Siku ambayo haitawahi sahaulika maishani mwangu๐ญ. A day that will never fade in my life๐ญ, it was Saturday morning, kila njia ilikuwa inaelekea kwa kina Sky ๐ญ, wengine wanacheka, wengine wanalia๐ญ, wageni wanazidi kutua mmoja baada ya mwengne๐ญ. Pembeni ni vijana wenzangu wanatengeneza hema ya wageni๐ญ.
Ilikuwa jumamosi asubuhi ndiyo ilikuwa siku mazishi ya mamangu๐ญ, siku ya kumuaga mamangu mpendwa, aliyekuwa kama babangu pia๐ญ๐ญ. Machoni mwangu hamna hata toni la chozi lililobakia๐ญ, ina maana kama kulia kwingi kunaweza muamsha mfu/maiti, basi mamangu kwa sasa angekuwa hai๐ญ๐ญ. Giving up is real, for sure I had nothing to live for๐๐ญ.
But she warned me that playing around with girls might blow away her life๐ญ, I knew very well that my mom had a heart attack disease ๐. Should I kill myself too??
"Hey bro, stop thinking so much, it will push you into depression ๐ญ, we have been standing here for a couple of minutes now, you seem to be on another world๐ญ๐ญ, you have lost your Mom and that won't be changed Sky. come on man๐ญ๐ญ"
Ilikuwa sauti ya KAMAU, kutazama kumbe walikuwa wameshafika kwetu๐ญ, yeye Njeri na Brianna ๐๐. Tangu tuachane hospitilini siku ambayo ilipita๐,
ME: Welcome all,, kwan mlikuwa mnajuwa kwetuโฃ๏ธ.
KAMAU: That is why I said you should stop thinking so much bro,,,, si huyu BRIANNA mmekuwa mkiishi naye huku, ni yeye alituongoza๐๐.
NJERI: Sky I know I don't deserve to stand before your sight ๐ญ๐ญ. I caused all these when I exposed you ๐ญ๐ญ. Am sorry for everything ๐ญ.
ME: Who said that Njeri,,?? The mistake was ours, we should apologize to KAMAU not me๐ญ๐ญ.
KAMAU: I hold no grudge against anyone guys,, what happened, happened, it's not time for that ๐๐. For sure it hurt me but not as your mom's demise ๐ญ๐ญ๐ญ.
Brianna alikuwa ameanza kushughulika na wageni kitambo, since alikuwa anajuwa kila kitu penye kilikuwa kwa nyuma๐๐.
Dakika chache tu baada ya mkutano kuanza,, walimu wote na wasomi wengne walifika๐๐. Sikuamin kama hiyo siku ndo ilikuwa ya mwisho kumuona mamangu๐ญ๐ญ.
Babangu mdogo ambaye alikuwa akibishana na mamangu kila mara kuhusu shamba na nyumba yetu after Dad alikufa,,, yeye alikuwa amehamia mji wa mbali baada ya kushindwa case na mathe๐๐, kila ninapomuona kwa macho yangu, huwa nakumbuka siku moja kortini akidai eti mie sikuwa mtoto wa nduguye yan babangu mzazi๐ญ๐ญ. Why am I stating all these๐ญ. Anyway yeye ndiye alisimamia mkutano๐๐.
"Nawakaribisha wote kwa mazishi ya shemeji yangu mpendwa ambaye alituacha siku chache zilizopita๐๐, wapendwa tumehusunika sana kwa kifo chake, kwa sasa mungu angenipa ruhusa ya kumrudisha mtu mmoja awe hai, basi singekuwa na budi kumrudisha shemeji ambaye ni mamake Sky hai๐ญ๐ญ" alisema kwa husuni๐๐.
"Sitaki sema mengi wana matanga๐๐, ningependa kukaribisha kanisa iweze kuendelea๐" . "Oh samahani jamani, kwanza ningependa kumkaribisha Sky ambaye ni mwanawe wa kipekee" babangu mdogo aliongeza๐๐.
Nilisimama kwa ujasiri na hasira,,
ME: Nimewashukuru wote waliofika kwenye safari ya mwisho ya mamangu mzazi,, kwa kweli kumpoteza mamangu imekuwa kama kupoteza kila kitu๐ญ๐ญ๐ญ. Ila walisema lisilobudi hubidi๐. Nmekubali mamangu aliaga kutokana na ugonjwa wa moyo๐ญ๐ญ, nitamkosa sana mshauri wangu๐๐. Niliona mwalimu wangu Mkuu akiomba muda kidogo aongee baada tu ya kusema ugonjwa wa moyo๐๐. Kwa hiyo nilimpa microphone ๐ค
Mwalimu MKUU: Mtanisamehe kwa kuikatisha hotuba ya Sky, mm ndiye mwalimu wake mkuu๐ญ๐ญ. Hakika mamake alikuwa mzazi mpole na mwenye bidii ya mchwa๐๐. Hakuna siku trevor alitumwa nyumbani kwa kukosa karoโฃ๏ธโฃ๏ธ. Hayo kando, ningependa pia kuwafahamisha kwamba๐๐. Mamake Sky aliuawa kwa kuwekewa sumu kwa chakula๐ฑ๐ฑ๐ฑ. (Watu wote walianza minong'ono chini kwa chini, sumu? Sumu? Et sumu? Kila mtu aliyefungua kinywa chake aliuliza kuhusu sumu??). Ndio alipewa sumu,,, uchunguzi wa daktari umeonyesha hivo, isitoshe ninayo hapa barua ambayo mamake Sky aliacha kabla hajakata roho๐๐๐.
Mwalimu alitoa barua, hapo ndo nilikumbuka ni hiyo hiyo niliyopewa na askari nikiwa jela๐ฑ๐ฑ๐ญ nilipompa mwalimu anisomee tukiwa hospitali nikasahau. "SUMU??". Babangu mdogo kiti chache kilianza kumea miba, ama kama si hivo basi kilikuwa kamepashwa moto๐ฑ๐ฑ, kila mara alikuwa anajizungusha kitini,, mara ainuke mara aanguke๐ฑ. Mwalimu aliendelea.
"Lakin niko hapa kama mwalimu wa mtoto ambaye ameketi pale๐๐, nawaambia hadi jina la mtu aliyempa mamake SUMU, wenzangu heri kuishi na mwizi au mchawi kuliko kuishi na mtu mwenye wivu๐ญ๐ญ๐ญ., Yuyu huyu mtu ndo anadai et alimpenda mamake Sky ๐ญ, kweli??? Sitaki kupoteza muda mwngi ๐๐. Huyu mtu anaitwa.....
Alizimiwa microphone ๐ฑ๐ฑ.
WATU: (wote walianza kelele) umesema nani๐ณ??
Hapo ndo babangu mdogo alichukuwa microphone haraka na kumkabidhi Pastor ili aendelee. I was so curious to know who the Idiรตt that my teacher was referring to๐๐
KAMAU: Bro cool down,, usiharibu mazishi ya mathe please ๐๐. Tulia kwanza, our teacher has the letter, tutaiona after our mom's burial๐๐.
NJERI aliniangalia kwa huruma hadi machozi yakamtoka๐ญ๐ญ.
HER: Sky ak woyie๐ญ๐ญ. But mungu atakusaidia usijali๐ญ๐ญ.
Finally my mon was laid in peace, WHO KILLED MY MOM๐ญ? hilo ndo swali lililobakia kwenye vinywa vya wengi,, kuhusu maisha na masomo yangu, ni huyo huyo babangu mdogo ndo alisema watu wasijali, et angeshughulikia kila kitu๐๐.
Hata hatukungoja watu waishie,,, mwalimu aliposimama hivo akiwa tayari kuondoka, nami na Kamau tukafika alipokuwa๐ญ๐ญ.
ME: Sir what did you mean,,, give me that letter please,, someone can't just take my Mom's innocent life and expect to live a peaceful life๐ญ๐ญ๐ญ. Please give it to me๐ญ๐ญ๐. Nakuomba tu๐๐
MKUU: Sky, I wish I could give it to you now,, but you haven't healed from the loss๐ญ๐ญ. Kwanza tulia uaccept kifo cha mam๐๐. Be careful adui wako wa hii familia ako na wewe kwa ukaribu sana๐๐๐ญ. I'll give you later๐๐
ME: Have already healed and accepted Sir please give me first, tommorow might be too late๐ญ๐ญ๐ญ.
KAMAU: Bro mkuu ni kama mzazi wetu kwa sasa,, huenda anajuwa kwann anasema ivo๐๐.
Ilibidi nimskize Kamau, tulimuaga akaenda. Sasa ngoja kwa news ya jioni๐ญ๐ญ๐ญ. "Habari za hivi bunde, PRINCIPAL OF AIM HIGH SEC SCHOOL HAS BEEN KIDNAPPED BY UNKNOWN PEOPLE๐ฑ๐ฑ",
"hicho kisa kilitokea kwa barabara ya kuelekea kwake๐, inasemekana mwalimu alikuwa anatoka kwenye mazishi ya mmoja wa wanafunzi wake, duru za kuaminika zinasema huenda kupotea kwake kunatokana na jinsi alivyodai kwenye mazishi kwamba anamjuwa aliyemuua mzazi wa mwanafunzi wake, polisi wameanza uchunguzi๐"
ME: Bro I told you ๐ญ๐ญ. Now see! See๐ญ
Brianna: Sky what you have to do now is to calm down,, it's okay ๐ญ๐ญ
ME: Brianna unasema it's okay?? What's okay here๐ญ๐ญ, it is not๐ญ. Now our principal is no where to be found ๐ญ, Nani aliua mamangu๐ญ hatujui bado๐ญ.
NJERI: Sky.. mm naona Brianna ako tu sawa,, unafaa kuwa mpole kwanza,, haraka haraka walisema huwa haina baraka๐๐. Wacha kesho tungoje uchunguzi wa polisi utasemaje๐ญ๐ญ. Let's have supper guys๐๐.
Usiku saa nane, nilipokea simu new number, tulikuwa na kamau kwa room yangu, alfu BRIANNA na Njeri kwa room yao๐๐.
KAMAU: Bro just receive,, uweke kwa loud๐๐.
VOICE: (whispering) Hello Sky,, nilisahau kukwambia, barua ilikuwa inasema et uchukuwe title deed na documents zote za nyumba yenu ufiche๐ญ๐ญ, zipo kwa kitanda ya mamako chini ya mattress, hapa nilipo sidhani kama nitapona๐ญ๐ญ๐ญ, nimekatwa vibaya sana๐ญ๐ญ.
ME: Sir๐ฑ๐ฑ๐ฑ, umekatwa?? Na nani??
VOICE: Na mwenye aliua mamako๐ญ๐ญ๐ญ. Goodbye ๐ญ๐ญ someni kwa bidii๐๐๐
ME: Mwenye aliua mamangu๐ฑ. Please sir ni nan alimuua, at least tujue cha kufanya sasa hivi๐ฑ๐ญ๐ญ.
VOICE: Alikuwa anaitwa..... Unaongea na nani kwa simu๐๐, (tuliskia sauti ya panga likikata kitu,)
Hapo ndo simu yetu ilikatwa๐ญ๐ญ. Nilikimbia hadi kwa room ya mamangu, kuangalia chini ya mattress ๐ญ๐ฑ, kila kitu kilikuwa kimechukuliwa ๐ฑ.
That day hatukulala๐ญ๐ญ, tulikesha tukifikiria mwenye aliua mamangu na kwenye mwalimu alipelekwa๐ญ๐ญ. Asubuhi na mapema tuliamka tukampata Brianna akiprepare breakfast ๐๐.
HER: Sky mlikuwa mnaongea na nani usku๐ค๐ค. Mliongea hadi asubuhi kwan hamkulala๐ค๐ค.
Hata before tujibu,, morning news kwa TV
"THE AIM HIGH SEC SCHOOL PRINCIPAL WHO WAS KIDNAPPED YESTERDAY EVENING HAS BEEN FOUND DEAD๐ญ๐ญ๐ญ."
To be continued...๐ญ๐ญ๐ญ๐๐ Usikose kuLIKE โค๏ธ โค๏ธ.