๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 33
Asubuhi saa mbili Brianna alikuwa ameshafika๐ฑ๐ญ๐ญ. Hata before nimuulize kwann amekam na tuliagree asikam ,,Kwa simu yangu text ikaingia ๐ฒ.
NJERI: Good morning baba Maya,,, nmetoka......
Waah akili ilisimama nikaanza kuchanganyikiwa sasa๐, nilibaki kama nmeangalia kwa simu hadi sikumpa Brianna salamu๐. How will we live now,, hawa watu wote wana wivu, kwanza Brianna ๐. Oh my gosh, She is the mother of jealous ๐.
BRIANNA: Bro, why are you so shocked? Is everything okay??
ME: Everything you say๐ช. What's okay here?? What did I tell you yesterday??
Brianna: It was today, saa saba usiku inakuwaje jana tena๐ช. So mm kufika hapa ndo inafanya ufure kama chapo?
ME: eti chapo? Chapo gani huwa inafura na wewe?? Drama after drama๐. Hope umekam tu kuniona na urudi please ๐ช.
HER: Yaah nmekam tu kukuona for 4weeks then nirudi, sikai huku sana๐ฑ.
Me: Et four what?? You are mad๐ช.
Nilisema huku nikirecieve simu ambayo ilikuwa imepigwa na Njeri ๐ช.
"Hello dear,, umefika wap??" I asked NJERI ili Brianna ajam akitaka ndo labda aende๐ก.
NJERI: Nmeshukishwa hapa juu, come unichukue๐๐. Sky??
ME: Yes am coming ๐.
HER: Wait, kwan mko na nani??
ME: Ni Brianna amekam asubuhi๐ก.
HER: Amekam asubuhi?? Kufanyaaa?
"Wacha nikuje nikupick hayo tutaongea don't worry ๐" nilisema kama nmetoka.
BRIANNA: Ooh now I know,, Njeri ndo anafanya unashinda hapa kama umejam? let her come,
ME: kwan utampiga??
Brianna: Kama itanibid nifanye ivo,, wewe enda๐ช๐ช. Am tired naenda kurelax kwa room yako๐.
ME: weee nikupate kwa room yangu utaona๐ญ
Kumbe Mama maya alisema lakn alikuwa karibu kufika,,, Brianna alipomaliza maongezi naye Njeri akapisha hodi๐. "Welcome Njeri, you must be so tired, please sit down, let me prepare something to eat,โฃ๏ธโฃ๏ธ"
HER:No need Sky am okay. Wap remote๐ค. Kuna kakipindi huwa nakapenda sana kila asubuhi๐ค lazima niwatch๐ค.
ME: Si remote imekuwa hapa sahi๐ค. Brianna ama umeiona๐ค.
HER: (akiwa kwa room yangu) ningeiona ningeificha๐ช๐ช. Angalia tu myb iko nyuma ya TV ๐๐.
NJERI: ooh mambo Brianna,, kumbe uko huko๐. Hadi salamu huwezi nipa jamani๐๐.
HER: Niko poa sana,, journey imekuwa aje??
NJERI: Nashukuru nmefika๐ค๐ค. Sky umepata??
ME: nini hiyo?
HER: ngร i ๐ kwn nyuma ya TV unatafuta Nini?
ME: ๐๐ sorry nilikuwa nmesahau ๐๐.
BRIANNA: Girl, huyo sky huwa ananibamba sana๐. Kwanza huko kusahau kwake,, huwa namkufia tu walahi๐ค.
NJERI: Na si utoke kwa room yake,, nilidhan ulienda kuchange nguo ๐.. unado nini??
Brianna alitoka kwa room yangu akiwa na remote๐ก๐ก.
ME: Lakn shida yako inakuwanga nini Brianna?? Si hii remote ndo tunatafuta๐.
BRIANNA: Sorry nilikuwa nmesahau iko kwa mkono ๐.
ME: ๐ก๐ก๐ก.
NJERI: Sky ak smile tu,, ukijam hiyo sura yako inakaa vibayaaa, hata heri nyuma ya radio๐ญ๐ญ.
Brianna: ama mbele tractor ๐๐.
ME: Nawewe ๐๐
Siku zilisonga, nilidhani kungetokea vita vya 3rd world war .. Brianna naye hakutaka kuenda wala hakutaka nishinde na mama maya kwa muda mrefu๐ช.. Even sleeping, alihakikisha kila mtu na room yake,, alfu yeye analala sitting room.... Najuwa alichoose kulala hapo ili ahakikishe Njeri hajatoka kwa room yake aje kwangu ama mm niende kwake๐ walahi alikuwa anabehave tu kama mamangu๐.
Usiku moja nikiwa nishaenda kulala nikawawacha wao wakiwatch๐, kidogo hivi Brianna akanitext๐.
"Sky Please, leo nakuja tulale na wewe โฃ๏ธโฃ๏ธ, we can't stay like this hadi tufungue shule๐ช๐ช, what do you say ??"
Nilisoma tu text but nikaassume๐. The same night NJERI naye akaanza zake,, "Sky leo uchague mawali,, wewe sijui kwann hutakangi kulala na mtoto wako๐ช๐ช,, so tonight it's either ulale nayeye kwako ama ukam tulale na yeye kwangu๐ช, I can't be the taking care of her alone,, "
Hiyo niliona lazma nirply,, "si hivo dear,, you know why am doing this,, you know very tuko na queen of jealous kwa hii hao,,, hadi mm nmekumiss ak,, leo nataka ukam tulale uku kwangu sawaโฃ๏ธโฃ๏ธ."?
Kidogo reply ikarudi,,,
Brianna,, " it's okay beb, naelewa Njeri huwa na wivu sana,, so tutym wakati amelala then nikamโฃ๏ธโฃ๏ธ๐ค"
Kumbe nilireply text ya Brianna sio Njeri ๐ญ๐ญ.
Kitu saa sita hivi usiku, niliskia mtu akigonga polepoole kwa mlango wa room yangu...
Guess alikuwa nani๐ญ๐ญ๐ญ.
To be continued guys,, ๐๐๐. Drama of Love.
Maoni