๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 37.
Je, wajuwa kwamba umaskini bila deni ni utajiri๐ค.. ebuka madeni, ebuka kuwategemea wanadamu๐ช.. tegemea msaada wao lakn usiwategemee wao wenyeweโฃ๏ธ. Binadamu kinyonga, wategemee ukose kusonga๐.. Siku zote mm husema mtu maskini ni yule aliyekufa pekee๐ค.. sema tu hutaki kufanya kazi na yaishe bwana๐๐ช..
Hahaa, ni saa tatu asubuhi,, kochini tumekaa mie, Esau, mama Maya na the queen of herself,, baada tu ya kumwangukia mkuu ๐.. maongezi yamechacha kwelikweli๐. Moyoni nilianza kuhisi ni kama nafaa kumfanyia mamangu revenge๐ญ. Esau had just reminded me of my Mom ๐ญ..
NJERI: sky am sorry to say this but I have to ๐๐.. unafaa kukubali mama aliaga na hakuna day atakuwa hai,, now it's up to you, to choose..... crying or knowing the truth๐ญ๐ญ.. kweli inauma but kwa sasa sioni umuhimu wa machozi tena๐ญ๐ญ.
BRIANNA: Walisema ukitaka kutembea room ambayo ina nyoka,, basi make sure umefunga macho๐๐๐๐.. sky unafaa kupiga moyo konde ndo at least tujue ukweli hapa๐ญ๐ญ. Though inauma sana ak๐ญ
ME: utembee kwa nyumba iko na nyoka na ufunge macho๐ค๐ค.
BRIANNA: Mm hata sijui nimesema nini hiyo๐.. wewe bora umeskia๐ช. Akili mtu wangu
Maneno yao yalikausha machozi yangu yote,, kweli mama hawezi rudi tena๐. It's time to know the person who killed her๐ช๐ช.
ME: Bro, where did she direct you to๐ค๐ค..
Esau: Did you read the letter??
ME: No.. after our Principal's dead, hatujui ilipoenda๐..
Esau: Where did you Dad go,, koz inasemekana alikuwa mwanajeshi, inaaminika tu et alikufia kazini na mwili wake haukupatikana,, walizika mgomba wa ndizi๐๐.
ME: I even don't know how he looked,, I was only 5years๐. So story kama hiyo ni mama angeniambia๐ญ.
HIM: Anyway,, I know where that letter was taken ND hidden๐๐.. we need to corporate guys,, kama tunafaa kujuwa๐..
ME: At least I will get the one behind my mom's death๐ญ๐ญ.. I'll kill someone one day๐๐.
Isau: Mbna utumie sumu kuua mtu anaweza uliwa na asali?๐๐.. Brianna you have to be into this๐๐.. you are good at that๐.. hii game nataka tucheze inafaa iishe before mfungue shuleโฃ๏ธ.
BRIANNA: Bora isiwe ya kurisk maisha yangu ama ya wazazi please.. as long as inahusu Sky, then who am I to turn it down ๐๐. Am inโฃ๏ธ๐.
ME: Sir plz,, you can't give us roles bila kutuambia ni nini kinaendelea๐. Put some light on our faces ๐.
HIM: Brianna, kwa hii wiki mbili zimesalia, utakuwa house helper mahali fulani๐.. lazma utafute kazi kwa hii boma yenye wameficha title deed na documents zingine za hii nyumba โฃ๏ธโฃ๏ธ.. niliambiwa wamepanga kuiuza๐๐๐ญ.
ME: Who's this man Sir.. mbna unatupeleka polepole ivi akh๐ญ๐๐ญ.
HIM: Relax bro,,, Brianna are you in๐ค.
HER: Must it be me Sir ๐ค..
HIM: Yes wewe ndo unaweza cheza vizuri venye nmekuonaโฃ๏ธโฃ๏ธ. And you know what, you must fall in love with this devil๐ญ๐ช.
BRIANNA: oh no hapo mm sipo sasa๐.. mapenzi tena, how can I fall in love with the person I haven't seen or met before ๐ช๐ช. Sir unavuka mipaka sasa๐ am sorry
NJERI: Relax girl,, bado hatujaambiwa kwann ufanye hivo๐ช. Then you can just act as if you are in love with him.. kwann huonangi kwa some movies dear๐๐.
BRIANNA: We nyamaza nishajuwa kwann unaunga hapo kwa kufall in love๐ช๐ช.. sky is mine๐ค
NJERI: waah ok,,
Esau: Babako mdogo๐ช๐ช.. that man is a real definition of a devil ๐ญ.. how can you kill someone because of a house and small garden like this๐ญ..
ME: Sir please,, naomba urudie tafadhali๐ญ... So sikuwa nmekosea๐ช๐ช. Thank you sir, thank you so much...
HIM: Hey boy don't ever think of doing something bad Sky,, hapa ni akili sio nguvu๐ช๐ช.. this man kwa room yake hata bibi haingiangi๐. That's why nataka Brianna amspoil na fake love hadi wajipate huko ndani then achukue barua, tittle deed na other important documents zenye walichukua wakati wa mazishiโฃ๏ธ.
BRIANNA: Sir why are you choosing me to do this suicidal mission, kama bibi yake mwenyewe hawezi ingia kwa room surely.. akinipata mm huko ndani๐ญ๐ญ.
ME: This for me please... You can๐.
HER: okay but in two conditions ๐ช๐ช.. kwanza uniambie kama utaoa NJeri ama mm๐,, pili, nikienda lazma Njeri awe ameenda kwao pia, mambo ya kushinda hapa mkikulana et ju siko sitaki๐ช๐ช.
ASKARI: waaah, nyie bado wanafunzi dear,, isitoshe pia siendi mahali,, niko tu hapa hapa๐๐..
Brianna: Sir plz,, nichungie huyu Sky, hiyo ndo ilinileta hapa๐ญ๐ญ.. nikiskia kuna ujinga ilifanyika nitawaset nyie wote๐ญ.. hamnijui vizuri nynyi.
Esau: ,๐ฑ๐ฑ๐ฑ.
NJERI: Wacha kushtuka mkuu,, haya ni ya musa tu,, ya firauni yapo njiani๐๐..
ME: bri we enda then ukija tutafanya ile kitu๐ค๐ค..
HER: Good boy,, we must do it now before I leave ๐ช๐ช.. follow me to the room๐๐๐ค.
NJERI: ๐ช๐ช๐ช kama hutaki kuenda sema tu mm niende๐ช. Hii drama yote ni ya nn sasa??
BRIANNA: Sky dakika mbili zikiisha nitatoka humu ndani na niende home๐ช๐ช. Kam faster please am already horny ๐ค๐ค
Esau: Bro, kwan huyu mtoto anakuwanga mwendawazimu??
NJERI: ๐๐๐๐. We sema askie utamjua.. Sky enda upembeleze hiyo gaidi๐.. please hakuna kufanya ujinga huko ndani๐ช๐ช.. nawachungulia kwa mlango๐ช
Askari: Heeehe๐๐.. you guys siku moja mtakuja kuuana๐..
NJERI: Kama itabid๐ช..
Nilienda kwa room yake,,, "Brianna mbna unafanya hivi beb,, inamaana wewe kunisaidia mm lazma nikulipe๐ญ๐ญ"
HER: Hiyo maneno yako ni sawa na kumnong'onezea kisiwi๐
๐
.. sijaskia kitu.. toa trouser please. Muda unaenda haraka๐ช๐ช.
ME: Like for real๐ญ.. Brianna.....
HER: Will you do what I have said or not๐ช๐ช..
Nilitoa then nikaambiwa nilale kwa bed naked๐ญ.. "Aki mm sina feelings sahi please"
HER: Nan ametaka ukuwe nazo๐ช๐ช.. lala tu hivo nakuja๐๐๐.. huna feelings na umesimamisha๐. Nugu hii๐๐.
Brianna aliniacha tena ivo ๐ญ. alitoka akaenda kwa mission๐๐ญ๐ญ..
To be continued..... Ni nini mbaya na huyu mtu ak๐ญ๐ญ๐ญ..
Maoni