๐๐๐DRAMA OF LOVE๐๐.
part 30.
Brianna looked at me angrily ๐ช๐ช. "Okay madam I will"
MADAM: Good, next week but one is an exam week๐๐. We hoping to see some changes โฃ๏ธโฃ๏ธ๐.
BRIANNA: okay madam๐๐ช. (Stacy akaishia) Wee sasa unaniangalia nini? Nakuuliza na uko tu busy unapumua๐ช๐ช??
Oh my goodness, yan out of all students in our class, ni Brianna tu waliona wanipee๐, si wangenipea KAMAu basi๐ญ. Brianna hakutaka nimjibu swali hata kama ameniuliza, anyways, they say love and let the world know, but when you hate, do it in silence๐๐. Ak Brianna angejuwa venye nilikuwa nmemhate๐ช๐ช.
HER: Sky, ukiendelea kuninyamazia hivi utawezana kweli๐ค๐ค, sahi nmepewa right na walimu wote, hata nikitaka nakurukia sasa hivi๐ช๐ช. Shida yako unanihate na hata walimu pia wanajuwa ni mm tu naweza kusaidia๐. Checky brathe, lisilo budi hubidiโฃ๏ธโฃ๏ธ. Jishushe ili usaidike๐๐
ME: My dear,, sasa unaongea lisaa nzima, nikitaka kukujibu kitu una interrupt, tutaelewana aje? okay haina shida, Brianna mm sijakuhate how can I h......
HER: Hujanihate na hutaki kusmile๐, I thought you would smile after you have been given good tym to hung out with your Queen Brianna mwenyewe๐ช๐ช๐. Mama lao yani, manzi wa haga, checky mzigo bro (she turned around)๐๐
ME: Have a good time Brianna,, am gonna go through our last exam papers๐๐. Call me anytime you want to tell me something โฃ๏ธ. Sawa??
HER: Sijakupa ruhusa ya kuenda, unapeleka wap mwili๐ค. Madharau ya nini sasa bro??
I didn't look behind, nilifululiza hadi daro,, still nilimpata Kamau hajatoka kwa kiti changu,
HIM: Sky I hope haijakuwa blunder ingne please,,, wewe na Brianna kwa sentence moja tena?๐ค๐ค, kuna kitu chenye nafaa kujuwa ama ni private??
ME: Cool bro,, imekuwa kuhusu my results tu๐๐. Wamesema et ju yeye ndo amekuwa rafiki wangu wa karibu sana, so akapewa ruhusa ya kunipa advise yoyote, but sasa man, sijui Brianna amefurahia results zangu ama niaje๐ช๐ช.
HIM: Sidhan kama venye unafikiria ni ukweli ,, only haters can feel happy when they see you backsliding ๐๐. Chukulia sauti zao kama kelele za churaโฃ๏ธโฃ๏ธ. Kamwe haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa majiโฃ๏ธโฃ๏ธ. SKY tuwachane na yeye kidogo. Do you know why I am like this๐ค๐ค, It's because of you man๐ญ๐ญ๐ญ. You changed me from nothing to something, now am everything that every teacher is talking about ๐๐.
Brianna akafika tena,, "Ndereva wa baiskeli leo anaendesha ndege? Maajabu haya๐ช"
KAMAU: Unamaanisha nini unaposema hivo?? Sikuelewi tafadhali.
HER: Utaelewaje wakati umejipa kazi ambayo sio yako Kamau๐ค๐ค. Wangejuwa kuwa wewe unaweza mbadilisha Sky si wangekupa hiyo kazi๐ค๐ค.
KAMAU: Oh God ๐๐. Brianna wewe huwa unasoma wakati gani labda?? Walimaanisha kama Sky ana jambo linamuumiza basi anaweza share na wewe ukampa ushauri, haimaanishi unamchunga hadi watu wenye anaongea na wao๐ช๐ช.
BRIANNA: Wow โฃ๏ธ what a fool you are ๐๐. So ameona akwambie wewe shida zake zote๐ค anafaa kuniambia mimi๐ค.
KAMAU: Ulitaka akwambie nini sasa?? Hivi, wewe hujui kwann walikwambia uongee nayeye๐ค๐ค. Lazma akwambie kwanza?? Okay am really sorry for shouting at you๐๐. Songa hapa nikwambie kituโฃ๏ธโฃ๏ธ.
BRIANNA: Na umake sure hiyo kitu iwe inahusu mm na Sky. anything else, itabid umejiskiza mwenyewe๐๐.
KAMAU: It's like this,,, Sky anafaa arudishe morali kwa masomo yake๐. Kila mtu anajuwa kwann amerudi nyuma ivo๐ญ๐ญ. But to be honest with you bro,, I expected you drop in your exam but sikutarajia uwe wa mwisho man๐ญ๐ญ. And to you Brianna, walimu walikuchagua wewe wakiwa na reason, walijuwa ni wewe unaweza fanya huyu jamaa awe sawa kimawazoโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธ. Lakn venye inaonekana, wewe umemwongezea hata zaidi๐ช๐ช.
HER: No no no.....
KAMAU: Kidogo tu nimalize dear,, don't interrupt me๐๐. See guys, nataka nyny muwe best friends, muwe kama mkono na mdomoโฃ๏ธโฃ๏ธ. Wakati mkono umeumia, mdomo huwa unapuliza kwa mkono ili upoe, na wakati mdomo umeumia, mkono huwa anausugua mdomo ili upoe๐๐โฃ๏ธโฃ๏ธ. Be the reason for each other to smile๐๐.
ME: WOW ๐๐, Bro you are an angel from heaven who has been sent to restore my lost hope in education ๐ญ๐ญ๐ญ. Deep words๐๐.
KAMAU: No need to thank me bro,,, wema hulipwa kwa mema, nao ubaya kwa ubaya,, yan nikikumbuka place nilikuwa before nikumeet๐ญ๐ญ. I should be the one thanking you manโฃ๏ธ
BRIANNA: Hii conversation ilikuwa ya watu wawili ama watatu๐ค๐ค. Mbna mnanidharau hivo lakn??
KAMAU: Waaah, bro wacha nikapitie chem kiasi tutabonga magithaa(baadae)๐๐. Malizana na advisor wako๐๐๐
ME: Wacha pia nipitie zile papers zanguโฃ๏ธโฃ๏ธ.
HER: Sky will you talk to me or not๐ช๐ช(sikumjibu) . Weee(akarusha papers zangu๐ฑ) naongea na wewe, look at me very well boy๐๐.
ME: bri what is wrong with you please ๐. Okay niambie chenye ulitaka kunishow??
HER: Mbna unaniharakisha๐ช. Nataka tuongee tu kwa muda mrefu, like one hour ivi๐ช๐ช.
ME: woih one hour surely ๐ช๐ช. Are you mad??
HER: Tunaongea ama hapana??
ME: Okay my advisor,, (niliweka kila kitu ndani ya locker) Tuongee basi๐๐.
Brianna alianza tena mambo na love๐๐,
ME: My darling,, please I beg you, next week ni exam, let's prepare first, tukimaliza paper hapo tutakuwa tunafunga shule,, tutaongea kila kitu๐๐.
HER: okay, Kiss me then niende๐๐.
ME: Kiss what๐ฑ๐ฑ๐ฑ. Tuko daro bana, can't you see๐.
Alinirukia akanikiss then akaenda,, " Sky ukiyavulia walisema ni lazma uyaoge,, ulianza kunipenda mwenyewe, game lazma iendelee, hapa hakuna kuachana, ukihisi umechoka, nakupea glucose then tunaendelea๐ฑ๐ฑ" she narrated ๐.
KAMAU aliniangalia akashindwa kujizuia kwa hiyo akapasuka kwa kicheko๐ญ๐ญ.
To be continued ๐ช๐ช. Huyu Brianna ako na shida gani ๐ข๐๐.
Maoni