Even the hen looks upwards when she drinks water. Be thankful for the small you have๐.
Swali la Nancy liliniacha kama nimeduwaa,, nilitaka nimalize hayo mazungumzo kwa ghafla lakn mdomo wangu mwenyewe ukanisaliti, haukutoa neno hata moja๐.. Akili ilipeleka kwa hatua ya kutafuta excuse ndo nitoke machoni pake๐.
ME: Nancy, for how long have I been waiting to say this? I thought you know I'm in love with Brianna? Is she not your friend?
Nancy: Sasa unaunganisha maswali sita kwa sentence moja๐ค, nitajibu gani??
ME: Bado sijamaliza, you mean hauna mshikaji?
HER: Now I understand,, sky you haven't been giving me your attention at all... Didn't I share everything with you ๐..
ME: Hey,,, that is not how you should talk to your crush๐.. look there๐
Aligeuka kwa dirisha mm nikapotea๐,, huyu naye ananilecture aje๐.. anyway I suggested to just be friends ๐,, sio kila siku mapenzi๐.. Nancy naye ni nani, alimake sure ametumia hiyo chance ya "friendship" vinoma sana, she didn't give me tym to study or something like that ๐.
KAMAU: Inakuwaje mkuu,, umeamua kuchange lifestyle ama vipy๐ค.. siku hizi hatoki ubafuni mwako kaka๐ค.
ME: Nani huyo bro๐ค..
HIM: Of course who could be that if not Nancy ๐.. vile ulimsaidia akatoka kwa uncle sasa ni malipo unataka๐.
ME: Don't shout boss,, tuko daro man wee vipy๐ฑ..
HELLEN: Love will one day kill some people in this school.. love in love out,..
Nancy aliniangalia tu na kunipa smile,, "don't forget to remind me" she whispered in air..
Oh yes she had promised to surprise me with something I know nothing about โฃ๏ธโฃ๏ธ.. Love is really a beautiful thing if you land in hands of the right partner ๐ค..
On the other side for sure I don't know why I lost my interests in going to Robby's house๐ช. Is it true that am jealousy, oh no๐. That thing had frustrated bri a lot๐.. the distance between her and I was increasing day and night,, for the first time I thought she was just setting a trap to see if I loved her dearly... I case I was wrong,, yes I was wrong because Brianna didn't stop talking to Robby,๐ช.
Monday morning after parade,, we found ourselves walking by each other heading to class.
Brianna: So uliamua kabisa๐ช.
ME: what? Hata mtu husalimia kwanza jamani..
HER: Wewe umenisalimu nikakosa kujibu ๐ช.. Sky I don't like the way you are talking to Nancy,, why are you giving her much time ๐ช.
ME: Am sorry but it's your fault,, hukunizoesha kukaa pekee yangu,, so after you chose Robby over me, I had to look someone else to give me company ๐. Is it bad?
HER: Evertyime Robby Robby ๐ช.. wewe hata ulikuwa unanipenda kweli ๐ค
ME: Good question, for sure ulikuwa unanipenda kweli?? At least mm niliachwa ndo nikatafuta,, wewe ulikuwa na mm na ukamkubali bado
BRIANNA: Nyonyonyonyo. ๐ช Ni mtu gan anaachwa saa sita mchana,,,, by saa nane ashatafuta mwengine ๐ญ.. wewe Sky sijui unakaaje...
ME: Why are you blaming me now,, this couldn't have happened if you had stayed by my side๐ช. But what did you do? Just because he's a singer๐.
BRIANNA: Yameisha hujawahi kubali makosa wewe๐ช. Good day
ME: Thanks
HER: Just like that ๐ฑ..
ME: what do you want me to say??
Kidogo tukakutana na Nancy tukiingia daro,, "wow today you looking smart Sky.. I like your vest๐๐" Nancy praised
ME: thanks so much .. watu wakinitafutia reason ya kusmile, wengine ni kuhakikisha nalia๐ช.. you are also looking fantastic Nancy ๐ค๐ค.
BRIANNA: nonsense ๐ช
That day class iliendelea vizuri hadi ikafika lesson ya Madam Stacy ๐. My favorite ๐ค. "Hey guys, how are you doing today ๐" Madam hakuwahi tuita students, koz kuna majamaa kwa daro yetu walikuwa wakubwa wake ๐.. niliskia Bosco (the oldest student in our class) akisema et madam akizaliwa yeye alikuwa anarepeat class four kwa mara ya nne๐.. anyway lesson iliisha....
MADAM: sky follow me please๐.
ME: Hope everything is okay Madam.
HER: How can everything be okay wakati ulijitoa kwa lane Sky ๐ค
ME: Paint some light on my face Madam,, I don't understand ๐
HER: I mean why did you refuse to come to ESAU's house๐ค. What happened, ni mara ya tatu sasa sijakuona?
ME: Nothing happened madam,, nimekuwa busy kidogo so sijamake๐.
MADAM: I know everything Sky,, tell me, what made you think Brianna and him are in Love ๐.
ME: Am not thinking madam,, She told me openly, they're in Love ๐๐ช..
HER: So wewe umeamua aje? Umekubali ?
ME: Why did you call me here madam,,, wachana na story ya hao watu๐๐.
MADAM: Am saying that because kwa exam hujafanya vizuri๐ฑ.. we have to find a solution ๐.
ME: Wait.. aje tena,,
MADAM: Imgn KAMAU has topped in almost all subjects,, probably you may be number two๐ฑ.. I expected you to top?
ME: What about Brianna?
HER: Amerudi nyuma kidogo, Maria has moved into POS 3 then Brianna 4๐.. unaweza wachana na mapenzi kidogo Sky,
ME: ๐madam toka hapo,, am not in any relationship for now ๐.. I'll try my best ๐.
HER: Brianna had already tipped me about you and Nancy ๐. Are you guys dating??
ME: Oh no no madam,, Nancy and I are just friends,, nothing more๐๐
HER: "We're just friends,," that sentence has ruined many relationships Sky, now days friends do many things hata kushinda lovers๐. Have control over your body โฃ๏ธโฃ๏ธ. You are always my favorite student ๐ค๐ค
ME: Awwh๐๐. Since when madam?
HER: Since that day one you shot shorts on me ..,nonsense๐ช.. Hope Sunday utakuja na kina Brianna ๐๐.
"Okay madam, I'll see๐" niliingia daroโฃ๏ธ. Kila mtu alikuwa ameniangalia ๐ค.
ME: Hey angalieni huko bana,,
HELLEN: Na wewe funga zip๐.. tushaona kubwa kuliko hiyo yako brathe๐.
ME: ๐ฑ๐ฑ๐ฑ
Kwenda kukaa chini Brianna aliona Nancy ni kama anajipanga kuamka akuje penye nilikuwa so yeye akakuja haraka๐.
BRIANNA: What has she been telling you ๐ค.
ME: It's personal ๐ช.
HER: Okay, am sorry Sky
ME: sorry for what?
BRIANNA: I don't want to see you with Nancy anymore,,, si ulisema unataka company tu,, am here for you ๐ช๐ช.
ME: what's wrong with you now๐ค๐ค.. have I stopped you from talking to Robby? Why are you doing this,?
HER: I know what am saying,, she's not the right person for you ๐ช๐ช.. leave her๐ช
ME: Hehee Miss jealousy is saying.. okay who's right for me?
BRIANNA: guess?
ME: mmmh ๐ค๐คyou?
HER: shut up,, mm ni wa Robby ๐ช..
To be continued.... Shida ya Brianna ni nini aki๐ฅบ๐ฅบ??.
Maoni