๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 18.
Did I do wrong to hit her๐ช, but she was uncontrollable, why was she judging the person she knew nothing about ๐ค๐ค. Why?? Nancy aliniangalia kwa mshtuko๐ฑ.
Nancy: sky,, mbna umemchapa ivo๐ฑ. That's very bad ak๐ฑ.
Brianna: Beb ni mm umepiga ivo๐ญ๐ญ. Utanitafuta๐ญ.
She left us, ikawa hata sina cha kusema, but Nancy hakufurahia,
Nancy: I know you are concerned about my life sky but you wouldn't have hit her ๐ช. What if muachane, utamlaumu nani??
ME: Nancy, it's enough ๐ช. Tutaongea baadaeโฃ๏ธ.
Nilienda nikakaa nyuma ya daro, that day sikuongea na mtu, hadi Kamau ๐ญ. I remained silent until the following day morning tukiwa daro,, Even Njeri alikam kunishow story ya KAMAU but nikamshow sikuwa kwa mood ya kuongea na mtu๐๐.
Tukiwa daro ndo principal akafika na kutuita mm na Brianna tena๐ฑ. Ina maana hukusahau๐ญ. Nikiimgn venye hatukuwa tunaongeana Brianna, sijui amechange venye tulipanga ama๐. Tulikuwa nyuma naye mkuu akiwa mbele tukienda ofisini๐.
ME: Please Beb, don't mess up again, mm sitaki kupewa suspension tena๐ญ.
HER: Who cares?? Usiniambie na hiyo sauti yako mbaya๐ช. And please mm sio BAE wako sawa?? Enda kwa Nancy ๐ช.
ME: You know nothing Brianna,, wacha kujifanya na hujui chochote kumhusu huyo msichana, she's really suffering ๐ญ, just imgn et........
Principal: Shut up! Stรปpid children ๐ช. Kwanza wewe Sky, nilikwambia huyu msichana atafanya udrop kwa grade yako ya kawaida๐๐. Mbna msingoje angalau mmalize exam kwanza?? Ingia na mpige magoti haraka๐ช๐ช.
Brianna hakuniangalia tena,, and when the teacher asked her to repeat what she said ๐ฑ๐ฑ.
HER: Teacher mm simjui huyu mtu๐ญ. Alinipiga๐ญ๐ญ.
MKUU: Alikupiga kwann, na mbna unasema humjui, si ni jana tu ulisema yeye ni bwanako??
HER: Nilimpata na Nancy wakikiss mbele ya darasa, so nilipojaribu kuwakanya ndo akanipiga kofi ya maskio๐ญ๐ญ. Sir am sick๐ญ.
MKUU: Sky is it true?? Mbna ulimpiga??
Waah mbna Brianna aniset ivi ak๐ญ. Mbna asiseme tu ukweli, sometimes hasira huwa hasara๐ญ. Nilishindwa nikubali ama nikane, ๐๐.
MKUU: Am talking to you young boy,, usinikasirishe??
ME: Brianna, why lying to our principal?? Why? Sema tu ukweli kwann nilikupiga kofi๐ช๐ช. Sir please I know you are also a parent kando na kuwa mwalimu๐๐. Let's call Nancy sahi, at least she will clear up everything ๐๐.
BRIANNA: Clear up what and you were kissing?? Teacher this idiรตt is a liar ๐ช. He should be suspended ๐ช.
Mkuu pia alianza kumshuku Brianna after kuongea maneno meeengi, hadi hakuogopa kunitusi mbele yake๐ฑ.
MKUU: Hey madam Stacy. Please call for me Nancy form two๐.
ME: Mwalimu, that lady is slowly dieing of depression ๐ญ, alishindwa kuwaelezea nyinyi walimu, kwa hiyo akaamua kuniambia mm, her Uncle is the real definition of a devil ๐ญ. That lady hana wazazi, you can't imgn wakati sisi tunasoma nyumbani, yeye unarapiwa na the so called her Uncle, na ni kila siku๐ญ๐ญ. Nancy alinielezea akilia ๐ญ, mm nikaamua kumpanguza machozi ๐ญ, Brianna naye alipoingia......
MKUU: Wacha kwanza Nancy mwenyewe amefika,, okay Nancy kama kweli Sky anasema ukweli, ebu malizia hiyo story๐.
Nancy: Brianna alipoingia akaona Sky akinipanguza machozi, bila hata kuuliza kilichokuwa kinaendelea, yeye alinirukia na kuanza kunipiga๐ญ๐ญ. Aliniuma hapa kwa shingo๐ญ, ilibidi sky amtoe juu yangu lakn hata baada ya hapo, Sir BRIANNA hakutaka kujuwa , alizidi kunitusi venye mm sina wazazi๐ญ๐ญ. Hapo ndo๐ญ๐ญ(alishindwa kumaliza juu ya uchungu๐ญ) hapo ndo akapigwa na Sky sir ๐ญ.
BRIANNA: ๐ฑ๐ญ๐ญ๐ญ.
MKUU: Brianna mbna umenidanganya๐ค๐ค. Nancy sit down, Sky you have been suspended for one week for having an affair in school ๐ช. Na wewe Brianna ๐ช. Umepewa suspension ya two weeks for lying to me, having an affair in school and lacking respect. Mje na wazazi siku ya kurudi๐ญ๐ฑ๐ฑ.
ME: Sir kindly I beg you to forgive me๐ญ. It won't happen again ๐ญ.
Nilipewa barua na kuambiwa tuishie mara hiyo๐๐. Tukiwa kwa njia kurudi daro ndo tutoke....
BRIANNA : Beb๐ญ๐ญ. Please give me one minute ak,, am sorry ๐ญ๐ญ. I didn't know that ๐ญ. Please Dear am sorry
ME: Sorry for yourself you heartless woman๐ญ๐ญ. Uliniona wap nikimkiss Nancy?? BRIANNA I think we were not meant to be together ๐๐๐๐. I Loved you but not anymore ๐๐.
HER: Sky don't be so heartless like me then,, at least find a place in your heart to forgive me๐ญ๐ญ. I have learned a lesson ๐. I love you honey, remember where we have come from๐ญ.
Tulifika daro, nikiwa nmeshika barua kwa mkono. Walai Njeri na Kamau hawakuamini๐ญ๐ญ.
NJERI: Sky?? Suspension again ๐ฑ. Nooh๐ญ๐ญ. What happened??
ME: Si ni huyu mjinga hapa๐ญ๐ญ. Anasema et mm nilikuwa namkiss Nancy, ak surely ๐ญ hata kama ni chuki Brianna??
KAMAU: Be strong man,, usikubali machozi ikutoke mbele ya mademโฃ๏ธโฃ๏ธ. Am with you in everything ๐๐. Ukienda home make sure hausongi mbali na kitabu๐๐. Kando na haya mapenzi, usisahau kuna masomo pia๐๐. I'll miss you bro๐ญ๐ญ.
NJERI: I have another idea, sitaki uende home ak๐ญ. What about hiyo story nilitaka tuongee ukasema hauko kwa mood๐๐.
ME: Tunaweza ongea before niende, but hapo kwa idea wacha tu Njeri ๐๐. I know you care so much about me but๐, sitaki niwe mzigo kwako tena๐. Anyway niambie niskie๐
NJERI: So Beb mm na Kamau venye ulituwacha ivo๐๐. I thought it was just for fun, but venye naona ak. Ni kama kamau hakukuelewa๐๐. He's now so serious about it, hadi nashindwa kumshow sitaki ๐ญ๐ญ
ME: Njeri for me, I think it is........
Brianna: Sky twende๐ช๐ช๐ช.
Me: Wap, ulikuja na mm kutoka kwenu๐ช๐ช. Enda hadi sitaki kukuona.
Kidogo tukamwona mwalimu mkuu akija๐.
ME: Njeri tutaongea sawa,, but please msikize Kamau, give him your total attention, that guy loves you so much โค๏ธ๐.
MKUU: Bado mko hapa ๐ช. Follow me ๐ฑ.
Aaih follow him to where,,, mm nilitoka kwa gate nikaenda home๐. Brianna alinibeg akipiga magoti kwa barabara lakn sikumskiza๐. Vile alipiga magoti mm nikachukuwa pikipiki nikaishia๐ช. Nilimblock kila mahali, hadi sikuwa nachukuwa namba mpya ju nilijuwa ni yeye๐ช.
MOM: Mbna mapema hivo๐ช. Umefanya nini round hii๐.
ME: Nmefanya nini na wewe ndo ulileta haya maneno Mom?? Sasa mambo ya simu huku nyumbni ulipeleka shule ya nini, ulipata nini after kujuwa Brianna queen?? Nimepewa suspension ya week moja๐ช๐ช.
MOM: Ngooja, ni mamako ndo unaongelesha ivo, eeeh??
Alichukuwa kiti ya plastic na kuniwekelea kwa mgongo, kwenda kunipiga ingne nlikuwa nmeshaingia kwa room yangu na kujifungia๐๐.
MOM: Jifungie huko tu,, supper kula tu huko mm huwezi nisumbua kila siku ni macase tu.. kila siku makosa tu, ama ni wewe ulichoma shule nilikutoa?? Fungua uniambie kama wewe ni jambazi๐.
Sikumuongelesha,, nilijifungia huko hadi the following day, supper sikukula, breakfast pia๐.
Mom akaanza kuwa na wasiwasi ๐ฒ, "wee Sky amka ukunywe chai,,,, ya jana yaliisha, sasa unakaa huko unataka ukufe njaaโฃ๏ธโฃ๏ธ.? SKY?"
Sijui alidhan nmejinyonga ju sikujibu anything ๐. Ilibidi akavunja mlango na kunipata nmelala๐ฒ๐ฒ.
HER: My son, please amka unywe chai basiโฃ๏ธ. Umelala vya kutosha๐๐.
Niliamshwa ๐. Mothers are the greatest gift that God gave usโฃ๏ธ. In the other side Brianna hakuwacha kunipigia na new namba๐. Siku ya tatu nyumbani ndo nilipata text
"Hello Sky, please call me am Njeri โฃ๏ธ" Wait Njeri?? Si huyu nilimuacha shule๐ค๐ค. I called but sauti haikuwa yake๐.
ME: who's this??
VOICE: Am Faith. How may I help you??
ME: Si ni wewe umenitumia text? What is wrong with you??
HER: Oh am sorry, kuna mtu aliniomba simu myb ni yeye alikutumia ad sikuwa najuwa, am sorry, nilisema naitwa Faith ๐.
Me: Okay am Sky, bye bye๐ช๐ช.
Nilihang up but aliendelea tu kunikol๐ฑ.
ME: What is it again Faith??
HER: Mbna hujaniuliza mtu aliniomba simu?? Ama unamjuwa??
Me: I know her already,, wachana na yeye, na umshow asijisumbue na mm, have already moved on๐๐.
Faith: sky, huyu alisema anataka kukushukuru kwa kumsaidia kusave life yake, et nikwambie sijui uncle ameshikwa๐ค๐ค.
ME: ๐ค๐ค aaih mbna simjui?? Myb ni wrong number, alisema anaitwa nani??
Voice: alisema nikwambie Nancy ๐ฑ๐ฑ.
Me: Oh my goodness ๐. Where is she??
Faith: Akija nitakukol muongee sawa๐.
ME: Please make sure tumeongea nayeye ak๐๐. I want to know everything??
HER: Hahaha lakn ako hapaโฃ๏ธ. Ndo huyu๐. Hello Sky??
ME: Nancy??
HER: Yes nambie๐๐.
ME: Siamin kama unacheka leo๐ค๐ค
HER: You are behind this smile sky,, my uncle has been arrested ๐. Am now living with our principal ๐. Nmetaka kukushukuru sana kw upendo na usaidizi wako ak.. I didn't know you were that kind of a manโฃ๏ธโฃ๏ธ. Sijui nitakulipa na nn Sky ๐.
ME: Hahaa no need Nancy,, wewe nilipe tu kwa kumfanyia mwengne mazuriโฃ๏ธ. Nikiona umesmile ivo, nafurahia piaโฃ๏ธ.
HER: Wow, how is your relationship with Brianna. najutia koz ni mm ndo nilikuweka kwa haya yote๐๐.
ME: wachana na yeye Nancy.. cha muhimu suspension yangu inaisha in 3 days times โฃ๏ธโฃ๏ธ. Nmewamiss sana jamani๐.
Nancy: Kuja unione basi๐ค.
ME: Hahaa, wacha kumaliza gredit ya mwenyewe wewe,, tuongee siku ingne๐ค.
Nilipohang simu ๐ฑ๐ฑ๐ฑ. A text from madam Stacy ๐ฑ.
"Hello am madam Stacy sister ya Brianna,, please fika mama Lucy hospital๐ฑ๐ฑ"
Whaaat??
To be continued.... Usikose kuweka LIKE...๐ฅฐ๐ฅฐ.
Maoni