hadi mwalimu mkuu๐ฒ๐ฒ. (Nikaskia wakicheka, kumbe mathe hakuwa ametoa kwa loud)
MKUU: Sky, I want to talk to you ๐๐.
ME: Talk to me Sir.
HIM: It's a private issue,, I have your giftโฃ๏ธโฃ๏ธ. Nancy is now fine๐.
ME: Okay Sir, anytime any day, you are welcome home...
HIM: Then concerning Brianna, please make sure you have solved your problems,, I know you are still kidsโฃ๏ธโฃ๏ธ. Imgn an Angel like Brianna et anaamua kujiua ju yako ๐ฒ
ME: Mwalimu gredit imeisha๐๐.
Siku zilisonga Brianna akafutwa hospitalini na kama nilivyotaka, mama alikuja na yeye hadi kwetu๐ช๐ช. She was fully recovered
MOM: No love in my houseโ๏ธโ๏ธ. Nyinyi sasa mmekuwa dada na nduguโฃ๏ธ. Pendaneni kama familia moja๐๐. Wee Queen, hiyo smile mm siitaki kwa hii nyumba. Na wewe Trevor ujuwe mm pia niliwahi kuwa msichana, wacha kumkanyaga QUEEN kwa mguu hapo chin ya meza๐ฒ๐ฒ.
QUEEN: ๐ฑ๐ฑ,
MOM: Basi someni kwa bidii itakuwa furaha yangu mkipita mtihani nyny nyoteโฃ๏ธโฃ๏ธ. Goodnight my children โฃ๏ธ.
ME: Are you happy now??
Brianna: Happy for what??
ME: Kuitwa mtoto wetu๐๐.
BRIANNA: Ona huyu, tumeambiwa tusome si kuulizana maswali ๐.
Me: 1+1??
HER: Two
ME: Two plus two?
Her: 4
Me: 4+4?
BRIANNA: Hiyo ni bhangi gani unatumia๐ช๐ช.
MOM: Ngร i wuuuwih๐ฑ. Mtoto wangu anatumia bhangi na huwezi niambia, (alitoka kwa yake room mbio)
Niliambia Brianna mam hapa akitupata ni mazishi๐. Sote ๐๐โโ๏ธ hadi kwa room yangu na kisha kujifungia huko๐ช.
MOM: Fungua huu mlango๐ค.(hatukufungua) Haya basi laleni huko, mtu asikanyake nje๐.
BRIANNA: Waah huyu mamako si ni dramatic aki ๐๐. Kwan alikuwa anaskia tukiongea๐.
ME: Hiyo ndo inakuwanga tu kazi yako kwa maisha yangu Brianna. Kila mara nikiwa na wewe lazma nijipate kwa ngori๐ช.
HER: Lakn sasa hata na wewe ulikuwa unaniuliza maswali gani hayo jamani๐ช. What is 1+1??
ME: ๐๐๐, wacha me nilale mwenyewe ujipange venye utatoka ndo uingie room yako๐โ๏ธ.(nilijirusha kwa bed kulala nikiangalia juu๐ช)
HER: ๐ค๐ค, ama mamako ataniekelea ngoto๐. (Alienda akashika kwa mlango akaona mathe aliwasha TV akaanza kuwatch๐ฑ) SKY she's watching TV ๐๐.
ME: Oh wow, huo ni mtego Brianna,, ile kuundwa utaundwa leo๐๐. Hiyo haga yako tamu hutawahi iona tena๐.
HER: (alifungua mlango polepole et ndo atoke mbio, before mama aamke atakuwa ameingia kwa room yake๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ)
MOM: Bhangi? Sky anavuta bhangi?? Tangu lini??
Brianna alirudi mbio bila kuulizwa kitu. "Sky am scared, it seems amekasirika sana๐ญ, si tusome tusome hadi alale kwanza alfu niende? Please ๐"
ME: Eti tusome,, mm nataka kulala๐. Chukuwa kitabu kwa hiyo bag usomeโฃ๏ธโฃ๏ธ. Akienda kulala pia utaenda sawa๐ช.
Mom akaenda miayo๐ฒ๐ฒ. "Nyny watoto kwan hamsomi leo?? Pitine huku msome" huyu akaona amepoa๐. Zile slippers aliwekelewa๐, " wewe unajuwa (akipigwa) mtoto wangu anavuta bhangi na husemi, " teke moja la haga then akarudi kwa room yangu mbio ๐โโ๏ธ๐๐.
BRIANNA: ๐๐ญ๐๐ญ๐๐๐ญ๐ญ๐.
ME: Unacheka ama unalia wewe?? Nmekwambia huskii, huyo akijam hadi supper huwezi kula, anyway kaa hapa tusome tusome basi๐๐.
HER: Kesho narud kwetu walahi,, these dramas are now too much๐๐. What a mom๐. Karibu niuliwe bure tu๐.
ME: Na bado๐, kama hautabehave normally, my Mom will treat you abnormally ๐๐.
HER: Sasa wewe ni kunicheka tu๐ญ. Ujuwe mm sitoki kwa hii room, leo ni wewe utaenda kulala huko๐ช๐ช.
ME: Okay haina shida๐๐. Tusome sasaโฃ๏ธโฃ๏ธ. Si usonge huku tusome, mm sichapangi wasee๐.
Kalisonga, kwenda kufungua kitabu, stima nayo kumbe ilikuwa imejam๐. Ilipotea mara that, tulianza kusikia mama akitembea kuingia kwake kwa bedroom โฃ๏ธโฃ๏ธ.
BRIANNA:(whispering) She's going to sleepโฃ๏ธ.
MOM: Going to sleep where?? Sitoki hapa,, et anavuta bhangi?? SKY fungua huu mlango๐ช๐ช.
Brianna mara hiyo akajitupa kwa blanket na kujifunika๐.
MOM: Sky?? Wewe mtoto hunijui mm๐ช. Nalipa fees ili uende uvute bhangi huko shuleni๐๐.
ME:. Mom she was just kidding,, she didn't mean it ๐ช๐ช. Mbna leo uko na kisirani hivi, kwan hatutasoma et ju ya hiyo tu๐ช. Mam mm haunibambi ak๐ญ.
MOM: Ni sawa, goodnight tukutane asubuhi๐ฑ.
BRIANNA: sky mbna unajibu mamako ivo??
ME: Sasa for sure ni nini inamfanya akasirike hivo?? Wewe nawe uliniona wap nikivuta bhangi๐ญ.
HER: I was just joking, hadi wewe unajuwa ivo, sijui mbna Mom amejam ivo, ama kulikuwa na issue ingne??
ME: โฃ๏ธโฃ๏ธ, those thighs please ๐ฅบ ๐. Hivi ndo wewe huwa mhot๐ฒ๐ฒ.
HER: What are you talking about??
ME: I mean, eeishโฃ๏ธ.
HER: wee ni nini unanisongea hivo??
ME: ulisema ulinipa nini nikague nikashindwa??
MOM: Athe?? Kukupea nini ukague sky?? Toka toka toka,,, toooka nje๐ญ๐ญ.
After kufungua mlango. Nilitolewa nikaenda kulala kwa room ya Brianna ๐ญ๐ญ.
MOM: kuwapea dakika mbili tu already mnataka kufanya๐ฑ.
Huyu Mom ni nini mbaya na yeye๐ญ๐ญ๐ญ.
To be continued...
Part 20 LOADING. ..(wach alamaโฃ๏ธ(like)).
Maoni