????????????DRAMA OF LOVE????????????
part 4.
Have you ever had a crush on someone?? But the more you were trying to show how much you are into him/her, the more you were getting ignored ????????. What did you do ????. Kwa Brianna ungeona tu kwa macho venye alikuwa ameboeka, nadhan hakutaka aseme ju huenda ningejam labda????????.
Kwa school canteen, tumesimama kwa veranda baada ya kununua tungumu twa mbao, tunakula huku tukipiga gumzo????.
BRANANA: SKY you must be joking, yan umebuy ngumu nne then ukule tatu mm unipe moja??.
Me: Et tatu??, My dear hata hiyo moja yenye nmekupa tunakawana katikati✌️✌️.
BRANANA: Wait, et hii moja tunakawana????????. Watu waache bhangi ak????????. Na sasa hizo tatu zenye umeshika????????.
Akiendelea kuongea, jamaa nikachukuwa hiyo moja na kukata katikati✌️✌️. Mm nikabaki na 3½????????.
Brianna: Hahaa sky I hope you are joking ????.
Me: Joking you say????. Wacha nmalize ndo nikumalizie hiyo story sasa????????. Koz hata sahi am sure uncle Mike ako home amenikujia????????. (Huku nikitafuna ngumu ya mwisho????✌️)
Brianna hakuamin????. "Ngai, Sky like seriously?? Mm unanipa nusu??" She asked.
Me: (sasa najipanguza mikono na mdomo) Bydha mm hukuwanga msee generous sana,, unaona hata hukuwa umeniomba kitu lakn nikaamua tu kukuita tukuje tukule something hapa❣️❣️. Anyway, sasaaa, kwa uncle yangu Mike hehee, Brianna am telling you, huyo uncle yangy.......
Kumgeukia nikaona anaenda daro????????. "Wee sasa after nmekununua ngumu ukakula ndo unaamua kuniacha hapa" nilishout.
Bosco: (msee wa canteen) Bro, unachoma man,, huyu dem anakaa amekupenda but wewe hushikanishi.. sasa uncle.... uncle itamsaidia na nini????????. Ambia mtoy umempenda bro,, hiyo ndo anataka kuskia, nmeona hadi anakuuliza mambo ya love wewe ni uncle tu????????????.
For sure nilikuwa nmempenda Brianna ile mbaya,, nilikuwa nataka kufanya venye niliambiwa na teacher Google ????????. Alisema jaribu ukijoke na dem, et madem hawatakangi msee anakaa serious kama jeshi????. Kwa Brianna hilo halikuwork????.
Nilifika daro nikampata ameita kamau sijui walikuwa wanaongea nini????. Waliponiona walichange topic ikawa et kamau alikuwa amempa hesabu amsaidie????????.
After shehere zimeisha, nilimuita kamau ndo anieleze vizuri????????.
Kamau: Bro, huyu BRIANNA ni dream ya kila msee kwa hii class hadi shule nzima????????. Sijui ni venye hujawahi penda ama humtaki????????.
Me: So mlikuwa mnaongelea nini,??
Kamau: Nothing, Then do you love her?? Koz hata mm nmeanza kumfeel kiplan na sitaki niharibu ubeshte wetu??
Me: What are you talking about.. et umeanza kumfeel. Hey brother, usiniforce nifanye kitu dunia inikumbuke????????. Please stay away from that girl, kama unataka ubeshte wetu uendelee.
Kamau: ????????, najuwa si wewe unaongea, ni kashetani tu kako ndani yako... Mbna hujamwambia unampenda sasa??
Me: Kwan unadhan tulikuwa tunaongea nini hapo kwa canteen. Si nmerusha mistari hadi dem akatii????????.
Niliona nijichoche ndo ajuwe tunapendana na Brianna kwa hiyo akae mbali na yeye sana????????. Seeing any man around Brianna ni temptation yenye siwezi overcome ????.
Kamau: Wow,, siku hizi uncle Mike ndo mistari zinatumika kukatia madem????????. Woo maradio, woo swimming pool, sofa sets kwa nyumba????????????.
Me: Wait ✋✋. Is that what she has been telling you??
Kamau: Unaniangusha jamaa????. Mtoto amejipa. Ukija kumpoteza kwa mtu mwengne usinilaumu????????.
I loved kamau koz ikifika upande wa jokes anajuwa, ukifika kwa serious business anarada mbaya sana, sisemi ikifika kwa kusoma❣️❣️. Alikuwa ameanza kufikiria kujipata kwa top ten sasa????????. Hata hivo alinisaidia na advice ila nilijawa na aibu sana, kwanza nikiimgn venye nlikuwa napeana story zenye hawataki????????. Nguvu ya kuenda nijitetee tena itoke wap????????.
That day iliisha ivo, hatukuongea tena na Brianna, I was looking for a best way of approaching her but waah,,,, I think I was so shy to just say "I Love you" ????????. Nilijaribu kumtuma kamau but akasema, ikifika kwa mapenzi ni mm na mm pekee yangu????????.
The following day mrng, wasee walikuwa washaanza kuenda mahome????????. Bado hatukuwa tumeongea na Brianna ????. "Hivi,,???????? ni kweli et ukichelewachelewa utapata mwana si wako??" Nilianza kujiuliza kimoyomoyo wakati nilimuona Brianna akija daro huku akiniangalia as if alitaka niseme kitu????????. Guys sikusema anything,,, instead my heart was racing in my chest, sijui nimuite??
Alipoona sina shughuli sana akatoka, am sure alitarajia nimfwate????????. For the second time I didn't follow her????????. Ina maana hivi ndo watu hufeel wakati wamecrushia wengne,,, sijui kwann moyo ulikuwa unaenda mbio????????. Wacha kucrush sasa, I had already fallen in love with her but breaking it to her....., woih????????.
Kidogo Kamau alifika, sema kashangaa????????. "Bro, what is wrong with you, eeh Sky, what exactly is wrong with you ????????"
Me: What is it bro.. what have I done??
Kamau: Ooh so you don't know what you are supposed to do now right?? Bro, tunaenda midterm man Brianna is Waiting to hear something from you ????????. SKY ????, usiniambie hujui kakatia please ????????.
Me: Hivo ndo amekutuma...
Him: Okay amesema nikwambie anataka kuenda..
Me: Waaah, so?? Bro si umwambie angoje kwanza bana????????
Him: ????????????et nimwambie angoje kwanza, kwan ameenda????????. Si ako hapa nje ????????. (Shouting) Hey Brianna óga haha????????.
Brianna alifika tena????. "Mkimaliza usiende kwanza bro, nmetaka tuongee kidogo before niishie sawa?" Kamau alisema before atoke nje????????.
Maneno yakanisaliti tena kwa mara ya pili????????. Sikujuwa niseme nini cha kwanza????????.
After 5mins of silence
Her : Waah sky ????. Nataka kuenda aki, niambie??
Me: Mambo?
Her: POA sana.
Me: Hata mm pia niko poa sana.
(Silent)
After 3mins.
BRIANNA: Wacha mm niende home. Naweza chelewa ak????.
Me: Ooh unataka kuenda?? Si tukaekae kidogo ama??
Her: Sasa wewe huongei surely ????.
Me: Si ivo, si ninaongea Brianna. Si nmekuuliza Mambo??
Her: Waah????????. Okay umewahi kuwa na girlfriend ama uko naye??
Me: Hapana,,, Sina GF mm.
5mins of silence again.
BRIANNA: Wacha sasa niende home. Si tutaonana next week but one basi????.
Me: Kwan unataka kuenda, si tukaekae . Sasa sahi unaenda kufanya nini, heri ufike jioni home..
Her: Mm sijatakaa kukaa sky. But sasaaa. Okay niambie basi siendi????
Me: Unaendanga Church gan??
Akacheka????????. "Oh my goodness ????, kamau alienda wapi?" Brianna aliniuliza.
Me: Ngoja kwanza,, bado hujanijibu, unaendaga church gan??
Kama akafika na kutushow madam Stacy anakam????????. Ilibid tukuwe serious kidogo????. Akafika akasimaaaama????????.
MADAM: Brianna unaenda sahi home twende ama unakaakaa????????. Naona mko busy kidogo??
BRIANNA : Siz bado nakaakaa, si upige maround ifike saa kumi ndo twende????.
STACY: It's okay. Nyny soma soma nitakukujia????????. Then kamau, I like your effort now days❣️❣️, you can make it imgn... So ukienda home usilale, chapa kitabu, soma kwa bidii, nmeona unaweza fanya vizuri sana????????.
Kamau: Nashukuru sana madam, sure I will do my best ????????.
Madam: Nataka nikuone kwa top ten next exam,, nasema hivo ju najuwa unaweza????????. Anyway someni nitarudi sawa mammy❣️.
BRIANNA : poa siz????????.(madam akaishia)
Kamau: So guys, sorry for disturbing your your endless conversation ????????. Naomba niishie nitarudi sawa.
Brianna: Kamau usiende kwanza????????.
Kamau: What is it again ????????. Sky ni nini????????.
To be continued...... Weka like kwanza majamaa????????????. 500likes nidrop next leo leo...
Maoni