Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 21.

NJERI: sky, tumefanya bila protection, what if unipe bol๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ. How will KAMAu take it๐Ÿค”. I was just pretending not to love him but I really doโฃ๏ธโฃ๏ธ. This should be the secret between us please ๐Ÿ˜ญ. Wewe uko na Brianna ๐Ÿ™๐Ÿ™.

ME: You can't get pregnant kwa mara ya kwanza,, anyway let this be our secret ๐Ÿ™๐Ÿ™.

Ndo maneno ya mwisho nikimwambia Njeri baada ya kujipata tukila uroda bila kinga๐Ÿ™. I was still a Mam's boy, sikuwahi fikiria mtu anaweza pata bol kwa kufanya mapenzi mara moja tu๐Ÿ™. So sikuwa na wasiwasi sana kuhusu hiloโฃ๏ธ. On her side it was the same, she also never thought of getting pregnant on the first sex in her life๐Ÿ™.

Early in the morning, sema baridi๐Ÿ™†, tulinyemelea gate ya shule tulimokuwa hadi tukafika, Njeri
alikuwa anatetemeka kutokana na baridi kali iliyovuma usiku kucha๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Bint tu tulipofika nalo gari la mwalimu wetu mkuu likatua ๐Ÿ˜ฒ,

HIM: ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ where did you sleep sky?? We came here yesterday night but we didn't find you ๐Ÿ˜ฑ. All your fellows are already in school ๐Ÿ˜ฒ.

ME: Sir plz,, let's talk about this in your office,,baridi inatumaliza๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.(nilisema nikitetema midomo)

We entered his car hadi shule๐Ÿ’–. "Oh my goodness, thank God mmepatikana ak,, ningeambia nini mamako na SISTER ya Njeri ๐Ÿ˜ญ. Thank you God ๐Ÿ™๐Ÿ™" Principal was talking to himself ๐Ÿ˜ฒ. Hatimaye tulifika tukapewa chai na mkate wa walimu๐Ÿ’ช. It was too early so hadi walimu hawakuwa wamefikafika๐Ÿ™.

Principal: My students, kula haraka mprepee kuingia darasani,,, nmefurahi mmepatikana wazima,,, I thought mlikufa pamoja na wale wasomi watano walioaga jana usiku๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

ME: ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ

HIM: I'll call you later after wazazi wenu wamekam๐Ÿ™. They were so worried ๐Ÿ˜ซ ๐Ÿ˜Ÿ ๐Ÿ’”. Kwanza mamako Sky, she cried the whole night on phone,,, please don't fail her, venye niliona jana, you are the only hope she has ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Soma kwa bidii, pita mtihani, mm ukipata above B+ nitakulipia mpaka umalize masomo yakoโฃ๏ธโฃ๏ธ.

ME: sure I will Sir ๐Ÿ™. Thank you ๐Ÿ™

HIM: Go to bathrooms, muoge muingie darasani โฃ๏ธ.

On the way Njeri "sky unajuwa uliniumiza jana ๐Ÿ˜ช, am feeling some pain around my waist ๐Ÿ˜ญ" she lamented.

ME: It's normal Njeri,,, first sex huanga tu ivo, enda uoge na uwache kuniangalia ivo, ukiendelea ivi naona tukijulikana๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.

Tulimaliza kisha tukadunda daro๐Ÿ’ช. BRIANNA and Kamau were so excited to see us again,, kamau alikuwa amelia yake yote,, he didn't imgn akisikia et wote tulikufia kwa moto๐Ÿ˜ญ.

Brianna hugged me for almost 5mins,๐Ÿ˜ญ. "Beb I can't believe you are with me again,, thank you God ๐Ÿ™, Thank you ๐Ÿ™๐Ÿ™"

ME: it's okay my Love,,, thanks for your love โฃ๏ธโฃ๏ธ. I love you too ๐Ÿ™.

Kwa Njeri alikuwa anafeel guilty hadi hakutaka kumwangalia Kamau machoni๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. She had betrayed him for sleeping with his best friend sky.. tutoke hapo๐Ÿ˜ญ, where am I getting the courage to say that๐Ÿ˜ญ, I wish Brianna also could see what we did last night ๐Ÿ˜ญ na venye alikuwa ananiangalia innocently aki๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ . Indeed this is drama of love๐Ÿ’”

10mins later KAMA and NJERI were still holding each other tight,, wote wanalia, kamau was crying akiimgn et angeishi bila Njeri ๐Ÿ˜ญ, naye mtoto alikuwa analia kwa kumsaliti ampendaye kimapenzi๐Ÿ’”. Heartbreaking sana๐Ÿ’”๐Ÿ’”.

Siku zilisonga zikaunda wiki, nayo wiki ikaomba collaboration na brothers zake zikaunda mwezi๐Ÿ™๐Ÿ™. The first Monday of the month ndo wazazi wetu mm na Njeri walikuja๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ. I was so shocked kumuona OCS ndo alikuwa amekam kusimamia Njeri ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ™†.

Haikupita saa chache, Madam Stacy alifika darasni mwetu na kutaka sote tupatikane ofisini kwa MKUU ๐Ÿ˜ฑ. NJERI turned to me in a deep stress, she was so tensed in the manner that everyone could sense something was wrong ๐Ÿ˜ญ.

Tukiwa kwa njia tukienda ofisini,, "Aki Njeri huku kutense kwako ndo kutafanya tushikwe๐Ÿ˜ญ, can't you remain calm and relaxed for once. This case can turn into a suicidal one, mm nikipewa ex utakuwa umeniua ak๐Ÿ˜ญ. Kumbuka Principal akisema๐Ÿ˜ญ. I don't want to push my mom into another stressed world ๐Ÿ˜ญ. Please!!!

HER: Trevor can I ask you a question ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.
ME: go ahead ๐Ÿค”

HER: ulisema kufanya sex mara ya kwanza huwezi pata bol??

ME: ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒndio mbna unauliza??

HER: Mm sijaona hedhi๐Ÿ˜ญ. Since last week, hiyo ndo inafanya niwe na wasiwasi ak.. nilifaa ninyeshe date 24 sahi ni mwezi ingine date 6??

ME: Please dear, I hope this a joke๐Ÿ˜ญ. You can't be pregnant ak, noh you can't??

NJERI: SKY??

ME: Nini??

HER: Ikitokea ivi niwe pregnant ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Itabid umeacha shule na kuhepa๐Ÿ˜ญ. Am not crying because of pregnancy, am crying because am seeing you in jail for the rest of your life๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

ME: What are you talking about ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. What about my Mom ๐Ÿ˜ญ. Hey Njeri (nilimsimamisha) tusikosane sasa,

HER: Am pregnant ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

ME: Whaaaat๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ,

Nilitaka kuongezea lakn tukawa tumefika ofisini already,, nilipata mathe wamekaa mezani na OCS, this round hakuwa kwa uniform koz alikam kama mzazi๐Ÿ™๐Ÿ™.

MOM: Wow, the God I prayed finally has heard me๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. My son hawezi kufa bila kufanya form 4, mtoto wangu hawezi kufa kama bado hajabadilisha maisha yangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Alishtukia kutuona mm na Njeri machozi yakitutoka njia mbilimbili๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Hata mkuu alishangaa๐Ÿ˜ฑ.

ME: Mom please stop talking to me like that ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

OCS: ๐Ÿ˜๐Ÿ˜, (akituangalia machoni petu mm na Njeri)

The problem with NJERI was,, ๐Ÿ˜ญ, macho yake yalikuwa yanaongea kila kitu, nashuku OCS alimsoma๐Ÿ˜ญ.

MOM: Mbna unasema ivo mwanangu๐Ÿ˜ฑ. Ni vibaya nikisema unatabadilisha maisha yangu after kumaliza form 4, uende university ๐Ÿ˜ญ.

At that point I wasn't sure kama nitamaliza hata form two๐Ÿ˜ญ. kwanza Principal akatoa matokeo ya mtihani tulioukalia wiki chache zilizopita๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

POS 1. Pos 2. POS 3
KAMAU. NANCY. NJERI ๐Ÿ˜ฑ

MOM: where's my son??

POS 4. POS 5. POS 6
Hellen. Bridgy Vicky

MOM: (alisimama) mwalimu?? Huu mtihani Sky alifanya ama hapana??

MKUU: Ako namba 7๐Ÿ˜ฑ.

ME: Seven?? How Sir??

- MOM: Sky hivi ndo unataka kubadilisha maisha yetu๐Ÿ˜ญ. How can you move from POS 1 to seven๐Ÿ˜ญ. How many times have I advised you get away from girls, Sky sahi ukipatikana et umempa mtoto wa mtu mimba,,, count me dead๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Nmemaliza,, yan venye nastruggle ivi, day and night ili nipate fees yako alfu unifanyie ivi๐Ÿ˜ญ.

MKUU: come down mama Sky ๐Ÿ™. Usiambie mtoto wako ivo,, mpe mawaidha ya kumjenga, najuwa hawezi peana mimbaโฃ๏ธโฃ๏ธ, pia anajuwa haya maisha mnapitia, hii ni stage tu na itaisha soon, I know sky very well. He can't immpregnant anyone ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ because he knows what you are going through at home๐Ÿ˜ญ he's a smart boy. SKY sasa unaona mamako venye anaumia ju yako๐Ÿ˜ช, please wachana na hawa wasichana, imgn sahi venye mnapitia magumu ivi, alafu tena upatikane na makosa ya kumpa mtoto wa shule mimba,, si hiyo ni kumuua mamako ukitumia mikono yako miwili๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Nilitazama mamangu venye alikuwa anadondokwa na machozi kama mtoto๐Ÿ˜ญ. Kisha nikamtazama Njeri, ambaye alikuwa amelia hadi machozi yamemkauka๐Ÿ˜ญ,

OCS: mnasema kuhusu kupeana mimba?? Wee NJERI, are you pregnant ๐Ÿคฐ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ.

MARIA:.......

To be continued.....๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Kwisha mm๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nipeni LIKES za mwisho before niuliwe๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 21.

๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.
part 21.

NJERI: sky, tumefanya bila protection, what if unipe bol๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ. How will KAMAu take it๐Ÿค”. I was just pretending not to love him but I really doโฃ๏ธโฃ๏ธ. This should be the secret between us please ๐Ÿ˜ญ. Wewe uko na Brianna ๐Ÿ™๐Ÿ™.

ME: You can't get pregnant kwa mara ya kwanza,, anyway let this be our secret ๐Ÿ™๐Ÿ™.

Ndo maneno ya mwisho nikimwambia Njeri baada ya kujipata tukila uroda bila kinga๐Ÿ™. I was still a Mam's boy, sikuwahi fikiria mtu anaweza pata bol kwa kufanya mapenzi mara moja tu๐Ÿ™. So sikuwa na wasiwasi sana kuhusu hiloโฃ๏ธ. On her side it...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/drama-of-love-part-21

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi drama-of-love-part
DRAMA OF LOVE  part 4.
DRAMA OF LOVE part 4.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 18.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 22.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 37.
DRAMA OF LOVE????????????  Part 1
DRAMA OF LOVE???????????? Part 1
DRAMA OF LOVE????????????  part 2.
DRAMA OF LOVE???????????? part 2.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 12.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 11.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 8.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 20.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜.  part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 19
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 34.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 10.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 9
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 43.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 38
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 16
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 30.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 41
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36.  Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 36. Although our God is almighty, he doesn't
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27  Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 27 Kifo cha mkuu kilituwacha zote vinywa wasi๐Ÿ˜ฑ,
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 33
????????????DRAMA OF LOVE????????.  part 13.
????????????DRAMA OF LOVE????????. part 13.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 40.
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 44
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28  No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 28 No matter how bad and long a night
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 31
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 14
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 45
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
๐Ÿ’•๐Ÿ˜๐Ÿ’–DRAMA OF LOVE๐Ÿ’–๐Ÿ˜. part 26..
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

869
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

556
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

353
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

166
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

165
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

126
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

100
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5

29
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA โ€œ Brayton..โ€ Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa โ€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?โ€ Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest