A woman does not run among thorns for no reason; either she is chasing a snake or a snake is chasing her๐๐. Huu ni msemo wa wasee๐. If you don't get it forget about it ๐ค๐..
Kando ya mahindi ๐,, Brianna amekaa karibu sana na mm, mkono wake ameweka kwenye paja langu la kulia๐,, kila kitu ninachomwambia anachukulia kama jokes๐ช.. forget about that, the way she was caressing my shoulder with her left hand left my mind within a circle of thoughts ๐ค.. "what do she want now?, Missile?๐๐ค๐ค, Oh no come on Sky, cool๐" nilikuwa najiambia kimoyo๐..
ME: So what are your future plan Brianna,,, jokes a side๐ค.. you joke a lot๐ช.
HER: Mmh swali nzuri hilo,, mbna ukaniuliza na I hope hutanijudge๐๐.
"Kwan chenye unataka kuwa in future kinashtua? Come on baby girl, it's better we discuss about our destiny tooโฃ๏ธโฃ๏ธ" I cheered her up ๐.
BRIANNA: Mm nataka kuwa referee ๐๐.
ME: Wait ๐.. of all the carriers dear,, unataka kuwa referee? Oh stop it already ๐. I won't ask you anything ๐๐.
BRIANNA: Am not yet done please,, unajuwa nilikaa chini nikafikiria ni kazi gan naweza fanya na ikuwe unique โฃ๏ธโฃ๏ธ.. nikaona ni hiyo๐ค๐ค
ME: Unique? Si hapa kenya mareferee ni mob sana,, hiyo si job Unique hata ๐.
HER: Who told nataka kuwa referee wa mpira,, fikiria nani๐๐.. refa wa ngwati๐๐ mtu wangu๐ช.
ME: Yameisha๐.. sitaendelea kuongea na mwendawazimu hapa๐.. mvua inakaribia, tutanyeshewa
BRIANNA: Good,, exactly venye nilikuwa nataka,,, nataka kukinyesha tuchezee kwa mvua kama movie za India ๐ค๐ค..
ME: Hey huo mkono usipite hapo๐.. today am not horny๐.. na hata nikiwa sitakubali๐คโฃ๏ธ.
HER: Kukubali nini hiyo,, mm siwezi mcheat boy wangu๐ช๐ช..
ME: boy wako tena? Mbna huwa unapenda kunihurt lakin,, I thought ni jokes unanifanyia tu, are you serious mnadate na Robby...
HER: Robby again ๐ช๐ช.. who told Robby pekee ndo boy wangu๐ช.. Sky sometimes huwa mnatoa watu kwa mood aje๐ญ๐ญ.. (she removed her hand on me)
ME: Why are acting as if ni mm ndo wa makosa๐ฑ.. uko na maboy wangap kwani wewe??
HER: Marto๐. Yes my dream guy, dark, tall and handsome man in the whole world โฃ๏ธโฃ๏ธ.. He said that when I get here, nimconfirm๐. Namiss sana venye huwa ananibomoa๐ค
ME: hahaa I can't fall in that trap of yours,, I Know ni kukubomoa nywele๐๐. Round hii niko radah siste๐ค๐ค..
HER: Okay naona umeanza kunielewa sasa,๐, sijui nikupakulie kamoja๐๐๐.. na ujuwe mm unakula raw๐ค.
ME: ๐๐๐..
HER: Come ndani ya mahindi,, nataka leo nijue venye huwa unajidai๐ค๐ค..
ME: ๐๐๐๐ถ๐ถ..
HER: Good,, are sure utaniweza๐ช..
Obvious I knew she was fooling around with me again,, I didn't take her serious,, kwa hiyo no feelings ๐ค.. but this round she looked a bit serious ๐ฑ to an incident of pulling me inside the bush๐ฑ
ME: Are you sure you wanna us do this?? Na hii mvua??
BRIANNA: Kama hautaki pia nitaelewa koz unajuwa hakuna mwenye anajuwa huku๐๐.. ama twende kwenu then turudi on tym๐๐. Am serious please,,
ME: ๐ค๐ค how serious are you ๐ค.. nataka nikonifirm ndo ninini ๐ช.
HER: Akh! Mm nitatoka kwa mood Sky. let's finish it here๐๐๐ค๐ค. And please don't let anyone know we did this ๐ช.
ME: ๐๐.
HER: Si utoe basi๐ช. Shida yako ni gani โฃ๏ธ.
Let me tell you kalishikwa na mwenye mahindi ๐๐๐..
Mangodo kwa kichwa hadi kakapiga nduru๐,, sema kutoka mbio ๐๐โโ๏ธ,, mvua nayo ikaanza๐..
ME: Wuuuih tunajikinga wap beb๐๐๐..
HER: Mtu asiniongeleshe๐ช.. hata najuwa ulikuwa umemwona but hukunisho๐ญ๐ญ.
ME: Tulia mammy ,kwan bado uko horny amaje๐๐,, sasa nilimwonea wap na pia nimeskia tu ukipiga nduru๐.. waah na una sauti poa๐.
Mvua ikiendelea Brianna alinishika mkono tukitembea๐.. "Sky, I love you so much โฃ๏ธ, story na Robby nilikuwa najoke tu,, how can I choose someone I don't know his story over youโฃ๏ธ,, forgive me๐"
ME: Who said ulikuwa umenikosea?,, Okay I had already forgiven you even before you asked for itโฃ๏ธ.. I Love you too dear๐๐.
HER: What about Nancy,, Sky for real unalikuwa unamove on haraka aje surely ๐ช. Hadi nilianza kuwa scared ak ๐
ME: She was just breathing wat was in her heart,, she is also a human like you, pia anaweza penda ama akapendwa na mtu ๐.
HER: I hope you gonna put a full stop on herโฃ๏ธโฃ๏ธ Please you must do that for me ๐๐
ME: maybe a comma๐.. I can't avoid someone intentionally dear,, sema kuhusu uhusiano wa mapezi, hapo ni yes I'll โฃ๏ธ. Then for me,, you have to do the same na Robby,, I don't like the way you always talk to him๐ช๐ช. He went too far venye alikubeba kwa mgongo ak๐ญ.
BRIANNA: Ni mm nilipanga ivo tu,, haikuwa real et tunapendana,, I wanted to know if you really love me the way I do,,, oh my God, it's getting late๐๐.
ME: As long as we haven't done anything wrong,, hata tukipunishiwa ni sisi tunajuwa๐๐
HER: Bydha ulikuwa unataka ๐๐.
ME: Nilijuwa ni game zako za kawaida๐๐.
HER: but this round I was serious,, nilikuwa nakupa walahi๐
ME: Why don't you give me now๐๐.. le me check the temp ๐ค๐ค.. WOW tunanyeshewa na bado uko hot ivo โฃ๏ธ..
BRIANNA: Don't worry my love,, one day utaenjoy everything on me ๐ค๐ค.. I wanted to carry you the whole holiday venye tulifunga shule but ukanidisapoint venye ulimuita Njeri ๐๐.
ME: Ilikuwa lazma akuje๐.. my daughter first ๐ค.
BRIANNA: Your daughter ama our daughter??
Tulinyeshewa hadi sote tukalowa maji,, hapo ndo tulijuwa kumbe tulikuwa tumeenda mbali ak๐ญ.. saa kumi na mbili jioni bado hatujafika shule,,
BRIANNA: Tunaenda kusema nini๐๐..
ME: ๐
Kufika shule ilikuwa already 7pm,, other students had gone to preps already ๐ฑ..
HER: Hey make sure wasikuone please,, our Matron anakuwanga na wanna sana,, hata tukimweleza hataelewa๐.. tupite mbio
Brianna kutoka hivi akakongana na Madam Stacy ๐ฑ.. "ngร i,, where are you from?" Mm nikajificha..
BRIANNA: Actually ๐ญ,, yaa kwetu ah no kwako , yani kwa Essau ehehee kwan hukutuona๐ค.
MADAM: Leo sikuwa uko,, kulienda aje,,
BRIANNA: Kulienda tu vizuri, yaa vizuri tu. Hata watu walikuwa wazima huko๐ญ๐ญ.
MADAM: ESAU alisema aje๐ค..
HER: Pia alisema ni ako poa, yaa alisema ako poa sana๐ฑ๐ฑ.. hata Robby pia๐๐
MADAM: Mlienda na kina kamau na hellen ??
Brianna : Siz si nichange nguo kwanza,,, baridi ak๐๐..
MADAM: Sky kuja huku, mbna unajificha๐.. maandalizi yalikuwaje penye mlienda๐ค.
ME: Hehee kumbe umeniona madam๐ญ๐ญ.. ilikuwa poa venye umeambiwa tu na Brianna,
MADAM: Leo wagen walikuja wangap๐ค
ME: Walikuwaaa๐ค,, brianna kumbe walikuwa wangap leo๐ญ
HER: nane๐,
ME: Yes wanane Madam,,
STACY: Okay go change your clothes am coming in classโฃ๏ธ.
Kufika daro Kamau wakasema Madam alikuwa huko na leo hawakufanya kitu,, wagen hawakuja so walifika tu wakarudishwa๐ญ๐ญ..
Brianna: What do we do now ๐.
MADAM: What do you do?? Simple to say the truth,, where were you today?? Sky so you have messed up again ๐๐.
NJERI: I knew it ilikuwa tu plan yao watutoke ndo waende wafanye mambo yao๐ช. Sky mm namjuwa hawezi muacha bri ivo tu๐ญ
MADAM: Mmetoka wap Sky?
To be continued.....๐๐..
Maoni